Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

Miaka ya 99 mpaka 2002 yaliibuka yale una kutana na demu mkali una mtongoza unaenda ghetto kumbe ni jini, Tanzania kwa stories za uongo tupo vizuri sana
Hizo stori zipo kabla ya hapo, early 90's dereva taxi na demu jini. Eti demu anakodi taxi halafu anakaa siti ya nyuma, katikati ya safari ananyoosha mguu uelekeo wa dereva, hamadi bin vuu dereva anaona demu ana kwato za ng'ombe 😁😁
 
Yeah ila mwishoni wa 90 kama zilitamba sana, na mambo ya kuona vibwengo kwenye vyoo vya shuleπŸ˜…
 
Yeah ila mwishoni wa 90 kama zilitamba sana, na mambo ya kuona vibwengo kwenye vyoo vya shuleπŸ˜…
Hii hadi miaka ya 2000 shuleni eti choo cha mwisho kina vibengwo watu wakawa wanaogopa na wengine wanaTestify waneona.

2015-17 kipindi nipo sekondari aliibuka Maiko-Dada shule za Wanafunzi walidai ukienda chooninunakutana na jitu refu linatisha mpaka watu wakawa shuleni hawapendi vyooni kisa Maiko-Dada

Hii inchi Ina upuuzi mwingi πŸ˜‚ πŸ˜†
 
Hahahhaa unakumbuka lakini? Mara demu akaanza refuka na kuwa na miguu ya punda
Wasije kuruduia hiyo michezo leo, Kuna vijana hawatajali hilo wataendelea kutafuna tu kitumbua bila kujali ni miguu ya Punda au kitimoto 😁
 
Watanzania 95% wajinga , wapumbavu na wadhulumati halafu unakuta Jamii kama hii ndio inataka mabadiliko na serikali bora , kwa Jamii tuliyonayo tuna kazi kubwa kuendelea kama nchi ndio maana viongozi wanakuja wajinga na wanafanya wanavyotaka.

Nimeshangaa hadi Zanzibar mmeingia kwenye mkumbo wa imani potofu za kujibiwa nyeti
 
Nachoka mimi. Wala hawafahamishiki aisee
 
Vipi wapuuzi waliohusika wamekamatwa ?

Ningekuwa kiongozi hao wapuuzi ningewaingiza katika chumba cha mateso na kupiga shoti mbupu zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…