Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #1,081
UPDATE MONDAY 26TH JULY 2022
KILE AMBACHO MHUSIKA ALIKUWA AMEAMUA KUTOKUKISEMA HUMU JUKWAANI
KILICHOWAHI KUTOKEA JULY/AUGUST 2021 (MWAKA JANA); MUDA MFUPI KABLA YA MHUSIKA KUCHUKUA LIKIZO YAKE NA HATIMAYE KURUDI OFISINI NA KUKUTA BARUA YA MAJIBU YA MASLAHI YAKE IKIWA HAIJULIKANI KUWA ILIAANDIKWA NA NANI: PATTERN ANAYOENDELEA KUIONYESHA KATIBU MHUTASI WA MKUU WA IDARA
Kwenye muda huo kati ya Julai na August, Katibu Mhutasi wa Mkuu wa Idara (KMMWI) alitengeneza utaratibu ambao ilikuwa ni vigumu kwa mhusika kuweza kuongea naye ofisini kwake, just in case angetokea kuhitaji kuongea naye
Kilichotokea kwenye kipindi hicho ni kwamba kila mhusika alipokuwa anafika ofisni kwa Mkuu wa Idara (MWI); alikuwa akimkuta KMMWI yuko occupied akifanya mojawapo ya mambo matatu yafuatayo
Aidha alikuwa:
Akiongea maongezi marefu na mtu mwingine kwenye simu
Au
Alikuwa ametoka ofisini na kwenda kukaa kwenye chumba cha chai akipata chakula (mchana) au chai (asubuhi)
Au
Alikuwa yupo kwenye mojawapo ya madarasa yaliyo jirani na ofisi ya MWI akifanya Ibada
Ikumbukwe kuwa haya yote yalianza kufanyika baada ya wanafunzi kuwa wameondoka mazingira ya ofisini
Mtindo huu uliendelea kwa kipindi cha wiki kadhaa hadi ilipofikia hatua mhusika akaamua kuchukua likizo yake na baada ya likizo hiyo kuisha, alirudi ofisini na kukuta maslahi yake aliyokuwa anadai hayapo kulingana na barua aliyoikuta ikiwa imesainiwa na mtu ambaye alikuwa hajulikani ni nani
Mhusika ameamua kulisema hili kwa sababu mtindo huu unaonekana kujirudia tena kwa kipindi hiki, japo safari hiii umekuja kwa namna nyingine tofauti na ile ya mwaka jana.
Ni kwamba Safari hii KMMWI amepata second palyer ambaye anamtumia na ambaye mpaka muda huu mhusika hajawahi kujua kama mtu huyu ni staff kweli ama la. Hii ni kutokana na ukweli kuwa mtu huyu huwa yuko ON and OFF kwa vipindi virefu na toaauti tofauti, na hajawahi kutambulishwa idarani kama ni mmojawapo wa staff. Zaidi ni kuwa mtu huyu hajawahi kuhudhuria hata kikao kiomja tu cha idara. Vikao karibia vyote vimekuwa vikifanyika yeye akiwa yuko OFF
Ikumbukwe pia kuwa hadi leo hii, mhusika bado analipwa mshahara kulingana na barua ya promotion ya Julai 2012 (miaka 10 iliyopita) na hajawahi kulipwa maslahi yake anayodai hadi muda huu
Details zaidi zitawajieni muda siyo mrefu
MUBARIKIWE TENA NA BWANA