Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

Ni jana tu kuna kaka, mtumishi wa TRA rafiki yangu maskini wamempiga na kumuumiza vibaya. Jamaa zake zipo, mana asingewahiwa kusaidiwa na msamaria mwema wangemuua. Jamaa kaingia kwa wakala kutoa hela, kumbe kuna watu wanasoma mchezo, si ndio kutokea mtu kusema kamshika bega, watu hawajahoji wameanza kumpiga, mwisho wa siku aliesema kaibiwa nyeti haonekani, na watu washasepa na backpack ya jamaa ambayo ilikuwa ameweka hela zake. So jamaa kaibiwa na kupigwa kapigwa kwa tuhuma za huo upumbavu. Yaani like serious, watu hata hamuuliza wala kupata ushahidi mnaanza tu kumpiga mtu. Tatizo la afya ya akili kwa sasa tunaambiwa ndio gonjwa linotisha kuliko cancer
Sasa watu si wangeomba afunue wachungulie waone kama kweli hamna kwanini watu wanachukua hatua ya kudhuru mtu bila kujiridhisha
 
Sasa hv unakutana na watu wazima ety wamevaa pin na rubber band 😂 hawa n zaidi ya wawendawazimu
 
Sasa watu si wangeomba afunue wachungulie waone kama kweli hamna kwanini watu wanachukua hatua ya kudhuru mtu bila kujiridhisha
Sasa basi watu hata wanatahamaki wamuhoji huyo alishikwa bega hata yupo, jamaa bila ya haya kampigisha mwenzie lengo yeye ni kuiba lile begi la pesa. Watu washapiga ndio kujua kumbe jamaa waliempiga kaibiwa begi lake na lina pesa ambazo katoa kwa wakala maeneo hayohayo alipipogwa. Imagine wangemuua 😢
 
Hii story imeniumiza jamani
Watu tutaacha ujinga lini aisee
Kijana asie na hatia ameumizwa
Ameibiwa,huenda kaachiwa madeni maumivu ya kihisia😢🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom