Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

Hukuona shida Kwa kauli ya mfungwa ?hv mfungwa anaeza ropoka tu bila kushuhudia ?

Tafiti unasema watz 3 kati ya 4 ni wehu , naanza kuamin

Unamchukiq JPM kias kwamba hujali kuhusu kauli ya yule albino

Mimi ningekuwq ktk viatu vya JPM Ile kauli ya yule mfungwa ingenifanya nianza upya kufanya uchunguz hapo gerezan na yule afande angekuwa ndan kusubir uchunguz zaid
 
Hitler dunia nzima inajua aliyoyafanya, sasa kumbe huyo Magufuli hata dunia haimtambui kwa hayo maovu halafu ndio useme hata Shetani anamuogopa?
Hata Germany kuna wiki ya kumtukuza Hitler. Yaani wale waliokuwa wanampenda wanafanya kumbukumbu pia.

Siwezi kushangaa kuona hata watanzania na qewe Tz mbongo ukiwa mmoja wapo wanamtukuza Magufuli, kila mmoja ana respond kadri alivyoathiriwa.
 
Hata Germany kuna wiki ya kumtukuza Hitler. Yaani wale waliokuwa wanampenda wanafanya kumbukumbu pia.

Siwezi kushangaa kuona hata watanzania na qewe Tz mbongo ukiwa mmoja wapo wanamtukuza Magufuli, kila mmoja ana respond kadri alivyoathiriwa.
Hayo ya kutukuza sijui yameingiaje, mimi nazungumzia Hitler anajulikana historia yake dunia kote kwa mambo aliyoyafanya. Sasa nashangaa unataka tumuone Magufuli alikuwa muovu kiasi cha kuogopwa hadi na shetani halafu hata dunia haimtambui kwamba kuliwahi kuwa na kiongozi muovu huko Tanzania. Nadhani wewe ndio unataka kumkuza huyo Magufuli aonekane alikuwa bonge la kiongozi muovu, ajabu unaishia kutaja matukio ambayo wanayajua watu binafsi waliyotendewa tu.
 
Uonezi tu mbona hakumjibu magafuli vibaya? Mimi mwenyewe maisha ya kumnynyekea mtu kupita kiasi siyawezi bana.
 
Ukiua umeua tu hata kama hujulikani. Kuua mtu mmoja bila hatia kama Ben Saanane ni sawa tu na kuua mamia ta watu. Binadamu ana nafasi moja tu ya kuishi, hivyo unapomuua unafanya dhuluma isiyo mithilika.

Ulitaka auliwe mama yako Tz mbongo ndiyo ukubali UKATILI wa Magufuli??
 
Kama ni hivyo basi Magufuli hana cha ajabu kama ambavyo unataka tumchukulie, watu wanauwana kila siku. Watu wanauwa hadi watoto zao wadogo.

Mkuu unataka na mie nimchukie Magufuli? Issue sio kukubali hizo tuhuma za ukatili au kukataa bali hiyo chuki ambayo ukiona katajwa Magufuli tu basi unachefukwa unaweka hisia za chuki mbele yani hutaki azungumziwe kwa mengine zaidi ya hizo tuhuma za ukatili tu.

Wewe unachukiwa wangapi wenye kufanya ukatili au chuki yako kwa ukatili ni kwa Magufuli tu? Chuki ni maradhi mkuu inakutafuna.
 
Maccm ndani ya siku 67 hamtaamini macho yenu, mnaua ,mnateka ,mnaharibu uchaguzi na kutengeneza mfarakano kwenye jamii , kisa v8 , na viyoyozi, mmoja nimemuona akiwa kwenye kiti cha kimamlaka bila kutojua hayo mambo yapo yalivyo kwa sababu yapo na miiko yake ya Mungu, Ni Rais wa nchi hii anatakiwa kukalia viti vya namna hii tu, kueni na adabu ,tukutane ndani ya siku 67 asema Bwana , tulimwambia jiwe akashubaza shingo.

Uchaguzi wa mtaa tu ,mnaondoa uhai wa mtu , subili kiama chenu ,Mungu anasema mtajua hamjui ,ujinga mtupu,alafu unasikia jinga lipo ccm sema imeshinda kwa kishindo ,nani anakataa ccm shinda kwa kishindo katika haki ?

Mungu atawapukutisha kama mchanga,ujinga mtupu.

Pamoja na mapungufu ya nchi hii , Rais alijitahidi imarisha Diplomas ila wajinga wachache wamefanya upumbavu mkuu ,ningekua ndo Rais wapumbavu wa namna hii , ningewanyongelea mbali katikati ya umma, wahusika mmefanya hujuma kubwa , kifua kipana na mamlaka ya kijamii wapi, kwani hu mbeba vyuma wewe subiri Mungu akujibu ndo ujue ,aliekuumba sio baba yako

MUNGU YUPO KAZINI
 
Jamaa ana pua kama filimbi😁😁😁😁🙌🙌
 
 
Shusha mzigo mwingine tunausubiria.
 
Na kwa ukali wake alificha mengi na qlijua michezo ya Kiseikolojia.
 
Kila mmoja ashinde mechi zake. Wewe wa kumuabudu Magufuli endelea, na mimi niliye m-condemn niache nitumie uhuru wangu wa maoni. Wasomaji wataamua
 
“Nchi haikombolewi kwa Maombi” Tundu lissu 2024.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…