TANZIA Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA, Renatus Mkinga afariki Dunia

TANZIA Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA, Renatus Mkinga afariki Dunia

Mjini kuna watu wanaushi kwa maneno
Kuongea ongea sana kujifanya kujua mambo
Badi wabongo hapo lazima utawasikia
"The guy is vere vere smart" 😂😂

Ova
 
pole sana kwa familia.
kazi ya mungu haina makosa.

tulio baki hai tukitahidi kutenda mema, usimfanyie mwenzako ubaya.....dunia mapito tu,


nadhani pia bodi ya TPA ili karibia kuvunjwa, maaana ime prove failure
 
Mjini kuna watu wanaushi kwa maneno
Kuongea ongea sana kujifanya kujua mambo
Badi wabongo hapo lazima utawasikia
"The guy is vere vere smart" 😂😂

Ova
Haha mjini usije na begi ,njoo na akili yako tu,utakula na kuishi vizuri.ngoja niende kwenye msibani,kuna Sikh nilikua mfukoni mweupe balaa ,nikakutana nae sikumwomba ela,ila alinitoa 50000,akaniambia kazana umalize chuo usijali kuhusu ajira ,unitafute
 
Huyu dingi ilikuwa akipewa nafasi ya kuongea kwenye chombo cha habari au mdahalo, ni lazima ataropoka kuhusu issue ya Deep green, Meremeta au Richmond. Hata kama mada itakuwa ni mechi ya Simba na Yanga, mzee mkinga ataropoka hizo issue.
 
Back
Top Bottom