Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

Kes
Kwa nini Mahakama kwa miaka yote ya Urais wa Magufuli ilishindwa kumkuta na hatia Rugemalira kama kweli alikuwa ni mpigaji ??

Umaskini wenu na Magufuli wenu usiwe chanzo cha kuwachukia wenye akili na utajiri wao.
 
We ulijuaje ilikuwa jumanne tulivu tu?
Uliskia wapiii??? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na kuna mazuzu bado wanakuona great thinker kwa huu utumbo.
Hapo umetumia logic fallacy gani!? au ndio logic yenyewe.
Hapo unajadili hoja au mtoa hoja!? na wewe tukuandikie aina ya fallacy great thinker!?
 
Mkuu kwaiyo asingemtumbua ndio angeendelea kuishi ama
 
Kwahiyo ukiwa kiongozi hutakiwi kumwajibisha mtu ili usife?
 
Huwezi kujuwa kwa vile wewe siyo ndugu wa Ben Saanane au Azory Gwanda au ndugu ya walionyang'anywa fedha zao na task force
Hitler dunia nzima inajua aliyoyafanya, sasa kumbe huyo Magufuli hata dunia haimtambui kwa hayo maovu halafu ndio useme hata Shetani anamuogopa?
 
Kes

Kwa nini Mahakama kwa miaka yote ya Urais wa Magufuli ilishindwa kumkuta na hatia Rugemalira kama kweli alikuwa ni mpigaji ??

Umaskini wenu na Magufuli wenu usiwe chanzo cha kuwachukia wenye akili na utajiri wao.
Vitu vingine haviitaj akil nying piga mahesabu vyanzo vyake vya mapato vs matumizi yake , unajuww watu wangese km ww ndo mnatunza Hawa wabadhilifu wanapambanaa kuharibu mifumo ya elimu ili watoto wake mtaani wawaajili kwenye viwandq au mashamba Yao Kwa mshahara wa mbuzi

Sa100 ametoa pikipiki nchi nzima , nikuulize swali zile pesa zimetoka wap ? Je bunge limehoji ? Taasisi ya mapato imetoka kauli yoyote kutaka kujua pesa unatoka wap ? kesho atakuja kiongozi makin atalivalia njuga hili swala na mtasema ni chuki kumbe hili swala lilipaswa kuchukuliwa hatua mapema tu

Hao matajir wamehusika kwenye kuhihujumu nchi Kwa miaka ming tu , mf walificha mafuta yote ya kula na ya kuendesha vyombo vya moto lengo likiwa kupandisha bei hiyo bidhaa , hii kwako ilikuwa sw ? hao wafanya biashara wamekuwa hawalipi Kodi na kuingiza mizigo Yao kwa njia za PANYA na serikali inqjuq ila walishikwa , wajinga kama ww unakuja na hoja zako kuwa ana ugomvi mq mqtajiri

Muda mwingine tuache uswahili , hili narq ili lipige hatua lzm tudeql na Hawa matajir maana ndo kikwazo Kwa nchi yetu
 
Nitajia mhaya jeuri.

Mi nakutajia nyakyusa.
1.sugu
2. Tulia
3. Mwambukusi.
4. Wachungaji na mashekh sijui akina nani

5. Marafiki na.maboss zangu maeneo ya kazi
Kwenye siasa Cfahamu ,Maana wao wanapenda vyeo mfano kwenye taasisi za elimu,Mabenki mtaani ...Mm nachukulia sifa zao zinapitiliza zinakuwa dharau
 
Hili an Andiko zuri ,ila lipo kimkakati ,kwamba mtu flani akitimiza majukum na kwa sababu mtu flani hajapenda atakuondolea vyeo vyako sio ,vyeo unaweza chukua cha msingi tunaishi, interview ya uyu bwana niliiangalia vizuri , sikuona kosa ,na kumbuka JPM alikua na shida sana kuleta vitisho hasa kwa hawa maafisa vyombo vya ulinzi , hata kule songwe au ukanda ule wakati wa ziara moja hivi ,alisikika akimwambia afisa mmoja kwamba akiamua anafikili hivyo vyeo atakua navyo ,clip ipo you tube.
 
Na kuna mazuzu bado wanakuona great thinker kwa huu utumbo.
Hapo umetumia logic fallacy gani!? au ndio logic yenyewe.
Hapo unajadili hoja au mtoa hoja!? na wewe tukuandikie aina ya fallacy great thinker!?
Great thinker ni tusi kwangu.

Wewe bado hujui tofauti ya "umetumia logic fallacy" na "umetumia logical fallacy".

Jifunze Kiingereza kwanza kabla ya kubishana na mimi.
 
Mkuu kwaiyo asingemtumbua ndio angeendelea kuishi ama
Wapi nimesema hivyo?

Logical non sequitur fallacy.

Point kubwa kwamba cheo ni dhamana na wote tutakufa, tuache kujimwambafy kwa cheo kuwaambia watu "unanijua mimi nani, nitakuvua nyota" ni ugangwe wa kishamba ambao unamuonesha rais anayependa kujionesha yeye yuko juu kuliko kufuata haki na kuchunguza tatizo kimantiki.

Hii approach inanyima taifa hata nafasi ya kujua vizuri tatizo, pale kulikuqa na fursa ya kujua matatizo ya kinfumo na kuyatatua kqa nchi nzima, lakini rais kaishia kumvua nyota mtu mmoja tu, hata kama mtu huyo kakosea rais naye kakosea.

Kwa nini somo hili dogo linakuwa gumu sana kuelewa nyie watu?
 
Jf huwa ipo na watu ajabu sana ,ili sio jukwaa lakufundisha mwandiko ,mbona mchina mnampa kazi tz hajui lugha yenu na project zinaenda ,mtu akijibu kwa kukosoa lugha yako ambayo wengi tunaizungumza tu kisa ni lugha mama ,ipo shida gani ,why usifungue jukwaa la kufundisha lugha tajwa wanaotaka waje, bali wajimwambafai kwenye majukwaa ya watu walioyanzisha kwa dam na jasho, pole mkuu acha jibizana na upeo mdogo
 
Mchina kama hajui lugha yetu ni sawa kwa sababu si yake.

Ila Mchina kama hajui lugha yake hiyo ni alama hajaelimika.

Huelewi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…