#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

Hivi kwa mfano, kuna ugumu gani kwa Kanisa Jipya kuliita Kanisa jipya? Kipi ni rahisi zaidi kati ya kuliita

"Kanisa ambalo waumini wanasubiria madhabahu tu kuwekwa ili wahamie na kuanza kuabudu humo"

Kanisa jipya na jengo jipya? Kipi ni rahisi zaidi, na kwa mtu ambaye ni mtumishi wa Mungu?
 
UPDATE: THURSDAY 22nd JANUARY 2021

A MUST READ POST

KUNA AKILI KUBWA IMETUMIKA HAPA IWAPO TU MATUKIO HAYA YALIYOELEZEWA HAPA YATAKUWA SIYO COINCIDENCES


MAELEZO YA UTANGULIZI WA TUKIO LENYEWE KWA UJUMLA

Tukio hli linaundwa na mlolongo wa matukio ya kawaida tu ambayo amekutana nayo mhusika ndani ya wiki hii kuanzia J3 hadi Alhamis ya tarehe 21/01/2021

  • Ni matukio ambayo yanaonyesha pattern fulani yenye mpangilio wa hali ya juu sana
  • Kama matukio haya yatakuwa siyo coincidences, basi akili iliyotumika itakuwa ni ya juu sana na waliohusika wanahitaji kupongezwa kwa hilo
  • Pattern ya matukio haya inaonekana kuwa linked sana na nyaraka muhimu ambazo mhusika aikuwa bado anazihitaji kwa ajili ya kuendelea kudai cheo na pamoja na mshahara wake stahiki ikiwa ni pamoja na maslahi yake mengine ambayo bado hajalipwa hadi leo
Mojawapo ya nyaraka muhimu sana kwake kuzidi zingine zote katika kudai maslahi yake haya ilikuwa ni ile barua ya Julai 2012 ambapo aliwahi kupandishwa cheo halafu baadaye akaja akashushwa tena mwaka 2014

  • Barua hii ni kielelezo muhimu sana kwake na ndiyo inayojenga msingi wa vielelezo vingine vyote vilivyofuata baada ya hapo
  • Barua hii tayari alikuwa ameshaipiga nakala zake kadhaa na akawa anazo ofisini kwake akijiandaa kwa ajili ya kuziambatanisha na barua ya madai yake
Ilitokea ghafula nakala zote za barua hii zilipotea ofisini kwake juzi J5 ya tarehe 20/01/2021. Hata hivyo hili halikumpa shida kwa sababu alikuwa na nakala zingine nyingine nyingi tu za barua hiyo, nyumbani kwake. Akiwa tayari ameshabaini hilo, baadaye alilazimika kuondoka kutoka ofisini kurudi nyumbani kwake ili akafanyie kazi huko kwa sababu ambazo atazieleza baadaye. Mazingira ya ofisini yalikuwa hayamruhusu tena kuendelea kufanyia kazi ofisini kwake kutokana na mpangilio wa ratiba ya kazi za siku hiyo ofisini hapo kama ulivyokuwa umepangwa na ngazi iliyo juu yake yeye mhusika.

  • Hadi muda analazimika kurudi nyumbani, alikuwa tayari ameshapiga nakala za barua mbili zingine tofauti, na kuzihifadhi humo humo ofisini kwake
  • Mojawapo ya nakala hizo zilikuwa ni za barua ya mwaka kupandishwa cheo mwaka 2017 iliyompandisha cheo kuanzia Novemba 2017 lakini mshahara haukubadilika baada ya hapo
  • Nyingine ilikuwa ni iliyomshusha cheo, barua ya mwaka 2019 ambayo ilikuja kuifuta hiyo ya mwaka 2017
Kwa hiyo, hadi muda analazimika kuhama ofisini na kurudi nyumbani akafanyie kazi zake huko, tayari alikuwa ameshapiga nakala za barua zote hizo mbili.

Hatimaye aliondoka ofisini na kurudi nyumbani, nakala hizo akiwa ameziacha ofisini kwenye kabati lake, akawa amefunga na ufunguo ambao si yeye peke yake aliye na ufunguo wa kabti hilo

  • Hata hivyo, yupo pia mtu mwingine ambaye naye ana ufunguo huo japo yeye (mtu huyo) huwa hatumii kabati hilo
  • Mhusika aliwahi kukabidhi ufunguo mmoja kwa mtu huyo mnamo Marvh/May 2007
  • Ilikuwa ni katika kipindi ambacho mhusika alikuwa re-allocated kwenye ofisi kwa mara ya kwanza
  • Mhusika alibahatika kupata kufuli jipya hapo ofisini na hivyo kupelekea kuwa analitumia kwenye mojwapo ya makabati yaliyokuwa yanahitaji kufungwa
  • Na kwa sababu ofisi hiyo ilikuwa na mwenyeji na ambaye ndiyo Mkuu wa Kitengo, pamoja na kwamba mhusika alihitaji kutumia kabati hilo yeye kama yeye, lakini ilikuwa ni lazima pia mojawapo ya ufunguo aukabidhi kwa mkuu wa kitengo hicho kwa sababu mkuu huyo anaweza wakati mwingine akalazimikika kukagua au kuangalia chochote kile mahali popote pale wakati wowote ule, ndani ya ofisi hiyo
  • Kwa hiyo hii ndiyo sababu iliyomlazimisha kumkabidhi ufunguo wa kufuli hilo lililokuwa jipya, mkuu wa kitengo hicho
Hata hivyo, huyu mtu hakuwa ameuomba ufunguo huo, isipokuwa ni mhusika mwenyewe tu aliona ni busara na pia kitendo cha kawaida, kumpa kopi ya ufunguo huo mtu huyo. Kwa sasa tuishie hapa

Tukirudi tena kwenye mada husika, mhusika alilazimika kutoka ofisini kurudi nyumbani akafanyie kazi huko, huku nyuma ofisini akiwa ameacha nakala za barua hizo mbili muhimu

Alipofika nyumbani, cha kwanza alichofanya ni kuchukua nakala nyingine ya barua ile ya Julai 2012 ili ambayo nakala zake zilikuwa zimepotea ofisini, ili akapige kopi nyingine, halafu aje aendelee na kazi za kuandika barua pindi akiwa yupo nyumbani.

  • Nakala za barua zake zote huwa anatunza nyumbani na siyo ofisini
  • Linapotokea hitaji la nyaraka yoyote ofisini, ambacho huwa anafanya ni kuchukua nakala moja ya kila kopi inayohitajika kutoka nyumbani na kwenda nayo ofisini na kutoa nakala
Bahati mbaya nyumbani nako pia alikuta hakuna nakala za barua hiyo ya Julai 2012, kwenye sehemu zote alizokuwa ameihifadhi

  • Wiki jana/juzi wakati anachukua nakala moja ya barua hiyo kwa ajili ya kwenda kupiga kopi, alikagua kila sehemu na kujiridhisha kuwa kulibaki na nakala zingie kadhaa, just in case of anything
  • Nakala hizo zilikuwa nyingi na zote hazikuwa sehemu moja, bali katika sehemu mbili au tatu tofauti tofauti
Hata hivyo, hatimaye Mungu alisaidia akapata nakala moja tu kati ya nyingi tu alizokuwa nazo nyumbani mwake, ambayo yenyewe ilikuwa imebaki Nakal hiyo ilikuwa imebaki katika sehemu ambayo hata yeye mwenyewe alikuwa hana kumbukumbu sahihi kama aliwahi kuihifadhi mahali pale

  • Hii ndiyo nakala pekee iliyomsaidia kuokoa jahazi
  • Zingine zote hazikuwepo
Bila nakala hii ilikuwa ni vigumu sana kwake kuweza kupata stahiki zake anazodai na pia angeonekana kuwa ni mwongo, na possibly angeweza kupata adhabu kali

Nakala hiyo aliichukua jana na kwenda nayo ofisini, akaipiga kopi, na baadaye akaimbatanisha na nakala zingine muhimu zilizohitajika, na jana hiyo hiyo Alhamis ya tarehe 21/01/2021 aliwasilisha barua ya madai yake kwenye mamlaka huiska ikiwa na vielelezo vyote ambavyo ni muhimu alivyovihitaji, na ambavyo baadhi yake alishawahi kuvigusia humu

  • Mbali na barua hiyo ya Julai 2012, aliambatanisha pia zile za hivi karibuni, barua ya mwaka 2017 na ile ya mwaka 2019
  • Barua zingine pia mbili zilizoandikwa mwaka 2014 zikimshusha cheo, nazo aliziambatanisha pai
  • Zingine zilikuwa ni promotion za mwaka 2013 na 2016 pamoja na hati za malipo ya May 2014 na June 2014; muda ambao ndipo kulitokea lile badiliko la mshahara wake kupungua kwa kiasi cah TZS 700,000/=
Kwa hiyo barua iliyokuwa imepotea kwanza, ilikuwa ni ile ambayo aliwahi kupandishwa cheo mwaka 2012 halafu baadaye akashushwa tena cheo na kupelekea mshahara wake kukatwa kiasi cha shilling laki saba taslimu (TZS 700,000/=) kuanzia Juni 2014, na hatimaye kupewa msahara mwingine mpya ambao tangia hapo mpaka muda huu ulishapanda kwa kiasi kutokana na ongezeko la nyongeza za mshahara za kila mwaka tu, na si kwa sababu ya promotion. Ni kwa sababu tangia pale, hajawahi kupata tena promotion isipokuwa amekuwa akipta barua tu ambazo alikuwa akiandikiwa zikimwambia kuwa amepanda tena cheo lakini mshahara wake uliendelea kuwa ule ule uliowahi kupunguzwa mnamo Juni 2014.

Maelezo ya kina kuhusiana na tukio hili namna lilivyotokea, yanafyata baadaye na yanafurahisha sana. STAY TUNED



NEXT:
MAELEZO KAMILI YA TUKIO LENYEWE
 
A MUST READ POST

KUNA AKILI KUBWA IMETUMIKA HAPA IWAPO TU MATUKIO HAYA YALIYOELEZEWA HAPA YATAKUWA SIYO COINCIDENCES



…………………………..inaendelea

MAELEZO KAMILI YA TUKIO LENYEWE


J4 ya tarehe 19/01/2021 mhusika alipofika ofisini alikuta kuna mafundi ujenzi wanaendelea na shughuli za ukarabati wa jengo kwa nje, usawa wa mojawapo ya madirsiha ya ofisi yake iliyoko ghorofa ya kwanza. Kutokana na pilika pilika zilizokuwa zikiendelea, aliamua atoke kidogo ofisini akafuatilie maswala mengine ya muhimu kwake kwa kutarajia kuwa mpaka atakapokuwa manarudi, mafundi hao wanaweza kuwa wamesogea sehemu nyingine na hivyo kelele hizo zitakuwa zimepungua

Mhusika aliamua kutoka ofisini na kuelekea sehemu nyingine kwa ajili ya kufuatilia swala la maji ambayo yalikatwa tangu Novemba 2018 pamoja na umeme uliopungua nguvu kwenye baadhi ya sehemu ndani ya nyumba yake. Mara ya mwisho alifanya hivyo ilikuwa mwanzoni mwa mwezi Desemba 2020. Kwa hiyo alienda kukumbushia maswala hayo mawili ili aweze kupata msaada wa haraka kama inawezekana

Baada ya kuwa ametoka huko, kipindi fulani akiwa juu ghorofa ya kwanza akiwa anapunga upepo, alibahatika kumuona office mate na swahiba wake akiwa anatembea chini kuelekea kwenye parking.. Office mate huyu ni mpya kiasi pale ofisini na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi ofisi ya mkuu wa taasisi aliyepita, yaani yule ambaye kwa sasa ni mstaafu. Huyu office mate akiwa yuko chini nje ya jengo, (ground floor) alimjulisha mhusika kuwa kuna mtu XXX alikuwa anamtafuta mhusika. Mhusika alishukuru kwa ujumbe huo na kumjulisha office mate kuwa atajitahidi kuhakikisha kuwa anafanya mawasiliano na mtu huyo XXX

Siku moja kabla ya siku hiyo, mafundi wawili walifika ofisini kwa mhusika wakijitambulisha kuwa kuna kazi wanatakiwa wafanye na walimtaja mtu anayehusika ndani ya jengo ambaye wameelekezwa kwake, walimytaja YYY.Baadaye tena YYY allisema anayehuiska ni XXX, ambaye kwa J3 hiyo mhusika hakuweza kuonana naye na ndiyo maana ilibidi waonane J4

Zaidi ni kuwa wiki jana kwenye J5 au Alhamis, mhusika alikwa tayari ameshaanza pilika pilika za kuandaa barua ya kwa ajili ya kudi maslahi yake, akionekana akipita kwenye korido na nakala za vielelezo muhmi kwa ajili ya mpango wake huo

Tukirudi tena kwenye mtiririko wa mada yetu. Hatimaye mhusika alitoka hapo kwenye korido ghorofani akawa anaelekea ofisini kwake

  • Office ya XXX iko njiani kabla haujafika ofisini kwa mhusika
  • Alipofika usawa wa pale ilipo ofisi ya XXX, mhusika alijaribu kufungua kitasa cha mlango,lakini ulikuwa umefungwa,
  • Kwa hiyo XXX hakuwamo ofisini na hata wenzake wawili ambao huwa yuko nao humo siku zote nao pia hawakuwamo
  • Mhusika akaendelea mbele kuelekea ofisini kwake
  • Jirani kabisa mkabala na ofisi yake upande wa kushoto ukiwa unaelekea ofisini kwake, kuna chumba kingine kinaitwa MICROSCOPE.
  • Kabla mhusika hajaingia ndani ofisini mwake, walikutana ghafla na XXX kwenye korido ndogo inayotenganisha chumba hiki na ofisi ya mhusika
  • Kumbe XXX alikuwa ndani ya chumba hicho tajwa kwa muda akwa anamsubiria mhusika
  • Kwa wakati huo, mhusika hakuweza kujiuliza swali la kwa nini XXX hakuwa amekaa ofisini kwake akamsubiria mhusika humo, na badala yake aliaamua kwenda kumsubiria kwenye chumba hicho ambacho ni nadra sana kwake XXX kuonekana humo
Mpaka hapa, kuna coincidenceskadhaa zinajitokeza wazi kwenye tukio hili au kama sivyo basi kulikuwa na super plan. Hii ni kutokana na ukweli kuwa kwenye korido la floor hiyo kuna kamera. Hivyo basi:

  • Iwapo mhusika angemkuta XXX ofisini kwake halafu baada ya hapo wakaongozana wote kuelekea ofisini kwa mhuiska ili wakaongee kuhusiana na swala lile lililomfanya XXX amtafute mhusika pindi alipokuwa ametoka kidogo, korido hiyo ina Kamera ambayo ingewaonyesha wawili hao wakiwa wanaongozana kuelekea ofisini kwa mhusika
  • Iwapo kwa upande mwingine kama mhusika angemkuta XXX akiwa ndani ofisini kwake, Kamera hiyo vile vile ingemwonyesha mhusika akiingia ofisini kwa XXX, na baada ya muda kadhaa kupita, ingemwonyesha akiwa anatoka tena ofisini humo aidha peke yake au wakiwa wawili na XXX
  • Kamera hiyo ingeonyesha pia “lapse of time” ambayo mhusika angeitumia akiwa ndani ya ofisi ya XXX na hadi muda ambao alitoka humo ofisini kwa XXX
  • Muda huo pamoja na matukio mengine ambayo yangekuja kuwahusisha wawili hawa baadaye, ungedhihirsha wazi kuwa kulikuwa na muda fulani waliutumia aidha kwa maongezi fulani maalumu possibly kwa ajili ya kazi fulani maalum ambayo walipangiwa kuifanya kwa ushirikiano
Hata hivyo, mpaka muda huu na baada ya matukio mengi kupita, kwa sasa, INAONYESHA KAMA Kitendo cha XXX kuwa ndani ya chumba cha MICROSCOPE akiwa anamsubiria mhusika kwa ajili ya maongezi, badala ya kuwepo ofisini kwake, akikitumia chumba hicho kama “shield” ya yeye kujikinga na Kamera iliyoko kwenye Korido.

  • Chumba hiki kimekaa katika namna ambayo ukifungua mlango wake, anayeelekea ofisini kwa mhusika hawezi kupita kwanza mpaka pale utakapofunga
  • Mlango huu una uwezo wa kumkinga mtu aliye ofisini kwa mhusika asionekane na watu walioko kwenye korido
  • Malngo huu huwa unafunguka kwa nje ya kikorido kidogo na hivyp mhusika anaweza kupita tu kuelekea ofisini kwake pindi mlango huu unapokuwa katika position ya kufunga, na si katika position ya kufungua
  • Mlango huu unapokuwa umefunguliwa una uwezo wa kumkinga mtu anayeingia ofisini kwa mhusika asionekana na Kamera ya kwenye Korido
  • Kamera ya kwenye korido huwa inarekodi matukio hadi ofisini kwa mhusika hata kama mlango wa ofisi yake umefunga kwa sababu mlango huo una nusu kioo kwa juu
Zaidi ni kuwa sehemu ambayo mhusika huwa anakaa siku zote ndani ya ofisi hiyo, iko accessible na Kamera iliyoko kwenye korido kwa sababu kioo kilicho kwenye mlango huo. Kwa hiyo ni likely (hana uhakika) kwamba Kamera hii huwa imekaa imemumulika muda wote pindi anapokuwa yupo ofisini kwenye meza yake

Baada ya XXX kuwa wamekutana na mhusika katika mazingira hayo, XXX alimweleza mhuiska kuwa kuna matengenezo ambayo inabidi yafanyike siku hiyo ofisini kwake, na hivyo itabidi kwa muda abadilishe sehemu ya kukaa, kuwapisha nafundi ili waweze kufanya kazi yao. Hata hivyo ilikuwa ni ghafula mno ila mhusika hakuwa na pingamizi lolote lile katika hilo kwa sababu

  • XXX alionekana kuwa amepewa maelekezo kutoka ngazi ya juu na hivyo kwa wakti huo XXX alivaa koti la la wakuu wa kazi wa mhusika
  • Mhusika hakuwa na chochote cha ziada cha kuhoji isipokuwa kuruhusu kazi ziweze kuendelea
Kabla ya kazi kuanza, mhusika hakuona sababu ya kubadilisha sehemu ya kukaa, alisubiri mafundi waje waanze kazi kwanza halafu ndiyo abadilishe sehemu ya kukaa. Aliendelea kukaa pale pale ambapo watu wote huwa wanapita kwenye korido na kumuona amekaa kupita kioo cha mlango wa ofisi yake hiyo

Kama angeamua kubadilisha sehemu ya kukaa kabla mafundi hawajaanza kazi, baadhi ya watu anbao wameshazoea kumuona akiwa amekaa mahali pale siku zote wangeweza kudhani kuwa hayumo ofisini, ametoka. Vile vile hata kwenye kamera asingeweza kuonekana pia

Mapema siku hiyo, kuna wakati XXX aliwaleta rasmi mafundi hao na kuwatambulisha rasmi kwa mhusika, mmoja wao akiwa ni yule ambaye jana yake aliwahi kufika tena ofisini ila wakati huo ilionekana kuwa XXX hakuwepo

Baada ya utambulisho huo, mafundi hawa waliondoka na baada ya masaa kadhaa kupita, walirudi na kuja kuchomeka nyaya kwenye socket ya umeme na kuondoka tena

  • Baada ya hapo ndipo sasa mhusika alipolazimika kubadilisha sehemu ya kukaa
  • Alihamisha meza yake na baadhi ya vitu na kusogea ndani zaidi pamoja, sehemu ambayo watu waliozoea kumuona kutokea kwenye korido, wasingeweza kumuona tena na wengine walidhani kuwa pengine hakuwamo ofini mwake, lila alikuwemo
Baada ya hapo, mafundi waliondoka tena na baada ya masaa kadhaa kupita tena na kabla hawajarudi, umeme ulikatika

Umeme ulirudi mida ya karibia saa 10, na baada ya hapo


  • XXX alifika tena ofisini kwa mhusika akiwa ameambatana na fundi aliyechomeka nyaya asubuhi kabla ya umeme kukatika
  • XXX akashauri mafundi waanze kazi muda huo, lakini mhusika akatoa udhuru kwamba muda wa kuondoka kwake ofisini ulikuwa umekaribia na hivyo akashauri kazi ianze kesho yake
  • XXX akamshauri mhusika awaachie funguo zake za ofisi ili waendelee na kazi yeye atakapokuwa anaondoka baada ya saa kumi
  • Mhusika naye tena akamshauri XXX akachukue funguo za akiba za ofisi hiyo, ambazo huwa zipo muda wote ofisini kwa Mkuu wa Idara, watumie hizo
  • XXX akafanya hivyo lakini baadaye alirudi mikono mitupu akisema kuwa hapakuwepo na funguo za ziada
Mhusika akashangaa kusikia hilo kwa sababu funguo hizo zimekuwepo siku zote, miaka yote. Hata hivyo walishauriana hatimaye wakakubaliana kazi ianze kesho yake kwa sababu muda ulikuwa umeenda, na muda rasmi wa masaa ya kazi ulikuwa unaisha. Vile vile umeme nao pia ulionekana kuwa umerudi sehemu sehemu, kiasi kwamba socket zote hazikuwa na umeme

Hiyo siku ikawa imepita hivyo, ambayo sasa hii ndiyo J4 ya wiki hii





……………………..inaendelea
 
…………………………..inaendelea

MAELEZO KAMILI YA TUKIO LENYEWE

Wakati umeme unarudi siku ya J4:


  • Mhusika alikuwa amerudi kwenye position yake ya zamani na ambayo huwa anakaa siku zote
  • Alikuwa amechoka kukaa kwenye meza ambayo mahali ilipo kwa sasa, haimpi nafasi ya ya kukaa kwa uhuru sana
  • Alikuwa ameweka kiti na kukaa kwenye position ile ile ambapo meza yake ilikuwa imehamishwa
  • Alikaa hapo akiwa amenyoosha miguu na alikuwa anafanya kazi nyingine binafsi
Kwa hiyo wakati XXX wanarudi wakiwa na fundi siku hiyo ya J4 baada ya umeme kurudi, walimkuta amerudi a kukaa nkwenye sehemu yake ya siku zote

Siku iliyofuata tena kesho yake yaani JUMATANO
, alifika ofisini asubuhi na kukuta umeme umekatika tena ( kumbuka kuwa hapa, jana yake J4 aliuacha ukiwa umerudi). Baada ya kukta hali hiyo iko hivyo:

  • Alitoka ofisini na kwenda kukaa kwenye veranda na kuanza kujisomea kitu fulani
  • Alikaa kwenye veranda hiyo kwa muda wa takribani zaidi ya masaa mawii, kabla ya kuamua kurudi tena ndani ofisini umeme ukiwa bado haujarudi tena
  • Baada ya muda huo, baadaye alirudi ndani ofisini na kuamua kukaa tena kwenye sehemu ile ile ambayo haikuwa na meza, sehemu ile ambayo jana yake alikaa baada ya kumaliza kufanya kazi zake
  • Ndiyo ile sehemu ambayo walimkuta akina XXX na fundi, akiwa amekaa wakati wanarudi kwenye muda wa karibia saa 10 jioni
Jumatano hiyo, baada ya kuwa amerudi kutoka nje alikokuwa amekaa na hatimaye kwenda kukaa tena sehemu ile ile ambayo alikaa jana yake, umeme huo ulirudi tena na kumkuta akiwa amekaa pale pale ambapo umeme huo ulirudi jana yake na kumkuta akiwa amekaa hapo

Siku hiyo, umeme ulikuwa haukuwepo tangu asubuhi na ulirudi kwenye majira takribani saa saba mchana

Coincidebces hizi mbili zinaonyesha kuwa ilikuwa kila akikaa sehemu ambayo imejificha na kuwa haonekani na mtu yoyote, umeme unakuwa haupo na alipokuwa anaamua kuhama na kukaa sehemu ambayo iko wazi na inaonekana na kila mtu hapo ofisini, umeme ulikuwa unarudi



…………………..inaebdelea
 
…………………………..inaendelea

MAELEZO KAMILI YA TUKIO LENYEWE


TUKIRUDI NYUMA KIDOGO SIKU YA J4 JIONI, BAADA YA KUWA AMETOKA OFISINI

Kesho yake J5 aliona ni busara aonane na Mkuu wa Idara (MWI) ili athibitishe iwapo kweli XXX alikuwa amepewa kazi hiyo na MWI, na kwa maelekezo ya matengenezo kama alivyokuwa anayapokea mhuska kutoka kwa XXX

  • Mhusika aliamua kufanya hivi baada ya kutilia mashaka mwenendo wa yale yaliyojitokeza siku ya jana yake, yaani J4, hasa kuhusiana na mwenendo wa ratiba ya matengenezo hayo
  • Mojawapo ya maswala hayo lilikuwa ni lile la funguo za akiba kukosekana ofisini kwa MWI
  • Jingine ni lile la XXX kutaka kuwasimamia mafundi kufanya kazi nje ya muda wa saa za kazi zinazokubalika
Kwa hiyo kesho yake J5 asubuhi umeme ukiwa bado haujarudi, mhusika alibahatika kuonana na MWI na ambaye alimtoa wasiwasi mhusika kuwa XXX alikuwa na mandate yote kutoka kwake kwa ajili ya kazi hiyo

  • Zaidi MWI alimweleza mhusika kuwa yeye kwa sasa siyo Mkuu wa Idara tena
  • Mkuu wa Idara kwa sasa ni mwingine na alimtaja kwa jina
  • MWI alimlaumu mhusika kwa kukosa taarifa hizo ambapo na yeye alijitetea kuwa ni kwa sababu pengine taarifa hizo wanazi-share kwa njia ya whatsup ambayo yeye huwa hatumii
  • Zaidi mhusika alisema kuwa ameshasoma matangazo yote hadi kwenye website ya tasisi lakini hajakutana na taarifa hizo
  • Aliongezea pia kuwa vile vile hata kwenye pigeon hole yake hajawahi kukutana na tangazo la namna hiyo
Kwa ujumla ni kweli kabla ya hapo mhusika, alikuwa hajapata taarifa zozote kuhusiana na mabadiliko hayo na unless kama watu waliwahi kuyapokea kupitia kwenye mtandao wa whatsup, basi yeye atakuwa alikosa taarifa hizo

Kwa hali hiyo, kila itakapotokea inatokea kuwa na hitaji la kuongelea chochote kuhusiana na mtu huyu kwenye taarifa hizi, basi atakuwa ana-mrefer kama “ALIYEKUWA MKUU WA IDARA HIVI KARIBUNI” (MKHK)



…………………itaendelea
 
"We fight not for victory, but from victory"
"Every move of the enemy must come by permission under the protective hedge of Jesus Christ"
 
Li kitu lirefu
Afu anaongelea feni mara switch mara sanitizer.....feni hulipii umeme wewe mikono inakuwashia nini?
"We fight not for victory, but from victory"
"Every move of the enemy must come by permission under the protective hedge of Jesus Christ"
 
UPDATE: SATURDAY 23rd JANUARY 2021

NYONGEZA MUHIMU KUHUSIANA NA SENIOR MSTAAFU WA KIUME (SMK) UKIUNGANISHA NA SWALA LA UWEPO WA MKUU WA IDARA MPYA PASIPO MHUSIKA KUWA ALIPATA TAARIFA HIZO KATIKA MUDA UNAOTAKIWA

“On the background”
SMK ndiye amekuwa akiongoza idara hata kabla ya kustaafu

  • Maamuzi yote makubwa ambayo yamekuwa yakifanywa na wakuu wa Idara wote waliopita yeye amekuwa akihusika kwa kiasi kikubwa sana
  • Kama kuna jema zaidi liliwahi kufanyika idarani, basi mwenye mchango mkubwa kwenye maamuzi yaliyopelekea mema hayo kufanyika alikuwa ni yeye
  • Vile vile kama kuna yaliyofanyika kinyume na utaratibu, mwenye mchango mkubwa zaidi amekuwa ni yeye pia
SENIOR MSTAAFU WA KIUME (SMK) NA SWALA LA MKUU WA IDARA MPYA (MWIP) KUTOKUJULIKANA NA MHUSIKA HADI JANUARY 2021

Dhana aliyonayo mhusika katika hili ina mambo kadhaa mojawapo likiwa ni kwamba taarifa hizo za MWIP zitakuwa zilifika idarani isipokuwa SMK aliamua ziwe withheld ili mhusika asizipate kwa wakati

  • Lengo la kufanya hivyo ilikuwa SMK apate muda wa kujiandaa kufanya kile alichokuwa amepanga kukifanya mbele yake
  • Vile vile ilikuwa ni njia ya kumchelewesha mhusika kudai maslahi yake kutokana na ukweli kwamba mhusika huwa anamkubali zaidi huyu ambaye anasemekana kuwa amekuwa ni MWIP wa sasa
  • Hata kabla ya huyu aliyepita kuwa ameteuliwa kuwa MWI, mhuiska alikuwa anatamani zaidi huyu anayesemekana kuwa ndiye namekuwa MWIP, ashike usukani kuliko huyu aliyepita
Kwa hiyo iwapo mhusika angeweza kuyanusa mabadiliko haya mapya ya MWIP kipindi cha nyuma, tayari angekuwa ameshachukua hatua ya kuandika barua ya kudai maslahi yake kipindi kirefu nyuma mara baada tu ya kuwa amepata taarifa za mabadiliko hayo, kitu ambacho inaonyesha kama SMK alikuwa hapendi kitokee

  • Possibly SMK naye alikuwa ana maslahi yake fulani katika hilo, au pengine kulikuwa na jambo jingine analolijua zaidi yeye mwenyewe nafsini kwake
  • Katika kipindi cha hivi karibuni kuanzia mwezi Novemba 2020, mhusika amekuwa akikumbana na hata kukwepa mitego mingi sana ya hatari kila mahali anapotokea kuwepo. Mazingira hayo ya hatari yamekuwa nje ya mazingira ya ofisini kwake, ila ndani ya eneo lake la kazi.
  • Ni mengi yamemtokea na hawezi kueleza kila kitu
  • Kwa mfano, mwanzoni mwa Desemba 2020 alienda kufuatilia maji kwa mara ya kwanza pamoja na umeme uliopungua nguvu nyumbani kwake
  • Huko nako alikutana na mitego ambayo details zake hawezi kuzitoa humu jukwaani.
  • Vile vile J4 ya wiki hii aliporudi ofisi zile zile kwa ufuatiliaji wa maswala yale yale, alikwenda akambana na mitego ilelile kama ya ile ya Desemba 2020 na huduma hizo bado hazijarudishiwa hadi leo
Kwa hiyo J4 wiki hii alipokuwa ameondoka kwenda kuufuatilia maji na umeme, huku nyuma ofisini nako akawa anatafutwa tena kwa dharura nyingine ya ukarabati wa ofisi. Hii inaonyesha kama, kulikuwa na plans A na B kwenye siku husika kwamba if not A then B, and if A then not B.

Vile vile ufuatiliaji wa maswala yake unakuwa mgumu sana kwa sababu extension ya ofisini kwake haifanyi kazi kwa takribani miaka miwili sasa. Unless kwa bahati nzuri awe ana simu ya mkononi ya mtu husika na swala analohitaji huduma yake, ndiyo anaweza asinyanyuke kutoka ofisini kwake. Vinginevyo inabidi atoke physically kwa kila jambo analohitaji msaada wake. Kipindi extension zilipokuwa zipo, zilikuwa zinasaidia sana kwenye maswala haya

HITIMISHO

Ukweli usiofichika ni kwamba SMK amekuwa mwiba mkali sana kwenye career ya mhusika, kuanzia mwaka 2006

  • SMK aliingia madarakani mnamo Desemba 2015 na kuanxzia Juni 2006, mhusika hajawahi tena kupata kilicho haki zake wa usahihi kama inavyotakiwa, mpaka leo
  • Mshahara kwa mhusika umekuwa ni jambo ambalo ni favour na si right.
  • Kawida msahara huwa ni basic right ya mfanyakazi yeyote kuanzia wa kazi za ndani na kuendelea
SMK alipoingia madarakani tu, haki zote za mhusika zikawa compromised kiasi kwamba hajawahi tena kupata haki zake kama zinavyotakiwa kuwa kuanzia kipindi hicho hadi leo.

Kabla ya hapo, haki za mhusika hazikuwahi kuwa compromised na wala hakuwahi kutoa malalamiko yoyote kwa ngazi zilizoko juu yake kuhusiana na swala la maslahi yake
 
NEXT

KUNA AKILI KUBWA IMETUMIKA HAPA IWAPO TU MATUKIO HAYA YALIYOELEZEWA HAPA YATAKUWA SIYO COINCIDENCES



EBR. 6:4-6 SUV


Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo, wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri.
 
UPDATE-2: SATURDAY 23rd JANUARY 2021



A MUST READ POST:

KUNA AKILI KUBWA IMETUMIKA HAPA IWAPO TU MATUKIO HAYA YALIYOELEZEWA HAPA YATAKUWA SIYO COINCIDENCES




MAELEZO YA TUKIO LENYEWE

………………inaendelea

Siku ya J4 mhusika aliondoka jioni ofisini akaacha umeme ukiwa umerudi, halafu kesho yake J5 alifika ofisini asubuhi akakuta umeme umeshakatika tena. Kwa hiyo ikabidi awepo ofisini anasubiria umeme urudi na mafundi waweze kuanza kazi

Wakiwa kenye korido asubuhi hiyo, karibu na ofisi ya mhusika, waliongea pia na Mkuu wa Idara Aliyepita na mkuu huyo alimhakikishia mhusika kuwa yeye ndiye aliyekuwa ameruhusu ukarabati huo kufanyika na kwa muda huo na hivyo XXX alikuwa na full mandate kutoka kwake

Hatimaye, umeme ulirudi baadaye kwenye muda wa kaama saa saba za mchana na mafundi nao walifika mara moja kwa ajli ya kuanza kazi yao. Mhusika naye pia alikuwepo ofisini muda wote siku hiyo akisubiria umeme urudi ili aweze kufanya kazi zake

  • Mafundi walianza kwa kukata grill iliyokuwa ndani ya ofisi, kwa kutumia electric cutting machine
  • Baadaye tena walianza kukata mbao zilizokuwa ndani (top) kwa kutumia msumeno
Wakati wanaanza kukata grill ilibidi awapishe,na haikuwachukua muda mrefu sana. Baada ya hapo mhusika alirudi tena ofisini na kuanza kuendelea na kazi zake akiwa amekaa pembeni akiandika barua ya kudai maslahi yake, ambayo baadhi ya vielelezo vilivyokuwa vinahitajika kuja kuambatanishwa nayo, alikuwa tayari ameshavitoa nakala zake na zilikuwa kwenye kabati ambalo kwa muda wote alipokuwa yupo mazingira ya ofisini, kabtai hilo lilikuwa liko wazi

Kipindi mafundi walipoanza kukata mbao kwa msumeno, kukawa na vumbi jingi kiasi ofisini na mhusika akawasihi waache kwanza ili akusanye vifaa vyake akafanyie kazi nyumbani halafu baada ya kuwa ameondoka, wataendelea tena na kazi yao. Baada ya hapo mhusika alikusanya vifaa vyake, akafunga kabati lake na kumfuata XXX kwa ajili ya kumuaga kuwa anaenda kufanyia kazi nyumbani kuwapisha mafundi wafanye kazi kwa uhuru

Zaidi ni kuwa asubuhi baada ya mhusika kuwa amepata uhakika kabisa kuwa XXX alikuwa na full mandate kutoka kwa Mkuu wa Idara Aliyepita, mhusika aliomba ruhusa ya kwenda kuchonga funguo zingine za ziada za ofisi hiyo ili azikabidhi kwa XXX, kwa sababu zile za awali zilikuwa zimekosekana ofisini kwa Mkuu wa Idara. Mkuu huyo hakuona tatizo katika hilo na aliridhia na hivyo mhusika aliondoka asubuhi hiyo hiyo na kwenda kuchonga funguo hizo kwenye duka karibu na Sinza Makaburini, umeme ukiwa bado umekatika

Kwa hiyo ilipofika mchana baada ya umeme kurudi na mafundi kuanza kazi iliyokuwa inatoa vumbi la mbao,

  • Hatimaye sasa mhusika alilazimika kuondoka ofisini, akawaaga mafundi na kuondoka ofisini
  • Mhusika alimwita pia XXX na kumjulisha mbele ya mafundi kwamba yeye anakwenda kufanyia kazi nyumbani
Ikumbukwe kuwa mpaka wakati huo, nakala za barua ya kupandishwa cheo ya Julai 2012, alizokuwa tayari ameshaziandaa siku kabla ya hiyo zilikuwa tayari zimeshapotea, lakini hili halikuwa limempa shida kwa sababu alijua kuwa kuna nakala zingine nyingi anazo nyumbani

Alipofika nyumbani akapumzika kidogo halafu hatimaye akaamua kuanza kuandika barua yake. Baada ya muda tena akaamua achukue nakala moja ya barua ile iliyokuwa imepotea ofini, ili awe na uhakika wa kuwa anayo kwanza kabla hajaendelea mbele na swala la kuandaa barua yake, hivyo aliamua kukagua mafungu ya nakala za barua zake ambayo huwa anayo ndani mwake, kila moja likiwa katika sehemu yake tofauti na lingine

  • Alichukua nakala za fungu la kwanza lililokuwa sehemu moja hakuiona
  • Akachukua na kuangalia tena kwenye mafungu mengine mawili zadi ambayo nayo yalikuwa sehemu tofauti tofauti kila moja, lakini hata kwenye mafungu hayo napo pia haikuwemo
Uhakika wa nakala nyingi za barua hiyo alikuwa ameuhakikisha siku chache tu nyuma siku alipokuwa anachukua ile nakala moja ambayo alikwenda nayo ofisini kwa ajili ya kutengenezea nakala zile zingine ambazo nazo kwa sasa hazikuwepo tena ofisini, zilikuwa zimepotea

Tukio hili lilimsababisha akabaini pasipo shaka kuwa kulikuwa na mchezo ukiendelea. Mhusika siyo mgeni na mchezo wa aina hii kwa sababu ulishawahi kufanyika mwaka 2010 kwenye kadi ya gari ile ambayo aliwahi kuwaachia watu wa gereji.

Wakati gari hiyo bado inashikiliwa na wenye gereji, kadi ilipotea ghafla nyumbani. Ni kwa sababu walikuwa wamebadilisha injini, wakiwa wanamwambia awapelekee kwanza kadi ya gari waione. Baada ya kuona kuwa ulikuwa ni ujinga na akaamua kuitelekeza gari hiyo na kuwaachia, baadaye tena kipindi kirefu mbele kadi hiyo ilikuja kuonekana. Matukio ya aina hii ni mengi lakini hilo moja linatosha kama mfano.

Kwa hiyo ukweli usio na shaka kabisa ni kuwa wapo baadhi ya watu smart ambao huwa wanaingia nyumbani kwake wakati hapana mtu yeyote ndani ya nyumba hiyo, na wasiokuwa na nia njema. Kwa uzoefu wa miaka takribani 17 aliyoishi kwenye nyumba hiyo, ana uhakika wa zaidi ya 500% kwamba kuna watu ambao huwa wanaingia ndani kwake wakati nyumba hiyo haina mtu yeyote ndani

Baada ya hapo mhusika aliamua kufanya yafuatayo

  • Alivaa kinyumbani tu na kuwasha gari haraka sana kurudi ofisini
  • Hapa sasa alikuwa anawahi kwenda kuzichukua nakala zingine alizokuwa ameziacha huko
  • Mojawapo ya nyaraka muhimu kabisa zilikuwa ni barua mbili
  • Ya kwanza ilikuwa ni ile barua ya mwaka 2017 iliyowahi kumpandisha cheo kuanzia mwezi Novemba 2017 pasipo mshahara wake kuongezeka
  • Ili mshahara uweze kuongezeka kutokana na barua hiyo, mhusika alipewa maelezo ya mdomoni kwamba alitakiwa akamuone kwanza afisa rasilimali watu, lakini yeye kwa bahati mbaya hakufanikiwa kufanya hivyo
  • Barua nyingine ilikuwa ya Agust 2019 iliyomshusha cheo mhusika kuanzia mwezi Novemba 2017.
  • Yaani hii pili ya mwaka 2019 ilikuja kwa ajili ya kuifuta tena ile ya mwanzo, ya mwaka 2017, japo ufutaji huu haukuwa na impact kwenye mshahara wake kwa sababu haukupunguzwa na wala ulikuwa haujawahi kuongezeka tena tangu alipopata demotion ya mwanzo kabisa mnamo Februari 2014
Baada ya kulazimika kurudi tena ghafla ofisini, alipofika alibaini kuwa alikuwa amesahau funguo za ofisi nyumban, kwa hiyo hakuwa nao ufunguo wa kabati lile alimokuwa ameweka nakala za barua hizo alizorudi ili akazichukue. Mhusika alirudi tena nyumbani akachukua funguo na kwenda kuzichuka nakala hizo akawa nazo nyumbani. Baadaye siku hiyo jioni baada ya kuwa amemaliza kazi zake alibahatika kupekua kwenye sehemu moja nyingine na kukuta nakala moja tu ya btrua hiyo na hyo ndiyo iliyomsaidia kuweza kutetea hoja zake

Nakala za barua hiyo alizokuwa nazo nyumbani, zilikuwa hazipungui nakala ishirini (20) na zote hizi alikuwa ameziweka sehemu tofauti tofauti. Zote hizi hazikuwepo tena nyumbani kwake



…………..inaendelea
 


A MUST READ POST:



HITIMISHO


Awali mhusika alikuwa amepanga kuwaacha mafundi wamalize kazi yao kwanza pale ofisini kwake halafu baadaye tena ndiyo angeendelea na swala la kuandika barua yake, possibly kuanzia J3 ya tarehe 25/01/2021. Hata hivyo baada ya kuona nakala zinaanza kupotea, aliamua kurudi tena ofisini kwake siku ya Alhamis tarehe 18/01/2021, huku ukarabati ukiwa bado unaendelea, na kufanikiwa kuandika barua hiyo na kuikamilisha siku hiyo na hatimaye kuiwasilisha siku hiyo hiyo kwenye mamlaka husika, na ikiwa na vielelezo vyote muhimu, mojawapo zikiwa ni barua zote alizozitaja hapo juu



Coincidences muhimu kabisa zilizojitokeza kwenye mchakato mzima wa ukarabati huu zinajidhihirsha kwenye matukio kadhaa kama ifuatavyo

  • Ukarabati ulikuwa wa ghafla sana, mhusika hakuwa amepewa taarifa za awali za ukarabati huo. Pamoja na udogo wake alionao kicheo idarani hapo lakin nadhani alistahili kupata angalau taarifa za awali kabla ya siku ya ukarabati
  • Ukarabati ulionekana kuwa ni wa emergence, tena ile ambayo ni ya hali ya juu sana
  • Ilidhihirika kabisa kuwa kulikuwa na hamu kubwa sana ya XXX kupenda kufanya kazi ofisini kwa mhusika wakati mhusika akiwa hayupo lakini XXX alikuwa anapata kigugumizi cha kumshirikisha kati hilo
Hapa anachoongea mhusika ni kuwa kwa nini kulikuwa na kigugumizi cha kumweleza mhusika kuwa alitakiwa akafanyie kazi nyumbani au ahamie ofisi nyingine kwa muda, ambayo wakuu wake wangempangia?

Badala yake zilionekana kutumika mbinu kama zifuatazo

  • Kutaka kufanya kazi ya ukarabati nje ya masaa ya kazi kwa sababu tu umeme ulikatika na kurudi muda mfupi tu kabla ya muda ulio nje ya masaa ya kazi kuisha
  • Ukarabati huu Ilikuwa ni kwamba lazima uanzie ofisini kwa mhusika. Hili alilithibitisha Mkuu wa Idara aliyepita wakati wa maongezi yake na mhusika, J5 asubuhi, baada ya mhusika kuwa amehoji hilo
  • Msimamizi wa mafundi XXX kukosa funguo za akiba za ofisi hiyo kutoka ofisini kwa Mkuu wa Idara, n.k.
Zaidi ni kuwa ukaranati huu ulikuwa ni major maintenance ambayo kawaida mwenye ofisi inabidi ahamishwe rasmi kwa muda kwenda ofisi nyingine, au asubiriwe kipindi akiwa yuko likizo ndiyo uweze kufanyika

Kwa ujumla, zipo coincidences nyingi tu zilizoweza kuambatana na mchakato wa ukarabati huu. Kuna muda hadi ilifikia mhusika akawaza kuwa pengine labda ukarabati huu ulikuwa na lengo jingine nyuma ya pazia la kumtaka hata aweze kutoa hoja kinzani halafu hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi yake



MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
umeandika ww au alikutumia upost tuu/ maana kukalili maneno yote hyo kwa kuambiwa si mchezo..! ila amini wana lengo na hyo jamaa na lengo lao ni kuwa miongoni mwao! wanautambua vizuri uwezo wake wa akili! ikiwemo utambuaji wa mitego yote waliyomuwekea..
 
A MUST READ POST:



HITIMISHO-2


Kwa hiyo, assuming kwamba matukio haya hayakuwa coincidences tu, na tuseme mhusika angeondoka ofisini kimoja siku ya J5 akiwaacha mafundi wakiendelea na kazi zao chini ya usimamizi wa XXX, huku akitarajia kuwa yeye angefanya kazi ya kuandika barua yake kuanzia J3 ya wiki inayofuata, basi ni wazi kabisa kuwa kulikuwa na uwezekano mkubwa kwamba

  • J3 hiyo baada ya mafundi kumaliza kazi zao, asingekuta nyaraka yoyote ofisini kwake, zote zingepotea kama ilivyokuwa imepotea barua ile ya mwanzo
  • Jumapili kabla ya J3 hiyo ambayo angepenga kuandika barua, kazi kubwa inayofanana na ile ambayo ingekuwa imefanyika ofisini kuhusiana na nyaraka zake, ingefanyika pia nyumbani kwake pindi akiwa yuko kwenye Ibada Kanisani
  • Hata nyumbani kwake zingechukuliwa nyaraka zingine zote zinazohusika ambazo zilikuwa zimebakia, na ambazo ni tofauti na ile iliyokuwa imechukuliwa awali
  • J2 hiyo angerudi kutoka kanisani na kukuta nyumbani nako kumekuwa “holaaaa” vijana wa mtaani huwa wanaongoea
Vinginevyo kwa upande mwingine kama matukio haya yalikuwa ni coincidences tu kawaida tu na kwamba zile nakala za ofisini pengine alisahau tu sehemu aliyokuwa ameziweka, basi hakuna akili yoyoyte kubwa iliyotumika kwenye matukio haya na kwamba yametokea tu kuonyesha mgongano wenye mpangilio, pasipo kuwa umepangiliwa na mtu yeyote au kikundi chochote



MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
umeandika ww au alikutumia upost tuu/ maana kukalili maneno yote hyo kwa kuambiwa si mchezo..! ila amini wana lengo na hyo jamaa na lengo lao ni kuwa miongoni mwao! wanautambua vizuri uwezo wake wa akili! ikiwemo utambuaji wa mitego yote waliyomuwekea..
Haya siyo maigizo yale ya upande ule mwingine unaoudhania wewe, haya ni matukio halisi. Nashauri usome posts zilizoko kati ya page ya 5-8 halafu kutokea pale ndiyo utapata picha halisi
 
UPDATE: SUNDAY 24th JANUARY 2021

NYONGEZA MUHIMU:

KUHUSIANA NA AKAUNTI YA PESA ZA KWENYE SIMU YA MHUSIKA ALIYOWAHI KUIFUNGA MNAMO AUGUST 2017


Kwa wasomaji wa siku zote wa uzi huu, watakumbuka kuwa mhusika aliwahi kufunga akaunti ya matumizi ya pesa kwa njia ya simu mnamo August 2017. Kufunga huko kulitokana na tatizo alilowahi kulipata baada ya kuwa ametumiwa pesa kiasi cha shilling moja (TZS 1/=) kama bonus kwenye laini ya simu hiyo

  • Wakati hela hiyo inatumwa kwenye akaunti yake, likuwa imepita takribani miaka miwili tangu aache kuitumia akaunti hiyo ya pesa
  • Kabla ya kutumwa pesa hiyo, akaunti hiyo alikuwa ameitumia mara ya mwisho manmo Julai 2015
  • Baada ya hapo aliacha kuitumia kabisa baada ya kuwa imemleta matatizo kwa mara ya kwanza
  • Kwa hiyo wakati anatumiwa shilling moja na hatimaye kumletea matatizo, hili sasa lilikuwa tukio la pili kwake
  • Pesa hiyo ilitumwa mnamo August 2017 na zilikuwa zimepita siku chache sana (si zaidi ya wiki ) tangu alipofanya mazungumzo yake na Kiongozi Mkuu wa Kanisa A
  • Kuna kitu alikigusia kuhusiana na akaunti ya fedha hizo, siku alipokuwa katika maongezi yake na KM-A
  • Baada ya hapo sasa ndiyo alitumiwa hiyo TZS 1/=, na possibly KM-A kuna mahali alipitiwa kwa namna moja ama nyingine kama binadamu, akawa amezishare taarifa hizo za mhusika na watu ambao hawakuwa na nia njema naye, ila possibly, pasipo yeye KM-A kujua kuwa watu hao walikuwa wako hivyo


STATUS YA AKAUNTI HIYO YA PESA ILIVYO KWA SASA

Tangu aifunge akaunti hiyo mnamo August 2017, alikuwa hajawahi kuifungua tena isipokuwa Jumamosi ya wiki iliyopita, yaani tarehe 16/01/2021 ndiyo aliamua kuifungua tena

  • Akaunti hiyo aliifungua na kuikuta imewekewa tena bonus ya shilling elfu thelathini (TZS 30,000/=)
  • Wakati anaifunga mnamo August 2017, haikuwa na salio la hata shillingi kumi (TZS 10/=), ilsipokuwa siku alipoenda kuifungua alikuta kuna salio hilo alilolitaja hapo juu
  • Amejaribu kufanya test zake kuona kama salio hilo litamletea shida tena lakini hajaona kitu kama hicho, zaidi ya wiki sasa
Kwa hiyo anashukuru Mungu na amefurahi kwamba akaunti hiyo safari hii imewekewa bonus kubwa na ambayo haina matatizo yoyote kwake



MUBARKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE-2: SUNDAY 24th JANUARY 2021

NYONGEZA MUHIMU:

KUHUSIANA NA MABADILIKO YA MPANGILIO WA VITU YALIYOFANYIKA OFISINI KWA MHUSIKA ILI KURUHUSU UKARABATI KUFANYIKA


  • Sehemu ambayo mhusika huwa anakaa siku zote ni sehemu ambayo huwa inaruhusu aonekane na kila mtu anayepita kwenye korido la floor hiyo
  • Kulia kwake pembeni mwa sehemu hiyo ambayo huwa anakaa kuna ukuta (kushoto kwake) na pia kabati ambalo limeegemea ukutani
  • Ili mtu aweze kulifikia kabati hilo, ni lazima mhusika apishe kwa kunyanyuka kwenye kiti chake, hapo ndiyo mtu anaweza kulifikia kabati hilo
Kwa hali hiyo, kabati hilo nalo pia huwa linaonekana na watu wote ambao huwa wanapita kwenye floor hiyo, na possibly Kamera iliyoko kwenye floor hiyo



BAADA YA MAANDALIZI YA UKARABATI KUFANYIKA:

  • Kabati hilo nalo lilihamishwa kutoka kwenye sehemu yake ya siku zote kwa sababu sehemu llilipokuwapo ndiyo pale ambapo fundi alisema kuwa ataanzia, na kweli kazi ilipoanza alianzia mahali pale
  • Fundi ndiye aliyesaidia kuhamisha kabati hilo na kushauri sehemu sahihi ya kuliweka kwa wakati huo
  • Kwa hiyo Kabati hilo aliliweka sehemu ya karibu kabisa na upande wa kulia wa mlango wa kuingia ofisini humo
Kabati hili ndiyo lililokuwa na document ile iliyopotea siku ya J5 na hatimaye nakala yake moja tu kupatikana nyumbani baadaye jioni ya siku hiyo



MUBARKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE-3: SUNDAY 24th JANUARY 2021

  • Mhusika anazipongeza sana mamlaka zilizoamua kuweka Kamera ndani ya jengo hlo ilimo ofisi yake
  • Vile vile ni ombi lake kwamba mfumo wa simu za mezani (extension) zirudishwe kama ilivyokuwa awali; takribani miaka miwili sasa simu hizo hazifanyi kazi
  • Mbali na hayo, kama kuna uwezekano basi jengo hilo liweze kuwekewa satandby generator ya umeme kwa sababu ni kati ya majengo pekee muhimu ambayo yamebaki kwa miaka mingi bila kuwa na mfumo wa akiba wa umeme. Majengo yaliyo mengi jirani na jengo hilo tayari yana mfuno huo wa umeme wa akiba
Jengo hilo likishakuwa na mfumo wa umeme wa akiba, hata Kamera zilizomo ndani ya jengo zitakuwa na uwezo wa kufanya kazi masaa 24, hata pale ambapo umeme wa kawaida unakuwa umekatika
 
EBR. 6:4-6 SUV

Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo, wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri.
 
UPDATE: MONDAY 24th JANUARY 2021

DONDOO MUHIMU KUHUSIANA NA WATUMISHI WOTE WA KANISA A

Kitabia, za ule ubinadamu wa kawaida, watumishi hawa wamegawanyika katika makundi makubwa mawili



KUNDI LA KWANZA

  • Kundi la kwanza linaongozwa na Kiongozi Mkuu (KM-A) na ndiyo lililo kubwa
  • Hili ni kundi ambalo linapotokea kukosolewa, na kutajwa mapungufu fulani fulani, linaonekana kujutia na kuanza kujirudi
  • Hata ukiwaangalia usoni unaona kabisa kuwa hawa watu wana mpango wa kujirudi ili waweze kufanya vizuri
  • Yumkini hawa watu wanaongoza binadamu, yaweza pia kuna mapungufu mengine ambayo yanaonekana kuwa wanayo wao lakini kumbe hapana ila yanatokana na watu wengine wanaowazunguka
  • Yaweza kuwa wanaonekaana kuwa na mapungufu mengine ambayo hayatokani na wao wenyewe, ila pengine yanaweza kuwa yanatokana na ushauri kutoka kwa ndugu, jamaa, marafiki, waumini, na watu wengine walio karibu nao, n.k.


KUNDI LA PILI

Kundi la pili lina viongozi wawili tu

  • Hili kundi likikosolewa kwa kitu ambacho kina ushahidi, linakasirika na kuanza kutafuta nafasi ya kujibu kupitia kwenye madhabahu
  • Kiongozi husika kutoka kundi hili la pili pindi akipata nafasi ya kusimama kwenye madhabahu, huwageukia washiriki kwa ujumbe ambao ni “negative” na kuanza kuwashambulia kuwa hawafanyi vizuri
  • Kwa mfano kiongozi aliyesimama madhabahuni jana Jumapili ya tarehe 24/01/2021, aliwageukia washiriki kwa ujumbe “negative” na ambao aliamua kuutoa yeye mwenyewe.
  • Ujumbe huo haukuwepo kwenye schedule kwa sababu J2 hii ilikuwa ni J2 ya pili ya wiki maombi ambayo yana mwongozo wa kitaifa kutoka ngazi za juu za kanisa hilo
  • Kwa hiyo, theme iliyokuwepo ilikuwa inatokana na mwongozo uliotolewa kwa ajili ya Maombi ya Kitaifa, ya wiki tatu kwa kanisa lote Tanzania nzima, lakini yeye aliamua kuifuta theme hiyo na badala yake akaja na ujumbe wake wa kuwashambulia waumini akiwaambia waombe toba mbelle za Mungu, wamemkosea Mungu
  • Huyu ndiyo yue aliwahi kusimama madhabahuni kipindi cha nyuma akisema “ukiona watu wanaanza kulalamika Kanisani, ujue wamekosa kazi ya kufanya’’’”
  • Mwenzake na huyu ni yule aliyesimama Jumapili iliyopita, yaani kabla ya hii iliyotajwa hapo juu
  • Huyu ni yule Kiongoz X (“njooo ofisini nikutamkie mibaraka”)
  • Huyu wa pili, hivi karibuni, akiwa amesimama madhabahuni amewahi hadi kufikia hatua ya kuwaambia washiriki “kama mnataka tusambaratike…….” kisa tu kuna mapungufu yake kibao na yenye ushahidi wa kutosha ambayo yalikuwa yametajwa humu
Kwa ufupi tu ni kwamba hawa viongozi wawili wakikosolewa na kwa mambo ambayo ni halali

  • Huwa wanavimba na wanaanza kutafuta nafasi ya kusimama kwenye madhabahu wakiwa wamefura
  • Yaani huwa wanasimama wakiwa wamevimba, wao wakiwa wanadhani kuwa kuvimba huko kumefichika, kumbe hapana, kwa sababu ukweli ni kuwa mtu akiwa amevimba halafu akajaribu kuficha kuvimba kwake, hapo ndiyo anatoa nafasi ya kuonekana vizuri zaidi namna ambavyo anakuwa amevimba, na kwa watu ambao yeye anakuwa akidhani kuwa anawaficha, kumbe hapana
  • Hawa viongozi wawili wako hivyo na kawaida hawa wao huwa wanaona halali kabisa kufanya kile wanachofanya na ambacho kinalalamikiwa, huwa hawaonekana kujutia hata siku moja
  • Hawa wao huona kuwa wanachofanya wao ndiyo halali, na kile ambacho kilitakiwa kifanyike ambacho hawafanyi na kupelekea walalamikiwe, kwao hicho ndiyo haramu


HITIMISHO

Katika hali ya kawaida, mtu anaweza akakosa hata namna ya kuwashauri viongozi hawa wawili kwa sababu kuna baadhi ya watu ambao kazi zao karibia zote wanazofanya ziko linked na Madhabahu ya Mungu. Kuna kazi zingine ambazo unaweza ukawa umeajiriwa sehemu lakini moja kwa moja kazi hiyo inakuwa linked na Madhabahu ya Bwana, japo ulipoajiriwa siyo kanisani. Kitakachokosekana ofisini kwako ni alama ya msalaba wa Yesu tu kwenye madahabahu unayotumikia, na badala yake utakuwa na nembo ya taasisi husika

Kwa upande mwingine, Kiongozi Mkuu wa Kanisa A, ni mfano mzuri sana wa kuigwa namna anavyowaheshimu washiriki pindi anapokuwa yuko madhabahuni akifundisha maandiko matakatifu. Na mara nyingi huwa anakuwa na jumbe ambazo ni positive kwa waumini, na pale ambapo inabidi atoe tahadhari, huwa anatoa tahadhari kwa kutumia lugha stahiki. Hata hivyo hii haimaanishi kuwa KM-A anatakiwa asiwe na jumbe negative kwa washiriki, hapana

Tofauti na hawa viongozi wawili, wao huwa wanaongea kwa kuwashambulia waumini utadhani kuna mtu aliwahi kushuka na kuwaeleza kuwa waumini wa Kanisa A ni Malaika

Halafu wewe unapokuwa umesemwa mapungufu yako, na wewe tena hapo hapo unasimama kuanza kushambulia waunimi, hata kama mashambulizi yako kwao kweli ni halali, yanaweza kuonekana kuwa siyo ya kiroho bali ni ya kibinadamu. Timing unakuwa umekosea. Kawaida unatakiwa usubirie kwanza muda angalau upite kidogo, halafu baadaye sasa na wewe uanze kunyanyua nyundo zako kuwavunja vunja

Kiongozi aliye na viongozi wake juu yake, anasimama madhabahuni kubadilisha mpangilio maalumu uliowekwa na Kanisa Tanzania nzima na ambao ni wa muda tu na si wa siku zote, halafu anakuja tena na ujumbe wa kuwashambulia waumini? Kwa nini kiongozi asisubirie mpangilio huo ukapita kwanza halafu ndiyo akaja na ujumbe wake huo? HII kwa upande mwingine, inaweza ikachukuliwa kama pengine mtu ana mamlaka makubwa kuwazidi hata walio juu yako, ndani ya Kanisa



MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Back
Top Bottom