Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,428
- 1,656
Walipewa walichotaka mchina anakupa unachotaka wenyewe walikuwa janja janja.Lakini mbona Nchi nyingine mfano Indonesia aliwafadhili SGR na Vichwa vilivuopelekwa nivya mchongoko.Ukiona Mchina kafeli jua janja janja nyingi kwenye uwo mradi.Kenya amepeleka vichwa vya mchongoko?