NAMNA MAANDALIZI YA MAIGIZO KUELEKEA HUJUMA KWENYE GARI LA MHUSIKA YALIVYOFANYIKA
Yapata kama wiki mbili au tatu zilizopita, kwenye
Jumamosi moja mhusika akiwa yupo nyumbani kwake, alisikia kelel za gari iliyokuwa ipo kwenye barabara kuu ya kuelekea Mwenge, gari hiyo ilikuwa usawa wa jengo analoishi mhusika.
Gari hiyo ilikuwa inapiga STARTkwa shida na hivyo ilikuwa na HARD START
Hata hivyo kilichomshangaza mhusikasiku hiyo ni kwamba, kila ilipokuwa inabahatika ku-STRART, mwenye gari alikuwa anaipiga “lesi” kadhaa halafu anaizima tena na hivyo kupelekea circle ya
kupiga start–-kupiga lesi---- kuzima kuendelea kujiriudiarudia
Kitendo hiki kilichukua takribani dakika 7-10, na baada ya hapo mhusika hakuzisikia tena kelele za gari hiyo
BAADA YA SIKU KADHAA TANGU TUKIO HILO KUWA LIMEPITA
Kwenye J3 ya wiki hii tarehe 21/11/2022, mhusika akiwa amepaki sehemu tofauti na zilipo parking za ofisi yake, akiwa anataka kurudi nyumbani baada ya muda wa kazi, gari la mhusika lilipiga START kwa shida na
kwa kuigiza kama lilivyowahi kufanya gari alilowahi kulisikia likiwa barabarani Jumamosi moja, siku kadhaa zilizokuwa zimepita
Baada ya gari kufanikiwa kupiga START, mhusika aliondoka hadi nyumbani na alipofika huko, alikuta mazingira ya “configuration” pale nje yako kama ifuatavyo
Kulikuwa na Hiace ikiwa imepaki pembezoni mwa parking, sehemu yake ya nyuma ikiwa iko kwenye
nyasi na sehemu nyingine, ya mbele ikiwa
ndani ya parking ambayo haina nyasi bali
mchanga tu au udongo
Nyuma ya Hiace, kwenye sehemu jirani pembeni mwa basement floor (sehemu ambayo ni karibu tu na pale ilipokuwa imepaki Hiace), alikuwapo mama jirani akiwa amefungua maji ya bomba ambayo yalikuwa yanaendelea kuchururizika kutoka bombani
Mhusika aliiona hiace ikiwa tayari imepaki pale ilipokuwa, tangu alipokuwa bado yupo umbali kidogo kwenye akiwa bado yupo main road; kabla hajachepuka kutoka main road na kuchukua
feeder road ya kuingia mahali pale anapoishi
Kwa hiyo Hiace hiyo ilikuwa imepaki pale angalau dakika kadhaa kabla ya mhusika kuwasili eneo hilo la parking
Bombani alpokuwepo mama jirani, kuna base ya zege ya mchangayiko wa mchanga na cement, na hiyo diyo base ya bomba la maji lililoko pale. Mama jirani alikuwa yupo amekaa kwenye base ya
zege ya bomba hilo akiwa anaendelea na kufanya kazi zake
BAADA YA MHUSIKA KUWASILI MAENEO YA PARKING
- Kwanza kabisa alimuona mama jirani
- Baada ya kumuona mama jirani, muda huo huo ilitoka sauti kwenye gari ikiwa inamsalimia mama jirani aliyekuwa yupo bombani. Kumbe kulikuwa na mtu kwenye Hiace
- Sauti hiyo iliyotoka kwenye sehemu ambayo kulikuwa na Hiace iliyokuwa imesimama partly kwenye nyasi na partly kwenye mchanga usiokuwa na nyasi na ilikuwa inaelekezwa kwa mtu aliyekuwa amekaa kwenye zege
Still, mhusika hakufanikiwa kumuona mtu huyo, possibly alikuwa ndani akiwa amejilaza kwenye viti vya gari
Baada ya mama jirani kusalimiwa na mtu aliyekuwa kwenye Hiace, pale pale mama jirani naye aliamua kumsalimia mhusika ambaye yeye alikuwa amesimama kwenye mcahanga ambappo kwa wakati uliwahi kuwa emefunikwa na lami
Kwa hiyo sauti nyingine ilitoka kwenye
zege ikiwa imeelekezwa kwa mtu aliyekuwa amesimama kwenye
mchanga ambao hapo awali uliwahi kuwa umefunikwa na
lami
Kwa hiyo muda wote ambao mhusika aliiona Hiace akiwa bado yupo maini road kulikuwa na mtu ndani ya Hiace hiyo ambaye alikuwa hajapata nafasi ya kusaalimiana na mama aliyekuwa kwenye bomba la maji.
Mama huyu hakuwa amekuja pale bombani muda ule ambao mhusika alifika kwenye parking isipokuwa alionekana kuwa alikuwa pale angalau dakika kadhaa kabla ya mhusika kufika eneo la parking, na huyu mtu mwingine aliyekuwa kwenye Hiace naye pia alikuwa yupo pale dakika kadhaa kabla ya mhusika kuwasili
Kwa hiyo, pamoja na wawili hawa kuwepo maeneo yale, walikuwa bado hawajabahatika kusalimiana na walisalimiana tu baada ya mhusika kufika maeneo yale
…………………inaendelea