Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #1,121
UPDATE: WEDNESDAY 17TH AUGUST 2022
KWA WAUMINI WA KANISA B
Kanisa B ni Kanisa ambalo mhusika aliwahi kuabudu kwenye kipindi cha miaka kati ya 2014 na 2017
KUHUSIANA NA RATIBA YA VIPINDI VYA IBADA
Strictly ratiba ya vipindi vya Ibada huwa inafuatwa kama ilivyo kwenye Kibao kilichoko nje ya Kanisa B KWA KIPINDI CHOTE CHA MWAKA MZIMA isipokuwa tu kama kuna emergence au kuna ugeni maalumu kwa ajili ya huduma tofauti kama vile Kongamano
HITIMISHO:
KWA WAUMINI WA KANISA B
Kanisa B ni Kanisa ambalo mhusika aliwahi kuabudu kwenye kipindi cha miaka kati ya 2014 na 2017
- Mhusika alikimbilia kwenye Kainsa B baada ya kuwa amebughudhiwa Kanisa A ambako alikuwa anaabudu kabla ya kuhamia Kanisa B
- Waliomubugudhi Kanisa A ni KM-A akishirikiana na kikundi chake ambacho kipo pale Kanisa A kwa kusudi tofauti na lile lililokusudia uwepo wa Kanisa A
- KUHUSIANA NA KUWEKA WAKFU VYOMBO VYA MOTO KANISANI HAPO
- Ilipokuwa inatokea kuwa Kanisa B limenunua chombo kipya cha moto, waumini wote walikuwa wanatangaziwa na kuombwa kwenda kuweka wakfu chombo hicho baada ya Ibada
- Aliyekuwa anatoa tangazo hilo ni KM-B
- Vile vile, BAADHI YA WAUMINI wa Kanisa B wanapokuwa wamenunua chombo kipya cha moto; walikuwa wanatoa taarifa kwa KM-B, ambaye naye baada ya hapo, alikuwa anawatangazia waumini na kuwaomba kwenda kushriki kuweka wakfu chombo hicho cha moto
- KUHUSIANA NA MAOMBI
- Kiongzozi Mkuu wa Kanisa B (MK-B) alikuwa na uwezo wa kuomba kwa muda mrefu sana akitamka maneno mfululizo, huku akiwa anatumia lugha mbili tu ambazo ni Kiingereza na Kiswahili
- Viongozi wengine wasaidizi wa KM-B waliokuwepo kwa kipindi hicho, nao pia pia walikuwa wana uwezo wa kuomba kwa kiwango sawa na kile cha KM-B kwa kutumia lugha moja ya Kiswahili
- Walikuwepo pia baadhi ya waumini (aliowahi kuwashuhudia mhusika wakiwa active sana Kanisani hapo alikuwa ni binti mmoja pamoja na mama mmoja) ambao nao walikuwa wana uwezo wa kuomba katika namna sawa kabisa na ile ya KM-B na kwa lugha hizo mbili
- Mama huyu muombaji alikuwa na uwezo pia wa kusimama madhabahuni na kuhubiri kwa umahiri wa ajabu sana
KUHUSIANA NA RATIBA YA VIPINDI VYA IBADA
Strictly ratiba ya vipindi vya Ibada huwa inafuatwa kama ilivyo kwenye Kibao kilichoko nje ya Kanisa B KWA KIPINDI CHOTE CHA MWAKA MZIMA isipokuwa tu kama kuna emergence au kuna ugeni maalumu kwa ajili ya huduma tofauti kama vile Kongamano
HITIMISHO:
- Kulingana na standards za Kanisa A, waumini wote hawa wa Kanisa B akiwemo KM-B hawana Roho Mtakatifu kwa sababu huwa hawaneni kwa lugha.
- Waumini wenye RM wapo Kanisa A kwa sababu kwenye Kanisa hilo ndiyo kuna baadhi ya waumini ambao huwa wananena kwa lugha akiwemo KM-A