Mkao wa Vita: Viongozi wa Kijeshi wa Niger wajiandaa kikamilifu kwa vita

Nakumbuka, lakini kwa nyakati hizi hizo nchi jirani zote zimefanya mapinduzi, kwa nini wana focus kwa Niger tu, kuna nini huko?
Mkuu Niger washakula vya watu sana ata uhuru wamepewa na wao, lakini uchumi na kila kitu maendeleo ya Niger ni kutoka West sasa lazima aonyeshe shukurani kama hataki ndio atalazimishwa kwa mtutu
 
Wewe ndiyo huwezi kunielewa, upo finyu sana.

Huifahamu historia ya Afrika Magharibi na ilivyotawanywa ilitawaliwe na wakatoliki.

Rejea Tanzania ya nyerere na vita ya biafra.
Acha kujitutumua katika vitu usivyovielewa. Hizi mada zinakuzidi sana, rikiboy njoo uchukue hii bibi yako uipeleke kwenye uzi wa kula tunda kimasikhara, kule kutamfaa, na To yeye njoo ukamtambulishe huyu kwenye uzi wa Bamia
 
ECOWAS ni madalali wa mabeberu na wanahofia ipo siku nao watapinduliwa na raia waliochoshwa na demokrasia uchwara.
Wamechoshwa kutawaliwa na wakatoliki na vibaraka wao.

Sasa hivi Afrika nzima ukiwa na utawala ambao sio wa kikatoliki au vibaraka wao uelewe kuwa hiyo nchi haitabaki kwenye amani mpaka mizizi ya kikatoliki ing'olewe.
 
Acha kujitutumua katika vitu usivyovielewa. Hizi mada zinakuzidi sana, rikiboy njoo uchukue hii bibi yako uipeleke kwenye uzi wa kula tunda kimasikhara, kule kutamfaa, na To yeye njoo ukamtambulishe huyu kwenye uzi wa Bamia
Zinakuzidi sana wewe usiyerlewa dunia iko wapi kwa sasa.

Tumia muda kujisomea kidogo siyo kupelekwa na mihemko.

Sasa hivi kuhusu Niger kuna mzozo wa ma USA ambao ni waxi siyo wakatoliki na Ufaransa ambao ni wakatoliki, jiulize kwanini?


Juzijuzi kabla ya mapinduzi jeshi la USA lilikwenda kuwavamia wanaharakati msituni. Likatandikwa likakimbia, haukupita muda Rais akapinduliwa.

Jiulize kwanini?
 
Nimekusikia, Je, una lingine?
 
Mwenyezi Mungu akubariki na kukulinda wewe, na Roho Mtakatifu akakuangazie ukapate kufunguliwa akili na mitazamo.
Ishara ya Msalaba ikasimikwe ndani ya Moyo wako uweze kumkiri na kumpigania Kristo.
Kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.
 
ECOWAS wakianzisha vita wanaweza kuambiwa waliopindua wamejisalimisha ila wakiingia Cha like watakula kibano wasichokisahau, kumbuka wanapigana na wazoefu wa vita Wagner ambao wamefuzu mbinu zote.
 
Niger hawataweza mziki wa ECOWAS ni vile wantaka kuumiza raia wao bora wakubali kumrejesha madarakani yule jamaa, otherwise nchi yao itakuwa mashakani na hiyo mikataba waliyoingia hapo awal na jumuiya za ulaya
Wamrejeshe vip wakati wananchi wenyewe hawamtoki

Labda useme ufanyike uchaguzi mwingine
 
Sasa kumekucha Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…