LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Haa haa Kilimanjaro moshi mjini na rombo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kuanzia hatutakuwa na makosa tukisema, chadema no chama kinachoongoza kwa kuwa na Malaya wengi.Chama Malaya Tanzania (CHAMATA)Hakuna haja ya kubashiri kila kitu kiko wazi kuwa wabunge watakaojiunga na CCM kutoka CHADEMA ni wale malaya wa kisiasa.
Upinzani wa Afrika siyo kama wa Ulaya. Huu wa kwetu, wanasiasa wana umuhimu mkubwa kuliko wanachama ndiyo maana kuondoka kwa mwanasiasa ni pigo kubwa sana kwa Chama. Kwetu Afrika, kupoteza Mwanasiasa ni sawa na ilivyo Jeshi kupoteza Brigadier General (Mkuu wa Kikosi) kwenye Vita. Wao wanajeshi wanakwambia ni bora upoteze battalion (kikosi cha Jeshi chini ya Brigadier General) nzima kuliko Wakuu wa Vikosi kwani ni rahisi kuwa recruit Askari wapya lakini huchukua miaka kumtengeneza Brigadier General, achilia mbali wakubwa wake kama Major General ama Luteni Jenerali.Waende wote tu, upinzani upo kwenye damu
Jana alikuwa TBC anahojiwa nilishangaa inakuwaje aitwe TBC kwenye kuelekea Kumbukizi Kifo cha Mwalimu nyerere.Ester Matiko (Tarime Mjini)
Dah wewe ni yule mwenye toto zezeta chupa unayefakamishwa mataulo makalioni mbona umumbwa wa karomijeMwisho wa sacoss ya mtei umewadia RIP chagadema,nayaona maumbwa ya ufipa yanatokwa na povu .
Ha ha pumba za wafuasi wa mwenyekiti wa ccm mbovu na mkosa uelewa wa siasa wameondoka wangapi umeona mwanachama hata mmoja amewafuata haha daudi bashite unakili za kuficha kicha mchangani ka mbuniUpinzani wa Afrika siyo kama wa Ulaya. Huu wa kwetu, wanasiasa wana umuhimu mkubwa kuliko wanachama ndiyo maana kuondoka kwa mwanasiasa ni pigo kubwa sana kwa Chama. Kwetu Afrika, kupoteza Mwanasiasa ni sawa na ilivyo Jeshi kupoteza Brigadier General (Mkuu wa Kikosi) kwenye Vita. Wao wanajeshi wanakwambia ni bora upoteze battalion (kikosi cha Jeshi chini ya Brigadier General) nzima kuliko Wakuu wa Vikosi kwani ni rahisi kuwa recruit Askari wapya lakini huchukua miaka kumtengeneza Brigadier General, achilia mbali wakubwa wake kama Major General ama Luteni Jenerali.
This is Afrika wazee.
Huko Ulaya, power iko kwenye umma na wanasiasa hawana nguvu kubwa dhidi ya wanachama ndiyo maana kuondolewa kwao is not an issue.
Pesa mzeeHIVI WAKUU HAWA WABUNGE NA MADIWANI HAMAHAMA WANAVUTWA NA ULIMBO GANI AISEEE???
AU NDO VIWANDA TULIVYOAHIDIWA??THIS IS TOO MUCH ASEE
Kama nihuko sawa waendelee kusalitiana nilifikiri ni huku kigoma mjini ambako kunampinzani wakweli wasaliti waliwaacha chamani wakamfukuza jasiri mwami ruyagwa unafikiri kama mbunge wa kigoma mjini angekuwa natamaa kama hao angekuwanani katika serekali ya ccm kwamaana yeye mmoja ni sawa nawabunge 50 wa chama cha gumba ukimtoa beshaView attachment 890013
Mjumbe wa Kamati ya Itikadi na Uenezi Mkoa wa Dar es Salaam, Frey Edward Cosseny, amewarusha tena roho juu wafuasi wa Vyama vya Upinzani baada ya kudai kuwa, kuna Wabunge wengine sita wanafuata baada ya Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya (CHADEMA) kujiunga na CCM.
Frey Cosseny amedai kuwa, Wabunge watakaojiunga na CCM kutokea CHADEMA ni wanatokea Mikoa ifuatvyo:
Mkoa wa Kilimanjaro - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa Dar es Salaam - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa Manyara - Mbunge mmoja (01),
Mkoa wa Mara - Mbunge mmoja (01).
View attachment 890012
Haya Wazee wenzangu wa mapovu camp, naomba tutiririke hapa kubashiri Wabunge hao walio mbioni.
Kwa Mkoa wa Mara nahisi Ester Matiko (Tarime Mjini) hatasalimika na hizi radar za CCM. Utakuwa ni usajili mzuri.
Tutaje wa Mikoa mingine.
Malaya hawa nivigumu kuwatambua mchana nenda uwanja wafisi usiku utawaehesabu mwenyeweHao malaya wa siasa mnao kama wangapi waliobakia?
Nimekusoma vizuri, lakini nikukumbushe tu kama umesahau: kuna msemo mashuhuri kuwa serikali inatimiza sera za CCM. Kwa CCM ya sasa hii ni sera yake, kwa hiyo hawaone shida kabisa.Kwa upande wa serikali ambayo imejinasibu kubana matumizi yasiyo na lazima, inayobana safari za nje hata UN kwa sababu ya kupunguza gharama, imekaa kimya haioni hasara ya gharama za kurudia uchaguzi.