.................................inaendelea
Baada ya maongezi hayo ya simu, mhusika na OM-2 walikuja kufanya tena maongezi ya simu pale mhusika alipompigia OM-2, mhusika alipokuwa tayari yupo kituo cha Polisi, na ndiyo ilikuwa simu ya mwisho waliyofanikiwa kuongea wawili hawa, na baada ya hapo, simu ya OM-2 ilianza kuwa haina majibu kila mhusika alipokuwa anajaribu kuipigia
BAADA YA FUNGUO KUPOTEA, OFISI ILIFUNGWA J5 JIONI, MKUU WA IDARA ALIKUWA YUPO SARAFI
Ilipofika J3 ya tarehe 18/09/2023, mhusika alikabidhiwa funguo zingine na Mkuu wa Idara (MWI), ambaye alikuwa tayari amesharudi kutoka safari
- OM-2 hakuwepo mazingira ya ofisini wakati MWI anamkabidhi mhusika funguo
- Alikuwa bado yupo kwenye training nyingine tena ya pili iliyoanza J3 hiyo ya tarehe 18/09/2023 na ilikuwa inaishia Alhmais ya tarehe 21/09/2023
Kwa hiyo J3 hiyo wafanyakazi wa usafi hawakumkuta tena OM-2 ofisini kwa MARA YA PILI muda walipokuwa wamefika kwa ajili ya kufanya usafi ofisini hapo
Mbali na hayo J3 hiyo wakati wa makabidhiano ya funguo, MWI alimtaarifu mhusika kuwa vitasa vilikuwa vimebadilishwa mapema tu ndani ya wiki ya upotevu wa funguo na hatimaye funguo zingine kukabidhiwa kwa OM-2 kwa sababu OM-2 alihitaji kutumia ofisi kwenye siku mbili za Alhmisi na Ijumaa zilizokuwa mbele ya wiki hiyo ya upotevu wa funguo
Hiki kitu ndiyo kilimpa shida kidogo mhusika kichwani kwa sababu, ukiondoa siku ile ya J3 jioni ya wiki ambayo funguo zilipotea na siku ambayo OM-2 alifika ofisini na kumkuta mhusika akiwa anatokea kwenye training iliyokuwa imeanza siku hiyo,,
kwa siku zingine zote ambazo mhusika alikuwa anakuwa yupo mazingira ya ofisini, hadi kufikia J5 ile ya upotevu wa funguo, OM-2 hakuwa ameonekana tena ofisini na hivyo hakuwa ameonana na mhusika
Majibu hayo ya MWI kwa mhusika yalimaanisha kuwa baada ya mhusika kupoteza funguo siku ya J5 huku OM-2 akiwa hayupo mazingira ya ofisini, baada ya hapo
OM-2 alirudi tena mazingira ya ofisini kwa siku za Alhamis na Ijumaa za wiki hiyo, tofauti na ilivyokuwa muda kabla mhusika alikuwa bado hajapoteza funguo
KUHUSIANA NA TRAINING YA PILI YA OM-2 ILIYOANZA J3 YA TAREHE 18/09/2023 NA KUISHIA ALHAMIS YA TAREHE 21/09/2023
Tofauti na ilivyokuwa kwenye training ya kwanza, kwa hii ya pili OM-2 alikuwa anaanzia kwenye training kwanza na ulipokuwa unafika muda wa kuanzia saa 9:30 alasiri, OM-2 alikuwa anafika tena ofisini na kumkuta mhusika
Kwa siku zote za mtindo huu wa OM-2, mara zote mhusika amekuwa akitoka ofisini kurudi nyumbani na kumuacha OM-2 akiwa bado anaendelea na kazi zake ofisini
Kwenye training ile ya mwanzo kwenye wiki ambayo mhusika alipoteza funguo, OM-2 alikuwa hafiki ofisini asubuhi wala jioini
BAADA YA TRAINING YA PILI YA OM-2 KUHITIMISHWA WIKI JANA SIKU YA ALHAMIS YA TAREHE 21/09/2023
Kesho yake Ijumaa asubuhi, mhusika alimkuta OM-2 akiwa tayari ameshaingia ofisini
Kwa siku hiyo, tofauti na ilivyo kawaida yake siku zote kwamba huwa anakuwa na simu moja tu SMARTPHONE,
kwa siku hiyo OM-2 alikuwa amebeba simu mbili; nyingine ya pili ikiwa ni zile ndogo ambazo SIYO SMART
- Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika kumuona OM-2 akiwa na simu nyingine hiyo ndogo isiyokuwa smart
- Baada ya muda, OM-2 alichukua simu hiyo ndogo na kumpigia OM-1, ambaye bado yuko safari
- Baada ya maongezi kidogo, OM-2 alimuomba mhusika kama alikuwa pia anaweza kuongea na OM-1
Mhusika alishukuru na hatimaye kuchukua simu hiyo na wakaongea na OM-1; ambaye alisema kuwa karibia kurudi tena ofisini
MUDA KITAMBO IJUMAA HIYO BAADA YA MHUSIKA KUPEWA SIMU NA OM-2 ILI AONGEE NA OM-1 AMBAYE BADO YUPO SAFARI
OM-2 alimuaga mhusika kuwa anaondoka ofisini na hatarudi tena kwa sababu alikuwa na swala muhimu la kushughulikia Bank. Muda ulikuwa ni wa asubuhi majira ya kama ya saa tano hivi
- Kwa hiyo Ijumaa hiyo OM-2 hakukaa tena ofisini
- Kwa reference ya mhusika, hadi kufikia Ijumaa hiyo, OM-2 akawa amekamilisha WIKI MBILI za kuwepo kazini pasipo kuonekana na watu wa waliopo mazingira ya ofisini kwake
BAADA YA OM-2 KUONDOKA OFISINI IJUMAA HIYO
Hazikupita hata dakika 15,
BOSS XX aliingia ofisini kwa mhusika
- Huyu alikuwa anapita tu kumjulia hali husika na pia kumtaarifa kuwa amekuwa relocated kiajira kutoka kwenye Taasisi hiyo na hivyo amehamishiwa kwenye Taasisi nyingine
- Kutokana na relocation hiyo, BOSS XX alimjulisha mhusika kuwa alikuwa amefika kwa ajili ya kufanya clearance ofisini hapo tayari kwa kuhamia sehemu nyingine
Mara ya mwisho,
BOSS XX alifika ofisini kwa mhusika ilikuwa ni mwaka jana August 2022 na alifika siku hiyo akiwa na
mission maalum kwa ajili ya ku-LAUNCH WEAPON inayohusika na maswala ya LOCATION
- Kwa hiyo, BOSS XX alifika muda mfupi tu baada ya OM-2 kuwa ameondoka ofisini Ijumaa hiyo
- Baada ya OM-2 kuondoka ofisini siku hiyo, hakuonekana tena ofisini tangu siku hiyo hadi ilipofika JANA J4 YA TAREHE 26/09/2023
Kwa hiyo J3 ya tarehe 25/09/2023 wafanyakazi wa usafi hawakumkuta tena OM-2 ofisini kwa MARA YA TATU muda walipokuwa wamefika kwa ajili ya kufanya usafi ofisini hapo
Mbali na wafanyakazi hawa wa usafi, kuna kundi la watu lilirudi ofisini J3 ya tarehe 18/09/2023 kutoka field ambalo uhakika alionao mhusika ni kwamba kati ya watu hao,
ni watu wawili tu kwa sasa ambao wanaweza kuhakikisha kuwa OM-2 yupo mazingira ya ofisini
- Watu hawa ni dereva wa MKUU WA MAJOR UNIT, pamoja na binti ambaye aliwahi kumchukua OM-1 (office mate yule mwingine ambaye bado yupo safari) kumpeleka kwenye viwanja vya sabasaba, kipindi binti huyu alipokuwa ana-Kaimu Ukuu wa Idara.
- Tukio hilo lilitokea baada ya mhusika kutoa taarifa kuwa kwa kipindi hicho, OM-1 alikuwa ameanza kuonyesha dalili za wazi za kuwa anakwepana na watu idarani wakiwemo wanafunzi
Mbali na hilo, ukiondoa siku ya leo J5, kwa siku zingine zote kuanzia jana na kurudi nyuma hadi kwenye kipindi cha wiki mbili za training ya OM-2;
OM-2 na SENIOR MSTAAFU WA KIKE (SMK) hawajawahi kuonana kwa sababu muda wao wa mazingira ya ofisini mara zote umekuwa ukipishana
- SMK anapokuwa yupo ofisini, OM-2 anakuwa yuko kwenye training na OM-2 anapokuwa amerudi kutoka kwenye training, SMK nakuwa ameshaondoka ofisini
- Kwa upande wa MWI, mara ya mwisho mhusika kuwaona MWI wakiwa pamoja na OM-2 ilikuwa ni siku MWI alipokuwa anamkabdihi OM-2 funguo za ofisi, zaidi ya miezi mitatu iliyopita
Vile vile kwa siku ya
Ijumaa iliyopita, binti mwingine amnbaye si mwajiriwa ila huwa anakuwepo mazingira ya ofisini kwa mume wake ambaye mume ni mwajiriwa, naye pia alifika ofisini kwao mhusika akimuulizia OM-2,
- Ilikuwa ni baada ya OM-2 kuwa tayari ameshaondoka ofisini
- Mbali na huyo, J3 ya wiki hii, binti mwingine ambaye yeye ni mwajirwa mpya kutoka kwenye ile idara nyingine, naye pia alifika ofisini akimuulizia OM-2
Hizi kwepa za watu hawa kukwepana kwepana kwa makusudi mazingira ya ofisini zinamaanisha nini?
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA