Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

The most absurd and weirdest comment from one of the most respected member in this Forum.
Ukifikiri umeshanifahamu na kunimaliza, nakushangaza.

Tafadhali sana, kama heshima yako kwangu inamaanisha kunibana uhuru wangu wa kujieleza, naomba uiondoe.

Kati ya heshima yako kwangu na uhuru wangu wa kujieleza, nathamini zaidi uhuru wangu wa kujueleza.

Kuthamini zaidi heshima za watu ni kujiweka mfungwa wa heshima hizo.

Sihitaji na wala sijawahi kuomba hiyo heshima yako itakayonifungia uhuru wangu wa kueleza maoni yangu.

Sitegemei uweze kuelewa wala kukubali kila kitu ninachoandika, tunatoka dunia mbili tofauti.

Magufuli is tje Napoleon Dynamite if Tanzanian pilitics, so, unlike you, I am hardly surprised.
 
Mtu. Mwenye. Majivuni humpata lolote baya ktk maisha yako
 
Hapa ndipo nawaona Watu wanaokanusha uwepo wa Mungu ni Mtaahira wanaojaribu kuidanganya Akili Zao sasa huyu anasema Magufuli Amevuliwa Uhai na nani sasa huyo anayevua watu uhai?Hawa ni machizi wanaovaa suti.
Mkuu,

Kwani kusema amevuliwa uhai ni lazima awe amevuliwa na Mungu?

Hawezi kuvuliwa uhai na Second Law of Thermodynamics tu?

Logical non sequitur fallacy.

Acha ujinga na confirmation bias.

Kwa sababu wewe unaamini Mungu tu, ukiona "amevuliwa uhai" unapata nyege za kuona lazima itakuwa amevuliwa na Mungu?
 
This is an ad hominem logical fallacy.

Jadili hoja, acha kunijadili mimi.
hoja gani uliyotoa zaidi ya kutoa mihemko yako!?
Hizo aina za fallacy ungekuwa unazizingatia usingetumia mihemko yako kutoa maoni, huwa nashangaa sana watu wanao kuona kama mtu makini na intellectetual kumbe umekariri aina za fallacy
 
"huyu alitaka kuniinua" alimaanisha nini mnyakyi?
 
Great πŸ‘Œ πŸ‘Œ πŸ‘Œ.
 
Kavuliwa uhai???

Ajabu kwa asiyeamini Mungu kutoa kauli kama hiyo?
 
Vingereza vingi kichwani Empty set Moyo unasema yes ila mdomo wako tu ndo unasema No.
 
Embu tupe iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…