Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Siuseme tuu ni reporter wa uchochoro ni FC🤸🤸🤸Punde si punde kitanuka nasema kitanuka.
Nikiripoti kutoka ITV Mimi ni joji maratu maraaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siuseme tuu ni reporter wa uchochoro ni FC🤸🤸🤸Punde si punde kitanuka nasema kitanuka.
Nikiripoti kutoka ITV Mimi ni joji maratu maraaa
Used labdaSoko la silaha za Marekani na Ulaya...
Ukomo wa fikra na mawazo mgando,, kichwa mtumba!Hao ni Waislam waliiochoka kutawaliwa na wakatoliki.
Niliamuwa kunyamaza kimya na naendelea kunyamaza kimya.Ukomo wa fikra na mawazo mgando,, kichwa mtumba!
Na hakuna haswaaa siku zote mama ni mlezi wa familia, tuepuke mambo ya udini na ukabila hili taifa lipo kwenye mikono salama! Tuilinde amani yetuNiliamuwa kunyamaza kimya na naendelea kunyamaza kimya.
Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili/
Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili.
Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na salama tuliojenga kwenye taifa hili.
Hayo itoshe kuwa ujumbe wangu kwenu. - mama Samia - KKKT Arusha 21/08/2023.
Kukuza kusimamia na kuenzi maadili yetu ni kazi ya kanisa.