#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

UPDATE: WEDNESDAY 17TH AUGUST 2022

KWA WAUMINI WA KANISA B


Kanisa B ni Kanisa ambalo mhusika aliwahi kuabudu kwenye kipindi cha miaka kati ya 2014 na 2017

  • Mhusika alikimbilia kwenye Kainsa B baada ya kuwa amebughudhiwa Kanisa A ambako alikuwa anaabudu kabla ya kuhamia Kanisa B
  • Waliomubugudhi Kanisa A ni KM-A akishirikiana na kikundi chake ambacho kipo pale Kanisa A kwa kusudi tofauti na lile lililokusudia uwepo wa Kanisa A
BAADHI YA MAMBO MACHACHE MAZURI SANA ALIYOWAHI KUYAONA MHUSIKA ALIPOKUWA AMEHAMIA KANISA B, NA AMBAYO HAJAWAHI KUYAONA KABISA KANISA A

  • KUHUSIANA NA KUWEKA WAKFU VYOMBO VYA MOTO KANISANI HAPO
  • Ilipokuwa inatokea kuwa Kanisa B limenunua chombo kipya cha moto, waumini wote walikuwa wanatangaziwa na kuombwa kwenda kuweka wakfu chombo hicho baada ya Ibada
  • Aliyekuwa anatoa tangazo hilo ni KM-B
  • Vile vile, BAADHI YA WAUMINI wa Kanisa B wanapokuwa wamenunua chombo kipya cha moto; walikuwa wanatoa taarifa kwa KM-B, ambaye naye baada ya hapo, alikuwa anawatangazia waumini na kuwaomba kwenda kushriki kuweka wakfu chombo hicho cha moto
  • KUHUSIANA NA MAOMBI
Watumishi wa Mungu pamoja na waumini walikuwa ni waombaji sana na walikuwa hawaneni kwa lugha wakati wa maombi
  • Kiongzozi Mkuu wa Kanisa B (MK-B) alikuwa na uwezo wa kuomba kwa muda mrefu sana akitamka maneno mfululizo, huku akiwa anatumia lugha mbili tu ambazo ni Kiingereza na Kiswahili
  • Viongozi wengine wasaidizi wa KM-B waliokuwepo kwa kipindi hicho, nao pia pia walikuwa wana uwezo wa kuomba kwa kiwango sawa na kile cha KM-B kwa kutumia lugha moja ya Kiswahili
  • Walikuwepo pia baadhi ya waumini (aliowahi kuwashuhudia mhusika wakiwa active sana Kanisani hapo alikuwa ni binti mmoja pamoja na mama mmoja) ambao nao walikuwa wana uwezo wa kuomba katika namna sawa kabisa na ile ya KM-B na kwa lugha hizo mbili
  • Mama huyu muombaji alikuwa na uwezo pia wa kusimama madhabahuni na kuhubiri kwa umahiri wa ajabu sana
Kwa ujumla Kanisa B lilikuwa na watu wa aina ya pekee kabisa ambao hadi leo hajawahi kuwafananisha na mtu mwingine kwenye nyumba ya Ibada nyingine yoyote ile ambayo mhusika amewahi kushiriki Ibada

KUHUSIANA NA RATIBA YA VIPINDI VYA IBADA

Strictly ratiba ya vipindi vya Ibada huwa inafuatwa kama ilivyo kwenye Kibao kilichoko nje ya Kanisa B KWA KIPINDI CHOTE CHA MWAKA MZIMA isipokuwa tu kama kuna emergence au kuna ugeni maalumu kwa ajili ya huduma tofauti kama vile Kongamano

HITIMISHO:

  • Kulingana na standards za Kanisa A, waumini wote hawa wa Kanisa B akiwemo KM-B hawana Roho Mtakatifu kwa sababu huwa hawaneni kwa lugha.
  • Waumini wenye RM wapo Kanisa A kwa sababu kwenye Kanisa hilo ndiyo kuna baadhi ya waumini ambao huwa wananena kwa lugha akiwemo KM-A
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: THURSDAY 18TH AUGUST 2022

BY THE WAY:

SWALI KWA WALE TU AMBAO WAMEWAHI KUSHUHUDIA NA SI KUSHIRIKI (WALE AMBAO WAMEWAHI KUONA TU ILA HAWAJAWAHI KUFANYA)


How easy and safe is it to get illegal money as compared to that which is legal?


Kuna kitu kinaendelea upande wa mhusika, kinampa shida sana kuhusiana na swala hili

By the way; how sweet is illegal money?
 
UPDATE: SATURDAY 03 SEPTEMBER 2022

TAARIFA MUHIMU SANA: KILE AMBACHO MHUSIKA AMEKIONA NDANI YA WIKI HII KWA KUSOMA MIENENDO TU YA WATU WAWILI MUHIMU SANA PALE IDARA KWAKWE; MR X PAMOJA NA KATIBU MUHTASI WA MKUU WA IDARA (KMWI)

MHUSIKA ANAOMBA AWE WAZI KATIKA HILI KWAMBA KUNA UWEZEJKANO MKUBWA KWAMBA MR X NI BINADAMU UMBO TU


  • MHUSIKA AKUMBANA NA TUKIO LA KUTATANISHA SANA IJUMAA YA TAREHE 02 SEPTEMBA 2022 SAA 10 JIONI WAKATI ALIPOKUWA ANAONDOKA OFISINI KURUDI NYUMBANI (ataliongeea baadaye kidogo)
  • IJUMAA HIYO ILITAKKIWA KUWA NI SIKU YAKE YA MWISHO OFISINI KUFUATIA LIKIZO AMBAYO ALISHAOMBA NA ANBAYO ALIKUWA ANATARAJIA KUIANZA TAREHE 05 SEPTEMBA 2022
  • HATA HIVYO UWEZEKANO WA IJUMAA HIYO KUWA SIKU YA MWISHO OFISINI ULIYEYUKA BAADA YA MHUSIKA KUTOKA OFISINI JIONI HIYO HUKU AKIWA BADO HAJAPOKEA BARAUA YA MAJIBU YA KURUHUSIWA KUANZA LIKIZO HIYO
  • KUTOKANA NA HALI HIYO, MHUSIKA ANALAZIMIKA KUWEPO TENA OFISINI KUANZIA J3 YA TAREHE 05 SEPTEMNBA 2022 HADI PALE BARUA YA MAJIBU YAKE ITAKAPOKUWA IMETOKA
MAELEZO KWA UFUPI KUHUSIANA NA MR X NA KMWI

J3 ya tarehe 31 August 2022 MWI alisafiri kiofisi na hivyo kukaimisha mamlaka kwa KMWI

  • Baada ya kuachiwa mamlaka, KMWI huyu alionekana mara mwisho idarani J5 hiyo ya tarehe 31 August 2022 na baada ya hapo hakuonekana tena idarani hadi wiki yote kuisha
  • Aidha anaweza kuwa alikuwa anakuwa kwenye vikao au mahali pengine kwa sababu kwa siku zote hizo tajwa hakuwahi kuwepo ofisini kwake wala ofiisini kwa MWI; ofisi yake binafsi ilikuwa imefungwa muda wote na hakuwahi kuwepo ofisini kwa MWI pia
KILICHOTOKEA IJUMAA YA TAREHE 02 SEPTEMBA 2022: KILE WALICHOONEKANA KU-COLLABORATE MR X NA KMWI WAKIWA WAPO OFISINI KWA MWI

  • Collaboration ya aina hii walikuwa tayari pia wameshaifanya mwanzoni mwa wiki, yaani J3 ya tarehe 29 August 2022
  • Collaboration hii walkuja kuirudia tena siku ya Ijumaa ya wiki hiyo
Kilichokuwa kinafanyika ni kwamba MR X aikuwa anaingia ofisini kwa MWI na kwenda kusimama pembezoni kabisa mahali pale kilipo kiti cha KMWI

Baada ya hapo, MR X alikuwa anamu-occupy KMWI katika namna ambayo kumu-engage kwenye maongezi mengine ilikuwa inaonekana kama ni kum-obstruct kutoka kwenye kile walichokuwa wanafanya na MR X

Ni mara ya kwanza kwa MR X kumuona wakifanya kazi na KMWI kwa namna ile katika kipindi chote ambacho KMWI amekuwepo pale idarabi

Collaboration hii ilionekama wazi ku-replace mbinu ile ya mwanzo aliyokuwa anaitumia KMWI na ambayo mhusika aliwahi kuiongelea humu jukwaani siku kadhaa zilizoppita; ambapo KMWI alikuwa anamtumia kijana mwingine pale ofisini kumpokea mhusika pale counter, kila mhusika alipokuwa anafika pale ofisini kwa MWI akiwa anataka kuongea na KMWI
………………..inaendelea
 
ALICHOAMUA KUFANYA MHUSIKA NDANI YA WIKI HIYO BAADA YA KUGUNDUA UWEPO WA COLLABORATION KATI YA MR X NA KMWI#

Mhusika aliamua ku-YIELD na trick za watu hawa wawili akitaka kujua ni ni nini kitatokea zaidi huko mbeke ya safari

SIKU YA YAKE ILIYOTAKIWA KUWA YA MWISHO OFISINI; IJUMAA YA TAREHE 02 SEPTEMBA 2022:

MHUSIKA AKIWA BADO YUPO MAZINGITRA YA OFISINI MAJIRA YA MCHANA KABLA YA SAA 10


Mhusika akiwa yupo ofisini kwake mchana wa siku hiyo, kuna kipindi aliwaona MR X wakiwa pampja na binti mwanafunzi wa ngazi za juu wakiingia chumba jirani na ofisi ya mhusika

Baada ya MR X na binti kuingia kwenye chumba hicho, baadaye tena mhusika naye alitoka kidogo ofisini kwake kwa ajili ya kwenda kupunga upepo kwenye veranda

  • Baada ya mhusika kutoka, muda siyo mrefu KMWI alimpita mhusika akiwa anashuka ngazi akielekea chini
  • Huku akiwa anashuka ngazi hizo moja baada ya nyingine, KMWI alimsemesha mhusika kwa kumuuliza swali kuwa “KAKA XXXX ULISEMA BARUA YAKO YA LIKIZO TUIACHE KWANZA KUIFUATILIA WIKI HII IISHE?”
Swali hili kutoka kwa KMWI lilimchanganya kidogo mhusika kwa sababu yeye alichowahi kumwambia KMWI ni kwamba ofisi yenye mamlaka zinazohusika na likizo ilikuwa imesema ingempa majibu ya likizo yake kabla ya Ijumaa wiki hii

  • Hii ilikuwa ni baada ya mhusika kuwa amefuatilia likizo hiyo kwenye ofisi hiyo husika J4 ya wiki hii baada ya kuwa ameona barua ya majibu yake kama imechelewa kidogo
  • Baada ya mhusika kupewa jibu hilo, alifika pia ofisini kuwajulisha hayo KMWI na MWI mwenyewe
  • Kwa bahati mbaya, KMWI hakuwepo ofisin kwa wakati huoi isipokuwa MWI mwenyewe ndiyo alikuwepo kwenye ofisi yake binafsi
  • Mhusika alimjulisha MWI juu ya kuchelewa kwa barua hiyo, na MWI naye alimhakikishia mhusika kuwa majibu yake atayapata tu kwa sababu yerye (MWI) ndiye alipitisha maombi ya likizo hiyo
  • Baadaye tena siku hiyo J4, KMWI naye alirudi tena ofisini kwake na mhusika alimjulisha kuwa majibu ya likizo yake yalikuwa yamechelewa kidogo ila wahusika wamemweleza kuwa yatapatikana ndani ya wiki kabla ya Ijumaa.
Maongezi ya mhusika na KMWI yaliishia hapo na mhusika aliondoka ofisini kwa MWI

Sasa cha kushangaza KMWI akiwa anashuka kwenye ngazi. alimuuliza swali mhusika ambalo hakuweza kulijibu kwa ufasaha “KAKA XXXX ULISEMA BARUA YAKO YA LIKIZO TUIACHE KWANZA KUIFUATILIA WIKI HII IISHE”

………………..inaendelea
 
IJUMAA YA TAREHE 02 SEPTEMBA 2022: MHUSIKA AKIWA ANAONDOKA OFISINI KURUDI NYUMBANI BAADA YA SAA 10 KAMILI

Baada ya kuwa ameshuka ngazi hadi ground floor, mhusika aliamua kupitia kwenye WASHROOMS zilizoko kwenye floor hiyo
  • Kabla hajaingia ndani, pale nje alipishana na mtu ambaye ni mgeni kabisa machoni pake na ambaye hawafahamiani kabisa. Mtu huyo ndiyo alikuwa anatoka ndani ya WASHROOMS hizo
  • Hata hivyo, mtu huyu hakupelekea mhusika asite kuingia ndani ya WASHROOMS hizo, aliendelea akaingia na baada ya muda mfupi alitoka
  • Alipokuwa anaelekea kwenye parking, kwa mbali kidogo alimuona mtu ambaye alihisi wanafahamiana
  • Hadi mhusika anafika kwenye eneo lile alipokuwa amepaki gari lake, tayari alikuwa ameshamfahamu mtu huyu, ni mtu ambaye wanafahamiana kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 20 sasa
  • Mhusika akiwa anajaribu kufungua mlango wa gari lake, mtu huyu alimpita kwa karibu sana mhusika ma pasipo kumsemesha wala kumsalimia wakati kuna kipindi waligonganisha macho yao ana kwa ana; ukiachilia mbali kuwa wanafahamina siku zote na kwa ukaribu wa namna fulani hivi
  • Mtu huyu alikuwa anelekea kwenye uelekeo ule ambao mhusika alikuwa bound kuelekea, na alikuwa anatembea kwa miguu
Kwa mawazo yake mhusika, mtu huyu alikuwa amemtegea mhusika, alikuwa anataka mhusika aanze kumsemesha na si yeye kuanza kumsemesha mhusika
  • Ni mtu ambaye kwa miaka mingi sana wamekuwa kwa kiasi fulani karibu na mhusika kama wafanyakazi wa mahali pamoja, japo ofisi tofauti
  • Vile vile, mtu huyu wanafahamiana pia na Kaimu MWI aliyeachiwa Idara tangu J4 (lakini ndani ya wiki hiyo akawa amepotea idarani tangu J5 hadi Ijumaa); na pia wanaongea lugha moja ya kuzaliwa
  • Mtu huyu alikuwa anelekea kwenye uelekeo ule ambao mhusika alikuwa bound kuelekea, na alikuwa anatembea kwa miguu
  • Kama mhusika angekuwa amefanikiwa kupata majibu ya maombi yake ya lilikizo na kwamba yakwa yako positive; J3 ya wiki ijayo asingeenda ofiini
BY THE WAY: madai yake anayodai mhusika kwa kipindi kirefu sasa bado hayana majibu mpaka muda huu

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
More details might be coming from today onwards; please stay tuned
 
UPDATE: MONDAY 06TH SEPTEMBER 2022

SIMPLE HYPOTHESIS AMBAZO MHUSIKA ALISHAZI-ESTABLISH KUHUSIANA NA NAMNA YALIVYO MAZINGIRA YA OFISINI KWA MWI


Kwenye chumba cha ndani kabisa ofisini kwa MWI kuna Camera na hivyo mambo yote yanayofanyika ndani ya ofisi hiyo yanaweza kuwa traced back; just in case kuna ulazima huo

Ndiyo maana MWI hajawahi kumkaribisha mhusika ili waongee ofisini isipokuwa huwa anamvizia tu kwenye korido au kwenye veranda

Vile vile kwenye sehemu ya mwanzoni ambapo huwa anakaa KMMWI kuna Camera pia ila imewekwa katika namna ambayo huwa ina uwezo wa kuchukua picha ki-sehemu tu cha kwenye kiti chake pale ambapo KMMWI huwa anakaa

Kwa hali hiyo, Camera hiyo huwa haiwezi kumulika sehemu zingine kwenye eneo la ofisi anayokaa KMMWI ikiwa ni pamoja na kwenye eneo la kaunta na ndiyo maana:

  • Kwenye kipindi cha siku kadhaa zilizopita hivi karibuni; mhusika alibaini pattern ya kuwa analakiwa na mtu mwingine kwenye kaunta hiyo ya ofisi ya MWI, kabla hajamfikia KMMWI. Mtu huyo alikuwa ameandaliwa na KMMWI mwenyewe
  • Kwenye baadhi ya siku ndani ya wiki iliyopita, MR X alikuwa anakwenda na kusimama pembezoni mwa kiti cha KMMWI ili kum-shield KMMWI na camera ambayo muda wote huwa inamulika eneo hilo ambalo huwa anakaa
  • Baadhi ya wafanyakazi waliopo idarani ambao mhusika hajawahi kutambulishwa kwao; kwa sasa hivi hawawezi tena kukaa sehemu ya kiti hicho ambayo KMMWI huwa anakaa kama walivyokuwa wanafanya awali; pale ilipokuwa imetokea kuwa KMMWI hayupo ofisini au ametoka kidogo
Hapo kabla, wafanyakazi wote waliopo idarani walikuwa wanaweza kukaa sehemu hiyo pale ilipokuwa inatokea KMMWI kutokuwepo ofisini au kuwa ametoka kidogo

…………………….itaendelea
 
UPDATE: TUESDAY 13TH SEPTEMBER 2022

KILICHOTOKEA KANISANI (Kanisa A) J2 ILIYOPITA YA TAREHE 11TH SEPTEMBER 2022 AMBACHO MHUSIKA ALIWEZA KUKIREKODI KWENYE UBONGO WAKE


J2 hiyo mhusika alihudhuria Ibada ya kwanza, na aliingia Kanisani Ibada ya Kusifu na Kuabudu ikiwa tayari imeshaanza

  • Baada ya kuingia Kanisani alielekea moja kwa moja upande ule ambao ana mazoea ya kukaa siku zote
  • Huko alibahatika kukuta kiti kikiwa wazi na aliamua kutulia kwenye kiti hicho
BAADA YA IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU KUWA IMEMALIZIKA

Kiongozi aliyekuwa anahusika na kutoa chakula cha uzima J2 hiyo, alipandisha juu madhabahuni

  • Baada ya kupandisha madhabahuni, kiongozi huyu alitoa sala ya kuhitimisha Ibada ya Kusifu na Kuabudu;
  • Mhusika hakuisikia sala hiyo badala yake alisikia kelele tu zikitoka kwenye spika
  • Baada ya kiongozi huyo kuhitimisha sala hiyo, alianza kuongea tena maneno mengine ambayo nayo pia mhusika hakuyasikia na badala yake aliendelea kusikia kelele tu zikiwa zinatoka kwenye spika
Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika kukumbana na hali hii ya kutokusikia vizuri tangu Desemba 2021 kipindi ambacho waumini wa Kanisa A ndiyo walianza rasmi kuabudu kwenye nyumba hii mpya ya Ibada

MHUSIKA AAMUA KUBADILISHA SEHEMU YA KUKAA


Baada ya kukumbana na hali hii, mhusika aliamua kubadilisha sehemu ya kukaa

Mhusika aliamua kwenda kukaa nyuma kabisa ya kanisa ambako huwa pia kuna spika zimewekwa karibu kabisa na eneo hilo

Tatizo pekee liliokuwepo kwenye eneo hilo jipya alilohamia ni kwamba hapakuwa na viti vya kuweza kukaa, viti vyote vilikuwa vimeshakaliwa na watu

Bahati nzuri ile anafika tu kwenye eneo hilo, alimbahatisha shemasi wa kike akiwa anapanga viti vya nyongeza sehemu hiyo

  • Ikukumbukwe kuwa hadi kufikia muda huo, Ibada ilikuwa imeshaanza zaidi ya dakika arobaini (40) zilizokuwa zimepita
  • Viti alivyokuwa anapanga mama huyu, vilikuwa ni vile vikukuu vya zamani ambavyo viliwahi kutolewa baada ya viti vingine vipya kununuliwa na ambavyo ndivyo vinavyotumika hadi sasa
Mhusika alibahatika kupata kiti kimojawapo kati ya hivyo na kukaa huku safari hii akiwa anamsikia pasipo tatizo lolote kiongozi aliyekuwa akiongea kutokea mbele; juu madhabahuni

Mhusika aliendelea kusikia vizuri hadi mwisho wa Ibada; hakupata tena tatizo lolote lile lililohusiana na usikivu

BAADA YA IBADA KUMALIZIKA; ILA KABLA HAIJAFUNGWA RASMI

Mhusika aliamua kuchomoka kidogo kuelekea washroom

  • Baada ya takribani dakika 5 hivi, mhusika alirudi na kukuta kiti chake tayari kuna mama akiwa amehamia pale na kukikalia
  • Baada ya kukumbana na hali hiyo, mhusika aliamua kusimama tu akisubiria Ibada ifungwe rasmi
Baada ya Ibada kufungwa rasmi, J2 hiyo ndiyo kukawa tena kuna kipindi kingine cha somo la uanafunzi na maandiko

  • Ilikuwa ni mara ya pili kwa mhussika kushuhudia somo la uanafunzi na maandiko likifundishwa ndani ya nyumba hii ya Ibada, tangu Desemba 2021 waumini wa Kanisa A walipohamishia Ibada zao kwenye nyumba hii mpya ya Ibada
  • Baada ya hapo, mhusika aliamua kwenda kutafuta tena sehemu nyingine iliyokuwa na viti vipya, akakaa na kuendelea na Ibada ya Somo la Uanafunzi na maandiko hadi mwisho
HITIMISHO

Mhusika aliingia Kanisani na kwenda kukaa kwenye kiti kipya

Baadaye, tatizo la spika kwenye eneo alilokuwa akemaa, lilimlazimisha abadilishe sehemu ya kukaa na hivyo kulazimika kwenda kukaa sehemu nyingine tofauti ambayo viti vipya vilikuwa vimejaa.

Ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukumbana na tatizo la usikivu mbovu kutoka kwenye spika wakati wa Ibada, ndani ya nyumba hiyo ya Ibada


Kwa bahati nzuri alibatika kupata kiti kikukuuu na kuamua kukikalia akiwa sehemu hiyo hiyo aliyokuwa amehamia

Ilikuwa pia ni mara yake ya kwanza kukalia kiti kikuu wakati wa Ibada, ndani ya nyumba hiyo ya Ibada

  • Baada ya Ibada kumalizika, kiti kikuu hicho alikipoteza tena kutokana na sababu alizozielezea hapo juu
  • Na kwa sababu kulikuwa na somo la uanafunzi na maandiko J2 hiyo, mhusika aliamua kwenda kukaa sehemu nyingine iliyokuwa na viti vipya tu na hivyo kulazimika kwenda kukaa kwenye kiti kingine kipya
Tangu Desemba 2021, Ilikuwa ni mara ya pili kwa mhusika kuona somo la uanafunzi na maandiko likifundishwa ndani ya nyumba hiyo ya Ibada

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE-2: TUESDAY 13TH SEPTEMBER 2022

MHUSIKA ANAOMBA MSAADA KULE NYUMBANI KWAO MWANZA KAMA ATAONEKANA ANA HOJA KATIKA HILI

KUNA MGENI MTU MZIMA UMRI WA MIAKA 35+ KULE NYUMBANI KWAO MWANZA AMBAYE WAMEPISHANA LUGHA NA AKAMWAMURU AONDOKE PALE NYUMBANI KWAO LAKIN AMEKATALIA HAPO HAJAONDOKA MPAKA MUDA HUU


MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSIANA NA MTU HUYU


Inasemekana alifika pale nyumbani kwao na mhusika mwezi wa tatu mwishoni akiwa anatokea kwenye machimbo Chato, Geita

Ana umri wa miaka zaidi ya 35 na NDUGU WA KARIBU WA NHUSIKA

Ni mara yake ya pili kwa MGENI HUYU kufika hapo nyumbani kwao na mhusika; mara ya kwanza ikiwa ni mwaka 2020 alipokuwa amekuja kuhani msiba wa mdogo wake na mhusika

MARA BAADA YA MGENI HUYU KUWA AMEWASILI NYUMBANI KWAO NA MHUSIKA KWA KIPINDI CHA SASA

Baada ya kuwa amefika pale nyumbani. Kwa siku za mwanzo alikuwa anaishi pale kwa kificho kidogo,; yaani alikuwa hapendi sana ajulikane na mhusika kuwa kwa sasa anaishi pale nyumbani

Kwa taarifa alizoizpata mhusika, MGENI huyu kwa sasa hana makao maalumu, hana mji, hana wala mke wala hana watoto; ni mtu ambaye ni mpita njia kila mahali

MIEZI TAKRIBANI MIWILI BAADA YA MGENI HUYU KUWA AMEISHI PALE NYUMBANI KWAO NA MHUSIKA

Mwanzoni mwa mwezi wa tano (5), mtu huyu aliongea na mhusika na wakakubaliana kuwa mhusika amsaidie kiasi cha fedha ili aweze kufanya biashara na hatimaye aweze kujitegemea
  • Mhusika aliridhia kumpa kiasi chochote cha cha fedha kwa mradi atakaokuwa ameubuni; akiwa anasadidiana na baadhi ya watu pale nyumbani
  • Baada ya hapo mgeni huyu alitakiwa amjulishe mhusika ni mradi gani amebuni ili aweze kupewa fedha kwa mradi huo atakaokuwa ameubuni
  • Baada ya siku kadhaa kupita; mhusika alijaribu kumpigia simu akimtaka ampe sasa taarifa za mradi kama walivyokuwa wamekubaliana, baada ya mgeni huyu kukaa kimya pasipo kurudisha taarifa
Kwa kumbukumbu zake, mhusika alimpiga simu akiwa anahitaji kupata feedback, tarehe 10/05/2022

  • Hata hivyo, MGENI huyu hakuwa radhi kupokea simu ya mhusika siku hiyo na pia vile vile baada ya hapo MGENI huyu hakumtafuta mhusika siku iliyofuata
  • Ilipofika tarehe 12/05/2022; mgeni huyu alimwandikia SMS mhusika akiwa ANAMKEJELI, huku akimweleza kuwa kwa wakati huo alikuwa na nafasi sasa wangeweza kuongea
  • Mhusika hakuweza kupiga simu kuongea na mgeni huyu kwa sababu muda huo alikuwa yuko Hospitali ya rufaa akihangaika na tatizo la mtoto aliyekuja huku akitokea huko nyumbani
  • Ni mtoto ALIYESEMEKANA kupata tatizo la ghafula tu akiwa pale nyumbani na hatimaye kupewa rufaa ya kuja huku akiwa anatokea nyumbani; hakuwahi kulazwa huko alikokuwa ametokea
  • Mtoto huyu alipata tatizo la ghafula wakati wa break ile ya Pasaka, na tatizo lake lilianza tarehe 17/04/2022 siku ya J2 ya Pasaka
Baada ya kubahatika kupewa rufaa; walikuja huku wawili; kiwa wmeambatana mama yake mzazi

NAMNA RUFAA YA MTOTO HUYU ILIVYOKUWA

Mtoto huyu alianzia kwenye Zahanati ya Kijiji/ Kitongoji na baada ya kuchukuliwa vipimo, alipewa rufaa ya moja kwa moja kutoka kwenye Zahanati hiyo kwenda hospitali nyingine kubwa ya Rufaa

  • Baada ya kupokelewa kwenye Hospitali hiyo kubwa, mtoto huyu hakulazwa kwenye hospitali hiyo isipokuwa alipewa tu rufaa nyingine ya kuja huku;
  • Kwa hiyo mtoto huyu hakuwahi kulazwa kwenye hospitali au zahanati yoyote kule alikotokea, isipokuwa tiba kamili alikuja kuipata huku baada ya kuwa amelazwa kwa siku kadhaa
  • Maelezo mengine kuhusina na mtoto huyu mhusika tayari alishayaleta humu jukwaani mojawapo ikiwa ni kwenye post hii hapa #1,001
Kwa hiyo siku MGENI huyu anamwandikia SMS mhusika ili waongee, mhusika alikuwa yuko kwenye pilika pilika zilizohusiana na mtoto huyu na alikuwa yuko kwenye mazingira ya hospitalini

NB: Kilichomsukuma mhusika kuleta taarifa hizi humu jukwaani ni kwamba anaomba maada ikiwezekana mtu huyu awe ameondoka pale nyumbani kufikia kesho; kama atakuwa kweli bado yupo kama mhusika alivyopewa taarifa zinazohusiana na MGENI huyu jioni ya leo hii

………………………….itaendelea
 
………………..inaendelea….MGENI

BAADA YA KUPOKEA SMS YA MGENI; WAKATI HUO MHUSIKA AKIWA YUKO HOSPITALINI


Mhusika hakuijibu sms hiyo wala hakumpiga tena MGENI huyo

Hiyo ilikuwa tarehe 12/05/2022

Mhusika alikaa hadi Ilipofika mwishoni mwa mwezi wa saba ndipo alipopiga simu tena nyumbani kwao akiwajulisha kuwa wamwambie MGENI huyu kuwa anatakiwa aondoke pale nyumbani (MJINI); aidha aende KIJIJINI nyumbani kwake na mhusika au aende sehemu nyingine anakoweza kwenda lakini siyo pale MJINI

  • Mhusika alitoa ujumbe huu kupitia kwa watu wengine kwa sababu namba ya simu ya MGENI ilikuwa haipatikani tena
  • Kipindi anatoa ujumbe huu, kulikuwa pia na wanafunzi wawili waliokuwa wanatoka KIJIJINI nyumbani kwake na mhusika; walikuwa wanaelekea MJINI nyumbani kwake na mhusika kwa ajili maswala ya tuition
Wanafunzi hawa walitarajia kukaa MJINI mwezi mzima na baada ya hapo wangerudi tena KIJIJINI kuendelea na masomo yao

Wanafunzi hawa walifika MJINI na kumkuta MGENI huyu akiwa bado yupo

  • Siku chache tu baada ya wanafunzi hawa kuwasili mjini; MGENI aliaga kuwa anaondoka pale nyumbani na kweli aliondoka
  • Wanafunzi hawa walikaa kwa muda wao wote wa masomo ya tution na muda ulipofika walirejea tena kijijini
Kipindi chote hicho ambacho wanafunzi hawa walikuwa wakiendelea na masomo, MGENI huyu alikuwa hayupo pale nyumbani

HITIMISHO


Siku chache tu baada ya wanafunzi kuondoka, MGENI huyu alirejea tena pale nyumbani na bado yupo mpaka muda huu

  • Mhusika amepata wasiwasi mkubwa na MGENI huyu ukizingatia matukio ambayo yamekuwa yakiendelea pale nyumbani.
  • Taarifa alizozipata jana ni kwamba MGENI huyu alikuwa bado yupo pale nyumbani
Mhusika anaomba msaada MGENI huyu aondoke pale nyumbani na wala asiende tena kule KIJIJINI ambako hapo awali mhusika alikuwa amemwelekeza kwenda; offer hiyo aliyokuwa amempa tayari ameshai-CANCEL kwa sasa

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
MAELEZO MUHIMU SANA YANAYOHUSIANA NA MKASA UNAOWAHUSU WATU HAWA WAWILI AMBAO MHUSIKA AMEWAHI KUWAONGELEA PIA KWENYE POST HII HAPA #994

NI MAELEZO AMBAYO MHUSIKA ALIKUWA AMEAMUA KUTOKUYALETA HUMU JUKWAANI ISIPOKUWA HATIMAYE AMELAZIMIKA UKIZINGATIA MIENENDO YAO

Wa kwanza
ambaye ni mrefu zaidi ni ndugu wa damu wa mhusika; binamu yake na mhusika; ni mtoto wa shagazi yake; huyu tumwite BNM. Yule mwingine wa pili ni shemeji yake na mhusika; huyu tumwite SHMJ

BAADHI TU YA MATUKIO WALIYOWAHI KUHUSIKA HAWA WATU WAWILI NA AMBAYO MIONGO/ MIAKA MINGI NYUMA, MHUSIKA ALIWAHI KUYAONA YAKIWA KAMA NI MATUKIO YA KAWAIDA ILA KWA SASA ANA MTIZAMO TOFAUTI KABISA; BAADA YA KUWA AMESHUHUDIA MATUKIO MENGINE MUAMBATA NA HAYO

TRIGGER YA MATUKIO YOTE MUHIMU INAANZIA JUNE 1989 (MIKA 33 ILIYOPITA)


June 1989 binti ambaye ni dada yake na mhusika akarudi nyumbani likizo kutoka shule moja ya sekondari iliyoko Mororgoro

  • Binti alikuwa anasoma sekondari kidato cha nne; kwa hiyo kufikia Novemba 1989 binti alikuwa anahitimu masomo ya kidato cha nne na kweli muda huo ulipotimu, alifanikiwa kuhitmu
  • Kwenye shule hiyo hiyo aliyokuwa anasoma binti, alikuwepo pia binamu mwingine mdogo wake na BNM; huyu tumwite BNM-1
  • Hawa BNM na BNM-1 wamezaliwa; wamezaliwa baba mmoja mama mmoja
  • Mzazi wao na akina binamu hawa wanaotajwa humu ambaye ni shangazi yake na mhusika; mzazi huyu amezaliwa baba mmoja mama mmoja na baba yake mhusika au binti
  • Tofauti ya umri kati ya BNM na BNM-1 mtu na mdogo wake ni exactly miaka 20
BAADA YA KUMALIZA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE; BINTI ARUDI NYUMBANI AKIWA NA UJAUZITO ULIOPELEKEA AJIFUNGUE MWISHONI MWA MWEZI WA TATU MWAKA 1990

Baada ya binti huyu kumaliza kufanya mitihani ya kumaliza kidato cha nne, binti alirudi nyumbani akiwa na ujauzito wa si chini ya miezi sita na hivyo kufanikiwa kujifungua salama kitoto mwishoni kabisa mwa mwezi wa tatu mwaka 1990

Katika hali ya kawaida; kwa ujauzito mkubwa wa kiasi hiki, binti huyu wa sekondari alitakiwa kufukuzwa shule na asingefanikiwa kuhitimu masomo yake hiyo Novemba 1990. Hata hivyo kitu cha pekee kilichotokea ni kwamba alifanikiwa kuhitimu masomo yake pasipo tatizo lolote

Ujauzito huu ulitungwa mwishoni mwa mwezi wa 6, muda mfupi kabla binti hajaondoka kurejea masononi

Anachokielewa mhusika mpaka muda huu ni kwamba ujauzito huu uliopangwa makusudi utokee katika kipindi hicho ulichotokea, na mtandao wake ulikuwa unahusisha baadhi ya ndugu kutoka kwenye familia ya binti pamoja na mamlaka za shule ya sekondari aliyokuwa akisoma huyu binti

Hypothesis aliyonayo mhusika mpaka muda huu ni kwamba mtoto aliyezaliwa hakutakiwa kuishi ila kwa bahati nzuri yupo hadi leo na ana mke na watoto wawili

MAELEZO MAFUPI SANA YA UTANGULIZI KUHUSIANA NA MTOTO HUYU ALIYEZALIWA MWISHONI MWA MWEZI MARCH 1990

SABABU HASA ZINAZOPELEKEA MHUSIKA KULETA TAARIFA ZAKE HUMU JUKWAANI NA AMBAZO KWA KIASI KIKUBWA ZINAHUSIANA PIA NA BABA YAKE MZAZI (SHMJ) PAMOJA NA BNM


Sababu moja kubwa inayopelekea mhusika alete taarifa za mtoto huyu humu jukwaani muda huu ni kwamba mtoto huyu hakutakiwa kuwepo kwa sababu maisha yake yanabeba matukio ambayo hayakutakiwa kujulikana na watu wengine

Aidha mtoto huyu alitakiwa aishi ILA MHUSIKA ASIISHI kwa sababu ya ule uwezekano wa kwamba siku mhusika akija kugundua siri iliyobebwa na maisha ya mtoto huyu, siri hiyo itakuwa wazi na lazima kuna shida kubwa itatokea mahali

Kwa hiyo Plan A iliyokuwepo mwaka 1990 ilikuwa ni wote mhusika na mtoto wasiishi; na Plan B ilikuwa ni aidha mmoja wao tu aishi na si wote wawili

Kwa hiyo mimba hiyo ilitungwa kaika muda huo ili wakati fulani ije ilelewe kwenye muda na majira ambayo mhuska naye angekuwepo nyumbani kwa sababu yeye naye pia alihitimu kidato cha nne mwaka huo huo wa 1989

Kwa hiyo mhusika naye pia alikuwepo nyumbani kuanzia Novemba 1989 hadi mwanzoni mwa Julai 1990

Kwa bahati nzuri watu hawa wote wawili wapo isipokuwa yule mwingine AMETUMIA KARIBIA 90% YA MAISHA YAKE JELA NA MARA ZOTE IKIWA NI KWA MBARAKA MKUBWA KUTOKA KWA BABA YAKE MZAZI, YAANI SHMJ

Hivi karibuni APRIL 2022 alitakiwa pia kuwa ameshaenda JELA isipokuwa hekima ya Askari kwenye kituo kimojawapo cha Polisi jijini Mwanza kilimsadia abaki uraiani

Siyo kwamba mtoto hafanyi makosa, ni kweli wakati mwingine anafanya makosa isipokuwa kwa zaidi ya 90% amekuwa akitengenezewa au kutegeshewa mazingira rutubishi ya kufanya makosa

Maelezo ya kina kuhusiana na mtoto huyu yatafuata baadaye.

Kwa sasa turudi kwanza kwa wanafunzi wawili mtu na binamu yake waliokuwa wanasoma shule moja huko Morogoro wakiwa wamefuatana madarasa

……………………….inaendelea
 
WANAFUNZI WAWILI MTU NA BINAMU YAKE WALIOKUWA WANASOMA SHULE MOJA HUKO MOROGORO WAKIWA WAMEFUATANA MADARASA…….

Mnamo Desemba 1989, baada ya kufunga shule BNM-1 alimtembelea kaka yake mwingine aliyekuwa anafanya kazi kwenye mkoa mwingine, kabla hajaelekea nyumbani kwao Mwanza kwa ajili ya likizo

  • Ikumbukwe kuwa wakati huo binti yeye alikuwa tayari ameshsondoka shuleni moja kwa moja kwa sababu alikuwa tayari ameshahitimu masomo yake ya kidato cha nne
  • BNM-1 yeye aliendelea kubaki shuleni kwa sababu alikuwa yupo kidato cha tatu
  • Baada ya kumaliza mhuhula wa mwsiho wa mwaka, binamu alamua kupitia kwanza kwa kaka yake (tuwite BNM-2) aliyekuwa anafanya kazi mkoani
  • Baada ya kutoka huko, BNM-! Alirudi nyumbani Mwanza akiwa ameambatana na ujumbe kutokwa kwa BNM-2 kwenda kwa mhusika
MHUSIKA ALETEWA NA BNM-1 BARUA YENYE ONYO KALI KUTOKA KWA BNM-2 (ALIYEKUWA ANAFANYA KAZI MKOANI), KAKA YAKE NA BNM-1 AU MDOGO WAKE NA BNM

BNM-1 alirudi nyumbani Mwanza akitokea kwa kaka yeke BNM-2 huku akiwa ameambatana na barua kutoka huko kuja kwa mhusika, yenye onyo kali na lenye mamlaka ya hali ya juu

  • Barua hiyo ililetwa na BNM-1 na ilikuwa imeandikwa na BNM-2
  • Barua hiyo ilimuonya mhusika asijaribu kumubugudhi binti aliyekuwa mimba
Mhusika hakuielewa vizuri barua hiyo kwa sababu yeye alikuwa tayari ameshampa hongera binti mwenye mimba kwa kuhitimu masomo wakati katika hali ya kawaida alitakiwa afukuzwe shule

  • Mhusika hakuichukulia maanani barua hiyo na aliamua kuipotezea
  • Huku mhusika na binti wakiwa bado wapo nyumbani kwao, ilipofika mwishoni mwa mwezi March 1990 binti alijifungua salama mtoto wa kiume na ilipofika mwanzoni mwa Julai 1990, binti aliondoka nyumbani kuelekea shule kwa ajili ya masomo ya kidato cha tano
  • Mtoto alibaki nyumbani akilelewa na bibi yake na aliendelea kukua katika hekima na kimo kama ilivyo kwa watoto wengine wanaolelewa na mama zao wazazi
Ilipofika mwishoni mwa mwezi August 1990, baba yake mzazi na mhusika (baba yake mzazi na binti pia) aliaga dunia.

  • Miezi kadhaa nyuma alikuwa tayari ameshapata ugonjwa uliomuibukia ghafla na kuanza kumdhoofisha kwa kasi
  • Alikuwa ni mtu mwenye asili za watu ambao huwa hawaugui; possibly hicho ndicho kilichoprelekea adhoofu ghafla na hatimaye kupoteza maisha
HAPO KABLA MNAMO MWAKA 1987…..

Kuna ndugu wa karibu sana wa damu wa mhusika (mama) ambaye aliwahi kuja kukaa pale nyumbani walipokuwa wanaishi mhusika na binti

Mama huyu alibahatika kujifungua kitoto mwaka 1988 na miezi kadhaa mbele kitoto hicho kiliaga dunia

  • Baada ya tukio hilo, miezi kadhaa mbele ndani ya mwaka huo wa 1988, kukatokea msiba mwingine mkubwa sana ndani ya familia yao mhusika
  • Baada ya msiba huo, kukatokea msiba mwingine tena wa pili mwaka 1989
Ilikuwa ni experience ya kwanza kabisa kwa mhusika katika maisha yake yote, kushuhudia misiba mikubwa ikitokea kwenye familia yao

Mtoto huyo aliyezakiwa mwaka 1990, ndiyo huyo ambaye amekuwa akiishi JELA kwa tidhaa ya baba yake mzazi na ambaye (baba mzazi) kwa sasa ameshaanza mkakati wa kumkataa mtoto kwamba siyo wake

KINACHOPELEKEA BABA MZAZI AANZISHE MCHAKATO WA KUMKATAA MTOTO MUDA HUU

Ni coaching kutoka kwa BNM; mhusika anamfahamu vizuri sana namna BNM ambavyo huwa anafanya kazi

Zaidi ni kuwa kwa sasa SHMJ na BNM wameshapata ufahamu kuwa taarifa zinazohusiana na namna mtoto huyo alivyozaliwa zinaweza ku-“go viral to the public” muda wowote ule

Hii ilikuwa ni baada ya mhusika kuwa amewapa hint SHMJ na BNM akiwaeleza kuwa upo uwezekano mkubwa akashindwa kuvumilia kuendelea kukaa na taarifa hizo hali itakayopelekea kuziweka hadharani kwa umma taarifa za mtoto huyo ili na akili za watu wengine nazo ziweze kujaribu kuzichuja/ kuzichakata

Ilikuwa ni baada ya kuwa SMHJ na BNM wameendelea kumubugudhi mtot huyo katika namna ambayo wanaonyesha wazi kabisa kuwa wanatamani aangamie muda wowote ule

………………itaendelea
 
KIKUBWA ANACHOJARIBU KUKIELEZA MHUSIKA KWENYE MAELEZO YAKE HAYA

Ni kwamba mtoto aliyezaliwa 1990 (tumiwte MTT1990)
  • Mimba yake ilitungwa kwa makusudi na kwa wakati maalumu, baadhi ya wahusika wa mpango huo wakiwa ni SHMJ, BNM, BNM-1 na BNM-2
  • Wahusika wengine wa mimba hiyo walikuwepo kule shuleni ambako binti alikuwa anasoma
Na kwa sababu mimba ilitungwa kwa kusudi maalum, MTT1990 alitakiwa kuishi kwa matakwa ya waliokuwa awamepanga mpango wa mimba aliyotokana nayo
  • Miezi michache tu baada ya MTT1990 kuwa amezaliwa, msiba mkubwa ulitokea August 1990
  • Ikumbukwe kuwa hapo awali, kuna mama ambaye naye aliwahi kujifungua mtoto halafu baada ya hapo misiba miwili mikubwa ikatokea mfululizo kwenye miaka iliyofuatana ya 1988 na 1989
Mbali na huyo mama, ilipofika mwaka 2006, pattern ya namna hiyo ilijirudia tena baada ya binti mama wa MTT1990 kujifungua kitoto na hatimaye kitoto hicho kupoteza maisha.

  • Baada tu ya mtoto huyo kupoteza maisha, wiki chache mbele misiba miwili mikubwa ilitokea tena Septemba 2006.
  • Baba zake wakubwa na mhusika akiwemo yule aliyemsomesha walifariki wakiwa wamefuatana kwa interval ya wiki chache tu au mwezi mmoja.
Tukio hili ndiyo lililosababisha mhusika alirejee tukio jingine lile la mtoto wa mwaka 1988 aliyewahi kupoteza maisha halafu baada ya hapo, akafuatiwa na misiba miwili mikubwa

Mtoto huyu wa pili aliyefariki mwaka 2006, ndiyo yule ambaye aliwahi kupewa rufaa kuja huku Dar es Salaam akiwa ameipitia kwenye mikono ya watu binafsi tu. Huyu naye alikuwa mtoto wa SHMJ na wakati huo SHMJ alikwepa kuambatana na mke wake kwa ajili ya matibabu ya mtoto huyo na kwa udhuru ambao mhusika hakumbuki vizuri ulikuwa ni nini

……………………….inaendelea
 
MTT1990 AHITIMU MASOMO YA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2004 NA KUSHINDWA KUFAULU KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA

BAADA YA KUONA HIVYO, MHUSIKA ALIWAOMBA WAZAZI WA MTT1990 WAMLETE AISHI NAYE NYUMBANI KWAKE ILI AFANYE PRE-FORM ONE AKIWA ANAISHI NYUMBANI KWA MHUSIKA


MTT1990 alikuwa na uwezo mzuri kiakili lakini hakuweza kufanya vizuri darasani na hivyo kushindwa kufaulu kujiunga kidato cha kwanza January 2005

Kwa kile ambacho mhusika tayari ameshakiona kwa muda huu kuhisana na tukio hili la mtoto kushindwa kujiunga kidato cha kwanza, mtoto huyu hakufanya vizuri kwenye mtihani huo wa mwisho baada ya kuwa amewekewa mazingira ambayo hayakuwa rutubishi na mzazi wake, yaani SHMJ, kwa mtoto kuweza kufaulu mtihani wa kuhitimu masomo ya elimu ya msingi

Kitendo hiki kuwahi kufanywa na SHMJ, kimekuja kujirudia tena hivi karibuni May 2018 baada ya mtoto kufeli masomo ya kidato cha tano peke yake darasani kwenye shule aliyokuwa anasoma

  • Mtoto huyu alikuwa anasomeshwa na mhusika, isipokuwa mhusika alikuwa amemwamini SHMJ aweze kufuatilia mienendo yake ya shule kwa sababu yeye ndiye alikuwa yuko karibu na mahali pale alipokuwa anasoma ukilinganisha na mhusika mwenyewe
  • Mtoto alisoma mwaka mmoja na baada ya hapo ikaonekana amefeli masomo ya kidato cha tano peke yake darasani
  • Baada ya hapo mhusika alijaribu kuongea na SHMJ kuhusuiana na swala la kufeli kwa mtoto huyo ambapo SHMJ alikosa jibu lililoeleweka na badala yake alim-refer mhusika kwa mwalimu mmojawpo kwenye shule aliyokuwa anasoma mtoto
  • Mwalimu naye hakuwa na jibu sahihi la kumpa mhusika na mara nyingi alikuwa anakwepa kupokea simu za mhusika
Baadaye mhusika alikuja kubaini kuwa kuna mbinu ambayo SHMJ alikuwa ameifanya akiwa na lengo la kumchongea mtoto kwa mhusika ili mhusika apoteze umakini na mtoto huyo na hatimaye mtoto huyo aweze kuwa “an easy target” kwao SHMJ na BNM. Mtoto huyu kwa sasa yuko Chuo Kikuu japo kwa kuchelewa madarasa

Ndiyo maana kuna mahali mhusika aliwahi kutanbihisha kuwa hawa watu wawili SHMJ na BNM, huko waliko kwa sasa wameshafikia kwenye hatua ambayo wao ndiyo wanaamua nani aishi na nani asiishi

……………………..inaendelea
 
BAADA YA MTT1990 KUITWA NYUMBANI KWA MHUSIKA………..

Mhusika alimtafutia shule iliyoendana na mahitaji ya pre-form one kwa wakati huo. Baada ya hapo mhusika alimlipia MTT1990 ada ya mwaka mzima

Makubaliano ya mhusika na wazazi wa MTT1990 ilikuwa ni kwamba MTT1990 asome form one mwaka mmoja kwenye shule ya kawaida, halafu baada ya mwaka mmoja, arudi tena kwa wazazi wake wakampeleke kwenye shule nyingine nzuri zaidi

MTT1990 alianza masomo hayo na hadi wanafunga shule Novemba 2005, alikuwa anafanya vizuri sana kwenye masomo ya Fizikia na Hisabati; alikuwa mmojawapo wa wanafunzi waliokuwa wanfanya vizuri sana kwenye masomo hayo

Ilipofika Desemba 2005 MTT1990 alirudi nyumbani kwao kwa ajili ya kuendelea rasmi sasa na masomo ya kidato cha kwanza na hapo ndipo ya MAISHA YAKE YA JELA YALIPOANZIA

KILE AMBACHO KILIKUWA KIMEJIFICHA NYUMA YA PAZIA JUU YA UJIO WA MTT1990 NYUMBANI KWA MHUSIKA MWAKA 2005 AMBACHO KWA WAKATI HUO MHUSIKA ALIKUWA HAKIFAHAMU


Ikumbukwe kuwa MTT1990 alitelekezwa makusudi kimasomo na SHMJ ili afeli kwa kujua kuwa mjomba wake (mhusika) akisikia kuwa MTT1990 amefeli lazima ataumia na kuamua kuchukua ALTERNATIVE ya ku-intervene Kwa sababu mjomba wake ataumia, ni lazima tu atatafuta ALTERNATIVE ya namna ya kumsaidia; na walikuwa sahihi kwa sababu hicho ndicho kilichokuja kutokea

Huyu MTT1990 yupo hadi leo hii na ana mika 32+kwa sasa; ANA MKE NA WATOTO WAWILI

Kilichokuwa nyuma ya pazia ya ujio wa MTT1990 ni kwamba kumbe alikuwa ametumwa akiwa na misheni nyingine pia nyuma ya pazia; misheni ambayo ilikuwa ni ya kumudhuru mjomba wake (mhusika) kimazingara; misheni ambayo hapo kabla, MTT1990 aliwahi kushindwa kui-accomplish kipindi anazaliwa mwanzoni mwa mwaka 1990 alipokuwa bado mtoto mchanga

  • Washirika wengine pia walipatikana kwenye mpango huu ikiwemo KATUNI moja iliyowahi kujipenyeza nyumbani kwa mhusika kwa lengo la kuolewa.
  • KATUNI hii kama inaweza kupatikana, na ikawa iko radhi kuongea ukweli inaoujua, inaweza kutoa details za msaada sana kwenye swala hili la MTT1990 kuliko mtu mwingine yeyote yule, KUZIDI HATA MHUSIKA MWENYEWE.
KATUNI hii inajua mengi mazito kuliko hata mhusika mwenyewe kwa sababu yenyewe ilikuwa ina-operate ikiwa ipo ndani kabisa ya mtandao huo uliokuwa umemtuma MTT1990

…………………inaendelea
 
UGENI MAALUMU WAANZA KUWASILI NYUMBANI KWA MHUSIKA MUDA MFUPI MARA BAADA TU YA MTT1990 KUWASILI

Mgeni wa kwanza kabisa
alifika ndani ya wiki mbili baada ya MTT1990 kuwa amewasili nyumbani kwa mhusika
  • Huyu alikuwa ni kaka yake na mhusika, mtoto wa baba yake mkubwa; Baba Mkubwa ambaye ndiye aliwahi kumsomesha mhusika
  • Huyu ndiye ambaye “Baba Mkubwa” alipitia nyumbani kwake akiwa yuko safarini njiani kuja Dar es Salaam nyumbani kwa mhusika, lakini kwa bahati mbaya alipata hitilafu ya kiafya na hivyo kurudi nyumbani na hatimaye kufariki siku kadhaa baada ya mzee huyu kutoka nyumbani kwa mtoto wake huyo
Kaka huyu alifika nyumbani kwa mhusika na wakabahatika kufahamiana na KATUNI iliyokuwa inafika fika nyumbani kwa mhusika kwa machale sana, na hatimaye wakawa wametengeneza mawasiliano kuanzia pale

Baada ya mgeni huyu wa kwanza kuondoka, muda siyo mrefu sana walifuatia wageni wengine wawili; SHMJ baba yake na MTT1990 akiwa ameambatana na mtu mwingine ambaye alimtambulisha kuwa ni jamaa yake wa karibu

MAELEZO YA SHMJ KUHUSIANA NA MGENI MWINGINE ALIYEFIKA NAYE NYUMBANI KWA MHUSIKA


Baada ya SHMJ kuwasili nyumbani kwa mhusika akiwa na mtu mwingine wa pili

  • SHMJ alimjulisha mhusika kuwa mgeni huyo alikuwa on-transit kuelekea kwa jamaa zake wengine na hivyo walifika naye pale kwa mhusika kwa ajili ya mapumziko tu ya safari ndefu ya kutoka mwanza
  • Hata hivyo mgeni huyu hakuwahi kuondoka na kuelekea kule ambako SHMJ aliwahi kusema na alitumia kipindi chote cha ugeni wake wa takribani wiki moja, nyumbani kwa mhusika
Mhusika hakulijali hilo kwa wakati huo, aliona ni mgeni kaona pengine mazingira ya nyumbani kwa mhusika ni conducive zaidi kwa yeye kuishi na hivyo kuamua kuahirisha safari yake ya kuelekea kwa jamaa zake. Kumbe hapana, haikuwa hivyo.

SHMJ alikuwa ameleta jeshi jingine la nyongeza kwa mhusika, kuongeza nguvu kwa MTT1990

Kwa hiyo mission ya mgeni aliyekuja na SHMJ nyumbani kwa mhusika ilikuwa sawa na ile ya MTT1990 na kwa hali hiyo; mission iliyokuwa imemleta SHMJ mwenyewe


Mbali na hilo, tofauti na ilivyokuwa inakuwa kwa wageni wengine wote waliokuwa wanafika nyumbani kwa mhusika ambao kawaida walikuwa wanapata muda wa kuonana na KATUNI, kwa kipindi chote cha zadi ya wiki wageni hawa walipokuwa wapo nyumbani, KATUNI haikuwahi kukanyaga kwa mhusika. KATUNI ilikata mguu na haikuwahi kabisa kuonana na wageni hawa

………………….inaendelea
 
KILE AMBACHO AMEFANYA TENA “SHMJ“ KWENYE KIPINDI CHA HIVI KARIBUNI WAKATI WA VACATION YA PASAKA YA WATOTO WA SHULE MWAKA HUU ILIYOANZA TAREHE 11 APRIL NA KUMALIZIKA J2 YA PASAKA YA TAREHE 17/04/2022

Muhimu kabisa hapa ni kwamba “izingatiwe kuwa SHMJ huwa ana-operate chini ya coaching ya BNM

ALICHOFANYA:

SHMJ akategesha mitego yake iliyokuwa imekusudiwa kumwanzishia MTT1990 sakata la mashtaka ya kumpeleka mahakamani na mitego hiyo ikaitika vizuri.

Kwa kifupi tu ni kwamba kwa kipindi cha hivi karibuni, amaeanzisha Grocery ya kuuza vilevi pale pale nyumbani kwake, na hiyo ndiyo anaitumia vizuri sana kama njia ya kumtegesha na makosa makubwa MTT1990; anamfahamu jinsi alivyo
  • Kwa kutumia grocery hiyo, alimtegeshea makosa MTT1990 na “akaingia line”
  • Baada ya MTT1990 “kuingia king” MTT1990 akapeleka mashtaka Polisi, akiwa ana nia ya kumpeleka mahakamani MTT1990 ili amfunge JELA
  • Kwa bahati nzuri, Polisi wakatumia hekima yao wakaizima kesi hiyo kwa kuwashauri wahusika waimalize kifamilia na SHMJ akawa ameridhika na kukubaliana na uamuzi huo
KIPINDI SAKATA HILI LA SHMJ NA MTT1990 LIKIWA LINAENDELEA NA HATIMAYE KUZIMWA HUKO KITUO CHA POLISI

Ndani ya wiki hiyo hiyo ya Vacation ya Pasaka
, mtoto mdogo pale nyumbani kwao na mhusika ambaye taaarifa zake za kina tayari zimeshaletwa humu jukwaani, akawa ame-develop tatizo la ghafula la kiafya ambalo wakubwa pale nyumbani walikuja kuligundua siku ya J2 ya Pasaka ya tarehe 17/04/2022

Tatizo hili lilisemekana kuwa lilikuwa limeanza siku kadhaa nyuma isipokuwa lilikuja kuwa “more pronounced” kwenye wiki hiyo ya VACATION YA PASAKA

Baada ya wakubwa kumuona mtoto huyo hayuko kawaida, ilipofika tarehe 19/04/2022 (baada ya J3 ya Pasaka) mzazi aliamua kumpeleka mtoto Zahanati kwa ajili ya vipimo

SIKU YA MTOTO KUPELEKWA DISPENSARY KWA AJILI YA VIPIMO:

SHMJ ARUDI GHAFULA TENA POLISI KWENDA KUFUFUA KESI AMBAYO POLISI WALIKUWA WAMEIMALIZA

Mtoto alipelekwa Zahanati siku ya J4 ya tarehe 19/04/2022
na SHMJ naye alirudi tena Polisi siku hiyo hiyo kwenda kufufua kesi iliyokuwa imeisha

Wakati mzazi akiwa yupo kule Zahanati akiwa anasubiria vipimo vya sample zilizokuwa zimechukuliwa HUKU ZIKIWA BADO HAZIJAPIMWA ILA ZINASUBIRIA KUPIMWA (MKOJO, DAMU NA HAJA KUBWA)

  • Mzazi huyu alipigiwa simu akiwa anahitajika Polisi akiambiwa kuwa SHMJ alikuwa yupo tayari kituoni Polisi akimsubiria
  • Mzazi huyu alikuwa ni mmojawapo wa watu waliohusika kwenye mchakato wa ku-settle kifamilia swala la MTT1990 na alikuwa upande wa MTT1990 kinyume na baba yake mzazi SHMJ
  • Kutokana na wito huo; mzazi huyu alilazimika kuondoka pale Zahanati akiziacha sample za mtoto zikiwa bado hazijafanyiwa kazi
Mzazi huyu alikuja kurudi tena hapo Zahanati, baadaye saa 8:00 mchana na kukuta majibu ya sample za mtoto wameachiwa wanafunzi waliokuwa Field; huku mtaalamu hasa aliyekuwa ameyafanyia kazi akiwa tayari ameshaondoka ofisini

Majibu hayo ndiyo ambayo hatimaye yalipelekea mtoto huyu akapewa rufaa ya kutoka hapo Zahanati kwenda hospitali kubwa kabisa ya rufaa ambako baada ya kufika huko. hakuweza kuwa recommednded kwa admission; ila aliendelea kupewa dawa tu za kutumia akiwa yupo nyumbani kwao akisubiria rufaa nyingine ya kwenda hospitali nyingine kubwa ya rufaa nje ya mkoa huo

  • Rufaa ya kumtoa nje ya mkoa ilikuja kutoka takribani wiki tatu baadaye tarehe 11/05/2022 na tarehe 12 siku iliyofuata baada ya rufaa, mzazi na mtoto waliwasili kwenye hospitali nyingine ya rufaa; mtoto akiwa ameambatana na mzazi tu; hakuwa amesindikizwa na nesi
  • Mtoto alikuwa hatembei tena; alitoka nje ya Aiport akiwa anasukuwa kwa kutumia kitoroli cha Swissport
Kule “Source Airport” alikotokea mtoto huyu akiwa hatembei walilazimika kuidanganya mamlaka ya uwanja wa ndege kuwa mtoto huyo alizaliwa hivyo na si mgonjwa
  • Vinginevyo mamlaka hiyo ilikuwa imemtaka mzazi atoe uthibitisho kwa kutumia barua ya mtaalamu iliyokuwa imesema kuwa mtoto huyo ni mgonjwa na hivyo amepewa rufaa kwenda kupata matibabu kwenye hospitali nyingine
  • Zaidi ni kuwa baada ya mzazi na mtoto kuwa wamewasili kwenye hospitali waliyokuwa wamekuwa “reffered to”, wataalamu wa hospitali hiyo mpya nao pia walihitaji kujua ni wapi mtoto alikuwa amekuwa admitted kwanza kabla ya kuja kwenye hospitali hiyo
Hapo mzazi aliyekuwa ameambatana na mtoto aliwajibu kuwa mtoto huyo hakuwahi kuwa admitted na kwamba alikuwa ametokea nyumbani akiwa amemabatana na mzazi peke yake na pasipokuwa na nesi kutoka kwenye hospitali iliyokuwa imempa rufaa

Kikubwa hasa anachotaka kukieleza hapa mhusika ni ile COINCIDENCE YA “SHMJ” KWENDA KUFUFUA KESI KATIKA MUDA AMBAO MZAZI WA MTOTO ALIKUWA YUPO ZAHANATI AKISUBIRIA VIPIMO VYA MAJIBU YA MTOTO; na hivyo SHMJ kupelekea au kusababisha

  • Mzazi kuondoka ghafula hapo Zahanati J4 ya tarehe 19/04/2022 tena huku akiwa na paniki, akielekea kwenye kesi ya MTT1990 alikotakiwa kuwepo ghafla muda huo; huku nyuma akiacha sample za mtoto zikiwa bado hazijafanyiwa kazi
  • Mzazi kurudi tena Zahanati siku hiyo majira ya saa 8:00 mchana na kukuta mtaalamu aliyehusika na vipimo vya sample hayupo ofisini ila majibu yapo akiwa amewaachia wanafunzi wa Field
  • Mzazi kupewa majibu na wanafunzi waliokuwa wapo Field na si mtaalamu aliyekuwa ameyafanyia kazi
  • Mtoto kupewa rufaa kutokea kwenye Zahanati hiyo kwenda moja kwa moja kwenye hospitali nyingine kubwa kabisa ya rufaa mkoani humo, bila kupitia kwenye aidha hospitali ya mkoa au kwenye kituo kingine chochote cha Afya chenye hadhi iliyo juu ya Zahanati hiyo
  • Mtoto kupewa rufaa kutoka hospitali moja kubwa ya mkoa mmoja kwenda hospitali nyingine kubwa ya mkoa mwingine; pasipo mtoto kusindikizwa na nesi kutoka kwenye mamlaka ya hospitali ilyokuwa imempa mtoto rufaa huyo
……………………itaendelea
 
UPDATE: MONDAY 19 SEPTEMBER 2022

TAARIFA MUHIMU SANA KUHUSIANA NA MAMA MZAZI WA MTT1990

Mama huyu alitangulia mbele ya haki mwaka jana Septemba 2021


Baada ya mtu huyu kutangulia mbele ya haki, mashahidi wenye ushahidi wa pekee kuhusiana na tukio la kuzaliwa MTT1990 wakawa wamebaki watatu tu ambao ni MTT1990 mwenyewe, mhusika (mjomba wa MTT1990) pamoja na SHMJ ambaye ndiye baba mzazi wa MTT1990

Muda mfupi tu baada ya mama mzazi wa MTT1990 kuwa ametangulia mbele ya haki

SHMJ wakishirikiana na BNM walianzisha pilika pilika zilizoonyesha kuwa possibly walikuwa na mpango mwingine wa kufuta ushahidi mwingine kwa kutumia njia yoyote ile wanayoona kuwa inafaa

Zaidi wawili hawa wamekuwa kwenye pilika pilika zingine mbaya za kujaribu kupokonya na vitu vingine vya msingi ambavyo ni aibu hata kuvitaja humu jukwaani

Kwa mtu ambaye ni layman, SHMJ na BNM walistahili kupewa tuhuma zozote zile ambazo mtu layman anaweza akaziwaza kichwani kwake

…………………….itaendelea
 
UPDATE: FRIDAY 23RD SEPTEMBER 2022

MHUSIKA AMENUNUA SOUND BAR JANA ALHAMIS AMBAYO STORI YAKE IMEKAA HIVI


Sound Bar hiyo inatumia HDMI cable au lighting cable (hii ni kwa mujibu wa mtaalamu wa mambo ya muziki aliyemuuzia) kuunganisha kwenye Digital TV (DTV)

TV ya mhusika ina HDMI ports ila haina lighting port(s)

Muuzaji aliamua kumpa lighting cable badala ya HDMI au vyote viwili

Bahati mbaya kumbe HDMI cable moya ya mhusika ikawa haifanyi kazi, japo ni mpya aliinunua jana hiyo hiyo ila kwenye duka jingine

BAADA YA SAA ZA KAZI. hatimaye mtaalamu aliyemuuzia sound bar amelazimika kufika nyumbani kwa mhusika baada ya muda wa kazi' Kutoka dukani kwenda nyumbani kwa mhusika siyo mbali kiasi kwamba aliamua kutembea kwa mguu, hakuchukua gari wala hakupanda daladala
  • Majira ya baada ya saa 2:30 usiku mtalaamu alikuwa tayari yupo nyumbani kwa mhusika
  • Baada ya kuitathmini hali ya tatizo lenyewe, MTAALAMU ALIJIRIDHISHA KUWA HAKUNA UWEZEKANO WA KULITATUA TATIZO HILO ISIPOKUWA LABDA KWA KUNUNUA KIFAA KINGINE KUTOKA KARIAKOO
Mtaalamu amesema ataenda anunue kifaa hicho aje amfungie Ijumaa

Kwa utaalamu wake mdogo alionao MNUNUZI wa kifaa,, mpaka muda huu ameshajiridhisha kuwa HDMI cable MPYA aliyouziwa ndiyo MBOVU HAIFANYI KAZI; alishaitest kabla kwa kutumia LAPTOP yake
  • HDMI PORTS zote za DTV yake ni nzima na zinafanya kazi sawasawa, pasipo tatizo lolote.
  • PORTS HIZO ZINALALAMIKA KUWA HAZIPATI SIGNAL KUTOKA KWENYE INPUT zikimaaminsha kwamba HDMI cable aliyonunua kwenye duka jingine ndiyo haina SIGNAL
Kabla hajanunua kifaa hicho. mhusika aliamua kwenda kununua HDMI cable hiyo kwanza kwa ajili ya ku-test tu kuona kama ports za TV yake bado ziko nzima na zinafanya kazi sawasawa; kwa sababu alikuwa hajazitumia kwa muda mrefu
  • Baada ya kuona kuwa zilikuwa zinafanya kazi, ndiyo aliamua kurudi sasa dukani kwenda kununua SOUND BAR kwa kujua kuwa HDMI cable nzima ataipata kutoka dukani
  • Kwa bahati mbaya dukani nao waliamua kumpa lighting cable tu pasipo HDMI cable na hatimaye mhusika kukwama na kifaa hicho kipya
  • Mhusika alikubali kupokea LIGHTING CABLE baada ya kuwa convinced kitaalamu kutoka pale dukani kwamba BRAND zote za TV ya aina anayomiliki huwa zinatumia LIGHTING CABLE
  • Baada ya kisikia hivyo, mhusika hakuona tatizo lolote la kutumia cable ya aina hiy
  • Kwa hiyo kwa sasa, ufumbuzi uliopo ni kwamba mtaalamu wa kifaa ameenda kutafuta kifaa kingine Kariakoo halafu aje amfungie nyumbani kwake
HITIMISHO

TATIZO HILI LINAWEZA KUTATULIWA KWA KUTUMIA HDMI CABLE NZIMA na mhusika angependelea zaidi apate HDMI cable nzima ambayo imekuwa tested kutoka kwenye duka alilomumulia kifaa hicho

Ilitokea kwa bahati mbaya tu mhusika akaikosa cable hiyo kwenye duka lake la siku zote ambalo mara zote huwa ananunulia vifaa vya aina hivyo na hivyo kulazimika kwenda kununua kwenye duka jingine.

Wakati mhusika anaenda kununua cable hiyo. ilikuwa ni kabla hajanunua SOUND BAR na aliwajulisha wataalamu dukani hapo kuwa anaenda kununua HDMI cable kwanza ili arudi kwanza nyumbani kwenda kuhakiki kama HDMI PORTS za TV yake bado ziko sawaswa, halafu ndiyo baadye atarudi tena dukani hapo kununua kifaa hicho na hivyo ndiyo ilivyotokea

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
MAREKEBISHO MUHIMU
Kinachosomeka hapo juu kama LIGHTING PORT kinatakiwa kusomeka Kama OPTICAL PORT
 
Back
Top Bottom