YALE MUHIMU YALIYOJIRI MAZINGIRA YA OFISINI KWAKE MHUSIKA KUANZIA J5 YA TAREHE 30/01/2024 HADI SIKU YA LEO J3 YA TAREHE 12/02/2024
Kwenye Alasiri ya J5 ya tarehe 30/01/2024 mhusika akiwa yupo anapumzika kwenye veranda;
staffmate wake, binti mmoja akamfuata mhusika na kumweleza kuwa kesho yake Alhamis ya tarehe 01/02/2024 kutakuwa na DEFENCE ya mwanafunzi wa ngazi za juu itakayofanyikia kwenye chumba cha mikutano cha Idara
Baada ya kusikia hivyo, mhusika alimweleza binti kuwa circular ya tukio hilo kubwa alikuwa bado hajaiona
- Baada ya mhusika kutoa hoja hiyo, binti huyu akaanza kumung’unya mungunya maneno pasipo kutoa hoja ya msingi kwa mhusika kutokuwa amepata circular ya tukio hilo kubwa mno
- Baada ya hapo, binti alienda tena mbali zaidi kwa kumweleza mhusika kuwa muda huo alikuwa yupo pia anachanagisha fedha kwa ajili ya hafla ya jioni baada ya DEFENCE kuwa imemalizika
Hapa tena kukaibuka
contradiction nyingine kubwa kwamba kawaida matukio ya aina hii huwa yana
budget yake idarani kwa sababu yanajulikana kutokana na umuhimu wake na ukubwa wake
Hapo mhusika akakwepa tena kwa kutoa sababu ya msingi ya kutoshiriki kwenye uchangiaji wa fedha za tukio hilo
Hadi inafika siku ya tukio lenyewe Alhamis ya tarehe 01/04/2024, mhusika alikuwa bado hajapata taarifa zozote
official kwa njia ya
circular, isipokuwa aliamua kujipeleka tu mwenyewe kwenye tukio na kwa kutumia taarifa zile za mdomoni
Tukio hilo lilifanyika kwa ufanisi mkubwa na lilichukua takribani masaa matatu, na mmoja wapo wa wahusika kwenye tukio hilo alikuwa ni mgeni yule Kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi, alikuwa ni miongoni mwa
panelists
Baada ya tukio kumalizika, hapakuwa na lunch na watu walitawanyika na kutokomea kila mmoja ofisini kwake
TUKIO MUHIMU LILILOTUKIA WAKATI PRESENTATION YA DEFENCE HIYO ILIPOKUWA INAENDELEA
Defender alikuwa amepewa dakika 45 za PRESENTATION na masaa mengine mawili ya kujibu maswali kutoka kwa watu ambao mhusika aliwafahamu siku hiyo kama
panelists
Baada ya PRESENTATION kuwa imemalizika na kufuata masaa mawili ya maswali, UMEME ULIKATIKA na wakati huo
STANDBY generator kubwa haikuwaka, possibly haikuwa na mafuta
Kukatika huko kwa umeme kulisababisha DEFENDER atumie almost masaa yote mawili akiwa anajibu maswali kwenye chumba chenye joto,
kitu ambacho kilipelekea atoe jasho mwili mzima hadi kulowanisha nguo za juu alizokuwa amevaa
SENSORY MECHANISMS ZA MWILI WA DEFENDER AMBAZO ZILIKUWA AFFECTED BAADA YA UMEME KUWA UMEKATIKA
Ni OSMOREGULATION/ HOMEOSTASIS na BLOOD PRESSURE
Mechanisms hizi ndiyo zile zilizopelekea DEFENDER aweze kutoa jasho jingi kwa kiasi hicho
Hapa
contradiction nyingine tena ilijitokeza kwa sababu kwa tukio kubwa namna hiyo, kukatika huko kwa umeme kusingetokea katika namna ambayo hata STANDBY generator lisingeweza kuwa la masaada
- Still, kwenye tukio la aina hiyo, hata generator nyingine ndogo ya mafuta ingeweza kuwa imeandakiwa kama mbadala wa generator rkubwa lile kubwa
- Incidences zote hizi, ukiongezea na swala la kukosekana circular, zilimpa picha mhusika kuwa tukio la DEFENCE hiyo lilikuwa ni la kushtukiza na kwamba kukatika kwa umeme huku generator likiwa haliwezi kufanya kazi kulifanyika makusudi
Tukio hilo la Alhamis likapita
Baada ya tukio kupita, likafuata tukio jingine tena linalofanana na hilo, J3 ya wiki iliyofuata tarehe 05/02/2024, baada ya Ijumaa hiyo,
mhusika hakupata tena circcular ila alipewa taarifa za mdomoni tu na wenzake na nadni ya masaa machcahe tu kabla ya muda wa tukio lenyewe
- Baadaye tena, likafuata tukio jingine tena Alhamis ya wiki hiyo tarehe 08/02/2024, mhusika hakupata tena circular, alipewa taarifa za mdomoni na wenzake
- Likafuata tukio jingine tena kesho yake Ijumaa ya tarehe 09/02/2024, mhusika hakupata tena circular, alipewa taarifa za mdomoni na wenzake
Hata hivyo, kwenye tukio hili la Ijumaa, mhusika aliamua kuifuatilia circular siku hiyo hiyo ya Ijumaa kwenye Ofisi ya Mkuu wa Idara na baada ya hapo alipatiwa soft copy yake kwa kutumiwa kwenye email,
circular hiyo ikiwa kwenye karatasi ambayo haina nembo ya Taasisi na ikiwa imesainiwa na MKUU WA MAJOR UNIT
Baada ya matukio hayo yote, limefuata tukio jingine tena leo J3 ya tarehe 12/02/2024,
mhusika hakupata tena circular, alipewa taarifa za mdomoni na wenzake
Miongoni mwa matukio haya yote yaliyofuata baada ya lile la DEFENCE, mhusika anapenda kugusia kidogo tukio lile la IIjumaa ya tarehe 09/02/2024 ambalo lilihusiana na uchaguzi wa awali wa mchujo wa kiongozi wa MAJOR UNIT
Attribute moja kubwa kuhusiana na matukio haya yote, ukiondoa lile la DEFENCE ambalo mhusika alipewa taarifa za mdomoni
siku moja kabla ya siku ya tukio, kwa matukio mengine yote yaliyofuata baada ya hilo,
MHUSIKA AMEKUWA AKIZIPTA TAARIFA ZAKE KWA MDOMO KUTOKA KWA WENZAKE; SIKU HIYO HIYO, NA NDANI YA MASAA MACHACHE TU KABLA YA MUDA WA TUKIO HUSIKA
Taarifa zaidi kuhusiana na tukio la Ijumaa iliyopita zinafuata baadaye
Tukio hili la Ijumaa iliyopita, ndiyo lile linalomhusisha pia mgeni wa SMKE, huku likishahibiana na lile lililotokea Kanisani J2 iliyopita ya tarehe 11/02/2024
MOTIVE YA MHUSIKA YA KUYAONGELEA MATUKIO HAYA
Mhusika anapenda kuyaleta humu matukio haya kwa sababu zipo
cases za awali ambazo mhusika alishawahi kuwa
triggrered pasipo uwepo wa circular na hatimaye kupelekea akashiriki kwenye matuko ambayo baadaye yalikuja kuonekana kuwa yalikuwa ni MAIGIZO tu ya watu wajanja, isipokuwa kilichokuwa hasa kinatafutwa kwake ni yeye kuwa mmojawapo wa washriki kwenye event hizo
………………..inaendelea