A:USHAHIDI KUTOKEA KANISANI
……………………inaendelea
KWA UPANDE WA KANISANI, USHAHIDI HUU UNAAMBATANA NA WATU WAWILI
Wa kwanza ni mtumiishi kiongozi ambaye amekuwa haonekani sana siku za hivi karibun Kanisani hapo, isipokuwa J2 iliyopita
aliingia kanisani baada ya ibada kuu kumalizika; na ilikuwa ni muda mfupi tu kabla ya Ibada kufungwa kabisa
Muda wote wakati wa IIbada, kiongozi huyu hakuwepo ndani Kanisani ila aliwasili muda mfupi tu kabla ya Ibada kumalizika
Kiongozi huyu yuko kweye kitengo cha
phonology; na jina lake linafanana na matamshi ya neno “SYSTEM”
Ukiiondoa “M” kwenye neno
“SYSTEM”, unapata
phonology inayofanana na jina lake la kwanza halafu jina lake la ubin, linaanaza na herufi
“M”
NENO “SYSTEM” NA MATUMIZI YA KILA SIKU YA MHUSIKA
Kuna keyword ambayo mhusika huwa anaitumia kila siku; na pia mara kwa mara kwenye maombi yake ya kila siku; keyword ambayo huwa imeunganika au inaishia na neno “SYSTEM”
Baada ya Ibada ya J2 iliyopita, kila mhusika alipokuwa analitumia, neno SYSTEM” lilianza kufuta kila kitu alichokuwa anafanya, na alipojaribu ku-trace, aliweza kubaini kitu hicho alichokileeza hapo juu
Huo ushahidi wa kwanza, kutokea Kanisani
USHAHIDI MWINGINE KUTOKEA KANISANI NI YULE MAMA KIONGOZI MWENYE GARI HARRIER
Huyu mama kwa kutumia model ya gari lake hilo, yuko
linked kiroho na mstaafu wa Idarani kwao mhusika ambaye mapigo ya jina lake (mstaafu) yana
phonology ya JINI
Taarifa za mstaafu huyu ziliwahi kuwajieni humu siku za hivi karibuni nyuma, na baada ya hapo, mstaafu huyu alionekana tena idarani siku moja akiwa ameambatana na SENIOR MSTAAFU WA KIKE (SMMKE).
Siku hiyo, mstaafu huyu alimtembelea SMMKE ofisini kwake, na baada ya kumuona, mhusika naye alimkaribisha kwa muda ofisini ili awafahamu ma-
officemates wapya (wa mhusika) ambao waliajiriwa mstaafu huyu akiwa tayari ameshaondoka ofisini
Mstaafu huyu mwenye jina la
phonology ya JINI, ana gari aina ya HARRIER
Mama kionogzi wa Kanisani huwa hajawahi kukosekana kwenye Ibada zote ambazo zinakuwa zimeambatana na Meza ya Bwana
Ikumbukwe kuwa pepo wa iana hii anapokuwa amerushwa kwenye phonology, ndiye anyebadlisha neno JINA kuwa JINI au MAJINA kuwa MAJINI
Kwa hali hiyo, maneno tuseme “
tunoamba katika JINA LA YESU”, yanabadilika na kuwa
“tunoamba katika JINI LA ………..”,
Huo ushahiodi wa pili
USHAHIDI WA TATU
Kabla hajaingia kwenye ushahidi wa tatu; mhusika anaomba kuwarudisha nyuma kidogo wasomaji
Asubuhi J2 wakati alipokuwa anaelekea Kanisani, pale kwenye mataa ya Ubungo interchange, taa zilimuwahi na hivyo yeye kuwa mtu wa mbele kabisa kuzuiwa kupita kwenye mataa hayo
Kawaida taa hizo huwa zinachukua anagalau sekunde 180 kabla ya kuruhusu tena, na hivyo alisimama pale kwa muda wa dakika zisizopungua tatu
Wakati taa zinazuia, pembezoni mwa bararabara alimuona anapita binti anayemfahamu, mtoto wa aliyewahi kuwa Kiongozi wa Kanisa A ambaye baadaye alihamia Dodoma
- Vile vile, baba yake mdogo na binti huyu, ndiyo yule kiongozi aliyekuwa anaendesha Ibada ya Meza ya Bwana Kanisa A J2 hiyo
- Assuming Meza ya Bwana ilikuwepo pia kwenye Ibada ya kwanza, uwezekano ni kwamba binti huyu naye alikuwa muda mfupi, ametoka kushiriki meza hiyo
Binti na mhusika walisalimiana, binti akiwa nje umbali kidogo na baada ya salamu; mhusika alimpa salamu binti amfikishie baba yake, kiongozi aliyepo kule Dodoma
- Muda wa dakika tatu ulikuwa ni mrefu kidogo kiasi kwamba ulikuwa unatosha kubadilishana mawaili matatu lakini tataizo lililokuwepo ni kwamba mhusika alikuwa yupo bararbarani, na hivyo umakini wake wote ulikuwa upo kwenye taa za barabarani
- Hadi kufikia J2 hiyo, mhusika alikuwa na miezi kadhaa hajamuona binti huyo Kanisani hapo, na possibly mara ya mwisho alimuona ilikuwa ni mwaka jana 2023
B: USHAHIDI KUTOKA NYUMBANI ANAKOISHI MHUSIKA
JANA ASUBUHI J3 YA TAREHE 27/05/2024: BINTI MGENI ALIYEFIKA NYUMBANI KWA “JIRANI MAJI MACHAFU” (JMM), ALIKUJA NA KUPAKI NYUMA KARIBU KABISA NA GARI LA MHUSIKA
Binti huyu hakuwa mgeni sana
as such, isipokuwa ni mdogo wa mfanyakazi ambaye waliwahi kuishi kwenye block hilo nyumba ya juu kabisa, na walihamia mahali pengine si mbali kutoka hapo, na wakati wanahama ilikuwa June/ July 2019
Tangu pale, mhusika na binti huyu waliwahi kuonanan tena mara moja au mara mbili, na mara nyingine ilikuwa ni siku ya jana J3
BAADA YA MHUSIKA KUTOKA NJE NA KUKUTA GARI LAKE LIMEKUWA BLOCKED NA GARI LA BINTI KWA NYUMA
Mhusika aliangalia ndani ya gari lililomziba ila hakuweza kuona vizuri, na gari hilo lilikuwa linaunguruma kwa muungurumo mdogo sana, lilikuwa kwenye sliencer ile ya chini kabisa
Kutokana na muungurumo huo, mhusika ali-assume kuwa pengine kulikuwa na mtu ndani ya gari, na hivyo aliingia ndani ya gari lake na kupiga honi akiliomba gari hilo limwachie nafasi ili aweze kutoka
- Baada ya mhusika kupiga honi ya kwanza pasipo matokeo, alipiga tena honi ya pili
- Baada ya honi ya pili, binti alishuka kutoka juu nyumba ya JMM huku akiwa ameshikilia mayai mikononi mwake
Kwa hiyo hapa honi za mhusika zikawa zimebadilika na kuwa kama ALERT ya kumwita binti ili waondoke, possibly baada ya kuwa wamewasiliana kabla
Unaweza kumziba mtu kwa nyuma iwapo tu mna mawasiliano na hivyo mna miadi ya kuelekea mahali fulani pamoja kutokea pale
KILE KILICHOKUWA KIMEKUSUDIWA KUFANYWA NA BINTI HUYU BAADA YA KUWA AMEMZIBA MHUSIKA
Binti huyu alikuja na kupaki kwa kumziba mhusika makusudi ili baadaye
mhusika alazimike kupiga honi
- Sauti ya honi ni STIMULUS
- Mkono unaobonyeza button ya HONI ili honi iweze kusikika ni TRIGGER OF STIMULUS
Baada ya binti kuingia kwenye gari, waliondoka wakiwa wameongozana na mhusika na mbele kidogo
walifika kwenye TUTA KALI JIPYA, likiwa ni mojawapo ya yale matuta mapya mawili yalliyowekwa barabarani hivi karibuni. Umbali kidogo tu baada ya kulipita tuta,
binti alikata kulia
Ndiyo pale mhusika alipobaini pia kuwa
matuta hayo
mapya makali mawili yamemzingira pia jirani wa zamani wa mhusika kulia na kushoto; kiasi kwamba akiwa anatoka nyumbani kwake, akipinda kushoto au kulia,
ni lazima apite kwenye moajawapo ya matuta hayo
Kama alivyowahi kudokeza hapo kabla, utafiti wake mhusika aulishabainisha pasipo shaka kabisa kuwa
matuta ya bararabani ni TIRIGGERS OF STIMULI
SWALA LA PHONOLOGY NA BINTI HUYU ALIYEKUWA AMEKUJA KUCHUKUA MAYAI KWENYE BLOCK LAO MHUSIKA
Phonology ya jina la binti huyu inafanana na matamshi ya neno
“MAGI” na mayai kwa lugha ya kuzaliwa ya mhusika, yanaitwa
“MAGI”
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA