Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Hicho kitabu cha kwanza nimekisoma last year lakini probably sio applicable kwa wanawake wa kitanzania, probability ni 50 percent sababu wengi ni watafuta pesa.

Hii story yako probability ya kuwa ni kweli ni 50 percent sababu hapo mwisho umesema ukitaka hicho kitabu basi vocha utachangia means huyo jamaa kwa asilimia 90% usingemkataa.
 
tuliambiwa tutafute pesa imekuwaje mwenye pesa kala kibuti? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tafuta pesa sana kwa kufanya kazi kwa bidii. Lakini usijidanganye kuwa ukiwa na pesa utapata kila mwanamke unayemtaka. Bado kuna wanawake wengi wazuri watakuwa na pesa zaidi yako na wale ambao pesa zako haziwezi kuwa kigezo cha kuwarubuni.

Ndio maana nawaambia someni vitabu nilivyowashauri. Ukisoma hivyo vitabu, angalau kimoja tu thamani yako ya uanaume itapanda mara tatu au zaidi.
 
Joannah hebu njoo umelizie nimeishia hapo "Na ile business card.....:
 
Umeongea ukweli mwana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nani aliyewadanganya ukiwa na hayo magari unapata kila mwanamke unayemtaka? Ndio maana mkiwa nayo mnahangaika kuyatangaza? Legeza ubongo kidogo. Acha uTomaso. Chukua madini yatakusaidia.
 
Kaka umekaa vizuri kwenye viatu vya James. Lakini umeonesha moja ya dalili kuu za wanaume wasiojiamini. Nayo ni kuchukulia mambo too personal na kuumia kihisia wanapodhani wamedharauliwa. Unahitaji mafunzo ili uweze kujiamini. Legeza ubongo. Kuwa tayari kujifunza.
 
Hahahaa

Kwa hiyo baada ya Salam angekwambia kwamba nikupe shs ngapi ili unipe utamu wako!!
 
Na wew ni mzue lakn pamoja na chura unayo ?? Au hivyo hivyo tu ?
 

Sometimes you need to flaunt your wealth in order to snatch chicks like you.
 
Ok, kumbe lengo kuu ni kuvitangaza vitabu hivyo.

Basi sawa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nani aliyewadanganya ukiwa na hayo magari unapata kila mwanamke unayemtaka? Ndio maana mkiwa nayo mnahangaika kuyatangaza? Legeza ubongo kidogo. Acha uTomaso. Chukua madini yatakusaidia.
Utomaso?... I see you're funny.
To be specific mimi katika maisha yangu yote sijawahi kupoteza muda kuimpress mwanamke.
Huwa mnajileta wenyewe so sioni madini yoyote ya kuchukua hapa labda wewe ndio uchukue madini kutoka kwangu.

Hicho kitabu cha kwanza kipo under 500Kb, hakifiki hata mb 1 kudownload, na bado ukasema ukikitaka basi uchangie vocha.
Yaani hata kitabu cha mb 1 uchangie vocha seriously?.

Wakati huohuo huyo mshikaji amekutokea na BMW na show off nyingine hapohapo umkamkataa kisa anafanya show off.
Wakati wewe hapa unataka mchango wa vocha kudownload kitabu cha mb1?.... Come on!

Hii story yako clearly ni ya kutunga otherwise usingechomoa hata iweje.
Nice try.
 
Hee jamani we kaka ni noma! Warembo wenyewe wanajileta kwako. Nyie ndio wale mnaoitwa Sukari ya Warembo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…