UPDATE: FRIDAY 05 FEBRUARY 2021
KWA WAUMINI WOTE WA KANISA A:
……………………..Inaendelea
KIONGOZI MKUU (KM)
Kukwepa kutangaza mabadiliko ya siku ya harusi iliyohamishwa KM aliamua kutoa tangazo kwamba tarehe 14 kutakuwa na kuweka wakfu watoto
- Tangazo hilo la watoto ndiyo likampa nafasi sasa ya kusema kuwa watoto hao inabidi waletwe kwenye Ibada ya kwanza tu kwa sababu Ibada ya pili kutakuwa na harusi.
- Wakati huo tayari alikuwa ameshatangaza kufuta mojawapo ya harusi na ambayo ndiyo ilitakiwa kufanyika kwenye tarehe tajwa
- Kwa hiyo mpaka hapa automatically, akawa amewaset watu kisaikolojia kujua kuwa kumbe ile iliyobaki itafanyika tarehe 14
Kawaida hii iliyokuwa imebaki, ilitakiwa kufanyika tareha 7
Mpaka hapa msomaji yeyote mweye akili ya kawaida anaweza kuona kuwa tangazo la watoto lilichomekwa pale kwa nia ya kuya-cover mabadiliko haya ila halikuwa na priority yoyote kwae kwa sababu
- J2 zinazoruhusu kuwaweka wakfu watoto kwenye Ibada zote mbili zipo lukuki na hivyo hapakuwa na haja ya kuwa-confine wazazi na kuwapa restriction ya kuja na watoto kwenye Ibada moja tu ya asubuhi ya tarehe 14 na ambayo baadaye tena kuna pilika pilika za kitu kingine
- Hapakuwa na uharaka wowote wa kuwaweka wakfu watoto hao kwa sababu huwa hakuna deadline, na J2 zenye Ibada mbili zipo lukuki mbele ya safari
Lakini pi kwa upande mwingine, hii pia inaonyesha kama kwa sababu siku hiyo ya harusi kutakuwa na pilika pilika za watu wengi mahali hapo, kunaweza kukawa na watu “special” ambao si waumini wa kanisa la mahali popote pale na ambao walikuwa wanatengenezewa mwanya wa kuja na watoto na kupita mbele ya madhabahu. Nia ya watu hawa ni kupita mbele ya madhabahu wakiwa wamebeba watoto, lakini lengo lao kiroho likiwa ni tofauti na swala la watoto wao kuwekwa wakfu, kwa sababu wanakuwa wala siyo waumini wa kutoka kanisa lolote lile
Assumingi hay kuwa ni kweli, kitendo hiki kinadhihirisha wazi kuwa swala la watoto kuwekwa wakfu Kanisa A siku hiyo, siyo priority, isipokuwa priority ni kitu kingine toafuti kabisa na swala hilo
KUHUSIANA NA SOMO LA MWILI NAFSI NA ROHO ALILOKUWA AKIFUNDISHA KWA VITENDO
- Muda mwingi KM alikuwa anautumia akiwa yuko chini ya madhabahu, mbele ya waumini
- Washiriki aliokuwa anawatumia kufanya demonstration yake kwa upande mwingine pia alikuwa anawatumia kama kisingizio cha yeye kutokusimama juu madhabahuni
- Ni kwa sababu kwa wakati huo, alikuwa hashughuliki na madhabahu, alikuwa anashughulika na waumini waliokuwa wamekaa chini, mbele ya madhabahu
- Inaonyesha kama somo lake hilo lisingeweza kuzaa matunda yaliyohitajika kama angelifundisha akiwa amesimama juu madhabahuni, madhabahu ingemkwamisha kwa sababu kwa wakati huo alikuwa bado hajaishughulika
Baada ya kuwa amefanikiwa kushughulika na waumini, halafu akafanya na test yake ikafanikiwa ndiyo sasa
akawa amebakiza madhabahuni
Msomaji inabidi akumbuke kuwa baada ya kuwa amefundisha somo tajwa hapo juu linalohusiana na nafsi, mwili na roho
- Alipotea tena madhabahuni yaani akawa hasimami tena madhabahuni kufundisha maandiko matakatifu
- Hata hivyo siku hizi amebuni mbinu ambayo walio wengi hawawezi kumgundua kirahisi pindi anapokuwa amepotea madhabahuni kwa sababu anajitahidi sana angalau kila sikuya J2 awepo Kanisani na awe na angalau matangazo ya kuwatangazia waumini, hata kama matangazo hayo siyo ya muhimu
- Mtu anaweza kui-magine Kiongozi Mkuu wa Kanisa anasimama madhababhui kutoa tangazo la salaamu kutoka kwa mtu Fulani kuja kwa waumini,….kwa mfano “so and so anawaslimia…… halafu baada ya hapo anasema, Ibada imeisha, tusimame….”
Matangazo haya yanaweza kutangazwa na kiongozi yeyote ambaye huwa ana zamu ya kusimama madhabahuni. Kwa hiyo pamoja na kupotea madhabahuni, bado huwa anaonekana kwa ajili ya kutoa matangazo na hivyo walio wengi inakuwa siyo rahisi sana kwao kuweza kufuatilia ratiba yake ya madhabahuni
Kwa hiyo alipomaliiza tu kufundisha somo hilo, akapotea madhabahuni na kupokelewa na watu wengine wawili ambao kati yao hakuwpo yule mhubiri wa uzinzi. Kwa bahati nzuri ratiba ya maombi ya wiki tatu nayo pia ikawa imewahi zaidi mwaka huu, na hivyo kupelekea
conditions zote mbazo huwa anazihitaji, kuwa
satisfied
Kwa hiyo baada ya maombi haya kuwa yamefanyika, na akiwa amepotea madhabahuni kwa wiki kadhaa, na
scud yake akiwa tayari ameitest kwa kutumia waumini waliohudhuria kwenye hafla fulani na akawa amehakikisha kuwa imefanya kazi, ndiyo sasa ikawa amebakiza stage moja tu ya mwisho; kupanda juu madhabahuni ili sasa akamilishe kazi yake.
Hii inaonyesha kuwa wakti anafundisha somo la nafsi, mwili na roho, madhabahu ilikuwa inamlete shida, alikuwa hawezi kusimama madhabahuni na kufnay kitu na ndiyo maana aliwatumia hao vijana wawili kama kisingizio cha kutokusimama madhabahuni. Baada ya kufanikiwa kuwashambulia waumini, akwa ana uwezo sasa kwa kusimama madhabahuni tena, ila bado akawa hajakamilisha kazi yake, alikuwa bdo amebakiza madhabahu
Alichofanya ni kuvunga kwa wiki kadhaa, akiruhusu makada wenzake wasimame madhabahuni amboa wako naye kwenye shirika moja na wakiwa wanajua nini kinendelea, huku nao wakiwa wanalitumia neno “uzinzi” kwa sana. Baad ya hapo ndiyo wakawa wamemkabdihi wakiwa mametest na kuona kuwa kila kitu kiko sawa
Kwa hiyo J2 iliyopita ndiyo akapanda madhabahuni kuishambulia madhabahu, ili sasa baada ya hapo, (au baada ya wiki chcahe kadhaa mbele) aanze tena kusimama madhabahuni mffululizo.
HITIMISHO
Mambo kadhaa ya muhimu yanayojitokeza hapa ni kwamba:
- Kabla hajawashambulia waumini, ilikuwa ni vigumu (au haiwezekani) kwake kuishambulia madhabahu kwa sababu ilikuwa haimruhusu kusimama juu yake
- Kabla hajawashambulia waumini, ilikuwa ni vigumu (au haiwezekani) kwake kuwasshambulia kutokea juu madhabahuni, madhabahu ilikuwa haimruhusu
Kwa hiyo ndiyo maana alitengeneza utaraibu wa kufundishs somo kwa vitendo ili muda mwingi asiwe amesimama kwenye madhabahu.
Sehemu hiyo aliyokuwa anawaweka waumini na kuwasimamisha hapo kwa muda wote wa takriban saa nzima wakati wa Ibada, ndiyo shemeu ile ile ambayo watu huwa wanaasimama pindi wanapokuwa wameitwa kupita mbele ya madhabahu, na pia ndiyo sehemu popular ambayo muda wote huwa anaitumia kwa ajili ya mashambulizi yakiwemo yale ambayo mhusika ameshayaelezea hapo awali
Baada ya kuwa amewashambulia waumini, ndiyo sasa akapata nguvu ya kuishambulia madhabahu, kwa sababu akawa sasa tayari ametengeneza malngo kupitia kwa waumin, wa kuweza kuishambulia madhabahu na hivuo kuweza kusimama tena madhabahuni
Wachungaji wenzake wote huwa wanaweza wakasimama madhabahuni na kuwasalimia waumini
“wapendwa wa Ibada ya kwanza/ ya pili, nawaslimu kwa jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo”, halafu wakishamaliza kusalimia hivyo wanongeza tena neno jingine
“Bwana Yesu Asifiwe”
Yeye KM ni marufuku kwake kupanda madhabahuni halafu akatoa salaamu ya “Bwana Yesu Asifiwe” hakuna, HIYO SALAAM HAJAWAHI KUITUMIA MAISHA YAKE YOTE Hawezi akapanda madhabahuni halafu akatoa salaam hiyo. Hata hivyo angalau siku hizi amenza kuichomeka chomeka kwenye mafundisho anapokuwa anafundisha kitu, ile ya kuchomeka kwa haraka haraka,
SIYO KAMA SALAAM bali kama neno la kuwaweka waumini wawe wako attention muda wote katika kumsikiliza ancchosema
EBR. 6:4-6 SUV
K
wa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo, wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri.
MUBARIKIWE TENA NA BWANA