Hutaki kulala wewe Bibi kizeee
Ebu lala uko kikongwe !
Mambo ya 5 Generals wa Niger waachie wao
Acha udini pumbafu
Kafir mwenyewe Bibi kizeeeWewe usiye na dini ndiyo uwache ukafiri, kuwa Muislam, utoke kizani.
Utapata kujifunza kuwa na maadili.
kila jambo huanza kwa muda wake , ss hv ndo wameamka acha waanze na Niger ili wengine wajifunze kurudisha utawala wa kiraiaKwa nini iwe Niger tu; vipi kuhusu Mali, Burkina Faso, Guinea
waislam mna shida gan ? mnashinda vibarazan hlf mnasingizia wakatolik ndo wamewafanya msile , ebu fuatilia kwanza hapo Niger mfumo wa utawala ukoje , km una uhusiano ukatolikHao ni Waislam waliiochoka kutawaliwa na wakatoliki.
ttzo la watu weusi huendeshwa na story za huenda na kutofuatilia miziz ya jamboECOWAS ni madalali wa mabeberu na wanahofia ipo siku nao watapinduliwa na raia waliochoshwa na demokrasia uchwara.
ttzo unawawaza mabeberu , unahis ecowas wajinga , huez pigana na nchi 4 kwa wakati mmoja , walikosea na wamestuka wameanza na Niger ambaye yupo mezan , kama unahisi wataishia kwa Niger bas nenda kapindue serikali ya nchi za magharibiNakumbuka, lakini kwa nyakati hizi hizo nchi jirani zote zimefanya mapinduzi, kwa nini wana focus kwa Niger tu, kuna nini huko?
uislam na ukichaa ni mapachaWamechoshwa kutawaliwa na wakatoliki na vibaraka wao.
alshabab , boko haram , is , al answar hao wakatolik?Wamechoshwa kutawaliwa na wakatoliki na vibaraka wao.
Sasa hivi Afrika nzima ukiwa na utawala ambao sio wa kikatoliki au vibaraka wao uelewe kuwa hiyo nchi haitabaki kwenye amani mpaka mizizi ya kikatoliki ing'olewe.
Wewe kila kitu unatanguliza udini tuHao ni Waislam waliiochoka kutawaliwa na wakatoliki.
ebu tumien akili zenu vzr , wqmestuka ss hv , je kisa waliiacha Mali na Burkina Fasso ndo waache tabia iwe kubwa zaid? muda mwingine sisi watu weusi tunafikiri kijinga hata nyani haez fikir hivyo , Ndo nyiny mnashabikia mkataba mbovu wa bandari kisa huko nyuma tumewai kuwa na mikataba mibov , ngoz nyeus kuna kitu mungu alisahau kweny uumbaj wakeExactly, na hapo ndo naanza kuamini kuwa ECOWAS Ina double standards, it makes no sense. Naona nao Kama wakoloni tu
99.3% ya wanaija ni waislam , utoke kiza kipi?Wewe usiye na dini ndiyo uwache ukafiri, kuwa Muislam, utoke kizani.
Utapata kujifunza kuwa na maadili.
kwan USA ni wafuasi wa ukatolik ? ww ni kubwa jingaKumbe huelewi kinachoendelea.
Unafahamu kuwa ma jenerali 5 katika waliopindua mmoja wao ni kiongozi wao, wote ni Waislam na wote wamefundishwa USA?
99.3% ni waislam , hiyo dini yenu inawatoaga akili sio bureWamechoshwa kutawaliwa na wakatoliki na vibaraka wao.
Kwahyo Rais aliyepinduliwa atarudi? Mie nnachojua ECOWAS walitoa wiki moja Rais aliyepinduliwa arudishwe madarakani la sivyo watavamia kijeshi, wameingia kijeahi?Hao wanajeshi wa Niger ni mikwara tu hawana lolote wameshakubali kufanya mazungumzo na Ecowas.
Watu wanafanya mapinduzi kwa kudanganywa na Russia wakati hawana lolote watakachoifanyia hiyo nchi na wenyewe ni wapigaji walewale. Bure kabisa.
KuzimuNa raia wasio kuwa na connection yoyote wanahamishiwa wapi
Hao wanajeshi nao ni vibaraka wa Russia sasa tofauti iko wapi, unakataa rungu unanunua bakora, hakuna watu wajinga duniani kama waafrika na ndio maana bara tajiri la kutupwa lkn watu wake maskini wa kutupwa. Bure kabisa.Kwahyo Rais aliyepinduliwa atarudi? Mie nnachojua ECOWAS walitoa wiki moja Rais aliyepinduliwa arudishwe madarakani la sivyo watavamia kijeshi, wameingia kijeahi?
Njia waliochukua ECOWAS ya mazungumzo ya kidopromasia ni njia sahihi, pamoja na hayo usitegemee Rais kibaraka kurudi madarakani, au ufaransa kuendelea kuchukua vitu vya dezo pale.. wakubwa wanakomoana, ya Niger sio bahati mbaya kuna nguvu kubwa nyuma.