Sio mbaya ni nyoya moja limedondoka kwenye mwili wa kukuMjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.
Chanzo: Channel ten!
Maendeleo hayana
Mh... Tril 1.5 ambayo mnalazimisha ilipotea? Au hii nyingine?Kuamini au kutokuamini is none of our business, lakini ukweli ndio huo.
Hahahaaaa.........!Sio mbaya ni nyoya moja limedondoka kwenye mwili wa kuku
Sio mbaya ni nyoya moja limedondoka kwenye mwili wa kuku
[emoji23]Hahahaaaa.........!
Kilichobaki ndio hichoVizuri kupeana matumaini.
Inaonekana cdm imejaa madini. Kila siku ccm hawaishi kuchimba, halafu wanaulaumu mgodi kwamba madini yanaukimbia, wakati wao ndio wanachimba. Yajayo yatazidi kushangazaKuna nini Chadema mbona wanapakimbia? Au ndio siku ya kufa nyani miti yote huteleza?
Mh... Tril 1.5 ambayo mnalazimisha ilipotea? Au hii nyingine?
Tril 1.5 gawia madiwani 250,wabunge 17 na hao wanachama. Mh...!!! Hata chizi hawezi amini.Hiyo hiyo boss.
Tril 1.5 gawia madiwani 250,wabunge 17 na hao wanachama. Mh...!!! Hata chizi hawezi amini.
Hayaaaaaa!Meku mkuu Zitto ameshafafanua......kuileta hoja Jf ni utafiti tosha bwashee!
Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 (tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Wanakimbilia mgao huko ccm! Kipindi cha mavuno hiki.Kuna nini Chadema mbona wanapakimbia? Au ndio siku ya kufa nyani miti yote huteleza?
Kweli kabisa. Nakumbuka zile tatu zilizokwenda bondeni kwa Madiba kumsambaratisha mlowezi.Ziliporudi hatukulala. Naibu Waziri wa mambo ya nje alitumwagia maji baridi tusilale tumsikilize yeye. Lakini mlowezi alipoibukia Canada, nw kanyeshewa mvua za mawe na kupotea. Acha tuchape usingizi. Ndege yenyewe waliipokea kule Mwanza. Kijana wao kanunua ndege mpya. Nderemo, shangwe na vifijo(soma vifujo). Wengi ni madr Pasipo hadi Digrii. Chezea CCM wewe!CCM kumesheheni PhD bwashee!
Huyu kasema alibuni chadema ni msingi, wewe unasema mlibuni chadema ni tawi. Sasa huoni tofauti Kati ya tawi na msingi?Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 (tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Inawezekana maana ruzuku yote inaliwa na DJWanakimbilia mgao huko ccm! Kipindi cha mavuno hiki.
Naomba kuuliza, hivi ccm ni kaburi au mortuary? Maana huwa mnatuambia kuwa CHADEMA imekufa halafu mnakuja kutuambia kuwa mmepokea wanachama toka CHADEMA, iweje mnapokea wafu?Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.
Chanzo: Channel ten!
Maendeleo hayana
Unashangaa hilo, hukumsikia mbunge wa siha akisema kuwa mwaka 2013 alisaidia kutibu majeruhi waliojeruhiwa na polisi Arusha akiwa mwanachama wa chadema, wakati usahihi ni kuwa alijiunga chadema mwaka 2015 baada ya kukatwa kugombea kwa tiketi ya ccmHuu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 (tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo