Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #81
Wewe hata kuandika hujui lakini umejilazimisha kuandika ili na wewe uonekane kuwa ni mmoja wa waliopo humu kumtetea Mbowe na genge lake. Hivi ushawahi kujiuliza ni kwanini watanzania ambao walikuwa tayari kupigwa mabomu, kukamatwa, kuumizwa na hata kuuwawa wakati wa Dr Slaa leo hii hawako tayari kukutwa na kadhia hiyo baada ya Dr Slaa kuondoka CDM?Mbowe lamba asali utakavyo jasho lako tu.elishuhudia kwamacho kamanda hawa mbwa wanao andikaandika wasio nauwezo wakutoka nje kuleta kashkash hawana maana tunakua ulitumia rasilimali zafamilia naukoo wenu pamoja naukweni kuinua chama chetu pendwa ila wafuasi wako bado niwaoga nawapumbavu kwaviwango visivyo pimika nahata siku moja usije kubali kufa ukauacha ukoo wenu ukinuka umasikini nahali mbaya kwaajili yawapuuzi wasio saidika waoga wanafiki wenye chuki pandikizwa yote kwa yote piga hela zako nakama inawexekana washauli serikali waweke tozo Kila Kona ikiwezekana hata oxygen tuanze kuilipia kwamaana hakuna chakuokota hapo akili zitaanza kutukaa sawa
Yote kwa yote nakutakia afya njema namapambano mema ktk familia yako mungu akutie nguvu
Unajua kati ya 2010 hadi 2015 ni watu wangapi walifungwa, walipigwa, waliteswa na wengine waliuwawa kwa sababu tu ya kuandamana na bado watu hawakuchoka wala kuogopa kuandamana? Je ni kwanini baada ya uchaguzi wa 2015 hadi leo watu ndo wamegoma kuandamana?
Ukweli ni kwamba kuanzia mwaka 2010 hadi 2015, watanzania wengi waliamini kwamba wapinzani haswa CDM ikiongozwa na mwana mapambano hodari katibu mkuu wa enzi hizo mh dr Slaa wapo kwa ajili ya kupigania demokrasia, kupambana dhidi ya ufisadi uliokuwa unafanywa na baadhi ya viongozi wa serikali akiwemo mzee Lowasa. Sasa ilipofika mwaka 2015 huyu mlamba asali ninaemzungumzia hapa ndo akaingiza nuksi ndani ya chama baada ya kupewa chake mfukoni ili agawane na genge lake kisha wawapitishe wale waliowaita mafisadi wagombee uraisi kupitia chama chake. Hapo ndo watanzania walipoanza kuona usaliti, uongo na unafiki walio nao wapinzani katika siasa za Tanzania.
Sasa watanzania hao wakaona hamna tena sababu y wao kuwaamini tena viongozi wa upinzani iwe kwa njia ya maandamano, maneno matupu nk.