PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Aibu SanaMkuu, kwa hizi akili hakikisha umeshikwa mkono wakati wa kuvuka barabara π
Sasa si walikua wanasema ukilala ndani ndio anakunaniiii ilikua bora kulala njeeπMkuu, kwa hizi akili hakikisha umeshikwa mkono wakati wa kuvuka barabara π
Kwamba ukilala nje hakukuli? πSasa si walikua wanasema ukilala ndani ndio anakunaniiii ilikua bora kulala njeeπ
Sasa watu si wangeomba afunue wachungulie waone kama kweli hamna kwanini watu wanachukua hatua ya kudhuru mtu bila kujiridhishaNi jana tu kuna kaka, mtumishi wa TRA rafiki yangu maskini wamempiga na kumuumiza vibaya. Jamaa zake zipo, mana asingewahiwa kusaidiwa na msamaria mwema wangemuua. Jamaa kaingia kwa wakala kutoa hela, kumbe kuna watu wanasoma mchezo, si ndio kutokea mtu kusema kamshika bega, watu hawajahoji wameanza kumpiga, mwisho wa siku aliesema kaibiwa nyeti haonekani, na watu washasepa na backpack ya jamaa ambayo ilikuwa ameweka hela zake. So jamaa kaibiwa na kupigwa kapigwa kwa tuhuma za huo upumbavu. Yaani like serious, watu hata hamuuliza wala kupata ushahidi mnaanza tu kumpiga mtu. Tatizo la afya ya akili kwa sasa tunaambiwa ndio gonjwa linotisha kuliko cancer
Sasa hv unakutana na watu wazima ety wamevaa pin na rubber band π hawa n zaidi ya wawendawazimuNi jana tu kuna kaka, mtumishi wa TRA rafiki yangu maskini wamempiga na kumuumiza vibaya. Jamaa zake zipo, mana asingewahiwa kusaidiwa na msamaria mwema wangemuua. Jamaa kaingia kwa wakala kutoa hela, kumbe kuna watu wanasoma mchezo, si ndio kutokea mtu kusema kamshika bega, watu hawajahoji wameanza kumpiga, mwisho wa siku aliesema kaibiwa nyeti haonekani, na watu washasepa na backpack ya jamaa ambayo ilikuwa ameweka hela zake. So jamaa kaibiwa na kupigwa kapigwa kwa tuhuma za huo upumbavu. Yaani like serious, watu hata hamuuliza wala kupata ushahidi mnaanza tu kumpiga mtu. Tatizo la afya ya akili kwa sasa tunaambiwa ndio gonjwa linotisha kuliko cancer
Wabongo Wengi tuna matatizo ya akili, mtu hata Hawez kuhoji yeye n moja kwa moja kuanza kutoa kipigo mana tayari tumeshalishwa uwendawazimuSasa watu si wangeomba afunue wachungulie waone kama kweli hamna kwanini watu wanachukua hatua ya kudhuru mtu bila kujiridhisha
Hivi kweli watu wanavaa hizo πSasa hv unakutana na watu wazima ety wamevaa pin na rubber band π hawa n zaidi ya wawendawazimu
Ukimuona mtu amevaa huo upuuzi, hata usiumize kichwa tambua Huyo n mwendawazimuHivi kweli watu wanavaa hizo π
Ukijifungia ndani ni kama umeingia gesti mwenyewe...Mnalala nje ndio mnaogopa au inakuwa ndio ushamrahisishia sasa? Si bora ujifungie ndani!
Aisee hizi imani hizi ni ujingaUkimuona mtu amevaa huo upuuzi, hata usiumize kichwa tambua Huyo n mwendawazimu
N kvp ukilala nje hakufati?Ukijifungia ndani ni kama umeingia gesti mwenyewe...
Ndio sisi Wabongo sasa πAisee hizi imani hizi ni ujinga
Sasa basi watu hata wanatahamaki wamuhoji huyo alishikwa bega hata yupo, jamaa bila ya haya kampigisha mwenzie lengo yeye ni kuiba lile begi la pesa. Watu washapiga ndio kujua kumbe jamaa waliempiga kaibiwa begi lake na lina pesa ambazo katoa kwa wakala maeneo hayohayo alipipogwa. Imagine wangemuua π’Sasa watu si wangeomba afunue wachungulie waone kama kweli hamna kwanini watu wanachukua hatua ya kudhuru mtu bila kujiridhisha
Sio kwamba wenye vipisi wamepata kichaka cha kujificha πNdio sisi Wabongo sasa π
Mungu Atunusuru sasa kuna hio ya kuambiwa wewe ndio umefanya hilo tukio na kuanza kupigwa bureNyet haziibiwi n uzushi tuh,mm siamin uchawi,wala mizimu.ilo nmedhibitisha n uzushi, siwez kosa kwenda baa kisa wiz wa nyeti maana hamna lolote
Ukiilala nje ndiyo pona yako...dawa ya popobawa ilikuwa kulala nje TuN kvp ukilala nje hakufati?
Dah afu kweli, ngoja na mm nimepata cha kusingizia πSio kwamba wenye vipisi wamepata kichaka cha kujificha π
Mtu atasema mi sikua hivi niikua na mzigo sema 2026 nikashikwa begaππ
Kazi ipo mkuu πUkiilala nje ndiyo pona yako...dawa ya popobawa ilikuwa kulala nje Tu
Hii story imeniumiza jamaniSasa basi watu hata wanatahamaki wamuhoji huyo alishikwa bega hata yupo, jamaa bila ya haya kampigisha mwenzie lengo yeye ni kuiba lile begi la pesa. Watu washapiga ndio kujua kumbe jamaa waliempiga kaibiwa begi lake na lina pesa ambazo katoa kwa wakala maeneo hayohayo alipipogwa. Imagine wangemuua π’