cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naendelea kusoma comments
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naendelea kusoma comments
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuona sehemu akikutongoza zaidi ya kuacha business card.
Lipia tangazo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! umetisha sana broh [emoji106]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkaka bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeandika Kama Mwanaume.
Wewe ni mwanaume
Au umempa mwanaume akuandikie.
Chagua kimoja.
Flow ya uandishi na muanganiko wa neno Kwa neno, sentensk Kwa sentensi na Aya Kwa Aya ni wakiume zaidi
Mwanaume mzima anatumia ID ya kike ipo siku ntamvunjia yai mojaNyie wanaume mnaotumia id za kike ipo siku mtaanza kuziona siku zenu
Mkuu mimi na mashine yangu hii mambo ya warembo wapi na wapi.Sinaga hizo mambo za warembo mimi.Behaviourist hili sio parody lako kwelii?
nimekuelewa,lakini naomba nikuulize,unakutana na mwanamke wa ndoto yako sehemu,na hakuna namna mnaweza kuonana tena siku ya usoni,yaani mkiachana hapo ndio huna ramani ya kumuona tena,mtu kama huyu kumbuka ndio wa ndoto yako na ni nadra kuwaona,unaachaje kuwa desperate?..Una maoni mazuri. Lakini sifa kubwa ya wanaume wanaowavutia sana wadada ni "Kutojali". Ni kutojali ikiwa mwanamke unayemtaka, kumuomba namba, kuomba kutoka nae out au chochote atakubali au la. Ni Kutojali namna mwanamke anavyokuchukulia. Avoid seeking validation.
Kosa la James ni kuonesha uhitaji kupita kiasi. Alitakiwa asijali ikiwa ningemuona mtu wa maana au la. Kuanza kujivuna kwa mwanamke mgeni inaleta picha kuwa ndio tabia yako na mbinu ya kuwavutia wanawake. Hii inaweza kufanya kazi kwa wauzaji, wanawake wasiojiamini au washamba.
Kwa wanawake wengine kadri ulivyo mhitaji ndivyo unavyoshusha thamani yako. Kwa mfano unamuomba namba mdada akasema 'Hapana' using'ang'anie wala kusisitiza. Ukifanya hivyo unaonekana mhitaji sana na akili ya mwanamke inazidi kukukataa.
Wanaume wahitaji sana na ving'ang'nizi huwa hawana thamani. Ni ishara kuwa hawana kazi za kuwaweka busy, hawana wanawake wazuri wanaowapenda, hawana chochote cha maana na ndio maana wanatumia nguvu kulazimisha ukaribu. Akili ya mwanamke haivutiwi na watu wanaoonesha uhitaji kupita kiasi.
Unakuta mtu amekubaliana kutoka out na mdada halafu mdada akabadili mawazo dakika ya mwisho kabisa. Mtu anaanza kubembeleza, kupiga simu zisizopokelewa, kuahidi zawadi na mengine. Thamani yako inashuka, utu wako unashuka na mwanamke unazidi kumpoteza.
Kwa hadhi ya James ni ajabu sana kuonesha kujali kiasi kile. Alitakiwa asalimie na kupiga stori nyingine kwa kujiamini. Kwa kweli pengine saa hizi tungekuwa tunazungumzia mengine.
Nimecheka mno sana, [emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4]
Nimecheka mno sana, [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana.Wewe unaonaje hizo flowline zake, maana wanawake ndizo flow zetu hizo
Hilo neno "mkaka" ndilo linatumiwa na nyie Kinadada, lakini mengine mmh!
Acha hizo wewe, wahaya hatuna ujinga huoWewe umemlaumu bure mtu wa watu! Hukugundua tu kwamba umekaa na Mhaya, ndo zao hizo! [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Nice try?.... I didn't try anything.😂😂😂 Nice try too bwana Sumaku!
Haa a haha; kwamba huamini huyu ni demu?Bro umetisha sana
Khaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...ni ushamba aiseeHata Wanawake wa hivyo wapo sana! Tena mwingine anaweza kua Yuko kwenye Mikutano wa kazi anaongea Kama Mkuu wa kitengo eti lazima akupigie simu ukipokea unamsikia yeye anamwaga ma points zake kwa meeting, utaita hallo hallo lakini hajibu anaendelea kufokea Wafanyakazi wake upande wa pili!!
Nakubaliana na wewe....Nyie ndio mnasababisha wanakuwa hivyo. Mnawajengea Wanaume fikra kuwa asipokuwa na mali hawezi kukubaliwa mahusiano.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa...hakuna asopenda hela..ht mimi napenda kweli tena haswaa....ila kuna namna wanakosea approach....kujimwambafy kwa maneno inakeraaaaaaaa[emoji1787]Wewe unajikosha tu hapa.. nini kitabadilika akianza au ukigundua mwenyewe? Wewe unapenda pesa mwenyewe umejidhihirisha hapa tayar… uyo jamaa angekuja kwako na hizo swaga usingechomoa[emoji38]