Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Hamjui jemsi vizuri, next time ni mmteko + mbako mpaka acheue io kuku
Ujue wanawake wa siku hizi siwaelewi
Anadai hamtaki huyo jamaa lakini kakubali kulipiwa chakula, sasa ni njaa au nini?
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.

"Haina shida." Nikajibu.
Muongo kabisa. Unauza vitabu
 
Ila pia kuna watu ndio walivyo tu by nature yaani wanapenda kujizungumzia wao na mali zao.

Hata tukiwa kijiweni wanaume tupu unaweza shangaa mtu anaanza kuzungumzia mambo yake private so mleta mada usishangae sana.
Wanaume wa hivi wanaboa aisee..kuna mmoja nilipataga tabu sana mpk kuja kumzoea...mkichat mara akutumie picha za nyumba yke...mara vigari vyake...mara sijui naenda kikao serena...kesho nakutana na mkurugenz wa sijui wapi.
Akitransfer hela kwa mtu atakutumia mpk slip..(mamilioni kadhaa)
Akilipwa anakutumia[emoji3][emoji3][emoji3]..yn soooo boring

Ilibidi nimulizee mbona km we ni kabila fulan (lile la wapenda sifa)??

Nilipomzoea aah ...
 
Simple tu ulikuwa unamuonea wivu hivo vitu vyake.
Hamueleweki kuna wengine wanapenda hivyo.
 
Ederra nimekupenda bure...

Umeandika vitu poa sana na pengine ni somo kwa sisi jinsia tofauti na yako, few will understand kwa sababu hawajui kwamba kuna aina nyingi tofauti za sanaa ya kuapproach...

Bravo!
Very correct
..as for me napenda mtu awe so private...yani siku nikija gundua kwamba anamiliki mavitu na mahela ndo nafall in love mara 10
Yn nitreat vzr kimya kimya tu bila kujimwambafy....

Kifupi we nifiche kila kitu..kazi..kipato..unakoishi etc etc

Then huko mbelen nikijua(inategemea nutagyndua mwenyewe au utanieleza)
ndo nitakupenda mara 2000

Lkn ukija na style za kujimwambafy nakuignore hapo hapo maana naanza kuona hili jamaa ni lishamba[emoji3]
 
Simple tu ulikuwa unamuonea wivu hivo vitu vyake.
Hamueleweki kuna wengine wanapenda hivyo.
Khaaa nimuonee wivu stranger[emoji1787][emoji1787][emoji1787].am not an idiot....
We km unataka urfk na mimi..sawa. .
Ss unapoanza kujitangaza kwangu ili iweje....
Acheni ushamba..ila sio kosa lake alikulia kijijin huko ushubwadani ....
Ss anahisi kila mtu anaulimbukeni

Na wewe km una tabia hizo achaa....mnaboa
Hujaulizwa unasema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom