KUHUSIANA NA SWALA HILI LA KILA YANAPOFANYIKA MAOMBI HASA YA ZAIDI YA SIKU MOJA “KANISA A” NA YENYE KUAMBATANA NA MFUNGO WA MAJI TU, ZINATOKEA AJALI MBAYA SANA NDANI YA WIKI HIYO
Mhusika anazo clues zingine ambazo ni za kiroho mno kuhusiana na swala hili na hivyo hawezi kuziandika humu kwa sababu alichoakiandika mpaka muda huu, kinaweza kuzaa matunda mazuri tu yanayohitajika, assuming kinafanyiwa kazi
Ukiiangalia vizuri ajali hii iliyotokea J2 iliyopita unakuta ina mambo kadhaa kama yalivyoainishwa hapa chini
KWA KUYAANGALIA BAADHI TU YA YALE YALIYOKUWA YAKIENDELEA KANISA A WAKATI AJALI INATOKEA J2 ILIYOPITA
Ajali imetokea J2 asubuhi saa 2.53, muda ambao KM-A alikuwa yupo madhabahuni (madhabahu ambayo ilikuwa imshambuliwa tangu J2 ya wiki iliyopita) akitoa matangazo yake ya UZINZI
Ni almost katika muda huo huo J2 iliyokuwa imepita nyuma yake, KM-A alikuwa tena yupo madhabahuni akitoa matangazo yake yaliyohusiana na ORGANISATION STRUCRURE, mara baada ya mwalimu wa somo lenye kichwa NGUVU YA JINA LA
“JOSHUA” kuhitimisha somo lake huku akiiacha madhabahu ya Kanisa A ikiwa taabani
KWA KUYAANGALIA BAADHI TU YA YALE YALIYOJIRI UPANDE WA MHUSIKA J2 HIYO
Kwa yale ambayo tayari yameshajiri upande wa mhusika hadi muda huu, mhusika anaona kuwa J2 hiyo alipokuwa yupo maeneo ya Kanisani, kuna uwezekano kuwa
mama wa kiroho alikuwa ameacha gari lake makusudi pale kwenye parking nzuri kwa lengo la kum-
scare mhusika ili asipaki pale na badala yake aende akapaki kwenye parking zile zingine zilizokuwa karibu na gate la kuingilia ndani ya uzio wa Kanisa
Kulikuwa na mpango wa hatari kwa mhusika na ambao possibly,
mama wa kiroho alikuwa anaufahamu vizuri, uliokuwa umenuiwa kwa maisha ya mhusika
Mbali na hilo, inaonyesha ingekuwa vizuri zaidi kama mpango ungekamilika siku hiyo hiyo na papo kwa papo. Hadi Profesa alikuwa anahusika kwenye mpango huo
KILE KILICHOKUWA KINAENDELEA KWENYE ENEO LA AJALI YENYEWE J2 HIYO HUKU IBADA IKIWA INAENDELEA “KANISA A”
- Kijana aliyeenda kuwaokoa marubani alishindwa kufanya hivyo baada ya watu kumzuia kubomoa kioo, wakati marubani wenyewe walikuwa wanampa ishara ya kubomoa kioo ili waweze kujiokoa
- Hii inaonyesha kuwa watu hawa walimzuia kijana huyo makusudi ukizingatia kuwa pamoja na wao wenyewe kuwepo eneo la ajali, hatujataarifiwa kuwa waliokoa angalau mtu mmoja
Kwani ndege ikianguka kwenye maji, usalama ni kubaki ndani ya ndege au kutoka nje kwenye maji? Hizo life jackets ambazo huwa zinaonyeshwa kwenye demo, huwa zinamaanisha nini?
Mpaka muda huu k
itu pekee tunachotaarifiwa kuhusiana na watu hao ni kwamba walimzuia kijana kubomoa kioo cha ndege na hivyo kupelekea marubani hao kupoteza maisha, na hicho ndicho kitu pekee walichofanya watu hao
Kwa tafsiri nyingine ni kwamba marubani hao hawakutakiwa kuwa hai
“The Dead Stay Dumb” by James Hardley Chase
Swali la msingi la kujiuliza hapa ni kwamba kwa nini watu hawa walienda kwenye eneo la tukio, ilhali kitu pekee walichofanya wakiwa hapo ni kumzuia mtu kuwaokoa marubani?
Ukizingatia kitu kingine kwamba ajali hii ilikuwa tayari imeshatabiriwa na mtu mmoja mtanaaoni (#1 ) tarehe 25/10/2022 siku moja kabla MR X kuanza pilika pilika zake pale ofisini kwake, yanajitokeza maswali mengi zaidi ya majibu
Kama ambavyo mhusika ameshaelezea hapo awali,
MR X ALIKUWA ANASHUGHULIKA NA ARDHI, IKIWA PAMOJA NA VILIVYO KWENYE ARDHI KAMA AMBAVYO. NA NDIYO MAANA HATA MAOMBI YA
KANISA A KWA WIKI HIYO YALIKUWA NI YA
MFUNGO WA MAJI TU; KWANI MAJI HUWA YANAKAA WAPI?
Ndege ikishazima injini huwa haina tena mfumo wa hewa wa ndani kwa ndani na ndiyo maana marubani walikuwa wanamwashiria kijana atoboe kioo ili watoke nje ya maji waweze kuwa salama
Je, hawa watu waliomzuia kijana kutoboa kioo, wao walikuwa hawajui hilo?
Tuseme abiria mpo ndani ya ndege nchi kavu, na katika hali ambayo ni ya salama tu na si ya hatari. Ikitokea tuseme injini ya ndege ikazma halafu mkaendelea kuwa mmefunga milango lazima mtakufa kwa kukosa hewa.
Je, hawa watu waliomzuia kijana kutoboa kioo ili aweze kuwaokoa marubani,
ni kweli kwamba “they are that much dumb” kiasi kwamba hawakulijua hilo?
……………………….itaendelea