TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Usiamini haraka haraka hizi habari!! Maana nyakati hizi zitaletwa misinformation za kuwafitinisha hawa jamaa na raia na wafuasi wao barani Africa!Hawa ni wahuni tu wala hawana uzalendo. Wanahamisha familia zao ila wanataka wananchi ndio wakapambane vifaru.
Kwa hiyo Mohammed Bazoum ni mkatoliki.?Wewe ndiyo huwezi kunielewa, upo finyu sana.
Huifahamu historia ya Afrika Magharibi na ilivyotawanywa ilitawaliwe na wakatoliki.
Rejea Tanzania ya nyerere na vita ya biafra.
Nadhani wamuue tujue moja maana akirudi atawaua wao.Shauri yao.Niger hawataweza mziki wa ECOWAS ni vile wantaka kuumiza raia wao bora wakubali kumrejesha madarakani yule jamaa, otherwise nchi yao itakuwa mashakani na hiyo mikataba waliyoingia hapo awal na jumuiya za ulaya
na wamesema , ikiwa ECOWAS watavamia Basi watamuua huyo rais .Niger hawataweza mziki wa ECOWAS ni vile wantaka kuumiza raia wao bora wakubali kumrejesha madarakani yule jamaa, otherwise nchi yao itakuwa mashakani na hiyo mikataba waliyoingia hapo awal na jumuiya za ulaya
Mwanzo mnanzaga ujinga wenu namna hii pakishachafuka mnakuja kusema mmarekan ndio chanzoHao ni Waislam waliiochoka kutawaliwa na wakatoliki.
Hicho ki bi Mkora chenyewe ni udini tuNa wewe bibi kila kitu udini.
Uje kwenye Uzi wa kukutongoza,unijibu...huku hukuwezi,twende kule tufike mhafaka wa unanipa unipi?Hao ni Waislam waliiochoka kutawaliwa na wakatoliki.
Ndiyo ujue Afrika hatuna viongozi. Tuna panya road waliovaa suti.Na raia wasio kuwa na connection yoyote wanahamishiwa wapi
Naona waislamu wenzako wenye roho nzuri wamehamisha familia zao.Wewe ndiyo huwezi kunielewa, upo finyu sana.
Huifahamu historia ya Afrika Magharibi na ilivyotawanywa ilitawaliwe na wakatoliki.
Rejea Tanzania ya nyerere na vita ya biafra.
Yani wamrudishe madarakani halafu wao waje wanyongwe hadi kufa!Niger hawataweza mziki wa ECOWAS ni vile wantaka kuumiza raia wao bora wakubali kumrejesha madarakani yule jamaa, otherwise nchi yao itakuwa mashakani na hiyo mikataba waliyoingia hapo awal na jumuiya za ulaya
MpuuziHao ni Waislam waliiochoka kutawaliwa na wakatoliki.
Noma kweli.Na raia wasio kuwa na connection yoyote wanahamishiwa wapi
ECOWAS hawatauweza Muzik wa Wagner GroupNiger hawataweza mziki wa ECOWAS ni vile wantaka kuumiza raia wao bora wakubali kumrejesha madarakani yule jamaa, otherwise nchi yao itakuwa mashakani na hiyo mikataba waliyoingia hapo awal na jumuiya za ulaya
Kumbe huelewi kinachoendelea.Mpuuzi
Hutaki kulala wewe Bibi kizeeeKumbe huelewi kinachoendelea.
Unafahamu kuwa ma jenerali 5 katika waliopindua mmoja wao ni kiongozi wao, wote ni Waislam na wote wamefundishwa USA?