Mkanganyiko wa biashara ya kamari: Mitandao vs vyombo vya habari

Mzee mkinga au?
Yes, nilisahau jina lake. Mzee mtaalamu wa masuala ya meli na bandari. Baadae alikuja kuteuliwa kua mjumbe wa bodi ya bandari. Nasikia alifariki mwaka jana.

Nilikua napenda hoja yake, alikua anajua anachokiongea sema ni mbishi sana, hataki mwingine aongee. Anatembea na masanduku ya nyaraka.

Apumzike kwa amani mzee Mkinga.
 
😂😂 Mkuu unawajua vizuri sana.

Wapumzike kwa amani hao wazee
 
Vinaposhirikiana na serikali kunajisi demokrasia na kutoa taarifa zonazowafanya wananchi kiendelea kuwa gizani, hayo ndo malipo yao stahiki

Hawana ubunifu wala hawana contents zenye mashiko kwa wananchi. Matangazo ya biashara yanahjtaji vituo vyenye ubunifu wa kuvutia wasikilizaji wengi....
 
Kila Station ni matangazo ya kubahatisha. Kila mara" cheza mkwanja" Je, studio hizi zimeshindwa kujiendesha hadi kuanza michezo ya kubahatisha?

Hii michezo ya kubahatisha kwenye redio kwanza hakuna uhalisia wa kushinda au kushindwa kwa sababu mteja hawezi kushuhudia ukweli.

Ila wanaobet kwenye soka kuna unahakika kuona matokeo ya kushinda au kushindwa.

Sent from my itel A661W using JamiiForums mobile app
 
Inanikera sana... Sikuhizi natembea na tbc taifa tu... Sijawahi sikia hizo habari
 
Hapa serikali iingilie kati.
Hiyo serikali yenyewe unayoitaka iingilie, na yenyewe imekaa kikubatisha.

Haya yapo kwa sababu wajinga ni wengi. Kwani huujui ule msemo wa wajinga ndio waliwao? Mjingahata ukimsaidia asiliwe na matapeli wa redioni, ataenda kuliwa na matapeli wa aina nyingine.
 
Kamari mbaya sana tena sana tena sana tena sana tena sana tena sana tena sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…