Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Khaaa nimuonee wivu stranger[emoji1787][emoji1787][emoji1787].am not an idiot....
We km unataka urfk na mimi..sawa. .
Ss unapoanza kujitangaza kwangu ili iweje....
Acheni ushamba..ila sio kosa lake alikulia kijijin huko ushubwadani ....
Ss anahisi kila mtu anaulimbukeni

Na wewe km una tabia hizo achaa....mnaboa
Hujaulizwa unasema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya ni vyema ukatafuta ambaye mnaendana sio kila unachopenda wengine watapenda, simtetei huyo jamaa lakini naongea uhalisia kila binadamu ana tabia zake ambazo Za wengine unaita ushamba ila zako somebody out there anaita ushamba pia.
Japo huyo james alikosea lakini huwezi kumbadilisha..

Asante.
 
Khaaa nimuonee wivu stranger[emoji1787][emoji1787][emoji1787].am not an idiot....
We km unataka urfk na mimi..sawa. .
Ss unapoanza kujitangaza kwangu ili iweje....
Acheni ushamba..ila sio kosa lake alikulia kijijin huko ushubwadani ....
Ss anahisi kila mtu anaulimbukeni

Na wewe km una tabia hizo achaa....mnaboa
Hujaulizwa unasema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Excellent! Hawa watu wana mengi mno ya kujifunza. Kutangaza mafaniko kwa mwanamke mgeni bila kuulizwa ni ishara ya kuwa nafsi yako inakwambia kwamba wewe huna thamani kama mwanaume, thamani ya kutosha kupata ukaribu wa huyo mwanamke.

Kwa hiyo kukosa kwako thamani ndio unataka kufidia kwa kutumia hivyo unavyomiliki. Kaka zetu pateni haya madini yatawasaidia. Na tutaendelea kuwafunulia tabia zisizovutia ili wanaokubali kijifunza wajifunze.
 
😂😂😂
Nenda kasome utanishukuru baadae. Nimeona kaka zangu mnateseka sana. Hamjui kabisa mitindo ya maisha inayowavutia wanawake.

Ikabidi niwatafutie madini yatawasaidia.
Hallow Unanitumiaje Mkuu? na bando nakupa bei gani?
 
tuliambiwa tutafute pesa imekuwaje mwenye pesa kala kibuti? 😂😂😂😂
 
Mwenye hivyo vitabu kutokana na maelezo ya mtoa Uzi, aviweke hapa
 
Sikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.
Babu aliniambia silaha kuu ya kuvuta warembo ni mkwanja, yeye enzi zake Kijijini ndiye alikuwa na Mifugo mingi, mashamba na biashara...
 
Kwahiyo nikisoma hvyo vitabu tayari wanapanua miguu wakiniona au vipi ... Kushikilia facts Kuna Muda NI Kama kuufanya fikra kuwa rigid
 
Skia mimi namiliki genge na toroli unaonaje ukinipa namba yako 😁😁
Mkuu mwnywe nazungusha matunda majumbani unaonaje kama tukiunganisha biashara😂😂😂
Tuje kua na BMW maana Harrier sio nzuri kama mtoa mada alivyotuambia
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.

"Haina shida." Nikajibu.

"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
Nyie wanawake hamueleweki hata angekaa kimya ungezingua
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kasome utanishukuru baadae. Nimeona kaka zangu mnateseka sana. Hamjui kabisa mitindo ya maisha inayowavutia wanawake.

Ikabidi niwatafutie madini yatawasaidia.

Sio kweli kwamba hatujui mrembo!!! Uyo boya wako ndo ajui na sometimes ni wewe tu hukuvutiwa na iyo style...!!! Maana wengine wanapenda izo style” hayaeleweki hayo mambo
 
Wanawake wa zamani akikuta mwanaume ana mapungufu, atamwambia na kumsaidia kujirekebisha. And thats why baba zetu hawakuwa wakihangaika sana na wanawake hovyo sababu mwanamke anaekutana nae anakuwa ameshaanza wifely duties papo hapo.

Hawa wasasa sijui wamefundishwa au kujifunza wapi kuwa mwanaume akiwa na changamoto yoyote aidha ya tabia au kiuchumi au kimuonekano mfano kuwa na mwili ambao haunavuto sababu haujanawili basi huyo mwanaume umkimbie.

Funny thing is sijawahi kuona mwanaume anakosa mwanamke wa kuishi nae kama mke hata kama akichelewa sana kuoa. Ila nimeona wanawake wengi wanaozaa nje ya ndoa na kukosa kabisa mwanaume serious wa kuishi na kufanya nao maisha. Na wanawake wenyewe ndio sampuli yako wewe mleta mada.

Ulisikia ile story ya mwanamke mkosa hekima au mpumbavu basi wewe ni aina yake.

Wewe unajua huyo james amepitia maisha ya aina gani hadi kumiliki hiyo harrier na BMW?! Umejiuliza ni kwanini anatake a great pride na hizo vitu vyake?!

Ni vipi kama James alishapigwa vibuti au kukataliwa mara kadhaa kwasababu kila mwanamke alionyesha kutaka james awe na gari au kazi nzuri ili aweze kuwa mwanaume,haudhani kuwa hiyo ni sababu tosha kwake kuanza katabia kakujiproud ili before mwanamke hajamfahamu kiundani ampe respect kwa mali alizonazo?!

Kwasababu tusiseme uongo wanawake wa sasa mnataka utelezi na hicho ndicho kigezo namba moja kama ukiacha unafiki.

James naona amejaribu na aliperform vizuri kama mwanaume na hakuwa na kosa. Pengine alikuamini haraka sana na alitaka wewe kama future wife wake uanze kujua possession zake sababu itakufanya kumuona yeye kwa mafanikio yake maana ndicho kitu wanawake wasasa mnapenda.

Kwann hakuwasiliana na james na alikusisitiza mawasiliano na wewe ili umwambie kuwa alichofanya si kitu kibaya ila haikuwa lazima sana maana ungejua tu kuwa hizo mali kuwa anazo?! Ukaona ni wise utupe business card halafu uje kutuambia sisi. Sasa sisi ndio James?! Umemuacha james anasubiria simu yako unakuja hapa kutuambia kuwa James kakukwaza, mtu kusema anamiliki nini na nini au kusikia fahari ya mali yake imekuwa tusi. Kwahiyo ukija kuwa na mume hautapenda ajisikie fahari kuwa na wewe na kukutambulisha mbele za watu?!

Sasa umemuachia James aende na ukumbuke yeye ndie alikufuata. Unajuaje labda MUNGU alimuelekeza kuja mgahawani kukutana na future wife wake ambae ndie wewe hata haujitambui. Kesho na kesho kutwa utiwe mimba na mume wa mtu uanze kuwatafuta akina james wawe baba wa lazima kwa mtoto wako sababu umeshaharibu.

Upuuuzi wa karne. Sasa endelea. Huyo ni james mmoja hatujui ni akina james wangapi umewazingua kisa unaona wanakufuata. Kuna msemo unasema kila mbwa na siku yake, vivyo hivyo kila mwanamke mwenye maringo na kiburi kuna mwisho wake.

Endelea kukataa na kutupa business card. Halafu tutaona huyo ambaye wewe unamtaka na ulimuumba asiye na dosari akija kukufuata muanze mahusino.

Dharau tu...... Msyuuuuuuuu..... Me sipendi mabinti wenye tabia za kujiona wao ndio top class au toleo la pekee.... Kumbe takataka tu shenzi type. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Sikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.
Wewe ungekuwa unajiamini usingekimbia ungewasiliana nae ungemuelekeza kuwa haiba aliyonayo si sawa ajirekebishe sio kudharau proposal ya mtu utadhani una miadi na MUNGU kuwa utakuja kuwa na mwanaume yupi.
... Bogus kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom