#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

UPDATE: TUESDAY, 21st MAY 2024

OMBI LA MHUSIKA KUHUSIANA NA MATUTA MAPYA YENYE MGONGO MKALI MNO, YALIYOWEKWA BARABARANI KWENYE NJIA AMBAYO HUWA ANAPITA ANAPOKUWA ANAENDA AU ANARUDI KUTOKA KAZINI


Mhusika anaomba kama kuna uwezekano, matuta hayo yaongezwe mgongo ili yafanane na matuta mengine ambayo yako jirani, yaliyopo kwenye njia hiyo

Hii ni kutokana na ukweli kuwa mahali yalipo matuta hayo, hakuna watu ambao huwa wanakatiza mara kwa mara kwenye sehemu hiyo



Matuta hayo yana mgongo mkali mno kiasi kwamba kuyapita inakuwa ni shida na kero pia



Ombi hili ni kwa niaba ya wapitaji wengine wa njia hiyo ambao nao pia wanaweza kuwa wanapata shida wakati wa kuyapita matuta hayo

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
1716310115811.png
 
SEMINA YA ROHO MTAKATIFU (RM) KANISA A MWAKA 2012
UHUSIANO WA SEMINA HIYO NA MATUKIO LUKUKI YA AJABU AJABU YASIYOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU NA AMBAYO KARIBIA MARA ZOTE YAMEKUWA YAKIHUSISHA WANAFUNZI


ROHO MTAKATIFU ALIWASHUKIA WANAFUNZI WA YESU SIKU YA PENTEKOSTE
KWA HIYO MATUKIO HAYA YA WANAFUNZI YANATUMIKA KAMA NJIA MOJAWAPO TU YA RM KURUSHIWA PEPO INDIRECTLY KUPITIA WANAFUNZI HAO

ZIPO NJIA NYINGINE PIA AMBAZO RM ANAWEZA KURUSHIWA PEPO, TAARIFA ZAKE ZITAWAJIENI SIKU NYINGINE UTAFITI WAKE UTAKAPOKUWA UMEKAMILIKA

MTU UNASEMA HADI INAFIKIA HATUA UNALAZIMIKA KUKAA KIMYA TU

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KABLA YA SIKU YA PENTEKOSTE, WATU WENGINE WALIOKUWA WAKIJAZWA RM WALIKUWA NI MANABII, MIAKUHANI, WAFALME PAMOJA NA WATU MAALUM TU KUOISHANA WALIOKUWA WANAPEWA "SPECIAL ASSIGNMENT" NA MUNGU: KAMA VILE SAMSON MNADHIRI WA MUNGU

KWA HIYO NABII TITO NAYE PIA ALIKUWA ANAFANYA KAZI KWA KUTUMIA PRINCIPLE KAMA HII AMBAYO IMEKUWA IKITUMIKA KWA MUDA MREFU SASA KUPITIA WANAFUNZI

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KUHUSIANA NA MATKIO YOTE YA AJABU AJABU YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI NA WA SEKONDARI AMBAYO MHUSIKA ALISHAWAHI KUYA-QUERRY KUPITIA UZI HUU

Kiini cha matukio yote hayo ni ile SEMINA YA ROHO MTAKATIFU iliyowahi kfanyika KANISA A mwaka 2012; ila kwa wakti huo mhusika alikkuja bado hajang'amua kama kiini cha mtukio hayo ilikuwa ni semia hiyo; code waliyokuwa wanatumiailikuwa bado imejificha

Ikitokea kwa bahati nzuri Mwalimu wa Semina hiyo pamoja na Viongozi wa Kanisa A wakatoa ushirikiano positive kwenye swala hili, uwezekano ni kwamba mambo makubwa zaidi ya haya yanaweza kujulikana vizuri zaidi

n the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: THURSDAY, 23RD MAY 2024

MATUKIO YA MENGI YA AJABU AJABU YAMEANZA TENA KUMUANDAMA MHUSIKA

YALE YA MUHIMU KUHUSIANA NA PILIKA PILIKA AMBAZO TAYARI ZIMESHAANZA KUMZUNGUNGUKA MHUSIKA ZILIZOANZA J3 YA TAREHE 13/05/2024 HADI LEO


Awali ya yote, Mkuu wa Idara (MWI) pamoja na Mkuu wa Major Unit (MMU) wote kwa pamoja hawapo idarani kwa siku kadhaa sasa na pasipo notification yoyote iliyo official au hata ambayo si official

Hiki kitu mhusika anakisema kwa sababu bado hajapata majibu ya barua yake, na hawa ndiyo wanatakiwa kuyapokea na kumpatia


CHRONOLOGY OF IMPORTANT EVENTS

MOSI:J3 YA TAREHE 13/05/2024


Usiku wa J3 ya tarehe 13/05/2024 mhusika alijulishwa kuwa kifurushi cha decoder ya TV kimekatika, ilihali alikuwa amelipia miezi kitatu. Kifurushi kilikata baada ya miezi miwili tu

Siku mhusika alipokuwa ananunua vifurushi hivyo, mtandao wa simu ulikata pesa ya miezi mitatu ila ukatuma pesa ya miezi miwili tu kwa ISP, na yeye pia aliliona hilo wakati alipokuwa ananunua

Siku hiyo, ISP wa vifurushi alijibu kuwa alipokea pesa ya vifurushi viwili tu, ilhali mtandao wa simu ulimthibitishia mhusika kumkata hela ya vifurushi vya miezi vitatu

Kwa hiyo baada ya miezi miwili, kifurushi kilikatika, wakati mlipaji alilipia miezi mitatu

PILII:KESHO YAKE J4 YA TAREHE 14/05/2024

Mhusika alillazimika kwenda Mlimani City kufutilia pesa ya kifurushi au ikiwezekana kwenda kulipia kingine

Alipofika kwenye ofisi za mtandao wa simu, mtaalamu wa mtandao huo alimuelekeza mhusika kwenda kumuona ISP wa vifurushi kwanza, mahali umbali kidogo na nje ya jengo kutoka mahali pale zilipo ofisi za mtandao wa simu

  • Baada ya mhusika kufika kwa ISP wa vifurushi, wahusika walimweleza kuwa alitakiwa kwenda kumuona ISP wao ambaye yupo ndani ya jengo na ambaye hayuko mbali kutoka pale alipo ISP wa mtrandao wa Simu
  • Mhusika alianza tena kutembea akirudi ndani ya jengo, kwenda kumuona ISP wa vifurushi na tatizo lake lilitauliwa
Ilionekana kuwa mtaalamu wa mtanadao wa simu alimwelekeza mhusika sehemu ambayo si sahihi kwa makusudi; kwa sababu mtaalamu huyo alikuwa anajua wazi kabisa kuwa ISP wa vifurushi vya TV yupo ndani ya jengo

Hiyo siku ikapita

TATU: ILIPOFIKA TENA J5 YA TAREHE 15/05/2024

Mshahara wa mwezi wa tatu ambao uliwahi kuzuiiwa, uliingizwa kwenye akaunti ya mhusika siku hiyo


  • Katika hali ya kawaida, kama utaratibu wa kuulipa mshahara huo ulikuwa uko hivyo, basi mshahara huo ulitakiwa uingizwe ukiwa umeambatana na ule wa mwezi wa nne
  • Hata hivyo mshahara ule wa mwezi wa nne uliingia ukiwa peke yake, huku ukiwa umekatwa laki mbili ambayo iliwahi kusemekeana kwa maelezo ya mdomononi kuwa ni deni la pango la nyumba
  • Ule wa mwezi wa tatu nao pia ulirudishwa ukiwa umekatwa hiyo laki mbili
Kwa hiyo, J5 ya tarehe 15/05/2024; mhusika alitakiwa kuripoti tena sehemu ile ile ambayo alikuwepo siku ya J3 ya wiki hiyo

NNE: LEO ALHAMIS YA TAREHE 23/05/2024

Mshahara umeingia na hivyo katika hali ya kawaida, mhsika alitakiwa kuwepo tena sehemu ile ile ambayo angekuwepo siku mbili tajwa hapo juu, assuming angekuwa amependelea kufanya hivyo

  • Ni kweli kwa sasa mhusika anahitaji cash, lakini kwa leo ameshindwa kuelekea huko kutokana na hayo aliyoyaeleza hapo juu, imebidi ategee kwanza
  • Mbali hilo, kutokuwepo MWI na MMU Idarani, kunaweza kuwa na uwezekano wa majibu yake kutoka ngazi kuwepo idarani, isipokuwa hajaweza kuyapata kwa sababu wanaohusika kuyapitisha ili aweze kuyapata, kwa sasa hawapo idarani
Kama kawaida, msahahara wa mwezi huu nao pia umefyekwa laki mbili

Office-mates wa mhusika walisafiri kikazi wiki hii na hivyo kwa sasa hana hata mtu wa kuweza ku-share naye taarifa hizi

  • Zaidi ni kuwa wiki jana Ijumaa aliuziwa samaki sokoni waliokuwa wanaonekana wazuri sana kwa macho ila kumbe walikuwa wana tatizo, walimpa shida; alikumbushia tuko la matunda ya hivi karibuni yaliyoletwa na HR na kuwekwa kwenye chumba cha chai. A very similar experience kwenye mwili, baada ya kuwa amekula samaki hao
  • Mbali na hilo J3 alipokuwa yupo ofisini aidha alikunywa maji ambayo yalikuwa maliciously infected, au alitumia kifaa ambacho hakikuwa salama kunywa maji.
  • Aliingia kwenye chumba hicho na kukuta pako peke yake, hapakuwa na mtu mwingine, ila baadaye kidogo aliingia MWI Mstaaafu 2006-2012
Mhusika alikunywa maji hayo ofisini kutoka kwenye bomba moja tu lililopo kwenye chumba hicho, na kwa sasa tayari ameshapata shambulio la koo

Yapo mengi yanayoendelea ila kwa utangulizi, kwa sasa haya yanatosha

Hata huko nyumbani anakoishi nako pia ameshaona pilika pilika za kutosha na hilo jengo lililozungushia net za mbu nje ambalo lina nyumba sita, sasa wamebaki pale wakazi wawili tu; wanaweza hata wakapangisha baadhi ya nyumba

Hata hivyo, hajawahi kupewa notice ya kuondoka mahali pale na hivyo bado anaendelea kuwepo pale kihalali

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KUHUSIANA NA LILE KOO ALILOLIPATA BAADA YA KUWA AMEKUNYWA MAJI OFISINI; KUMBE KUNA URUTUBISHAJI WA KOO HILO UNAFANYIKA KISIRISIRI KWENYE MAZINGIRA YOTE YA NYUMBANI NA YA OFISINI PIA

HUKU NYUMBANI JIRANI MAJI MACHAFU ANATUMA HARUFU KUPITIA CHOO CHA MHUSIKA, KILE AMBACHO HUWA ANA KAWAIDA YA KUFURISHA MAVI; NA KUNA WAKATI HARUFU KALI ILIYOFANANA NA HARUFU YA MAVII LISIKIKA, KUPITIA CHOO HICHO HADI MHUSIKA AKALAZIMIKA KUFLUSH CHOO KWA DHARURA

KULE OFISINI NAKO UWEZEKANO MKYBWA NI KILE KIBINTI CHA USAFI KINACHOITWA DHABIHU , KINACHANGANYA NA DAWA ILE YA KUPIGIA DEKI YENYE HARUFU KABLA YA KUDEKI KORIDO KWENTE BAADHI YA MILANGO YA OFISI, KWA TIMING YA MUDA MFUPI TU KABLA MHUSIKA HAJAPITA KWENYE KORIDO HIYO, ASUBUHI ANAPOKUWA ANAINGIA KAZINI KUTOKEA NYUMBANI. KWA WIKI HII, KARIBIA MARA ZOTE KORIDO YA FLOOR HIYO INAKUWA IKO DESERTED WAKATI WA ASUBUHI

ANACHOKUMBUKA MHUSIKA NI KWAMBA KWA MARA NYINGINE, J4 AU J5, PIA KILIFANYA HIVYO KWENYE KORIDO YA USAWA WA MLANGO WA OFISI YA MNUNUZI WA IMNUNUZI WA GARI

DAWA YA KWENYE KORIDO NDIYO HASA ILE AMBAYO IMEKUWA IKIMFANYIA KAZI VIZURI MHUSIKA KWA SABABU YEYE MUDA WOTE MLANGO WA OFISI YAKE UNAKUWA UPO WAZI , HUKU KWA SASA AKIWA YUPO PEKE YAKE OFISINI. MAOFFICEMATES WAKE WOTE HAWAPO, WAMESAFIRI

MAJI ALIYOKUNYWA OFISINI NDIYO YALE YALIYOKUWA NA SHIDA NA SI CHOMBO ALUCHOTUMIA KUNYWA MAJI HAYO, DAWA ILIMIMINWA INSTANTLY KUPITIA BOMBA LA MAJI ALYOKINYWA, HUKU MKUU WA IDARA MSTAAFU 2006--2012 AKIFANIKISHA ZOEZI HILO KAMA WATCHDOG

UWEZEKANO MKUBWA NI KUWA MTU ALIYEMIMINA DAWA HIYO NI YULE SENIOR STAFF, MUME WA MKWE WA MHUSIKA. HUYU NDIYE HUWA ANAHUSIKA NA KU-FlUSH PAMOJA NA KU-REFILL TANK AMBALO HUWA LINA-SUPPLY MAJI KWENYE JENGO
MBALI NA HILO, MTU HUYU VLE VILE ALIMTUMA MWANAFIUNZI MMOJA KUJA KUINGIA KWENYE CHUMBA KIDOGO JIRANI CHENYE MAFAILI SIKU YA ALHAMIS, NA HAIJULIKANI MWANAFUNZI HUYO ALIKUJA KUFANYA NINI HUMO

MHUSIKA HUWA HANA KAWAIDA YA KUNYWA MAJI OFISINI ISIPOKUWA SAMAKI ALIOKULA, MBALI NA KUWA NA MATATIZO AMBAYO AMESHAYAELEZA, SAMAKI HAO WALIKUWA PIA WANAMSABABISHIA KIU NA HIVYO ILIJULIKANA BEFOREHAND KWAMBA KAMA SAMAKI WANGESHINDWA KUFANYA KAZI KWENYE WEEKEND, BASI PLAN B ILIKUWA NI J3 INAYOFUATA KWA MAJI KUTUMIKA OFISINI

ZAIDI NI KUWA ALHAMIS MUDA WA BAADA YA SAA TISA NA NUSU, ALIPANDISHA JUU NA HUKO ALIWAKUTA MAFUNDI WAWILI SURA NGENI ZOTE, WAKIWA WANASUGUA MEZA KWA KUTUMIA MSASA, HUKU WAKIWA WAPO KARIBU KABISA NA MLANGO WA OFISI YA MWI

HUKO KANISANI NAKO KUNA TUKIO AMBALO LIMESHAONYESHA DHAHIRI KABISA KUWA LINAAHIRISHWA AHIRISHWA ILI LIWE SYNCHRONISED VIZURI ZAIDI NA HAYA MAMBO YANAYOENDELEA SASA OFISINI KWA MHUSIKA

MENGINE ZAIDI YATAFUATA BAADAYE

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
HATA MUDA HUU USIKU HUU, .JIRANI MAJI MACHAFU ALITUMA TENA HARUFU KUPITIA CHOONI, NA NDIYO PALE MHUSIKA ALIPOLISTUKIA ZOEZI LA URUTUBISHAJI WA KOO KWA KU-RECALL MATUKIO YOTE HUSIKA YA NYUMA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
NYONGEZA MUHIMU
MOSI: SIKU BINTI WA USAFI ALIYOSAFISHA KWA DAWA YENYE HARUFU USAWA WA MLANGO WA OFISI YA MNUNUZI WA GARI (WMG), ILIKUWA J5. KABLA YA SIKU HIYO, MEG HAKUWEPO OFISINI, ALIKUWA AMESAFIRI KIKAZI

PILI: MWISHONI MWA MWAKA JANA 2023, MTINDO HUU ULIFANYIKA TENA NA KIPINDI HICHO MHUSIKA ALIPATA TATIZO LA VICHOMI KWENYE MUSCLES ZA MWILI WAKE BAADA YA FUMES KUPULIZWA KUTOKA JUU NYUMBANI KWA JIRANI MAJI MACHAFU (JMM)

WAKATI HUO, JMM MWENYEWE NA FAMILIA YAKE HAWAKUWEPIO NYUMBANI, WALIKUWA WAMESAFIRI, ISIPOKUWA WALIMWACHIA MTU BINTI NYUMBA YAO KWA AJILI YA USALAMA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: SATURDAY, 25TH MAY 2024

TAARIFA ZA KUTOKEA TUKIO JINGINE TENA MWANZONI MWA MWEZI HUU WA TANO, LINALOFANA NA LILILOWAHI KUELEZEWA KWENYE POST HII HAPA


#COVID19 - Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

KUHUSIANA NA MADAI YA FEDHA ZAKE PAMOJA NA STAHIKI ZINGINE KUTOKANA NA KUWA ANASHUSHWA NGAZI NA ALIYOWAHI KUYATOLEA MAELEZO HUMU JUKWAANI Madai hayo hajawahi kulipwa hadi leo. Kwa ujumla hakuna chochote ambacho kimeshafanyika hadi leo hii kuhusiana na madai yake yote, yakiwemo ya cheo pamoja na...
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com

TUKIO HILO LA AINA TAJWA, LILIJIRUDIA TENA MWEZI HUU; SAFARI HII LIKIMHUSISHA MTU MW INGINE TOFAUTI NA YULE WA MWANZO. KITU COMMON KATI YA WAHUSIKA WA MATUKIO HAYA MAWILI NI KWAMBA WOTE NI NDUGU WA KARIBU NA WANAFAHAMIANA, NA PIA VILE VILE WOTE NI WATU WA KARIBU SANA NA MHUSIKA ISIPOKUWA TU KWA KIPINDI CHA ZAIDI YA MUONGO MMOJA, MHUSIKA ANEKUWA HANA MAWASILIANO NA WATU HAWA

KWA KIFUPI NI KWAMBA MTU HUYO WA KARIBU NA MHUSIKA AMBAYE MARA YA MWISHO WALIONANA MWAKA 2009 MHUSIKA ALIPOKUWA YUPO LIKIZO KIJIJINI KWAO ALIWASILI OFISINI KWA MHUSIKA ASUBUHI AKIWA AMEAMBATANA NA STAFFMATES WAWILI WA IDARANI KWAKE MHUSIKA

ILIKUWA NI MARA YA KWANZA KWA MTU HUYU KUFIKA OFISINI KWA MHUSIKA

TUKIO HILI MHUSIKA BADO ANAENDELEA KULICHAKATA NA LITAKAPOKAMILIKA, TAARIFA ZAKE ZITAWJIENI HUMU

TUKIO LILITOKEA MWANZONI MWA MWEZI HUU WA TANO, NA SIKU CHACHE MBELE BAADA YA KUWA LIMETOKEA, ILIPOFIKA J3 YA TAREHE 13/05/2023, KIFURUSHI CHA TV KILIKATA IKIWA NI MAPEMA KWA MUDA WA MWEZI MMOJA MBELE, NA KILICHOTOKEA BAADA YA HAPO, MAELEZO YAKE MHUSIKA TAYARI AMESHAYATOA KUPITIA POSTS ZA HIVI KARIBUNI ZILUZOPO HAPO JUU

TUKIO BADO ANAENDELEA KULICHAKATA, TAARIFA ZAIDI ZITAFUATA BAADAYE, ILA KWA KIFUPI TU NI KWAMBA KAKA WAWILI WALIOZALIWA TUMBO MOJA NA MTU HUYO ALIYEMTEMBELEA MHUSIKA OFISINI, NI MOJAWAPO YA WALE WATU WALIOWAHI KUCHANGIA MHUSIKA KUACHA KWENDA LIKIZO NYUMBANI KWAO KIJINIIN KWAO

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWAN
 
UPDATE: SUNDAY, 26TH MAY 2024
MEZA YA BWANA J2 YA LEO: J2 I LIYOPITA YA TAREHE 19/05/2024 HAPAKUWAHI KUTANGAZWA MEZA YA BWANA KWA AJILI YA J2 YA LEO


MAELEZO YALIYOTOLEWA NA KIONGOZI WA ZAMU KUWA KULITABGAZWA MEZA YA BWANA J2 ILIYOPITA YALIKUWA NI YA UONGO; NA HIVYO KWA MARA NYINGINE TENA MEZA YA BWANA ILIYOFANYIKA J2 YA LEO, NAYO PIA ILIKUWA NI YA KUSHTUKIZA

MHUSIKA BADO ANAENDELEA KUFANYA UTAFITI KWA NINI KITU HIKI KIMEANZA KUFANYIKA KWA MTINDO HUU

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWAN
 
UPDATE: MONDAY, 27TH MAY 2024
TAARFIA MUHIMU KUHUSIANA NA MAJI AMBAYO MHUSIKA HUWA ANATUMIA NYUMBANI KWAKE


UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA HATA MAJI HAYO NAYO PIA KWA SASA YANAWEZA KUWA YAKO INFECTED

JIRANI WALIYEWAHI KUUNGANISHWA NAYE KWENYE MFUMO MMOJA WA MAJI TAKRIBANI MIAKA MITATU ILIYOPITA, TAYARI AMESHAHAMA KWENYE NYUMBA HIYO ZAIDI YA WIKI MOJA SASA NA HIVYO KUPELELEKEA NYUMBA HIYO AMBAYO MFUMO WAKE MAJI ULIUNGANISHWA N.A. ULE WA MHUSIKA, KUWA WAZI

HATA HIVYO, JIRANI HUYU BADO ANAENDELEA KUSOMBA VITU VYAKE, NA HIVYO BADO ANAENDELEA KUJA KWENYE NYUMBA HIYO NA MARA YA MWISHO ALIONEKANA KWENYE MAZINGIRA YA NYUMBA HIYO NI ILIKUWA NI JANA JIONI J2 YA TAREHE 26/05/2024

UTAFITI KUHUSIANA NA MAJI HAYO BADO UNAENDELEA, ILA DALILI ZA KUONYESHA KUWA MAJI HAYO SIO SALAMA, TAYARI AMESHAZIONA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWAN
 
KWA WAUMINI WA KANISA A

WATUMISHI WAWILI WA KANISA A AMBAO HAWAJAWAHI/ WALIKUWA HAWAJAWAHI KUSIMAMA MADHABAHUNI KUFUNDISHA MAANDIKO MATAKATIFU TANGU DECEMBER 2021, KIPINDI AMBACHO WAUMINI WA KANISA WALIANZA KUABUDU KWENYE KANISA JIPYA


Watumishi wa aina hii walikuwa wawili, ila kwa sasa amebaki mmoja

Mmojawapo ni yule aliyesimama madhabahuni J2 iliyopita ya tarehe 26/05/2024, aliyefundisha somo lililohusiana na MEZA YA BWANA, huku akidai kuwa Meza hiyo ya Bwana, ilitangazwa J2 iliyokuwa imepita nyuma, yaani ile ya tarehe 19/05/2024 wakati haikuwa kweli

Mtumishi huyu ilikuwa ni mara yake ya kwanza kusimama madhabahuni na kufundisha neno, tangu waumini walipoanza kuabudu kwenye Kanisa jpya Desemba 2021; na mara ya mwisho alipowahi kusimama kufundisha neno, waumini walikuwa bado wanaabudu kwenye Kanisa la zamani

Kwa hiyo, tangu Desemba 2021, mtumishi huyu alikuwa hajawahi kusimama madhabahuni kufundisha neno

Wa pili ni mtumishi ambaye yeye bado hajawahi kabisa kusimama hata mara moja kufundisha neno, tangu Desemba 2021

  • Huyu naye vile vile, mara ya mwisho aliwahi kusimama kufundisha neno, waumini walipokuwa bado wanaabudu kwenye Kanisa la zamani
  • Mtumishi huyu ni yule ambaye J2 iliyopita alitangazwa kuwa atakuwa zamu wiki hii.
Kwa hiyo mtumishi huyu aliye zamu wiki hii, hajawahi hata mara moja, kutoa huduma ya chakula cha uzima kupitia madhabahu ya Kanisa Jipya

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: TUESDAY, 28TH MAY 2024

YALE YAALIYOJIRI KANISANI KWA MHUSIKA J2 YA TAREHE 26/05/2024

PEPO LILIRUSHWA UPYA KWENYE MADHABAHU YA KANISA A

KILICHOTUMIKA KURUSHA PEPO HUYO NI ILE MEZA YA BWANA YA KUSHTUKIZA, AMBAYO ILISISISITIZWA KUWA ILIWAHI KUTANGAZWA J2 YA TAREHE 16/05/2024, WAKATI HAIKUWA KWELI


Uhakika alionao mhusika katika hili ni kwamba pepo huyo alirushwa kwa kutumia Meza ya Bwana; ila details za namna ambavyo pepo huyo aliweza kurushwa, ndiyo zile ambazo mhusika bado anaendelea kuzifanyia utafiti. Kwa hiyo uhakika wa mhusika kwa sasa ni kuwa pepo alirushwa kwenye madhabahu ya Kanisa A, uhakika alionao mhusika kwa sasa ni huo tu basi,, na ushahidi pia anao

USHAHIDI UNAOONYESHA KUWA PEPO ALIRUSHWA KWENYE MADHABAHU YA KANISA A


Ushahidi huu umegawanyika kwenye sehemu mbili.

Ushahidi wa kwanza ni wa kutokea Kanisani na ule wa pili ni wa kutokea nyumbani kwenye makazi anapoishi mhusika

A:USHAHIDI KUTOKEA KANISANI

……………………inaendelea
 
A:USHAHIDI KUTOKEA KANISANI

……………………inaendelea

KWA UPANDE WA KANISANI, USHAHIDI HUU UNAAMBATANA NA WATU WAWILI


Wa kwanza ni mtumiishi kiongozi ambaye amekuwa haonekani sana siku za hivi karibun Kanisani hapo, isipokuwa J2 iliyopita aliingia kanisani baada ya ibada kuu kumalizika; na ilikuwa ni muda mfupi tu kabla ya Ibada kufungwa kabisa

Muda wote wakati wa IIbada, kiongozi huyu hakuwepo ndani Kanisani ila aliwasili muda mfupi tu kabla ya Ibada kumalizika

Kiongozi huyu yuko kweye kitengo cha phonology; na jina lake linafanana na matamshi ya neno “SYSTEM”

Ukiiondoa “M” kwenye neno “SYSTEM”, unapata phonology inayofanana na jina lake la kwanza halafu jina lake la ubin, linaanaza na herufi “M”

NENO “SYSTEM” NA MATUMIZI YA KILA SIKU YA MHUSIKA

Kuna keyword ambayo mhusika huwa anaitumia kila siku; na pia mara kwa mara kwenye maombi yake ya kila siku; keyword ambayo huwa imeunganika au inaishia na neno “SYSTEM”

Baada ya Ibada ya J2 iliyopita, kila mhusika alipokuwa analitumia, neno SYSTEM” lilianza kufuta kila kitu alichokuwa anafanya, na alipojaribu ku-trace, aliweza kubaini kitu hicho alichokileeza hapo juu

Huo ushahidi wa kwanza, kutokea Kanisani

USHAHIDI MWINGINE KUTOKEA KANISANI NI YULE MAMA KIONGOZI MWENYE GARI HARRIER

Huyu mama kwa kutumia model ya gari lake hilo, yuko linked kiroho na mstaafu wa Idarani kwao mhusika ambaye mapigo ya jina lake (mstaafu) yana phonology ya JINI

Taarifa za mstaafu huyu ziliwahi kuwajieni humu siku za hivi karibuni nyuma, na baada ya hapo, mstaafu huyu alionekana tena idarani siku moja akiwa ameambatana na SENIOR MSTAAFU WA KIKE (SMMKE).

Siku hiyo, mstaafu huyu alimtembelea SMMKE ofisini kwake, na baada ya kumuona, mhusika naye alimkaribisha kwa muda ofisini ili awafahamu ma-officemates wapya (wa mhusika) ambao waliajiriwa mstaafu huyu akiwa tayari ameshaondoka ofisini

Mstaafu huyu mwenye jina la phonology ya JINI, ana gari aina ya HARRIER

Mama kionogzi wa Kanisani huwa hajawahi kukosekana kwenye Ibada zote ambazo zinakuwa zimeambatana na Meza ya Bwana

Ikumbukwe kuwa pepo wa iana hii anapokuwa amerushwa kwenye phonology, ndiye anyebadlisha neno JINA kuwa JINI au MAJINA kuwa MAJINI

Kwa hali hiyo, maneno tuseme “tunoamba katika JINA LA YESU”, yanabadilika na kuwa “tunoamba katika JINI LA ………..”,

Huo ushahiodi wa pili

USHAHIDI WA TATU

Kabla hajaingia kwenye ushahidi wa tatu; mhusika anaomba kuwarudisha nyuma kidogo wasomaji

Asubuhi J2 wakati alipokuwa anaelekea Kanisani, pale kwenye mataa ya Ubungo interchange, taa zilimuwahi na hivyo yeye kuwa mtu wa mbele kabisa kuzuiwa kupita kwenye mataa hayo

Kawaida taa hizo huwa zinachukua anagalau sekunde 180 kabla ya kuruhusu tena, na hivyo alisimama pale kwa muda wa dakika zisizopungua tatu

Wakati taa zinazuia, pembezoni mwa bararabara alimuona anapita binti anayemfahamu, mtoto wa aliyewahi kuwa Kiongozi wa Kanisa A ambaye baadaye alihamia Dodoma

  • Vile vile, baba yake mdogo na binti huyu, ndiyo yule kiongozi aliyekuwa anaendesha Ibada ya Meza ya Bwana Kanisa A J2 hiyo
  • Assuming Meza ya Bwana ilikuwepo pia kwenye Ibada ya kwanza, uwezekano ni kwamba binti huyu naye alikuwa muda mfupi, ametoka kushiriki meza hiyo
Binti na mhusika walisalimiana, binti akiwa nje umbali kidogo na baada ya salamu; mhusika alimpa salamu binti amfikishie baba yake, kiongozi aliyepo kule Dodoma

  • Muda wa dakika tatu ulikuwa ni mrefu kidogo kiasi kwamba ulikuwa unatosha kubadilishana mawaili matatu lakini tataizo lililokuwepo ni kwamba mhusika alikuwa yupo bararbarani, na hivyo umakini wake wote ulikuwa upo kwenye taa za barabarani
  • Hadi kufikia J2 hiyo, mhusika alikuwa na miezi kadhaa hajamuona binti huyo Kanisani hapo, na possibly mara ya mwisho alimuona ilikuwa ni mwaka jana 2023
B: USHAHIDI KUTOKA NYUMBANI ANAKOISHI MHUSIKA

JANA ASUBUHI J3 YA TAREHE 27/05/2024: BINTI MGENI ALIYEFIKA NYUMBANI KWA “JIRANI MAJI MACHAFU” (JMM), ALIKUJA NA KUPAKI NYUMA KARIBU KABISA NA GARI LA MHUSIKA


Binti huyu hakuwa mgeni sana as such, isipokuwa ni mdogo wa mfanyakazi ambaye waliwahi kuishi kwenye block hilo nyumba ya juu kabisa, na walihamia mahali pengine si mbali kutoka hapo, na wakati wanahama ilikuwa June/ July 2019

Tangu pale, mhusika na binti huyu waliwahi kuonanan tena mara moja au mara mbili, na mara nyingine ilikuwa ni siku ya jana J3

BAADA YA MHUSIKA KUTOKA NJE NA KUKUTA GARI LAKE LIMEKUWA BLOCKED NA GARI LA BINTI KWA NYUMA

Mhusika aliangalia ndani ya gari lililomziba ila hakuweza kuona vizuri, na gari hilo lilikuwa linaunguruma kwa muungurumo mdogo sana, lilikuwa kwenye sliencer ile ya chini kabisa

Kutokana na muungurumo huo, mhusika ali-assume kuwa pengine kulikuwa na mtu ndani ya gari, na hivyo aliingia ndani ya gari lake na kupiga honi akiliomba gari hilo limwachie nafasi ili aweze kutoka

  • Baada ya mhusika kupiga honi ya kwanza pasipo matokeo, alipiga tena honi ya pili
  • Baada ya honi ya pili, binti alishuka kutoka juu nyumba ya JMM huku akiwa ameshikilia mayai mikononi mwake
Kwa hiyo hapa honi za mhusika zikawa zimebadilika na kuwa kama ALERT ya kumwita binti ili waondoke, possibly baada ya kuwa wamewasiliana kabla

Unaweza kumziba mtu kwa nyuma iwapo tu mna mawasiliano na hivyo mna miadi ya kuelekea mahali fulani pamoja kutokea pale

KILE KILICHOKUWA KIMEKUSUDIWA KUFANYWA NA BINTI HUYU BAADA YA KUWA AMEMZIBA MHUSIKA

Binti huyu alikuja na kupaki kwa kumziba mhusika makusudi ili baadaye mhusika alazimike kupiga honi

  • Sauti ya honi ni STIMULUS
  • Mkono unaobonyeza button ya HONI ili honi iweze kusikika ni TRIGGER OF STIMULUS
Baada ya binti kuingia kwenye gari, waliondoka wakiwa wameongozana na mhusika na mbele kidogo walifika kwenye TUTA KALI JIPYA, likiwa ni mojawapo ya yale matuta mapya mawili yalliyowekwa barabarani hivi karibuni. Umbali kidogo tu baada ya kulipita tuta, binti alikata kulia

Ndiyo pale mhusika alipobaini pia kuwa matuta hayo mapya makali mawili yamemzingira pia jirani wa zamani wa mhusika kulia na kushoto; kiasi kwamba akiwa anatoka nyumbani kwake, akipinda kushoto au kulia, ni lazima apite kwenye moajawapo ya matuta hayo

Kama alivyowahi kudokeza hapo kabla, utafiti wake mhusika aulishabainisha pasipo shaka kabisa kuwa matuta ya bararabani ni TIRIGGERS OF STIMULI

SWALA LA PHONOLOGY NA BINTI HUYU ALIYEKUWA AMEKUJA KUCHUKUA MAYAI KWENYE BLOCK LAO MHUSIKA


Phonology ya jina la binti huyu inafanana na matamshi ya neno “MAGI” na mayai kwa lugha ya kuzaliwa ya mhusika, yanaitwa “MAGI”

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
NYONGEZA MUHUMU KUHUSIANA NA SWALA LA PHONOLOGY

Vinginevyo kwa upande wa ofisini kwake, watu ambao wamekuwa wakishughulika sana na swala hili la phonology, ni BAADHI ya akina mama wenye nywele natural

Hapa sasa anaingia SMMKE, pamoja na mtu mwingine ambaye yupo kwenye ile idara nyingine

Angalau anawafahamu watu watatu au wanne waliopo kwenye mazingira ya idarani kwake au kwenye MAJOR UNIT yake

Still, hawa wote ni mawakala tu; mmiliki mwenyewe wa kampuni yupo mahali kwingine ametulia

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: SATURDAY, 01st JUNE 2024
MAFURIKO MENGINE YA GHAFLA YA MAVI NYUMBANI KWA MHUSIKA, YAKITOKEA NYUMBANI KWA JIRANI MAJI MACHAFU (JMM), HUKU NYUMA YAKE YAKIWA NA PLAN YA HATARI KWA MHUSIKA NA ILIYOJIFICHA


MAFURIKO HAYA HUWA NI YA KUTENGENEZWA KWA MAKUSUDI NA HADI KUFIKIA MUDA HUU, YAMESHAONYESHA PATTERN MOJA NZURI SANA; NI UJANJA TU ULIOJIFICHA NYUMA YAKE

MAFURIKO HAYA NI YA MARA YA NNE SASA TANGU JMM AHAMIE KWENYE BLOCK ANALOISHI MHUSIKA, NA KABLA YA YEYE KUHAMIA, HAPAKUWA PAMEWAHI KUTOKEA MAFURIKO HATA MARA MOJA

MAFURIKO YA KWANZA YALIYOKEA MWAKA 2018, NA YALIANZA SIKU YA IJUMAA
MAFURIKO YA PILI YALITOKEA MWAKA 2022, NA YALIANZA SIKU YA JUMAPILI
MAFURIKO YA TATU YALIYOKEA MWAKA 2023, NA YALIANZA SIKU YA IJUMAA
MAFURIKO YA NNE YAMETOKEA MWAKA HUU WA 2024, NA YALIANZA JANA SIKU YA IJUMAA VILEVILE
KWA HIYO MARA ZOTE, MAFURIKO HAYA HUWA YANAANZA WEEKEND

JMM ALIHAMIA KWENYE NYUMBA MWAKA 2016, MHUSIKA AKIWA TAYARI ANA MIAKA 12 ANAISHI KWENYE NYUMBA ANAYOISHI SASA NA KABLA YA HAPO HAPAKUWAHI KUTOKEA MAFURIKO YOYOTE

MBALI NA HILO, MAFURIKO YA SASA YANABEBA PLAN MUHIMU NYUMA YAKE AMBAYO MHUSIKA ATAZITOLEA MAELEZO YA UFAFANUZI HAPO BAADAYE

KWA MAFURIKO YOTE YA MWANZO UKIONDOA HAYA YA SASA, MAJI MACHAFU YALIKUWA YANATEMBEA KIASI KWAMBA, BAADA YA MUDA ILIKUWA INATOKEA AHUENI YA KUMUWEZESHA MHUSIKA KU-FLUSH CHOO NA HIVYO KUWEZA KUJISAIDIA HAJA KUBWA IKIWA NI PAMOJA NA KUOGA

KWA MAFURIKO HAYA YA SASA, VYOTE CHOO NA SINK LA KUOGEA VIMEFURIKA MAVI NA HAYATEMBEA KIASI KWAMBA MHUSIKA HAWEZI KUJISAIDIA WALA KUOGA

KWA HALI HIYO, ANATAKIWA AWE ANATOKA KIDOGO NDANI YA NYUMBA YAKE, KWENDA KUTUMIA BAFU NA CHOO VILIVYOKO NJE PEMBEZONI MWA JENGO, NA HAPO NDIPO PLAN YA JMM HASA ILIPO

KWA ALIYOYAONA MHUSIKA NDANI YA WIKI HII KUTOKA KWA JMM, INAONEKANA AWALI PLAN ILIKUWA NI KUKATA MAJI KWENYE JENGO ZIMA ILI MHUSIKA AWE ANATOKA TOKA NJE MARA KWA MARA KWENDA KUCHOTA MAJI; ILA ILIONEKANA PENGINE HII INGEWEZA KUTIBUKA KIRAHISI

KWA SASA JENGO LINA WAKAZI WAWILI TU MHUSIKA PAMOJA NA JMM

KWA HIYO KUNA SIKU MOJA KAITKATI YA WIKI HII, JMM ALIENDA KUCHOTA MAJI NJE YA JENGO AKIWA NA FAMILIA NZIMA NA ALITEGEA MUDA MHUSIKA ALIPOKUWA ANARUDI KUTOKA KAZINI, NA YEYE AKARUDI AKIWA NA MZIGO WA NDOO KADHAA ALIZOKUWA AMEZIWEKA KWENYE BUTI LA GARI LAKE, AKIDAI KUWA MAJI YLIKUWA YAMEKATIKA NYUMBANI KWAKE

SIKU HIYO, JMM ALITEGEA MHUSIKA AKAPAKI KWANZA GARI LAKE HALAFU BAADA YA HAPO ALISHUKA NA KUSHUSHA NDOO, GARI LA MHUSIKA LIKIWA PARTLY LIMEZIBA ZOEZI LA USHUSHAJI NDOO ALIZOKUWA NAZO KWENYE GARI

BAADA YA MHUSIKA KUSHUKA KWENYE GARI, ALITAMANI KUBEBA KITOTO KIZURI CHA JMM. HAPO SASA JMM AKAKWEPA MAONGEZI NA MHUSIKA AKAAMUA KUSHUKA CHINI KWENYE FLOOR INAYOFUATA, BASEMENT FLOOR NA KUKATALIA HUKO HADI MHUSIKA ALIPOONDOKA

WALE WENGINE ALIOKUWA NAO KWENYE GARI, NAO PIA WALIPANDISHA JUU WAKIZIACHA CHINI KWANZA NDOO ZOTE ZA MAJI WALIZOKUJA NAZO.
KWENYE ZOEZI HILO, MHUSIKA ALIJIKUTA YUPO PEKE YAKE NA KITOTO, NA HIVYO KULAZIMIKA KUPANDISHA JUU AKIWA ANAKIPELEKA KITOTO NYUMBANI KWAO.

HUKO NAKO ALILAKIWA NA BINTI MDOGO WAKE JMM ALIYEKUWA AMEANDALUWA TAYARI KUKIPOKEA KITOTO HICHO KUPITIA MLANGO WA NJE WA JIKONI

MHUSIKA ILIMKABIDHI BINTI KITOTO NA KURUDI NYUMBANI KWAKE
BAADA YA HAPO ILIPITA SIKU MOJA AU MBILI, NDIYO PALE MAFURIKO YA GHAFLA YA MAVI CHOONI NA KWENYE SINK LA KUOGEA YALIPOTOKEA

MBALI NA HILO, JMM HUWA PIA ANAJARIBU KUM-TRIGGER MHUSIKA ILI AENDE MILIKI ZA NYUMBA WEEKEND, AU MWANZONI MWA WIKI. ANA WATU WAKE KULE NA NDIYO HAO AMBAO HUWA ANASHIRIKIANA NAO KWENYE MBINU HIZI.

KWA HIYO JANA IJUMAA, MHUSIKA ALITAKIWA AENDE AKARIPOTI TATIZO MILIKI YA NYJMBA, JMM HUWA ANAKATAA KWENDA KWA SABABU HUWA ANASEMA KUWA TATIZO HALIKO KWAKE

VINGINEVYO MHUSIKA ANATAKUWA J3 AANZIE HUKO, ILA HATAENDA
JMM ANA MIAKA KADHAA SASA HATA OFISINI HUWA HAENDI

KWA REKODI HIZI, JMM ANAWAPIKU WOTE HAWA AMBAO WAMEKUWA WAKIMSUMBUA MHUSIKA. HATA MKUU WA MAJOR UNIT KWA JMM HAINGII

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
HALAFU VILE ALIVYO MJANJA, SAFARI HII JMM AMEWEKA DAWA KWENYE MAVI, HAYATOI HARUFU KUKWEPA WATU WANAOPITA KWENYE KORIDO WASIJE WAKASIKIA HARUFU

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KWA SASA INAONYESHA DHAHIRI KABISA KWAMBA MHUSIKA ANAWACHELEWESHA WATU KUFANYA KAZI.

FACT ILIYOPO HI KWAMBA WATU WANATAKA KUFANYA KAZI MHUSIKA AKIWA YUPO NYUMBANI HAJAENDA MAHALI POPOTE, NA GARI LAKE LIKIWA LIPO KWENYE PARKING

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Back
Top Bottom