Tetesi: Mjumbe wa Kamati ya Uenezi ya CCM Mkoa wa Dar, Frey Edward: Kilimanjaro kuna Wabunge 2, Manyara 1, Dar 2 na Mara 1. Watakuja kabla ya Disemba.

Tetesi: Mjumbe wa Kamati ya Uenezi ya CCM Mkoa wa Dar, Frey Edward: Kilimanjaro kuna Wabunge 2, Manyara 1, Dar 2 na Mara 1. Watakuja kabla ya Disemba.

Waache wahame wanaamini ulinzi wa binadamu sio wa Mungu. Na
Wanaamini watanzania hawajui yanayoendelea. Wale waliochagua mawe nao watachukua kadi ilikuwafateni kwenye kura za maoni za uteuzi 2020.mlichaguliwa kwa hasira sio kwa uzuri wenu waliostahili walikosa nafasi kwa hasira za kutokipenda chama. Be prepared kukatwa 2020.
 
Kuna jambo halipo sawa kwa wanashangilia.

Viongozi wa chadema waliochaguliwa kwenye uchaguzi uliopita ni kana 1200 na walipigiwa kura n wanchama ama wapenzi wa chama chao kama watu 6,800,000+

Hivyo kuondoka kwa mbunge au diwani wote hao ni kama watu 1200. Plus wake zao na familia zao na wapambe wao lets say watu 100,000 bado sio jambo la kushangilia maana kuna critical mass ambayo bado itaendelea kuwa chadema.

Laiti wanaohama wangekuwa wanapita kwa wapiga kura wao kuwaambia kuna moja mbili tatu nimeshindwana na chadema hivyo naondoka na kuwaaga wapiga kura. Kinachofanyika ni kwenye giza mtu anasema anaunga juhudi za mtu binafsi. Lakini hana hoja ingine inatia shaka hata wale wangeweza kuondoka nae nao wanajawa na wasiwasi jamaa kapiga mpunga mrefu katuacha.

Kwa upande wa serikali ambayo imejinasibu kubana matumizi yasiyo na lazima, inayobana safari za nje hata UN kwa sababu ya kupunguza gharama, imekaa kimya haioni hasara ya gharama za kurudia uchaguzi. Ingeweza kusema waubge juhudi pasipo kuingiza hasara serikali au hata kuja na msuada bungeni wa kuondoka kipengele cha mbunge kupoteza nafasi yake pale anapohama chama. Nayo imekaa kimya maana yake inaunga mkono guarama kubwa za kurudia uchaguzi.

Ifike mahali common sense itawale akili zetu tuone ni wanafunzi wangapi tumewanyima fursa ya mkopo chuo kikuu, ni watu wangapi wamekufa kwa kukosa huduma bora za afya, ni watu wangapi wamekosa huduma maalumu za umma kwa sababu ya gharama za marudio ya uchaguzi.

Itoshe tu kuona watu 228 wamekufa maji serikali haikuwa na fedha kuwahudumia waliopata majanga mpaka kuomba msaada kwa umma. Lakini akijiuzulu mbunge leo tunapesa ya kufanya uchaguzi.

Ewe Mwenyezi Mungu kuna wakati radi hupiga na kuua wasio na hatia baba tunaomba uangalie yaliyo mema kwa watu wako.
 
Hakuna haja ya kubashiri kila kitu kiko wazi kuwa wabunge watakaojiunga na CCM kutoka CHADEMA ni wale malaya wa kisiasa.
Kwa hiyo kuanzia hatutakuwa na makosa tukisema, chadema no chama kinachoongoza kwa kuwa na Malaya wengi.Chama Malaya Tanzania (CHAMATA)
 
Waende wote tu, upinzani upo kwenye damu
Upinzani wa Afrika siyo kama wa Ulaya. Huu wa kwetu, wanasiasa wana umuhimu mkubwa kuliko wanachama ndiyo maana kuondoka kwa mwanasiasa ni pigo kubwa sana kwa Chama. Kwetu Afrika, kupoteza Mwanasiasa ni sawa na ilivyo Jeshi kupoteza Brigadier General (Mkuu wa Kikosi) kwenye Vita. Wao wanajeshi wanakwambia ni bora upoteze battalion (kikosi cha Jeshi chini ya Brigadier General) nzima kuliko Wakuu wa Vikosi kwani ni rahisi kuwa recruit Askari wapya lakini huchukua miaka kumtengeneza Brigadier General, achilia mbali wakubwa wake kama Major General ama Luteni Jenerali.
This is Afrika wazee.
Huko Ulaya, power iko kwenye umma na wanasiasa hawana nguvu kubwa dhidi ya wanachama ndiyo maana kuondolewa kwao is not an issue.
 
Mwisho wa sacoss ya mtei umewadia RIP chagadema,nayaona maumbwa ya ufipa yanatokwa na povu .
Dah wewe ni yule mwenye toto zezeta chupa unayefakamishwa mataulo makalioni mbona umumbwa wa karomije
 
Upinzani wa Afrika siyo kama wa Ulaya. Huu wa kwetu, wanasiasa wana umuhimu mkubwa kuliko wanachama ndiyo maana kuondoka kwa mwanasiasa ni pigo kubwa sana kwa Chama. Kwetu Afrika, kupoteza Mwanasiasa ni sawa na ilivyo Jeshi kupoteza Brigadier General (Mkuu wa Kikosi) kwenye Vita. Wao wanajeshi wanakwambia ni bora upoteze battalion (kikosi cha Jeshi chini ya Brigadier General) nzima kuliko Wakuu wa Vikosi kwani ni rahisi kuwa recruit Askari wapya lakini huchukua miaka kumtengeneza Brigadier General, achilia mbali wakubwa wake kama Major General ama Luteni Jenerali.
This is Afrika wazee.
Huko Ulaya, power iko kwenye umma na wanasiasa hawana nguvu kubwa dhidi ya wanachama ndiyo maana kuondolewa kwao is not an issue.
Ha ha pumba za wafuasi wa mwenyekiti wa ccm mbovu na mkosa uelewa wa siasa wameondoka wangapi umeona mwanachama hata mmoja amewafuata haha daudi bashite unakili za kuficha kicha mchangani ka mbuni
 
Yani wananchi wenyewe wanaoenda kupiga kula ni mabumbuwazi akili mbovu zao.
Yani kwa akili ya kawaida mbuzi kama waitara anahama chama anahamia north korea anakuja tena kuomba kura mnaenda kumpigia ni ufala wa hali ya juu trump na jin ping njooni mlibebe hili taifa liwe lenu watu wanasoma ila hawaelewi
 
Mimi sioni sababu ya kuwalaumu hawa wanaohama maana walijisacrifice mliwabeza mimi napenda wote wahame na tubaki na CCM pekee
 
Kama ni
View attachment 890013

Mjumbe wa Kamati ya Itikadi na Uenezi Mkoa wa Dar es Salaam, Frey Edward Cosseny, amewarusha tena roho juu wafuasi wa Vyama vya Upinzani baada ya kudai kuwa, kuna Wabunge wengine sita wanafuata baada ya Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya (CHADEMA) kujiunga na CCM.
Frey Cosseny amedai kuwa, Wabunge watakaojiunga na CCM kutokea CHADEMA ni wanatokea Mikoa ifuatvyo:
Mkoa wa Kilimanjaro - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa Dar es Salaam - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa Manyara - Mbunge mmoja (01),
Mkoa wa Mara - Mbunge mmoja (01).

View attachment 890012

Haya Wazee wenzangu wa mapovu camp, naomba tutiririke hapa kubashiri Wabunge hao walio mbioni.
Kwa Mkoa wa Mara nahisi Ester Matiko (Tarime Mjini) hatasalimika na hizi radar za CCM. Utakuwa ni usajili mzuri.
Tutaje wa Mikoa mingine.
Kama nihuko sawa waendelee kusalitiana nilifikiri ni huku kigoma mjini ambako kunampinzani wakweli wasaliti waliwaacha chamani wakamfukuza jasiri mwami ruyagwa unafikiri kama mbunge wa kigoma mjini angekuwa natamaa kama hao angekuwanani katika serekali ya ccm kwamaana yeye mmoja ni sawa nawabunge 50 wa chama cha gumba ukimtoa besha
 
Kwa sasa siyo habari tena.

Jambo lililo wazi ni kuwa kumbe ndani ya vyama vya upinzani kumekuwa na wawakilishi wengi wasio na uelewa, waliokosa akili na sifa za uongozi. Sifa kubwa ya kiongozi ni kusimama juu ya yale unayoyaamini.

Bahati mbaya mbumbumbu hao sahizi wanakuwa miongoni mwa viongozi wa CCM. Sijui CCM itakuwaje siku za mbeleni kwa kuwajaza hawa wasio na akili waliotoka upinzani.
 
Kwa upande wa serikali ambayo imejinasibu kubana matumizi yasiyo na lazima, inayobana safari za nje hata UN kwa sababu ya kupunguza gharama, imekaa kimya haioni hasara ya gharama za kurudia uchaguzi.
Nimekusoma vizuri, lakini nikukumbushe tu kama umesahau: kuna msemo mashuhuri kuwa serikali inatimiza sera za CCM. Kwa CCM ya sasa hii ni sera yake, kwa hiyo hawaone shida kabisa.
Mimi hofu yangu ipo juu ya vyama hivi vya upinzani. Sijui kama wanayo mipango yoyote ya kuyakabili haya yanayowatokea sasa.
Maana wanavyoonekana sasa ni kama gari lililopata pancha lakini hata tairi la spea hawana, na wapo porini hawajui wafanye nini. Hata simu ya mawasiliano na wananchi wapate msaada hawana!
 
Back
Top Bottom