#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

HALI ILIVYO NDANI YA JENGO LA IDARA ILILMO OFISI YA MHUSIKA KWA MUDA HUU

Kuna pilika pilika za maandalizi ya wanafunzi kwenda field baada ya kumaliza mhula wao wa masomo

Kwa wengine, hiyo imekuwa sasa ndiyo golden opportunity yao ya kuleta intruders ndani ya jengo

Kuna angalau strangers wawili (si wanafunzi) ambao mhusika ameshawaona ndani ya jengo leo Alhamis ya tarehe 27/07/2023

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE-2: THURSDAY, 27TH JULY 2023

MAENFELEO YA KM-A KUTOKEA KWENYE MWILI MZIMA KUPITIA KWENYE VIUNGO HADI KUFIKIA KWENYE CELLS


Kichocheo kikubwa kilichomuwezesha KM-A kuhama kutoka kwenye VIUNGO VYA MWILI na kuingia kwenye CELLS, ni mishipa ya damu ya OM wa mhusika ambayo inaonekana kwa macho ya nyama

KM-A alianza kufanya kazi akiwa anahusisha vitu vizima (matter) au mwili mzima (kwa viumbe hai kama vile binadamu)

Kama ilivyowahi kudokezwa hapo kabla, hadi kufikia Desemba 2020, KM-A aliweza kuhama kwa mara ya kwanza, kutoka kwenye mwili mzima na kuingia kwenye viungo, mojawapo vikiwa ni milango ya fahamu ambayo ni PUA, MACHO, MASIKIO NGOZI NA ULIMI

Maelezo ya namna alivyoingia huko mhusika alishawahi kuyatoa humu mara kwa mara na hivyo kwa post hii hana haja ya kuyarudia

Hata hivyo, baada ya Office Mate (OM) kuwasili ofisini, KM-A alipata tena fursa nyingine ya kuhama safari kwa mara ya pili, kutoka kwenye VIUNGO na kuingia kwenye CELLS

MLOLONGO WA MATUKIO MUHIMU YA UTHIBITHO WA KM-A KUHAMA KUTOKA KWENYE VIUNGO NA KUINGIA KWENYE CELLS

Mlolongo wa matukio haya unaanzia siku ya IJUMAA YA TAREHE 26/05/2023 ofisini kwake mhusika, siku ambayo baada ya kupita, ilifuatiwa na J2 ambayo KM-A alitoa tangazo la ushiriki wa mbaraka Kanisani kwa wanaume peke yao,tangazo alilolitoa J2 YA TAREHE 28/05/2023

Kabla hajaendelea zaidi na maelezo yake, mhusika anawaomba wasomaji waangalie kwanza mlolongo wa matukio haya yanayoanzia IJUMAA YA TAREHE 26/05/2023

IJUMAA YA TAREHE 26/05/2023

OM wa mhusika akiwa yuko kwenye maandalizi ya safari ya kikazi, alimkabidhi mhusika form za NHIF na kumuomba kumkabidhi binti ambaye angekuja kuzichukua ofisini hapo J3 ya wiki iliyokuwa inafuata

  • Maelezo ya awali ya form hizo yako kwenye post hii hapa #1,524
  • Form hizo zilikuwa ni HARD COPY na mhusika alizishika kwa mikono yake
J2 YA WIKI HIYO HIYO TAREHE 28/05/2023 MHUSIKA AKIWA YUPO KANISANI

KM-A atangaza mbaraka kwa wanaume wote huku akiwa na HARD COPIES za document ambayo wanaume wote waligawiwa na kuzishika kwa mikono yao

  • Document hiyo nayo ilikuwa kwenye HARD COPY ambayo mhusika pia aliishika kwa mikono yake
  • Kama alivyowahi kudokeza hapo awali, hapakuwa na haja hiyo kutolewa kwa HARD COPY na kwa uwingi huo wa wanaume kwa sababu PROJECTOR ya kuweza kuonyesga SOFT COPY ilikiwepo
Swala hapa lilikuwa ni kwamba MHUSIKA ALITAKIWA AGUSE DOCUMENT HIYO YA KANISANI J2 HIYO, BAADA YA KUWA AMEGUSA ILE YA OFISINI IJUMAA YA WIKI HIYO

Document aliyoigusa mhusika Ijumaa, ni ile aliyopewa na OM kwa ajili ya kumkabidhi binti

  • Mmojawapo wa wasmabazaji wa document ile ya Kanisani, alikuwa ni MR X
  • Baada ya tangazo hilo, KM-A alitangaza sasa chakula kwa Kanisa zima ili ashughulike na CELLS ZA KWENYE PUA NA ZA KWENYE ULIMI
Chakula hicho kiliahirishwa, na baadaa ya hapo

J2 TAREHE 25/06/2023 MHUSIKA AKIWA YUPO KANISANI

Baada ya Ibada ya pili kumalizika, KINYESI CHENYE MCHANGANYYIKO WA MAVI NA MAJI, kiliachiwa pale Kanisani na hivyo KM-A akawa ameweza kushughulika na CELLS ZA PUA kwa namna nyingine tofauti na ile ya chakula kilichowahi kuahirishwa

KEY PRINCIPLE INAYOTUMIKA KWENYE MIKAKATI YOTE HII

Ni kwamba ili zoezi lifanikiwe, NI LAZIMA MHUSIKA AWE MMOJAWPO WA WASHIRIKI, vinginevyo KINYESI hicho kingeweza kuachiwa hata wakati wa Ibada ya kwanza. NI LAZIMA MHUSIKA ASHIRIKI KWENYE TUKIO halafu ndio tukio linaweza kuja kuzaa matunda yanayohitajika huko mbele ya safari

J2 NYINGINE YA TAREHE 09/07/2023 MHUSIKA AKIWA YUPO KANISANI VILE VILE

KM- A alitoa tangazo jingine la pili kuhusiana na mbaraka wa awali, safari hii akiwashirikisha akina mama tu kama alivyowahi kuahidi kabla

Tangazo hili halikutumia HARD COPIES bali SOFT COPIES zilizorushwa kwa kutumia PROJECTORS

HITIMISHO

KM-A asingeweza kulitoa tangazo hilo kwa mkupuo mmoja kwa Kanisa zima kwa sababu ushahidi uliopo sasa unaonyesha kuwa KILA AWAMU YA TANGAZO HILO ULIIKUSUSDIWA KUSHUGHULIKA NA VITU TOFAUTI

  • Mkupuo wa kwanza ulishughulika na CELLS ZA NGOZI na za MASIKIO, ilhali ule wa pili wa akina mama, ulishughulika na CELLS ZA MACHO, na matanagazo haya yote mawili mhusika alihusika kwa sababu yote aliyashuhudia
  • Baada ya session ya tangazo la mkupuo wa pili wa akina mama kupita, tangazo hiloliliachwa kwenye display hadi Ibada ya pili ilipoanza
  • Mbali na hilo, wakati wa Ibada ya pili J2 hiyo, DISPLAY SCREENS ziliendelea kuonyesha mkono wa mtu ulokuwa unachora mistari kwenye maandiko ya kitabu, kwa zaidi ya nusu sasa, kitendo ambacho ilikuwa ni mara ya kwanza kutokea
Vile vile, mwaka huu wa 2023, OM wa mhusika aliingia ofisini ALMOST muda ule ule ambao MTOTO aliyesadikika kuwa alikuwa nanaumwa na kuhitaji OPERATION, aliingia huku Dar es salaam mwaka jana 2022

  • Pamoja na mambo mengine, mikakati yote hii miwili inaonyesha pia imekuwa ina SCHEDULES ambazo zimekuwa zikilenga kufanya TIMING ya kitu fulani muhimu, in as much as kama alivyowahi kudhihirisha MR X tarehe 23 na 24 Novemba 2022 siku alipowasili maeneo ya ofisini akiwa ameambatana na rafiki zake mhusika
  • HIGHLY RECOMMENDED hapa ni kwamba kama ambavyo mhusika amewahi kudokeza kwenye posts za hivi karibuni zilizopita, BABA WA MTOTO MPWA WA MHUSIKA ANATAKIWA AJULIKANE ALIPO; ANAWEZA KUWA NA MSAADA WA MAANA SANA KWENYE HAYA YANAYOENDELEA OFISINI KWA MHUSIKA MUDA HUU
Ni kwa sababu baba huyo pamoja na OM wa mhusika, wanatoka mkoa mmoja, mkoa ambao una watu wengine pia kwenye mazingira aliyopo mhusika ambao wameshadhihirsha pattern isiyo shaka ya kushughulika na maswala haya ambayo mhusika amekuwa akiyaongelea humu jukwaani

Zaidi ni kuwa mkakati uliokuwa umeambatana na mtoto huyo aliyesemekena kuwa mgonjwa mwaka jana 2022, unaonekana kuwa na malengo sawa na huu wa mwaka huu unaomhusisha OM wa mhusika, na hata TIMING ya muda wake ina-MATCH

Kuna post ya awali kuhusiana na tangazo la pili la KM-A la ushiriki wa mbaraka na ambayo ni ya hivi karibuni san, ambayo mhusika aliiweka humu kwa lengo lakuja kuirejea baadaye, lakini anaona hakuna haja ya kuirejea kwa sasa kwa sababu ni siku chache mno zimepita tangu aiweke post hiyo

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: FRIDAY, 28TH JULY 2023

MATUKIO MUHIMU ALIYOKUMBANA NAYO MHUSIKA OFISINI WIKI HII


MATUKIO YANAYOMHUSISHA MGENI ALIYEKUJA OFISINI KWAO MHUSIKA AKIWA AMEAMBATANA NA OM-2


J3 ya tarehe 24/07/2023 Office Mate number 2 (OM-2) aliingia ofisini akiwa ameambatana na MGENI, na walikaa naye ofisini kwa muda usiopungua saa nzima

Ilikuwa ni muda wa baada ya saa tisa na ulipofika muda wa mwisho wa saa za kazi, OM aliaga na kuondoka na MGENI huyo

Katika muda ule walipokuwa wapo naye ofisini MGENI huyo siku hiyo, kwenye mojawapo ya maongezi yao OM-2 aliweza kumtambulisha mgeni huyo kama mwajiriwa mpya huku akiongezea kuwa utambulisho wake rasmi ungefanywa baadaye na Mkuu wa Idara (MWI)

Wahusika wote watatu wa ofisi walikuwepo ofisini muda huo na walifurahi kusikia hilo na hivyo kumkaribisha MGENI huyo

Siku hiyo ya ilikuwa ni J3 ikapita

KESHO YAKE SIKU YA J4 ASUBUHI:

TUKIO LA KWANZA KATI YA MGENI HUYO NA MHUSIKA HUKU MGENI HUYO AKIWA BADO HAJATAMBULISHWA:


Mhusika aliwasili ofisini siku hiyo na kuwakuta wenzake wawili wameshaffika ofisini, ila walikuwa wametoka kidogo, walikuwa nje ya ofisi, ila ndani ya jengo

Kawaida wenzake wote huwa wanakuwa na laptop moja kila mmoja lakini kwa asubuhi hiyo, kwenye meza ya OM-2 kulikuwa na Laptop mbili badala ya moja

Baada ya kuona hali hiyo, kilichomjia kichwani kwake mhusika ni wazo kwamba pengine OM-2 aliamua kubeba laptop mbili siku hiyo; au MGENI aliyefika ofisini hapo jana yake na ambaye alikuwa bado anasubiri utambulisho, naye pia alikuwa amepangiwa kwenye ofisi hiyo

BAADA YA DAKIKA CHACHE KUPITA MHUSIKA NAYE ALITOKA NJE YA OFISI NA HUKO ALIENDA KUKUTANA NA MGENI AKIWA PEKE YAKE BILA MWENYEJI WAKE

Baada ya dakika chache, mhusika alitoka ofisini na hivyo kufunga ofisi kwa sababu wenzake wote walikuwa bado hawajarudi

Alipokuwa yupo njiani anarudi tena ofisini, aliamua kupita kupumzika kwa dakika chache nje kwenye veranda ya ghorofa ya kwanza na kabla haujapita muda mrefu, MGENI wa jana yake aliingia eneo hilo mahali alipokuwa amesimama mhusika, akiwa yuko peke yake

Mhusika huwa anapenda kupitia pale mara kwa mara angalau kwa dakika chache tu kwa sababu ni sehemu ambayo ni muhimu kwake na ndiyo ile iliyosaidia kwa kiasi kikubwa sana kufungua baadhi ya CODES ikiwemo code ile ya viungo vyenye CURVATURES

Hadi kufikia muda huo asubuhi hiyo, MGENI huyu wa OM-2 alikuwa bado hajatambulishwa na MWI

Baada ya MGENI kusalimiana na mhusika, MGENI alimuomba mhusika UFUNGUO WA OFISI ili akachukue laptop yake aliyokuwa ameiacha ofisini

  • Hii ilikuwa ndiyo ile laptop ya pili ambayo mhusika aliikuta ikiwa mezani kwa OM-2
  • Mhusika hakukubaliana na hoja hiyo, isipokuwa pia hakumkatalia kwenda kuchukua
Alichofanya mhusika baada ya hapo ni kuongozana na mgeni huyo hadi ofisini

  • Alipofika ofisini mhusika alifungua mlango wa ofisi na yeye kubaki nje ya ofisi akiwa amesimama mlangoni, hakuingia ndani ya ofisi
  • MGENI aliingia ndani ya ofisi akiwa peke yake na kuchukua Laptop yake, na alivyotoka nje, mhusika alifunga ofisi na kurudi tena mahali kule ambako MGENI mwenye laptop alimkuta akiwa amesimama, hakuingia ndani ya ofisi
Kabla ya hapo, mhusika alikuwa amemuuliza MGENI kuwa waliokuwa naye wakati anaweka laptop hiyo walikuwa wapi na alijibu kuwa walikuwa wako busy wanafanya kazi na MR M

Baada ya hapo mhusika hakumuuliza maswali zaidi MGENI

Hiyo siku ya J4 ikapita,

TUKIO LA SIKU YA J5 TAREHE 26/07/2023

…………………………inaendelea
 
NYONGEZA MUHIMU KUHUSIIANA NA TUKIO LA SIKU YA J4

J4 hiyo, wakati mhusika anaingia maeneo ofisini pale nje kwenye geti kuu la kuingilia ndani ya jengo, alisalimiana na MGENI ambaye kwa wakati huo, alikuwa pamoja na watu wengine wawili ambao walikuwa ni MWI na MR M; na wakati huo MGENI huyo alikuwa amevaa kitambulisho cha mfanyakazi, ila alikuwa bado hajatambulishwa na MWI

Baada ya mhusika kusalimiana na MGENI na MWI na MR M j4 hiyo, alinyoosha moja kwa moja kuelekea ofisini kwake na ofisini na kukuta kuna Laptop ya nyongeza, ma-office mate wakiwa wametoka kidogo
 
TUKIO LA ASUBUHI SIKU YA J5 TAREHE 26/07/2023

Mhusika aliingia ofisini asubuhi siku hiyo na kuwakuta ma-office mate wake wote wawili wakiwa wapo ofisini

Baada ya muda mfupi kupita, MGENI alikuja tena hadi mlangoni mwa ofisi karibu kabisa na mahali pale alipokuwa amekaa mhusika na kuchungulia tu, hakuingia ofisini

  • Baada ya kufanya hivyo, MGENI aliondoka akiwa yuko kimya, hakumsalimia mhusika wala ma-office mates wake na wala hakuongea neon lolote
  • Hapo aligeuza njia na kufungua mlango wa chumba jirani cha MICROSCOPES na kuingia humo, ambamo kulikuwa na watu kama wawili hivi, na baada ya hapo aliondoka kutokea humo na kuelekea sehemu nyingine ndani ya jengo
Hapo ilikuwa ni wakati wa asubuhi

TUKIO LA MGENI MCHANA WAKATI WA LUNCH

MGENI ALIRUDI TENA OFISINI KWAO MHUSIKA NA KUINGIA OFISINI, SAFARI HII MA-OFFICE-MATES WOTE WAWILI WAKIWA HAWAPO OFISINI ISIPOKUWA MHUSIKA PEKE


Mgeni alirudi tena ofisini kwao mhusika mchana wakati wa lunch

  • Safari hii ma-office-mates wote hawakuwepo, walikuwa wameenda lunch
  • Mhusika hakuwa ameenda lunch na hivyo MGENI alimkuta mhusika akiwa yupo ofisini
Tofauti na asubuhi, safari hii MGENI aliingia ofisini na pia kumsalimia mhusika

Zaidi MGENI aliongea akimtaarifu mhusika kuwa kule chini ground floor, kulikuwa na lunch kwa ajili ya wafanyakazi, kitu ambacho mhusika alikuwa ameshapata taarifa zake kwa sababu tangu J3 ya wiki hii yote, lunch hiyo imekuwepo na taarifa zake zimekuwa zikisambazwa na watoto wa usafi kila siku unapofika muda wa lunch

Kwa hiyo katika hali ya kawaida, haikuwa ya MGENI kusmbaza taarifa hizo

Hapa, kusudi la MGENI lilikuwa kuonyesha kuwa angalau alikuwa na PRIVACY fulani ya maongezi kati yake na mhusika, na ndiyo maana alivizia kwenye muda ule ambao ma-office mate wa mhusika walikuwa hawapo, na wakati ule wa asubuhi walipokuwa wapo, MGENI alitokomrea bila kuongea chochote wala kutoa salaamu

Baada ya J5 kupita, jana Alhmis ya tarehe 27/07/2023 ndiyo ulitoka utambulisho kutoka kwa MWI kwa njia ya email, ukimtambulisha mwajiriwa mpya ambaye alikuwa assumed kwamba watu wote wanamfahamu KWA JINA NA KWA SURA na mhusika hana uhakika kama ndiyo yule mgeni

Mhusika hata hajaweza kufahamu vizuri aliyetmabulishwa ni nani kwa sababu alisoma jina la mtu ambaye hata hamfahamu

Zaidi ni kuwa baada ya utambulisho wa MGENI kutoka kwa OM-2 siku ya J3, kuanzia siku ya J4 hadi leo, OM-2 amekuwa muda wote ofisini kwa MR M, isispokuwa laptop yake tu ndiyo ipo ofisini

Kwa kifupi sana, haya ndiyo yale machache tu yaliyojiri kati ya mhusika na MGENI huyu

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: SATURDAY, 28TH JULY 2023
KUHUSIANA NA COINCIDENCE ZA MATUKIO YA CELLS ZA TISSUES ZA VIUNGO VYA WANADAMU: TUKIO JINGINE MUHIMU


MWEZI wa Tisa mwanzoni, MAMA JIRANI alimvizia mhusika kwenye parking na kumjulisha kuwa alikuwa anauguliwa na mtu ambaye alikuwa na matatizo YA SENSORY NEURONS NA ALIKUWA AMELAZWA ICU.

ILIKUWA NI J3 ambayo mhusika ALIKUWA anatarajia KUANZA likizo yake ya mwaka SIKU hiyo, KIASI KWAMBA WAKATI WA KWENDA kumuona mgonjwa hospitalini, ANGEKUWA ANATOKEA nyumbani

TUKIO HILI LA MAMA JIRANI na MHUSIKA, mhusika tayari alishawahi KULETA MAELEZO yake ya KINA HUMU JUKWAANI na ZAIDI ya MARA moja.
TUKIO hili LA JIRANI NDIYO MOJAWAPO YA Yale ambayo MHUSIKA aliasing kuwa ni MAIGIZO YALIYOKUWA yameratibiwa kwa ustadi wa HALI ya juu sana, likiwemo LILE LA mtoto ALIYEWAHI kupewa Rufaa kutoka mkosni kuja huku Dar es salaam
MAMBO YANAENDELEA KUJIFUNUA TARATIBU

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
MATUKIO MENGINE MAWILI YASIYOKUWA MAZURI KWA MHUSIKA NDANI YA WIKI HIZI MBILI ZILIZOFUATANA

KWENYE WIKI HIZI MBILI MFULULIZO, MHUSIKA AMEKUWA AKIKWEPA MASHAMBULIZI OFISINI AMBAYO KILA SHAMBULIZI LILIKUWA LINAOANA NA RATIBA YA MAOMBI KANISANI
KWA HIYO JAPO MASHAMBULIZI HAYO YALIKUWA YAFANYIKIE OFISINI, YALIKUWA YANAPANGWA KUTOKEA KANISANI KUPITIA RATIBA YA MAOMBI NA MAOMBI
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Huyu bwana huwa anaandika vitu gani? Msaada plz
Yanafanywa mambo ambayo ukibahatika kuya-capture vizuri na kuyaleta humu jukwaani, lazima tu watu waanze kukushuku kwanza wewe kuwa una matatizo kichwani.
Tafadhali soma kwa furaha tu, acha ku-comment
 
UPDATE: WEDNESDAY, 02ND AUGUST 2023

UTAFITI KUHUSIANA NA KIUNGO JICHO AMBAO UMESHATHIBITISHWA SIKU NYINGI ILA TAARIFA ZAKE ZILIKUWA BADO HAZIJATOKA

VIWAKILISHI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO VYA BAADHI YA SEHEMU ZA JICHO, AIDHA VILIVYOPO KWENYE VIUNGO VYA BINADAMU AU KWENYE VITU VINAVYOMILIKIWA NA BINADAMU

MOSI: SEHEMU NYEUPE YA JICHO AMBAYO KAZI YAKE NI KUAKISI MWANGA


Hii ni sehemu ya jicho ambayo huwa ianaakisi mwanga. Vitu vyote vyeupe (au rangi nyeupe) huwa vinaakisi mwanga kama vile

  • Vitu vyote vyeupe
  • Vitu vyote vyenye nyuso (surfaces) zing’aazo bila kujali ni vyeupe ama la
  • Vipara vya binadamu, kwa binadamu wale waliobahatika kuwa na vipara NATURALLY au wale wanaopenda kunyoa vipara ARTIFICIAL
Kwa hiyo sehemu hii inawakilishwa na rangi zote nyeupe za vitu na za watu wakiwemo watu wote wenye ngozi nyeupe bila kujali RACE zao ikiwa pamja na nyuso zote zing’aazo

PILI: SEHEMU NYEUSI YA JICHO AMBAYO HUWA INAMEZA AU KUFYONZA MWANGA

Hii inawakilishwa na watu au vitu vyenye rangi nyeusi kama vile

Watu weusi bila kujali RACE zao

Vitu vyeusi kama vile magari yenye rangi nyesi, laptop, ipad, etc

HITIMISHO

Utafiti unaonyesha kuwa watu ambao ni weupe halafu wana vipara pia, au weusi halafu wana vipara pia, wanawakilisha vyote viwili vilivyotajwa hapo kwa wakati wote

Kwa upande wa Kanisa A, kwenye Ibada ya pili, wapo waumini watatu wenye vipara ukiachilia mbali viongozi wawili ambao pia nao wanazo sifa hizo

Pattern iliyojitokeza kwa waumini hawa watatu ni kwamba karibia mara zote muumini mmoja mweye kipara huwa ni lazima awe amekaa viti vilivyo mbele halafu wengine wawili wanakuwa wamekaa viti vilivyo nyuma ya muumini huyo

  • Karibia mara zote, ni lazima muumini huyo mmoja akae mbele halafu wale wengine wawili, huwa wanafuata na kuja kukaa nyuma yake
  • Hawa wengine wawili huwa wanamtegea muumini huyu mmoja anachukua nafasi ya kiti chake kwanza, halafu baada ya hapo nao huja kukaa nyuma yake
Hata J2 iliyopita ya tarehe 30/07/2023 configuration ya ukaaja wa watu hawa watatu ilikuwa hivyo

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: THURSDAY, 03RD AUGUST 2023

TUKIO LA KIPEKEE SANA LILITOKEA LEO MCHANA HUU WAKATI WA LUNCH MAZINGIRA YA OFISINI KWA MHUSIKA

BINTI ANAYETUNZA MAFAILI KWENYE CHUMBA KIDOGO JIRANI KILICHOWAHI KUHIFADHIWA GENERATTOR LINALUTMIA MAFUTA YA PETROL, NDIYE MHUSIKA MKUU WA TUKIO


Tukio limetokea kwenye muda wa karibia saa 8:00 mchana isispokuwa pilika pilika zake zilianza jana J4 ya tarehe 02 August 2023, na mhusika ni binti ambaye huwa anatunza mafaili chumba jirani; kiile ambacho hivi karibuni kilihifadhiwa Jenereta la mafuta ya Petrol

Mbali na binti huyu kuwa ni mhusika, kuna mtu mwingine pia ambaye jana binti alimtaja jana kama HR, kuwa yeye ndiye aliyempa maelekezo ya kile ambacho muda mfupi mhusika anakwenda kukileezea kwenye tukio hili

MAELEZO YA UTANGULIZI YA TUKIO LENYEWE

Jana J4 binti husika alifika kwenye chumba chake cha kuhifadhia mafaili yake akiwa ameambatana na mtu mwingine mgeni, kijana mrefu wa kiume

Binti aliingia humo na kutumia dakika kadhaa kwenye chumba hicho baada ya muda alitoka

Wakati anatoka, binti alipitia ofisini kwao mhusika, ambapo kwa wakati huo, kulikuwa na watu wawili ofisini, mhusika na Office Mate (OM) yule mwenyeji

Baada ya kuingia humo, binti aliwatambulisha mhusika na mwenzake kuwa aliyekuwa ameambatana naye ni kijana ambaye yupo field na hivyo altaendelea kuwepo na hivyo wakimunona yuko chumba jirani, wanatakiwa wasimhofu

Baada ya hapo, mhusika alitoa hoja kwa kumweleza binti kuwa kawaida, ndani ya jengo la Idara mamlaka ya kutambulisha wageni ni ya Mkuu wa Idara, au mtu mwingine aliyepewa mamlaka hayo na Mkuu wa Idara

Binti naye alitoa hoja kuwa mamlaka hayo ya kumtambulisha kijana huyo alikuwa amepewa yeye na mtu amabye alimtaja kama HR, ambaye hakumtaja jina

………………………inaendelea
 
Kwenye hoja zao kuhusiana na utambulisho wa mgeni, mhusika na BINTI hawakuafikiana kiasi cha kutofikia suluhu ni utaratibu upi hasa uliokuwa sahihi wa mgeni huyo kutambulishwa

Wakati huo huo

  • MKUU WA IDARA YUPO SAFARI, KUNA KAIMU MKUU WA IDARA
  • MKUU WA MAJOR UNIT NAYE PIA YUPO SAFARI, KUNA KAMU WAKE
Mbali na hayo, kijana aliyekuja field yupo chini ya ofisi ya MKUU WA MAJOR UNIT, isipokuwa documents anazotumia zimetunzwa kwenye ofisi iliyopo chini ya MKUU WA IDARA, kwenye chumba kidogo jirani na ofisi yao mhusika na office mates wake

KILE KILICHOTOKEA LEO ALHAMIS ASUBUHI HADI MCHANA

Kwenye muda wa baada ya saa 4:00 asubuhi, mhusika akiwa anapita kwenye korido kuelekea ofisiini kwake, alimsikia binti mwenye documents husika akiwa anaongea ndani ya ofisi ya MNUNUZI WA GARI (MWG)

Mbali na kusikika sauti ya mwenye ofisi hiyo (MWG), humo ndani kulisikika pia sauti ya SENIOR MSTAAFU aliyewahi kuhudumu kama MKUU WA IDARA kwenye kipindi cha miaka ya 2006-2012

  • Wakati huo mhusika alikuwa anaelekea ofisini, baada ya kuwa ametoka kidogo
  • Kule ofisini kwao mhusika alikuwa amemwacha OM mwenyeji, OM-2 yeye alikuwa ametoka na hadi muda huu bado hajaonekana tena ofisini
  • Baada ya mhusika kuingia ofisini, OM naye alitoka pia na baada ya muda mfupi kupita, BINTI alifika tena kwenye documents zake huku akiwa ameambatana na yule kijana aliyewahi kumtambulisha jana yake
Kwa hiyo wakati BINTI anafika akiwa amembatana na kijana, OM alikuwa ametoka

Hata hivyo, haukupita muda mrefu, OM alirudi tena na kuwakuta binti na kijana wakiwa wapo chumba jitrani

OM hakukaa ofisini, alitoka tena na hakurudi tena hadi pale BINTI na kijana walipokuwa wameondoka; takribani zaidi ya dakika 30 mbele

Huo mchakato ukapita

MUDA WA SAA 7:30 MHUSIKA ALITOKA TENA NJE YA OFISI, NA HAPO NDIYO STORI INAPOANZIA

Wakati mhusika anatoka, OM naye alikuwa ametoka pia

Akiwa anapumzika kwa muda kwenye veranda, aliwaona watu wafuatao wakishuka chini ya jengo kwa mpigo, dalili ambazo zilionyesha kuwa walikuwa wanaelekea lunch

Hawa ni

  • Office mate (OM)
  • Mfanyakazi aliyetokea Dodoma (MFD)
  • Kaimu Mkuu wa Idara wa sasa
  • Mnunuzi wa Gari (MWG)
  • Binti mwingine alliyewahi kuambatana na OM kwenda uwanja wa Sabasaba mwishoni mwa mwezi Juni 2023
  • MR M
Hawa wote waliondoka kwa mkupuo mmoja kuelekea lunch

Hata hivyo wakati mhusika anarudi ofisini, alishangaa kukutana tena na OM kwenye korido akiwa ndani ya jengo

Mhusika haelewi OM alipitia wapi kwa sababu yeye (mhusika) alikuwa amesimama usawa wa ngazi zile za kushuka na kupandisha, na glimpse ya mwisho ya mhusika ni kwamba alimuona OM akiwa yuko basement floor ya jengo, akiwa anataka kupanda kwenye gari la MFD ambalo lilikuwa limezingirwa na magari mengine kadhaa kiasi cha kushindwa kutoka kwa urahisi

…………………………inendelea
 
BAADA YA MHUSIKA KURUDI OFISINI, KIJANA MGENI ALIYEKUJA FIELD ALIRUDI TENA KWENYE CHUMBA JIRANI HUKU AKIWA NA FUNGUO ZA CHUMBA HICHO, SAFARI HII AKIWA YUKO PEKE YAKE

Alikuwa na funguo za chumba na alifungua na kuingia humo

OM alirudi ofisini na kumkuta kijana yup ofisini jirani, na baada ya muda OM alitoka tena

Wakati kijana huyu anatamabulishwa jana, mhusika alimpa hint OM wake kwamba asiruhusu mtu kuingia chumba hicho jirani tofauti na mwenye chumba hicho

Kwa kijana alirudi kwenye ofisi muda huo wa lunch, akiwa amekiuka kile ambacho mhusika na OM walikubalina jana

Na kwa sababu kijana alikuja na kuingia humo huku OM wa mhusika akiwa ametoka, kitendo cha OM kurudi na kumkuta kijana yupo peke yake chumba hicho jirani, kiliashiria kuwa mhusika ndiye aliyemruhusu kuingia humo na hivyo, safari nyingine, possibly OM naye hataweza kutoa pingamizi la kijana huyo kuingia humo

Safari hii ya tatu kijana huyo alikuja akiwa peke yake huku akiwa na funguo na kufungua chumba na kuingia humo

Ni kijana mabaye BINTI alipewa mamlaka ya kumtambulisha na HR, hicho ndiyo alichowahi kusema BINTI jana

Mhusika hana uhakika kama kijana huyu naye pia alikuwemo ofisni kwa Mnunuzi wa Gari (MWG) wakati sauti ya BINTI ilipokuwa ikisikika kutokea humo asubuhi, isipokuwa anadhani kuwa BINTI alikuwa amekaa humo akiwa anamsubiria kijana afike

Mbali na hilo, vile vile mhusika hana uhakika kama OM alipita njia ya kawaida kurudi ndani ya jengo, ukizingatia fact nyingine kwamba hapo awali, alikuwa amefanya fooling ya kuigiza kama anaelekea lunch akiwa na kundi la watu aliokuwa nao basement floor, akiwemo Kaimu Mkuu wa Idara

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
OM wa kwanza amekuja ofisini kifua kikiwa kimejaa haia nafasi, hata anavyotembea ukimwangalia hadi unamhurumia. Ana vitu vimejaa kifuani hadi unamuonea huruma
 
Mgeni aliyekuja field, alitamambullishwa tu kuwa ni mtu yuko field, Hakutamulishwa jina na wala haikusemwa anatokea wapi
 
UPDATE: SATURDAY, 05TH AUGUST 2023
KUHUSIANA NA MATUKIO YANAYOENDELEA OFISINI KWA MHUSIKA.

MPAKA MUDA HUU UTAFITI WAKE MHUSIKA UMEMTIBITISHIA PASIPO SHAKA KUWA KARIBIA MATUKIO YOTE YAMEKUWA YAKITOKEA KUTOKANA NA "COLLABORATION" YA MA-OFFICE MATES WAKE WAWILI


NDANI YA WIKI HII PEKE YAKE, MA-OFFICE MATES HAWA WAMESHIRIKIANA KWENYE MATUKIO MENGINE MATATU KWA SIKU ZA J5, ALHAMIS NA IJUMAA

KWENYE USHIRIKIALNO WAO, MBINU WANAYOTUMIA KWA SASA NI KWA MMOJA WAO KUONDOKA NA KUMWACHIA MWENZAKE MISSION ILI AITEKELEZE AKIWA PEKE YAKE

KWA HALI HIYO,SIKU YA J5 KULITOKEA TUKIO AMBALO ALIHUSIKA OM-1, PEKE YAKE NA AMBALO TAARIFA ZAKE BADO HAZIJALETWA HUMU

MBALI NA HILO, ALHAMIS VILE VILE KULIKUWA NA TUKIO AMBALO TAARIFA ZAKE ZILIWAJIENI HUMU MUDA MFUPI TU BAADA YA TUKIO HILO KUTOKEA NA ALIYEHUSIKA BA TUKIO HILO ALIKUWA NI OM-1 VILE VILE

VILE VILE, IJUMAA YA TAREHE 04/08/2023 KUNA TUKIO JINGINE LILITOKEA AMBALO SAFARI HII MHUSIKA WAKE ALIKUWA NI OM-2 PEKE YAKE, KWA MAANA KUWA OM-1 ALITOKA KABLA YA TUKIO, HUKU WAKATI HUO AKIWA ANAJUA KUWA KUNGEKUWA NA TUKIO SIKU HIYO

TUKIO HILI LINAHUSIANA NA YULE MGENI WA SIKU ZOTE, AMBAYE SIKU ZA HIVI KARIBUNI TAKRIBANI WIKI MBILI ZILIZOPITA, MHUSIKA ALIWAHI KUKMKUTA AKIWA AMESIMAMA GETINI NJE YA JENGO LA IDARA WAKIWA PAMOJA NA MKUU WA IDARA NA MR M PIA

MGENI HUYU PIA LNDIYE YULE AMBAYE ALIWAHI KULETWA OFISINI KWAO MHUSIKA SIIKU MOJA NA OM-2 NA KUDAIWA KUWA NI STAFF AMBAYE HAPO BAADAYE, ANGEKUJA KUTAMBULISHWA NA MWI MWENYEWE

BAADA YA MGENI HUYU KUWA AMEPOTEA IDARANI KWA ZAIDI YA WIKI NZIMA, JANA IJUMAA NDIYO ALIFIKA TENA OFISINI KWAO MHUSIKA NA SAFARI HII, KUMKUTA MHUSIKA AKIWA YUPO PAMOJA NA MA-OFFICE MATES WAKE WOTE WAWILI

ILIKUWA NI KWENYE MUDA BAADA YA SAA 8 ZA MCHANA

MGENI HUYU ALITUMIA MUDA WA ZAIDI YA SAA NZIMA AKIWA YUPO HAPO OFISINI, KABLA YA KUSTUKA MWENYEWE NA HATIMAYE KUAMUA KUONDOKA

KILICHOPLELEKEA MGENI KUONDOKA
ILIKUWA NI BAADA YA MGENI HUYO KUACHWA NA WENYEJI WAKE WOTE AKIWA PEKE YAKE OFISINI HUMO

ILIKUWA HIVI:
MA-OFFICE MATES WOTE WA MHUSIKA WALITOKA NJE NA KUMWACHA MGENI AKIWA
PEKE YAKE, MHUSIKA NAYE AKIWA YUPO OFISINI

BAADA YA HALI HIYO KUTOKEA, MHUSIKA NAYE ALIAMUA KUTOKA NJE NA KUMWACHA MGENI HUYO AKIWA YUPO HUMO OFISINI PEKE YAKE, KITENDO KILICHOPLEKEA MHUSIKA KUTOKA OFISINI NA KUMWACHA HUMO AKIWA PEKE YAKE

TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIENI
 
KUNA TAARIFA ZA MATUKIO YA J5 NA IJUMAA AMBAZO TAARIFA ZAKE BADO HAZIJAWAJIENI

WAHUSIKA WENGINE WA TUKIO LA J5 NI KIJANA WA MTAANI MWRNYE MIGUU YENYE CURVATURES AMBAYE HUWA ANAINGIA MARA KWA MARA KWENYE CHUMBA CHA MICROSCOPES, PAMOJA NA YULE MTAALAMU WA IT, SWAHIBA WAKE WA KARIBU SANA NA OM-2.

ENGINEER MKUU WA MATUKIO HAYA YOTE NI OM-1 NA MBINU KUBWA ANAYOTUMIA HASA NI KUMTEGEA MHUSIKA ANAPOKUWA AMEKITOKA NJE YA OFISI, OM-1 NAYE WAKATI HUO HUTOKA NA KUANZA PILIKA PILIKA NYINGI SANA ZA KUPANDISHA NA KUSHUKA NGAZI MARA KWA MARA NA HATIMAYE BAADA YA HAPO, HUCHEPUKAKUTOKA KWENYE NGAZI NA KWENDA KUTETA NENO NA MHUSIKA WAKIWA WAPO NJE YA OFISI

MARA YA MWISHO OM-1 KUTETA NA MHUSIKA ILIKUWA NI J5 YA WIKI HII NA ALIULIZA KAMA MHUSIKA ANAYO HDMI CABLE NA MHUSIKA ALIMJIBU KUWA ANAYO ILA IPO NYUMBANI

TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIENI
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
TUKIO LA J5
OM-1 ALIMLETA KIJANA WA MTAANI OFISINI, WALIKUWA WANAFANYA KAZI WOTE AMBAYO MHUSIKA HAKUWEZA KUIFAHAMU ILIKUWA NI KAZI GANI

KIJANA HUYU WA MTAANI AMEKUWA AKIONEKANA MAZINGIRA YA OFISINI KWA TAKRIBSNI WIKI MBILI MFULULIZO.

NDIYO YULE MWENYE CURVATURES

BAADA YA MUDA KUPITA WAKIJADILIANA NAMNA YA KUFNYA KAZI HIYO, ILIONEKANA BAADAYE KUWA INAELEKEA KUWASHINDA NA HIVYO KUHITAJI MSAADA KUTOKA KWA MTU MWINGINE AMBAYE NI MTAALAMU WA IT, SWAHIBA WAKE NA OM-1

MTAALAMU HUYO ALLITWA N.A. BAADA YA MUDA MFUPI, ALIWASILI OFISINI
HAPO

WAKATI HUO, MUDA ULIKUWA NI DAKIKA CHACHE BAADA YA SAA KUMI KAMILI

BAADA YA HAPO TENA, MUDA SI MUDA, BINTI MWENYE ZILE FORM ZA NHIF ALIZOWAHIM KUKABIDHIWA NA MHUSIKA, KIIPINDI KILE OM-1 ALIPOSAFIRI, NAYE PIA ALIFIKA OFISINI NA KUMUOMBA OM-1 WAONDOKE PAMOJA KURUDI NYUMBANI KWA SABABU MUDA WA KAZI ULIKUWA UMEISHA

HAPO HAPO OM-1 ALIKUBALI KUAMBATANA NA. BINTI, AKIWAACHA WENZAKE ALIOKUWA AMEWAKARISHA OFISINI, WAKIWA PAMOJA NA MHUSIKA, HUKU WAKIENDELEA NA.KAZI YAO

MHUSIKA KUONA HIVYO, KABLA OM-1 HAJAONDOKA OFISINI, ALIWOMBA ALLIES WA OM-1 WAENDE WAKAFANYIE KAZI YAO OFISINI KWAO KWA SABABU MUDA WA MHUSIKA KUONFOKA OFISINI ULIKUWA UNAKARIBIA

BAADA YA HAPO. WATU HAO WALIONDOKA NA KUMWACHA MHUSIKA AKIWA YUPO PEKE YAKE OFISINI.

TUKIO HILO LA J5 LIKAPITA NA HATIMAYE KUFUATIWA NA TUKIO JIGYINE LA ALHAMIS BAADA YA SAA 7 NA NUSU MCHANA, AMBALO LENYEWE TAARIFA ZAKE TAYARI ZIPO HUMU JUKWAANI.

TUKIO LA JANA IJUMAA TAREHE 04/08/2023
...............................inaendelea
 
NYONGEZA MUHIMU KUHUSIANA NA TUKIO LA OM-1 SIKU YA J5

WAKATI OM-2 ANALETA ALLIANCE YA WATU WA KUFANYA NAO KAZI PALE OFISINI, TAYARI ALIKUWA AMESHATEKELEZA AZMA YAKE YA KUTETA NA MHUSIKA NJE YA OFISI, KIPINDI ALIPOKUWA ANAFANYA ZILE PILIKA PILIKA ZA KUPANDISHA NA KUSHUSHA NGAZI

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
TUKIO LA IJUMAA
MGENI AWASILI TENA OFISINI KWAO NA MHUSIKA; ILIKUWA NI BAADA YA WIKI MBILI KAMILI KUWA ZIMEPITA TANGU MGENI HUYU AONEKANE OFISINI HAPO MARA YA MWISHO

MARA YA MWISHO MHUSIKA KUMUONA MGENI HUYU ILIKUWA NI SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 21/07/2023, MARA YA MWISHO MGENI HUYU ALIPOINGIA TENA OFISINI KWAO NA MHUSIKA NA SIKU HIYO KUWAKUTA TENA WENYE OFISI WOTE WATATU WAKIWA WAPO OFISINI

BAADA YA SIKU HIYO, MTU HUYU HAKUONEKANA TENA MAZINGIRA YA OFISINI, HATA KWENYE KORIDO TU ALIKUWA HAPATIKANI

JANA IJUMAA NDIYO IKAWA SIKU YAKE NYINGINE TENA YA KUONEKANA OFISINI
MGENI ALIFIKA NA KUWAKUTA MA-MATE WOTE WATATU WAPO NA ALIKAA KWA MUDA USIOPUNGUA SAA NZIMA

ALIKUJA BAADA YA SAA 8 KAMILI

KATKA KIPINDI CHOTE ALIPOKUWA YUPO OFISINI HAPO, WENYEJI WAKE WALIKUWA WANATOKA NA KURUDI OFISINI KWA KUPISHANA, KIASI KWMBA HAPAKUTOKEA WAKATI MMOJA WOWOTE ULE AMBAO WENYEJI WAKE WOTE WALITOKA NA KUMUACHA AKIWA PEKE YAKE NA MHUSIKA TU

HATA HIVYO, PALE MWISHO ILIKUJA IKATOKEA COINCIDENCE HIYO.

WENYEJI WAKE WOTE WALITOKA NA KUMUACHA AKIWA PEKE YAKE N.A. MHUSIKA TU NA HAPO NDIPO MHUSIKA NAYE ALIAMUA KUTOKA NJE NA KUMWACHA AKIWA PEKEE YAKE.

NI KWA SABABU ALIKAA MUDA MREFU MNO HAPO OFISINI, HUKU IKIWA HAIJULIKANI NI NINI KILIKUWA KIMEMLMON PAKE

MHUSIKA ALIRUDI BAADAYE NA KUMKUTA OM-2 AKIWA PEKE YAKE OFISINI, MGENI AKIWA TAYARI AMESHAONDOKA, OM-1 ALIKUWA BADO HAHARUDI

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KUHUSIANA NA SWALA MHUSIKA KUVZIWA N.A. WATU LIU WAONEKANE KUWA HUWA WANATETA NAYE PINDI ANAPOKUWA NJE YA OFISI TU

MBALI NA OM-1, MTU MWINGINE AMBAYE KWA MIEZI YA HIVI KARIBUNI NAYE PIA AMEKUWA AKIFANYA HIVYO MARA KWA MARA, NI MTAALAMU WA IT YULE WA KIUME, MUSOMA LINE. YULE MWINGINE WA FORM ZA NHIF, NAYE PIA NI MTAALAMU WA IT, LINE HIYO HIYO

HUYU WA KIUME NDIYE PIA YULE ALIYEHUSIKA NA TUKIO LA J5

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
'
 
Back
Top Bottom