Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂
Aisee!
Why ulisoma hivyo vitabu vya wanaume?
Au ww ndo Anita Shija unafanya promo ya kitabu chako?
Anyway, asante kwa taarifa
Hicho mwambie mleta uzi akuuziea au atuambie ana mawakala sehemu zipiFanya Basi na Cha kiswahili mkuu
Labda ni wewe tu kwasababu una akili zako.Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
Mkuu, mimi napitaga na mademu bila ata ya kusema neno. Issue ni feelings, haukumpenda huyo chalii.😂😂😂
Nenda kasome utanishukuru baadae. Nimeona kaka zangu mnateseka sana. Hamjui kabisa mitindo ya maisha inayowavutia wanawake. Ikabidi niwatafutie madini yatawasaidia.
Niambie kinauzwa bei gani Rafiki... Kinapatikana wapi[emoji23][emoji23][emoji23] Google wewe. Au nenda kwenye maduka ya vitabu.
Haha..Kitabu kizuri sana..
Je hakuna cha wanawake jinsi ya ku unlock his feelings [emoji5]
Ngoja nikisome hiki kitabu chote af nikajaribu ku apply mbinu za humo kwa Ederra. Akinikubalia namtetea james.
SHago?Mbona mwandiko kama dume vile?
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
Ila pia kuna watu ndio walivyo tu by nature yaani wanapenda kujizungumzia wao na mali zao.Wengine hawawezi kutongoza na hiyo ndio huwa gia yao. Wengi tu,so ni aina yao tu ya kutongoza
Wewe n mrembo?Sikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.
Cha muhimu ni kwamba kama umejaribu kumvutia mdada kwa kutumia mali, magari au pesa basi usitarajie upendo. Hakikisha huwi na hisia zozote za kweli na huyo mwanamke unayemwita rahisi.Labda ni wewe tu kwasababu una akili zako.
Ila wanawake sasa ni warahisi sana.
Actually hapo kwenye "feelings" ipo na pochi humohumo Carleen.Haha..
Barbie umenichekesha..! Ku unlock feelings tu ama mpaka pochi iliyokuwa locked.??
Anyways, tafuta hichi 'the power of pussy' - by Kara King..!!
C'ssy Heaven Sent uliwahi waambia wanaume hili kwenye ile thread yako..!!
Ukraine iyoNilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.