Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

Tatizo la afya ya akili kwa sasa tunaambiwa ndio gonjwa linotisha kuliko cancer๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จ
 
Vipi wapuuzi waliohusika wamekamatwa ?

Ningekuwa kiongozi hao wapuuzi ningewaingiza katika chumba cha mateso na kupiga shoti mbupu zao
Hata watu wanatanabahi kama mtuhumiwa kasingiziwa tu, wezi washasepa na bagpack yake. Na kwenye wengi tena hata hujui yupi ndio yupi
 
 
Hata ingekua kweli, unaweza jiuliza hawa jamaa ni akina nani na wanawezaje kuendelea na zoezi licha ya hali ya hewa kuchafuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ