Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

Kenya amepeleka vichwa vya mchongoko?
Walipewa walichotaka mchina anakupa unachotaka wenyewe walikuwa janja janja.Lakini mbona Nchi nyingine mfano Indonesia aliwafadhili SGR na Vichwa vilivuopelekwa nivya mchongoko.Ukiona Mchina kafeli jua janja janja nyingi kwenye uwo mradi.
 
Yaani Serikali impe mkandarasi pesa badala ya ajenge harafu aombe malipo ndio imlipe? Toa upumbavu.

Na kjvunja mkataba ningumu na bahati mbaya mikataba hii ya Kimataifa Huwa inafanyiwa sattlements Kimataifa na ni ngumu ndio sababu atasubiriwa Hadi atengamae kifedha.
Huna hoja kupe

Mpeni pesa ajenge!

Kwani kama kajenga kote huko kuna shida gani mkimpa pesa mkamdai yeye kazi?

Ma.vi matupu
 
Huna hoja kupe

Mpeni pesa ajenge!

Kwani kama kajenga kote huko kuna shida gani mkimpa pesa mkamdai yeye kazi?

Ma.vi matupu
Toa upumbavu wenu hapa,Mimi na.wewe nani hana hoja? Mpe Sasa pesa Yappi mliyemleta ajenge reli.

Na Kwa financial status yake Kwa Sasa ni hatari kwa Serikali kumlipa.
 
Muanzilishi wa mradi mbona alikuwa na muelekeo mzuri tu! Mbona hakuwahi kulia kuomba pesa!
Jamani Tanzania shamba la babu! Wizi wizi tu! Waziri wa fedha hautoshi hapo mahali !!
Wewe alikuwa anaomba kisiri siri na kukopa
 
Mpaka wamalize mradi kina Othman Bay wenye race mchanganyiko watakua kibao mtaani wataanzisha empire yao kama wale wa uwanja wa taifa....

Lakini huu mradi serikali ilisema hela ipo? Why kuweka siasa kwenye mambo ya kitaalamu? Muda ni mwalimu mzuri sana..

Bado bwawa la Nyerere. Watasema tu.
 
Nimpe mimi tena?

Hivi uchawa huwa unawatoa akili kabisa?

Mpeni hela mkandarasi ajenge hiyo reli acheni uzwazwa
🗑️🗑️🗑️🗑️ Si ndio mlomleta nyie misukile ya Mwendazake,mpeni ndio.
 
huyu ChoiceVariable anatuchanganya tu vitu vinavyo hitaji ufikilivu yeye anatumia uchawa
Uchawa ndio nini? Kipi.kinakuchanganga? Taarifa ipo wazi mkandarasi wa mchongo hana uwezo wewe msukule wa Mwendazake unataka kujua kipi hasa? Kawapinge hayo yapi mliowaleta basi
 
Walipewa walichotaka mchina anakupa unachotaka wenyewe walikuwa janja janja.Lakini mbona Nchi nyingine mfano Indonesia aliwafadhili SGR na Vichwa vilivuopelekwa nivya mchongoko.Ukiona Mchina kafeli jua janja janja nyingi kwenye uwo mradi.
Sure, hawa jamaa ukienda nao ki-profesional na kukawa na seriousness kwenye usimamizi basi utaona ufanisi mzuri sana and vice versa is true.
 
Mlikuja kwa mbwembwe mlifikiri hela zinadondoka kama mvua?

Na bado, mtalia sana mataahira nyie!
Pesa ipo ila za Kuchezea kwenye mamiradi ya kisengerema hazipo,Bora Hilo li Sgr tembo mweupe likamilike 2080 ila sio Kuchezea pesa ,tuna mambo mengi ya kufanya.
 
Pesa ipo ila za Kuchezea kwenye mamiradi ya kisengerema hazipo,Bora Hilo li Sgr tembo mweupe likamilike 2080 ila sio Kuchezea pesa ,tuna mambo mengi ya kufanya.
Kwa hiyo mamako anaendelea na miradi ya kisengerema?

Why hqkusitisha toka awali?

Yani mnataka Yarp awe Anajenga kwa pesa zake tu huku zenu mnanunulia ma V8?

Bado hajasema mbona mtanena kwa lugha
 
Uchawa ndio nini? Kipi.kinakuchanganga? Taarifa ipo wazi mkandarasi wa mchongo hana uwezo wewe msukule wa Mwendazake unataka kujua kipi hasa? Kawapinge hayo yapi mliowaleta basi
machawa mkiguswa mnakimbilia kusema mwenda zake sijui nini nimetaja hapo kinausiana na mwenda zake haya majibu yako nikipimo tosha cha ufikilivu wako yeyote anaepinga mtamuita sukuma gang mnashindwa kuangalia hoja
 
Muanzilishi wa mradi mbona alikuwa na muelekeo mzuri tu! Mbona hakuwahi kulia kuomba pesa!
Yule dikteta ndiyo chanzo cha matatizo yote tunayopitia hivi Sasa kama taifa. Alikuwa akikopa kwa siri mikopo ya kibiashara yenye riba kubwa kiasi kwamba hivi Sasa mama analazimika kukopa sehemu nyingine ili kufanya marejesho.

Huyu jiwe afe tena huko aliko
 
Hii Tenda bora angepewa Mchina rafiki yetu wa dhati kwa miongo mingi.Angetupa mpaka mabehewa na vichwa vya kisasa vile vya mchongoko.
Mchina naye anakipande chake cha Mwanza-Isaka
 
Walipewa walichotaka mchina anakupa unachotaka wenyewe walikuwa janja janja.Lakini mbona Nchi nyingine mfano Indonesia aliwafadhili SGR na Vichwa vilivuopelekwa nivya mchongoko.Ukiona Mchina kafeli jua janja janja nyingi kwenye uwo mradi.
Ongea kitu unachokijua mkuu, China hajajenga SGR Indonesia.
Indonesia imejengwa HSR
 
Back
Top Bottom