Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
-
- #1,061
KILE AMBACHO WAGENI HAO WALIWAHI KUMTONYA MHUSIKA WALIPOFIKA OFISINI KWA MARA YA PILI NA AMBACHO KILIPELEKEA MHUSIKA KUANZA KUWAONA KUWA PENGINE HAWAKUWA NA NIA NJEMA
Ikumbukwe kuwa MG-MF aliporudi kwa mara ya pili idarani kwa mhusika, aliambatana pia na boss wake mwingine ambaye hakuwa ameambatana naye kwenye safari ile ya mwanzo
Kwenye safari ile ya mwanzo, MG-MF alifika idarani kwa mhusika akiwa amembatana na subordinates wake tu
Kwa hiyo, baada ya MG-MF kurudi safari ya pili akiwa na boss wake,
Wakiwa katika configuration ya kumzunguka hivi, walisiama na kumtonya mhusika kuwa kazi hiyo ilikuwa anaambatana na hela nyingi za pembeni na kama ataamua, mhusika anaweza kutengeneza hela nyingine kwa kutumia mgongo wa nyuma na bila ya taasisi yake anayofanyia kujua hilo.
I see! Hapa napo ndipo walipomtibua tena mhusika kwa mara nyingine!
Hapa mhusika aliwajulisha wageni hawa kuwa miezi kadhaa tu iliyokuwa imepita nyuma, kuna gari jipya la mamillion ya fedha alilokuwa ameagiza kutoka Japan, ambalo amewaachia watu kwenye gereji baada ya kuwa wamefanya upumbavu. Wakati huo, gari hilo ndiyo lilikuwa lina takribani miezi sita tangu aliache pale gereji
Mhusika aliwajulisha kuwa madili ya kijinga huwa hafanyi na walimwelewa kwa hili na hawakuweza kulirudia tena katika maongezi yao yote yaliyofuata baada ya pale
Mhusika hana kumbukumbu nzuri kuhusiana na kiasi cha fedha aliyopata kwenye kazi, lakini haikuzidi TZS 700,000/=
Labda MWI ndiyo anaweza kuwa pengine alipata kitu ch maana kwa sababu kwenye kazi ile ya kwanza ambayo set-up yake inaonekana kufanana mno na hii, alisemekana kuwa alikamata million 10 (TZS 10,000,000/=); hana uhakika sana na hili
Set-up ya kwenye kazi hii ya million 10 na ambayo mhusika aliielezea mwanzo, inafanana kabisa na hii ya pili ambayo mhusika alishindwa kufanya kazi mwenyewe na kuamua kuwapa watu wengine waifanye
Kikubwa tu ambacho wasomaji wa taarifa hizi inabidi wakielewe ni kwamba SAFARI ZOTE HIZI ZA HATARI ZILIANZA KUJITOKEZA MARA TU BAADA YA SENIOR MSATAAFU WA KIUME (SMME) KUPANDA CHEO NA KUFIKIA KWENYE NGAZI YA PILI KWA UKUBWA NDANI YA TAASISI
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
UPNEXT: SAFARI YA NNE, NJE YA NCHI; AFRIKA KASKAZINI (JUNE-JULY 2012)

- MG-MF alimweleza mhusika kuwa boss huyo alikuwa amekuja kwa ajili ya kukiona kifaa kilichokuwa kinatakiwa kwenda kufanya kazi na hivyo mhusika alilazimika kuwapeleka mahali kilipokuwepo kifaa hicho ili boss huyo aweze kukiona
- Kifaa kilikuwa ground floor, na hivyo ilibidi ashuka nao wote huko ground floor
Wakiwa katika configuration ya kumzunguka hivi, walisiama na kumtonya mhusika kuwa kazi hiyo ilikuwa anaambatana na hela nyingi za pembeni na kama ataamua, mhusika anaweza kutengeneza hela nyingine kwa kutumia mgongo wa nyuma na bila ya taasisi yake anayofanyia kujua hilo.
I see! Hapa napo ndipo walipomtibua tena mhusika kwa mara nyingine!
Hapa mhusika aliwajulisha wageni hawa kuwa miezi kadhaa tu iliyokuwa imepita nyuma, kuna gari jipya la mamillion ya fedha alilokuwa ameagiza kutoka Japan, ambalo amewaachia watu kwenye gereji baada ya kuwa wamefanya upumbavu. Wakati huo, gari hilo ndiyo lilikuwa lina takribani miezi sita tangu aliache pale gereji
Mhusika aliwajulisha kuwa madili ya kijinga huwa hafanyi na walimwelewa kwa hili na hawakuweza kulirudia tena katika maongezi yao yote yaliyofuata baada ya pale
Mhusika hana kumbukumbu nzuri kuhusiana na kiasi cha fedha aliyopata kwenye kazi, lakini haikuzidi TZS 700,000/=
Labda MWI ndiyo anaweza kuwa pengine alipata kitu ch maana kwa sababu kwenye kazi ile ya kwanza ambayo set-up yake inaonekana kufanana mno na hii, alisemekana kuwa alikamata million 10 (TZS 10,000,000/=); hana uhakika sana na hili
Set-up ya kwenye kazi hii ya million 10 na ambayo mhusika aliielezea mwanzo, inafanana kabisa na hii ya pili ambayo mhusika alishindwa kufanya kazi mwenyewe na kuamua kuwapa watu wengine waifanye
Kikubwa tu ambacho wasomaji wa taarifa hizi inabidi wakielewe ni kwamba SAFARI ZOTE HIZI ZA HATARI ZILIANZA KUJITOKEZA MARA TU BAADA YA SENIOR MSATAAFU WA KIUME (SMME) KUPANDA CHEO NA KUFIKIA KWENYE NGAZI YA PILI KWA UKUBWA NDANI YA TAASISI
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
UPNEXT: SAFARI YA NNE, NJE YA NCHI; AFRIKA KASKAZINI (JUNE-JULY 2012)
- Hii ni safari ile ambayo hakufanikiwa kuifanya
- Angefanikiwa kuifanya, angeondoka idarani akimwacha MWI–A na angerudi idarani na kukuta kuna MWI mwingine B
- Safari ilikuwa ni ya kiofisi; ila ya hiari
- Theme yake ilikuwa inahusiana na data za matetemeko ya ardhi
- Ni safari ambayo alishauriwa kuifanya na MWI na siyo Boss X