Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mradi wa miaka miwili, wao waliufanya takriban miaka sita.Kwakweli sikuifuatilia sana maana mimi nakaa kigamboni ila hadi Leo sidhani kama imeanza kufanya kazi
Nafikiri kwa baadaye BUNJU Kisha bagamoyo, kama ilivyokuwa njia ya morogoro road ilianza mwendokasi kimara Kisha mbezi Sasa mwendokasi imefika kibahaHuo mwendokasi ungeenda hadi Bagamoyo
Simaanishi tunaogopa kuongea sababu ya mmiliki wa kampuni ila nataka ujue anapata wapi jeuri ya kufanya kazi atakavyo.Kama tutakuwa tunaogopa kuongelea madudu mpaka kwanza tumjue aliefanya madudu, basi tutakuwa tunakosea sana.
Mtu akiharibu muwahi kabla hajaharibu zaidi. Ndio inavyotakiwa.
Hio haijabomolewa? Inaongezewa BRT katikati...lakin njia ya bunju tegeta wangefikiria kuleta trams mjini Dar...sio kila mahali mabasiHiii barabara ya Mwenge- Victoria inebomolewa tena wakati imejengwa kwa mambilioni wakati wa Magufuu hata miaka mtano bado?
Atafute pesa kadri atakavyoweza.Kama kuiba na ye ye atafute wa kumuibia.Fanya mambo yako ,angalia familia yako achana na Contractions za watoto wa mjini
👍Nafikiri kwa baadaye BUNJU Kisha bagamoyo, kama ilivyokuwa njia ya morogoro road ilianza mwendokasi kimara Kisha mbezi Sasa mwendokasi imefika kibaha
Hilo linashangaza sana. Ndomaana nimeshauri jamaa wanyang'anywe tenda haraka sana, kabla hawajafika mbali na kuja kusumbua mbeleni.Simaanishi tunaogopa kuongea sababu ya mmiliki wa kampuni ila nataka ujue anapata wapi jeuri ya kufanya kazi atakavyo.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hapo jamhuri ya wadanganyika ujenzi wowote wa jana usishangae ukapita kesho umevunjwa. hatuna dira tunaendaenda bila mpango.Hiii barabara ya Mwenge- Victoria inebomolewa tena wakati imejengwa kwa mambilioni wakati wa Magufuu hata miaka mtano bado?
ukitaka kuona sisi ni nchi ya kijuha nasikia barabara ya keko wamelazimisha kuweka mwendokasi licha ya ufinyu wa ile barabara. matokeo yake njia moja kwa kila upande wa magari ya kawaida. ikitokea gari imeharibika ni ntiti.Kama imeshindikana kujengwa barabara za njia 6 tu kutoka Dar hadi Bagamoyo, unafikiri hilo la mwendokasi ndo litawezekana!!
Hili la kuleta train kutoka Tegeta hadi Mwenge nililisikia kwa kigogo mmoja akiliongelea.Hio haijabomolewa? Inaongezewa BRT katikati...lakin njia ya bunju tegeta wangefikiria kuleta trams mjini Dar...sio kila mahali mabasi
Ok asante mkuu.Karibuni kwenye channel yangu mpya ya whatsaap kwa kunifolow kupitia link hii 👉Chacha M🦓🦓 | WhatsApp-Kanal
Viongozi tulionao hawana ujuzi wala taalum ya nafasi walizo nazo. Ndomaana hakuna cha maana wanachofanya katika nafasi zao.ukitaka kuona sisi ni nchi ya kijuha nasikia barabara ya keko wamelazimisha kuweka mwendokasi licha ya ufinyu wa ile barabara. matokeo yake njia moja kwa kila upande wa magari ya kawaida. ikitokea gari imeharibika ni ntiti.
Mkuu naona maumivu ya kifo cha Haney Tehran Iran kinakuchanganya hadi unamalizia hasira zako kwa wakandarasi wa huo mradi.Niaje waugwana,
Huyu mkandarasi haijulikani alipewa tenda hii ya ujenzi BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta kwa sifa zipi. Toka tarehe ya ujenzi wa barabara hiyo ilipotangazwa kuanza, hadi leo ni miezi sasa, lakini jamaa utafikiri ndio kwanza wana siku 3 tu. Hakuna hatua yoyote ya maana ya ujenzi iliyopigwa.
Wenzao waliokabidhiwa kile kipande kingine kutoka Ubungo mataa, Mwenge hadi Posta wameshafika mbali na wanaonesha hari ya kumaliza kazi yao mapema kabla hata ya muda waliopewa, lakini hawa wa Mwenge to Tegeta bado wanasua sua tu hata Tangibovu hawajaivuka na miezi inazidi kukatika.
Nina hakika hawa watakuja kukifanya hiki kipande kikawie, kama vilivyokawia vile vya phase 2 na phase 3 ambavyo mpaka leo wakandarasi bado wanasua sua tu kumaliza wanashindwa.
Kama wakiendelea kujenga kwa mwendo huu wa konokono, basi nashauri wanyang'anywe ujenzi huu mapema na kukabidhiwa wale wengine wanaoendelea na ujenzi kwa kasi inayotakiwa.
Asanteni.