UPDATE: 15th JULY 2024
PATTERN MUHIMU ILIYOJIDHIHIRISHA KUHUSIANA NA MATANGAZO YALIYOKUWA YAKIHUSIANA NA MBARAKA ULIOPOKELEWA KANISANI A J2 YA TAREHE 07/07/2024, WAKATI MBARAKA HUO ULIPOKUWA BADO UPO NJIANI
Kabla ya kuwasili kwa mbaraka huo na kupokelewa Kanisani J2 tajwa, matangazo yote yaliyohusiana na na mbaraka huo yamefanywa na watu wafuatao
Matangazo yote ya wiki za mwanzoni yalikuwa yakitolewa na kiongozi Mzee wa Kanisa na ambaye kwa kumbukumbu zake mhusika, alianza kuyatoa akiwa
TAYARI ameshapatwa na tukiio moja kubwa ambalo mhusika asingependa kuliongelea humu
Baada ya kuwa ametoa matanagzao ya awali, Kiongozi huyu alikoma kutoa matangazo hayo, na baada ya kukoma, yalifuataia matanagzo mengine mawili yaliyotolewa na viongozi wafuatao
- Tangazo moja (la wiki ya katikati) liliwahi kutolewa ka Kiongozi shemasi wa kiume ambaye majina yake ya ubini yanaishia na maneno -----NGANYA
- Tangazo jingine moja tena (nalo pia la wiki ya katikati) liliwahi kutolewa na mama mmoja kiongozi Kanisani hapo mke wa SYSTEM
Haya matangazo mawili yalitolewa baada ya mtangazaji yule wa mwanzo kukoma kutoa matangazo hayo
PATTERN MUHIMU ILIYOJITOKEZA KUHUSIANA NA WATOA MATANGZAO WAWILI WA MATANGAZO HAYO; YULE WA MWANZO NA YULE WA MWISHO
Kama ilivyodokezwa hapo juu, wakati mtangazaji wa mwanzo anaanza kutoa matangazo hayo,
alikuwa tayari ameshapatwa na tukio kubwa na alianza kufanya hivyo baada ya kuwa amepatwa na tukio hilo kubwa
Baada ya kukoma kutoa matangazo, ndiyo pale viongozi hawa wawili waliotajwa hapo juu, waliingia kati na kutoa matangazo mawili ya katikati
Baada ya hapo matangazo hayo yalikoma na muda si mrefu, mtangazaji wa pili alichukua nafasi ya kutoa matangazo hayo
Huyu mtangazaji wa pili naye pia alianza kutoa matangazo
hayo BAADA ya kuwa amepatwa na tukio linalofanana na EXATCTLY na lile la mtangazaji wa awli; yule ambaye alianza kutoa matangazo yale ya awali
Matukio yaliyowapata watu wawili hawa yanafana kwa maana kuwa ilikuwa inatokea kwamba
J2 ya leo wanakuwepo Kanisani wakiwa salama, halafu J2 inayofuata waumini wengine wanafika Kanisani na kutangaziwa kuwa katikati ya wiki ya J2 husika, waumini hawa walikuwa wamepatwa na matukio
Kwa hiyo matukio haya yalikuwa yakiwapata watu hawa ndani ya siku za wiki iliyokuwa inayofuata baada ya J2; na kufikia J2 nyingine iliyofuata, matukio haya yalikuwa yameshakamilika na hivyo waumini kutangaziwa kuhusiana na matukio hayo
Zaidi ni kuwa mtangazaji wa wa mwisho, alionyesha dalili za kuwa kama alikuwa na uharaka fulani hivi ambao ulionekana kuendana na
schedule fulani hivi iliyokuwa mbele yake, baada ya J2 iliyofuata baada ya kuwa amepatwa na tukio,
kuwepo Kanisani akiwa tayari amesharudi akitokea mkoani kwenye tukio, na hatimaye kuamua kutoa sadaka ya shukrani kwenye J2 hiyo
- Hapakuwa na ulazima wowote wa kutoa sadaka ya shukrani kwa haraka hivyo tena ndani ya siku 3 au nne tu baada ya tukio kuwa limepita
- Hii inaoonyesha dalili kuwa angalu kulikuwa na uharaka fulani aliokuwa nao mtangazaji huyo
Baada ya kuwa ametoa sadaka ya shukrani, mama huyu aliendelea sasa na ratiba ya kutoa matangazo, huku yule wa mwanzo akiwa amekoma kabisa
HITIMISHO
Mhusika atatimiza kama kawaida ahadi ya sadaka yake aliyoahidi Kanisani kuhusiana na mbaraka huo uliopokelewa hivi karibuni Kanisani, ila atafanya hivyo kwa kuiheshimu kamati tu pamoja na mwenyekiti wake
Vinginevyo kwa safari zingine zijazo, mhusika hatahusika tena kwa namna yoyote ile na ahadi zozote ahadi zinazohusiana na mbaraka wowote unaomhusu KM-A Kanisani hapo
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA