Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

😂😂
Aisee!
Why ulisoma hivyo vitabu vya wanaume?
Au ww ndo Anita Shija unafanya promo ya kitabu chako?
Anyway, asante kwa taarifa
😂😂😂
Nenda kasome utanishukuru baadae. Nimeona kaka zangu mnateseka sana. Hamjui kabisa mitindo ya maisha inayowavutia wanawake.

Ikabidi niwatafutie madini yatawasaidia.
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.

"Haina shida." Nikajibu.
Labda ni wewe tu kwasababu una akili zako.

Ila wanawake sasa ni warahisi sana.
 
😂😂😂
Nenda kasome utanishukuru baadae. Nimeona kaka zangu mnateseka sana. Hamjui kabisa mitindo ya maisha inayowavutia wanawake. Ikabidi niwatafutie madini yatawasaidia.
Mkuu, mimi napitaga na mademu bila ata ya kusema neno. Issue ni feelings, haukumpenda huyo chalii.

Usidanganye watu wakasome vitabu mpaka macho yapasuke, hakunaga skills wala jitihada, hayo ni mapenzi hayana formula
 
Kitabu kizuri sana..

Je hakuna cha wanawake jinsi ya ku unlock his feelings [emoji5]
Haha..
Barbie umenichekesha..! Ku unlock feelings tu ama mpaka pochi iliyokuwa locked.??

Anyways, tafuta hichi 'the power of pussy' - by Kara King..!!

C'ssy Heaven Sent uliwahi waambia wanaume hili kwenye ile thread yako..!!
 
Wengine hawawezi kutongoza na hiyo ndio huwa gia yao. Wengi tu,so ni aina yao tu ya kutongoza
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.

Mwanamke? Ana thaman lakini sio ya kuhangaisha hivi
 
Labda ni wewe tu kwasababu una akili zako.
Ila wanawake sasa ni warahisi sana.
Cha muhimu ni kwamba kama umejaribu kumvutia mdada kwa kutumia mali, magari au pesa basi usitarajie upendo. Hakikisha huwi na hisia zozote za kweli na huyo mwanamke unayemwita rahisi.

Lakini kumbuka wanaume wanaowatawala wanawake ni wale wanaojiamini bila kutegemea kuthaminiwa kwa vitu wanavyomiliki.

Pia kuna wanawake wana pesa na magari mazuri kushinda wewe? Utawavuta na nini? Kamba? Au utaendelea tu kutafuta wanawake masikini na wasiojiamini?!
 
Haha..
Barbie umenichekesha..! Ku unlock feelings tu ama mpaka pochi iliyokuwa locked.??

Anyways, tafuta hichi 'the power of pussy' - by Kara King..!!

C'ssy Heaven Sent uliwahi waambia wanaume hili kwenye ile thread yako..!!
Actually hapo kwenye "feelings" ipo na pochi humohumo Carleen.

Ila ningeandika how to unlock his pochi, wananchi wangenivamia.Hahahahha

Ngoja nikitafute hicho kitabu now ulichoniandikia
 
Back
Top Bottom