Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

Huyo wa kushka nyeti alikuwa apewe ulinzi tuangamize akina agp na wote walihusika mo29 yaan ilikuwa apewe kipao mbele afike tu kwa hao watu awashke iwe hivo afu auawawe kabisa ili kufuta ushahid na asirudishe tena manyeti yao ila bas tu
 
Jamaa mzigo wa pini na rubber band uliwadodea.. Wakatafuta namna ya kuusukuma mzigo
Wakaja na wazo wa wizi wa nyeti na tiba yake ni pini na rubber band.. Kitu kilichokuwa kinauzwa 100 sasa hivi kinauzwa 1000.. !
 
Ni jana tu kuna kaka, mtumishi wa TRA rafiki yangu maskini wamempiga na kumuumiza vibaya. Jamaa zake zipo, mana asingewahiwa kusaidiwa na msamaria mwema wangemuua. Jamaa kaingia kwa wakala kutoa hela, kumbe kuna watu wanasoma mchezo, si ndio kutokea mtu kusema kamshika bega, watu hawajahoji wameanza kumpiga, mwisho wa siku aliesema kaibiwa nyeti haonekani, na watu washasepa na backpack ya jamaa ambayo ilikuwa ameweka hela zake. So jamaa kaibiwa na kupigwa kapigwa kwa tuhuma za huo upumbavu. Yaani like serious, watu hata hamuuliza wala kupata ushahidi mnaanza tu kumpiga mtu. Tatizo la afya ya akili kwa sasa tunaambiwa ndio gonjwa linotisha kuliko cancer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…