MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Hatari sanaMiaka ya 99 mpaka 2002 yaliibuka yale una kutana na demu mkali una mtongoza unaenda ghetto kumbe ni jini, Tanzania kwa stories za uongo tupo vizuri sana
Hatari sanaMiaka ya 99 mpaka 2002 yaliibuka yale una kutana na demu mkali una mtongoza unaenda ghetto kumbe ni jini, Tanzania kwa stories za uongo tupo vizuri sana
Na 🌶️ ndio tulivyo umbwaaa, na tunawakojoza hadi wanashindwa kuamka.. wanaishia kutetemeka kama wana.... 🤐Tatizo ma junk food haya mnayokula.. Vinakuwa vidogo mpaka mnadhani vimeibiwa😀View attachment 3570824
Jamaa mzigo wa pini na rubber band uliwadodea.. Wakatafuta namna ya kuusukuma mzigoWe call it spinning.
Ila mpaka inatokea hali kama hiyo probably idadi ya wajinga ni kubwa sana .
Kuna watu wameuliwa , nakupata matatizo for this fake rumors.
Jamii yetu 85% ya watu wake ni uncivilized .
Kutokana na umasikini MTU akiamka atawaza kula, kufanya ngono na kulewa.
MTU kama huyu ukimletea habari kama hizi hatojipa muda wa kufikiri mara 2 but ata play any tune
nani anapaswa kutoa elimu hiyo? Na kwa nini elimu hiyo haitolewi licha ya jambo hili kuenea karibu nchi nzima?
Wewe hata ukikwapuliwa nyeti si tayali bebe ni mama kijacho sasa kuna shida gani 😁Sasa nini kifanyeke kwa sisi tulioathirika kisaikolojia kutokana na kadhia hii? Au tuendelee kutembea na pini pamoja na rubberband?
Shem darlingWatu wanaoamini haya mambo ya kushikwa bega, hawana utofauti na wafu
Niko fresh, za kwako?Shem darling
How are you doing
Saafi 👍Niko fresh, za kwako?
Unyama 💪Saafi 👍
Mnalala nje ndio mnaogopa au inakuwa ndio ushamrahisishia sasa? Si bora ujifungie ndani!Nakumbuka miaka Ile ya 90,s hapa DAR tulikuwa tunalala nje kuogopa popobawa...Ila nchi hii aiseee
Akili aliyoitumia huyo jamaa akivukia barabara lazima agongwe 😂Mnalala nje ndio mnaogopa au inakuwa ndio ushamrahisishia sasa? Si bora ujifungie ndani!
Mkuu, kwa hizi akili hakikisha umeshikwa mkono wakati wa kuvuka barabara 😂Nakumbuka miaka Ile ya 90,s hapa DAR tulikuwa tunalala nje kuogopa popobawa...Ila nchi hii aiseee