edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Uongo mkubwaso unataka kusema ni uongo au[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo mkubwaso unataka kusema ni uongo au[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Nakubaliana na wewe mleta mada kwa upande mmoja.
Najumbuka uchaguzi wa Tanzania uliopita, nadhani hii nguvu ya "Papa mweusi" ilifanya kazi. Naimani Lowassa alushindwa sababu alikuwa mluteri japo ilionekana kuwa alikuwa na wafuasi wengi kumshinda yule wa upande mwingine ila tatizo Nathani alikuwa na msimamo unaopingana na huyo Papa mweusi.
Hapo ndio wakristo mnaponishangazaga et jamaa kamuamini kabisa huyo mnigeriaHahahaha kwa hiyo alirecord hiyo audio huko Mbinguni na Kuzimu then akakurushia kwa Whatsapp? embu tuacheni ujanja ujanja
Kazidukua toka Jesuit si wapo hata hapa bongo, au hujawah ona magari Yao?Mkuu hizi details za siri umezitoa wapi?
Mungu haangalii dhehebu anaangalia kama unamuabudu kwa haki! Unaweza usiwe na dhehebu lakini ukawa na haki ya Kuwa mwana wa mungu kwa kutenda atakayo yeye!Mkuu niambie ni dhehebu gani linalotakiwa tujiunge ili tuuone ufalme wa milele? nje ya haya madhebu ya wapinga ukatoliki/ Protesant
Asee kwanza una umri wa miaka mingapi??Nakubaliana na wewe mleta mada kwa upande mmoja.
Najumbuka uchaguzi wa Tanzania uliopita, nadhani hii nguvu ya "Papa mweusi" ilifanya kazi. Naimani Lowassa alushindwa sababu alikuwa mluteri japo ilionekana kuwa alikuwa na wafuasi wengi kumshinda yule wa upande mwingine ila tatizo Nathani alikuwa na msimamo unaopingana na huyo Papa mweusi.
Jamaaaaa..una akili snaa...mungu mwenyew anatambua kuwa shetan ndio mtawala wa hii dunia hata pale mungu akasema..."he is the prince of thy world..ndio mana hata pale yesu akafunga jangwani zike siku 40 shetan alimjia akamwambia kama ukinisujudu hakika nitakupa mali na thawabu kubwa za hapa duniani...yan pale inadhihilisha kabsa kuwa hata yesu mwenyew alilitambua hilo.."
Huo upu.uzi sijui umeutolea wapi...?? Maandiko hayachambuliwi ki.puuzi namna hiyo....
H"alafu leo hii mtu hujui kinachoendelea unasema mambo ya kizushi cjui wanakopy google"..
Wewe unayejua kwanini utuletee copy and paste....Nimekuambia hata mimi huko google nawza andika @rephew ni shoga na kila mtu akaona na kushuhudia
"daaaaah..pole sana ndg..nataman kukutafta nikupe hata mengine mazito juu ya utawala huu wa pembe ndogo (rumi) juu ya dunia hii.."
Weka hapa hayo mazito tuyaaone...Kwanini umtafute angali hapa ni jukwaa huru...?
"Kwa mfano unaweza ukanipa mana halis tukachambua unabiii wa kitabu cha ufunuo kinachozungumza mambo hayo ..??"
Kwa taarifa yako kitabu cha apokalipto cha Yohana hakuandikwa kuwalenga watu wa zama hizi....Usikurupuke utaumbuka....Vitabu hivi vyenye masimulizi ya Kiepokalpto viliandikwa kuwalenga watu fulani, wslioishi nyakati zile na kwa wakati ule....udituletee uzushi...
"Kama upo tayr niambie tuanzishe thred hapo chini tueleweshane juu ya unabii unaozungumzwa na maana yake...."
Huna haja ya kuanzisha thread nyingine....Mbona hii inatosha kabisa...Hakuna maana unayoijua zaidi ya porojo za mitaani na lessoni za kipuuzi
"
""Na tazama nikamwona mnyama akitoka katika bahari..
""Na tazama nikamwona mnyama mwingine akitoka katika bahari..
Hivi unaelewa juu ya hayo maneno hayo na umaana wake au unaendeleza kubisha kisa umeonekana huna point kazibkubisha tu"
Hapana hatubishani hapa....Kama unaleta uzushi wa kipuuzi siwezi kaa kimya....Hapafu hebu nikuulize ati ni mnyama gani huyo Yohana anamuongelea...??
."bila shaka wew utakuwa katekista wa kanisa katoriki au utakuwa frateli...daaaah..."
Hiyo tunaita ni Escapism...Hakuna uhusiano wa katekista na hayo niliyoandika....
Tatizo biblia hiyo hiyo hamuisom mkapewa au kujua ujumbe mzito uliomo ndani kazi kwenda kanisani na misale ya waaumini et mwongozo wa ibada badala ya kubeba biblia ..
Misale ya Waumini umejaa nikulu za Biblia mwanzo mwisho....Halafu ujumbe mzito ni upi .??Nashukuru kwa kutambua kuwa misale ni muongozo wa ibada...
Hivi manuscript za Ellen G White ni nini vile..??
Unajua ni kwanini mapadri hawaitumii biblia kama mwongozo wa ibada.?? ,, ni kwa sababu wanaogopa kuna watu watahoji vip kuhusu fungu hilo mbona hivo.
Fungu gani hilo..??? Biblia kwa taarifa yako ni mapokeo ya Kanisa Katoliki....Biblia ipo ku-suit mafundisho ya Kanisa Katoliki kama ulikuwa hujui....yan ndo mana wanawPa mafundisho tofaut na biblia..
Ukitaka kuamini kwanin mafundisho yote ya kanisa katorik hayagusi vitabii vya unabii ...??unaweza nipa mfano wa hayo mafundisho tofauti na Biblia...?? Vitabu vya unabii ni vipi..? Upi, unamuhusu nani huo unabii...??
Just think twice and try to review you brain ability to monopolize false ideas and come here while improved..
Ukweli ulio katika biblia!Ukweli upi huo..?? Hebu uweke hapa...
Kumbuka usituletee porojo za google kama mwenzako....Nasubiri huo ukweli
Hivi unajua dhima ya kitabu na maudhui ya kitabu cha Ufunuo. ??? Unataka nikujibu kwa mujibu wa manuscripr za Kibibi Ellena..???Mnyama akitoka baharini na mnyama akitoka nchi kavu...[emoji115]
Nipe utofauti hapo kama kweli una uchungu na kanisa katorik..hapa hatuundi bifu wala nini bali tunazungumza ukweli wa mambo...
Birds of the same feathers flock together..!!Hapana jamaa ypo sahihi sana maana hta kabla ya uchaguz nilisikia hvyohvyo mm kwmba yy hawez shnda kwsabab cyo roman Catholic na ndyo sabab alinyimwa nafac ple ccm
Upi huo..?? Weka hapa . Biblia ni Maktaba...Kwa bahati nzuri unawza ukaweka kitabu, aya, na mstari....Ukweli ulio katika biblia!
Mkuu nimejitolea kuwanyoosha hawa vichaa.Birds of the same feathers flock together..!!
hata aina yako ya uhandishi tu inatosha kuonyesha kwamba wewe na huyo unaye mtetea kuwa yupo sahihi akili zenu ni mapacha. You two seriously need deliverance to get rid of that demonic mental retardation you are tholing now.
Kwanza una uthibitisho gani kuwa Lowasa alikatwa kwa sababu ya kuwa Mlutheri?? Kumbe kuna haja ya kupiga maarafuku hata matumizi ya viroba.
Nikuulize swali dogo..?? Unajua dhima ya hivi vitabu vyenye masimulizi ya kiapokalipto.....yaani vya Danieli na Ufunuo wa Yohana..Pruv kwamba wew huna uelewa wowote juu ya maandiko ya unabiii..
...unaelew vizzur biblia unayoiamini au huielew kazi kwenda kanisani kutoa sadaka au kupiga sadaks za hao mnaiwazingua na kuwadanganya..??
Tatizo binafsi hujui chochote kuhusu mambo aliyotabiliwa..hilo ulitambue..pili hujui unabii uliotabiliwa katika biblia kazi kubisha tu...yan mpaka unatia povu mdomon...
"" Na tazama nikamwona mnyama akitoka baharini..
""Na tazama nikamwona mnyama mwingine akitoka ncholi kavu ....
Hiv kijana kama kwli wew unaisoma biblia na kuielewa nipe tofaut ya maana ya hizo verse 2 hapo juu..
Ukiwezz bas tuendeleze thred...[emoji4] [emoji4] [emoji115] [emoji115]
Upi huo..?? Weka hapa . Biblia ni Maktaba...Kwa bahati nzuri unawza ukaweka kitabu, aya, na mstari....
Kwa upuuzi ulioandika basi ni wazi kuwa Mungu hana Upendo = Mungu si Pendo