Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #1,581
NYONGEZA MUHIMU KUHUSIANA NA GENERATOR LA MAFUTA YA PETROL JIRANI NA OFISI YAO MHUSIKA
Kulikuwa na kusanyiko maalumu la watu kutoka ndani na nje ya taasisi Jumamosi ya tarehe 15/07/2023 lilikuwa limeaondaliwa na MKUU WA MAJOR UNIT
Mhusika hakuwa amepata taarifa za kusanyiko hilo kwa sababu taarifa zinasema kuwa tangazo la kusanyiko hilo lilikuwa limetolewa kupitia whatssup
KUNA FIRE EXTINGUISHER PIA IMELETWA NA KUFUNGIWA KWENYE CHUMBA HICHO
Bado pia FIRE EXTINGUISHER ambayo imefungiwa humo; kwa hiyo haiwezi kufanya kazi wakati wa emergence.
Possibly ni zile ambazo zilisha-expire
KUHUSIANA NA OFFICE MATE MWINGINE WA MHUSIKA (OM-2)
Katika hili, office-mate mwingine wa mhusika (OM-2) hahusiki kwa sababu kwa wiki hii tu, amekuwa hatumii tena muda mwingi ofisini kwake kiasi kwamba
Pia kule Kanisani kwao na mhusika kuna maombi yalianza J3 na kumalizika jan J5
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

- Baada ya kusanyiko hilo, kulikuwa na cocktail party pia
- Generator hilo lilitumika kwenye cocktail party, siku ya Jumamosi jioni
- Ikapita siku ya Jumapili
- Ikapita na siku ya Jumatatu
- Ilipofika siku ya J4 baada ya saa 11 jioni, ndiyo sasa Generator hilo likahamishiwa sasa chumba jirani na ofisi yao mhusika likiwa imeambatana na jopo la watu watatu
- Hapakuwahi kuwepo generator kwenye chumba hicho na mara ya mwisho mhusika aliingia humo ilikuwa ni siku ya J3 ya wiki hii, au Ijumaa ya wiki iliyopita
- Ilikuwa ni baada ya kumuona binti mwenye mafaili akiingia humo, na mhusika naye alikuwa amebakiza baadhi ya vifaa ofisini kwake amabvyo vilihitajika kuhamia humo
KUNA FIRE EXTINGUISHER PIA IMELETWA NA KUFUNGIWA KWENYE CHUMBA HICHO
Bado pia FIRE EXTINGUISHER ambayo imefungiwa humo; kwa hiyo haiwezi kufanya kazi wakati wa emergence.
Possibly ni zile ambazo zilisha-expire
- Sasa kama FIRE EXTINGUISHER ime-expire, why keep it na kwa uangalifu huo?
- Na kama haija-expire, why lock it in a place where it cannot be accessible in case of emergence?
KUHUSIANA NA OFFICE MATE MWINGINE WA MHUSIKA (OM-2)
Katika hili, office-mate mwingine wa mhusika (OM-2) hahusiki kwa sababu kwa wiki hii tu, amekuwa hatumii tena muda mwingi ofisini kwake kiasi kwamba
- J3 yote OM-2 na mhusika hawakuonana kabisa
- J4 siku ya ttukio la generator,walionana muda wa asubuhi tu.
- Ilikuwa ni wakati mhusika alipokuwa anaingia ofisini, na baada ya kama dakika kama 5 hivi, OM-2 alitoka ofisini na hadi mhusika anaondoka ofisini jioni baada ya saa 11, OM-2 alikuwa hajarudi tena ofisini