Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Hata Wanawake wa hivyo wapo sana! Tena mwingine anaweza kua Yuko kwenye Mikutano wa kazi anaongea Kama Mkuu wa kitengo eti lazima akupigie simu ukipokea unamsikia yeye anamwaga ma points zake kwa meeting, utaita hallo hallo lakini hajibu anaendelea kufokea Wafanyakazi wake upande wa pili!!
 
Kwa hiyo ulikuwa tayari tatizo Ni approach!!! Sasa ungemkubalia alafu ukamfundisha mdogomdogo na kumpa hizo nondo. Au ulikuwa unatiming nyingine
Hakuna kitu hapo, anataka kuuza kitabu tu.
 

Au alikuwa anatania labda... si unajua sie Wahaya 😉 😉
 
Sikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.

Haya njoo basi kwa mimi mkulima wa ngogwe! Yaani ninajiamini mpaka kuna wakati huwa ninajishtukia!

Nina baiskeli mbili, pikipiki mbili! Genge kubwa la bidhaa mbalimbali! Nafuga kuku wa kienyeji (hivyo ukija kunitembelea utakula kuku, na mayai mpaka ukimbie), nina kibanda cha kujihifadhi cha vyumba viwili na sebule! Nina.........✍️
 
Haha..
Barbie umenichekesha..! Ku unlock feelings tu ama mpaka pochi iliyokuwa locked.??

Anyways, tafuta hichi 'the power of pussy' - by Kara King..!!

C'ssy Heaven Sent uliwahi waambia wanaume hili kwenye ile thread yako..!!
Utakuta wanatiana ujinga "wewe tafuta tu hela, hakuna mwanamke atakayekukataa". Wanasahau kutafuta na "akili".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupenda dada
 
Nyie ndio mnasababisha wanakuwa hivyo. Mnawajengea Wanaume fikra kuwa asipokuwa na mali hawezi kukubaliwa mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema James lazima atakua nshomile tu.. strategy za kizamani mno hizo
 
Kosa lake ni kuvitaja hadharan hvyo vtu ila ukwel usiopingika ni kwamba hvyo vtu ndo wanavyopenda wanawake

Yaan unapo mu aproach tu anawaza huyu ana kazi.. au nyumba.. au ana gar?

So mwamba akarahisisha kwa kuvinadi mapema.. binti hukupenda.. bas sawa.. huyo mwamba hakukupenda kiivyo alitaka kula tunda asepe... Mwanamke unaempenda kikwel kwanza utakua unatetemeka hata hayo magar huwez kumbuka..
 
Ila atakuja mume wa mtu hapo. Atadisplay hizo quality za "how to get between her legs" na kweli atafanikiwa then before you know it Mimba, ta ta ta ta Heeeee jamaaa mume wa mtu heeeeee tulu tulu tulu prakataaaaah heeeee hakutaki anarudi kwa mkewe, heeeee hatujakaa sawa uzi jamii forum namna wanaume ni mbwa na waongo...... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wiki kadhaa baadae umekubali matokeo maana umeshawahiwa na wajanja umekuwa single mother.

Miaka kadhaa baadae unakutana na Post ya Mc gharab amepost james anavisha pete mdada mzuri mrembo kukupita. James amekuwa mume wa mtu na unaanza mfuatilia kwenye account yake na kuona akihesabu tu anniversary za ndoa na birthday za watoto na mkewe.

Wewe na your sorry self unabakia kukutana na wanaume wapya daily. Watoto unawachanganya kwanza hawajashare baba lakini pia unazidi kuwachanganya kwa kuwaletea baba mpya kila siku. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Women used to be very Smart back in a day. Nowadays Modern Women sijui m'mekuwaje i mean m'mekuwa more than foolish/stupid. The more mnakuwa educated the more mnakuwa very good at making dumb decisions.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mwamba alijua kuwa wanawake wanapenda mali japo hakutakiwa kujionyesha kwa namna ile
 
Utakuta wanatiana ujinga "wewe tafuta tu hela, hakuna mwanamke atakayekukataa". Wanasahau kutafuta na "akili".

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaweza kuwa na mwanaume asie na kipato au mali ukamheshimu na kumpenda bila kuwaza ujinga wa kumsaliti na wanaume wengine wenye uwezo?!

Mbona leo mnajikuta wife material sana nyie watu katika huu uzi. Wakati ni wadangaji daily hapa tunasoma comment zenu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea na mimi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…