#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

UPDATE: SATUDAY 20th JULY 2024
NAMNA MAZINGIRA YALIVYO MUDA HUU PALE NDANI OFISINI KWAKE MHUSIKA BAADA YA WANAFUNZI KUANZA MITIHANI

OFFICE MATE ONE (OM-1)

KWA SIKU ZA HIVI KARIBUNI, NA ESPECIALLY KWA WIKI HII BAADA YA WANAFUNZI KYANZA MITIHANI, MUDA MWINGI AMEKUWA ANA KIFAA KIDOGO ANACHODAI NI MAGNETOMETER NA MUDA WOTE ANATEMBEA NACHO AKIWA AMEKIBEBA KWENYE BEGI LAKE DOGO LA LAPTOP

ANAPOKUWA YUPO OFISINI ANAKITOA NA KUKIWEKA JUU YA MEZA YAKE, HALAFU ANAKIUNGANISHA KWENYE LAPTOP YAKE. AKITAKA KUONDOKA, ANAKITOA TENA NA KUKIWEKA KWENYE BEGI LAKE ANAODOKA NACHO

KWA HIYO MUDA WOTE ANATEMBEA AKIWA NA KIFAA HICHO KWENYE BEGI LAKE, NA MTU MWINGINE ANAYEFAPAHAMU UWEPO WA KFAA HICHO NI MWI MSTAAFU WA 2006-2012

KIFAA HICHO NI KIPYA KWA SABABU HAPO KABLA MHUSIKA HAKUWAHI KUKIONA, ILA HATA KWA KUKITAZAMA TU KINAONEKANA KUWA NI KIPYA

OFFICE MATE TWO (OM-2)
BAADA YA WANAFUNZI KUANZA MITIHANI, WIKI ILIYOPITA ALHAMIS YA TAREHE 10/07/202R, ALILETA OFISINI PRINTER YA ZAMANI SANA AMBAYO IMEANDIKWA MAANDISHI YA LABEL ............./FOS/........... KUONYESHA KUWA PRINTER HIYO ILIKUWA LABELLED NOT LATER THAN 2009 KWA SABABU LABEL YA " FOS" ILIWAHI KUTUMIKA KABLA YA MWAKA 2009.

ALIKOITOA PRINTER HIYO OM-2 ANAJUA MWENYEWE

KWA HIYO BAADA YA PRINTER KUWEPO OFISINI, KUANZIA JANA ALHAMIS YA WIKI HII, TAREHE 18/07/2024, OM-2 AMEBADILISHA OFISI NA KUHAMIA JUU KWENYE OFISI NYINGINE KWA SABABU AMEANZA KUSAHIHISHA MITIHANI NA MWENZAKE, KITU AMBACHO SI LAZIMA SANA KWA SABABU ANGEWEZA KUCHUKUA SCRIPTS ZA IDADI YAKE NA KUJA KUZISAHIHISHIA AKIWA YUPO OFISINI KWAKE

ZAIDI YA YOTE HAYA, UWEZEKANO NI KWAMBA WIKI HII WATOTO WA USAFI HAWAKUFIKA OFISINI KWA AJILI YA USAFI. MARA ZOTE HUWA WANAFIKA MHUSIKA AKIWA TAYARI AMESHAFIKA OFISINI, ILA KWA WIKI HII, HAHAWAONA

MHUSIKA ALIPOJARIBU KUMDADISI MMOJAWAPO WA WATOTO HAO KWA NINI KWA WIKI HII HAWAJAFIKA KWA AJILI YA USAFI, MFANYAKAZI HUYO ALIDAI KUWA WALIFIKA ILA KATKIA MUDA AMBAO MHUSIKA ALIKUWA BADO HAJAFIKA OFISINI NA ALIYEKUWEPO OFISINI WAKAT HUO NI OM-1; YAANI YULE AMBAYE AMEKUWA AKITEMBEA NA KIFAA KWENYE BEGI

HUU NDIYO MTANDAO AMBAO AMBAO UMEKUWA UKIRATIBIWA TANGU NWAKA JANA NA AFISA TAWALA NA AMBAYE UMMA WA WATANZANIA UMEMKABIDHI MAMLAKA MAKUBWA KWENYE TAASISI

OM-1 N.A. OM-2 WOTE NI WAAJIRIWA WAPYA, MMOJA ALUAJIRIWA APRIL 2023 NA MWINGINE JULY 2023

HADI KUFIKIA MUDA HUU, AFISA TAWALA BADO HAJAMLIPA MHUSIKA HELA ZAKE KWA MADAI YAKEA ALIYOKUMBUSHIA MARA YA MWISHO TAREHE 15/04/2024, YAANI ZAIDI YA MIEZI MITATU ILIYOPITA

ANASUBIRIA KWANZA MTANDAO WAKE HUU ALIOUSET, UFANYE KAZI KWANZA NA HIVYO ANASUBIRIA WANAFUNZI WAONDOKE KWANZA KWENDA LIKIZO

MHUSIKA ANA WASIWASI KATIKA HILI KUWA PENGINE KIONGOZI WETU HUYU HUWA ANAPENDWA KUOGOPWA KIASI KWAMBA AMEJISAHAU HADI AKAFIKIA KWENYE EXTREMES ZA NAMNA HII, AKIWA ANADHANI KUWA ANAOGOPWA

UHAKIKA ALIONAO MHUSIKA NI KWAMBA WATU WANAMHESHIMU SANA NA HUO NDIYO UHAKIKA AMBAO INABIDI AUCHUKUE

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
OBSERVATION NYINGINE MUHIMU ALIYOIONA MHUSIKA NDANI YA MAZINGIRA YA TAASISI BAADA YA AFISA TAWALA HUYU KUWA AMEINGIA MADARAKANI

WAKATI OFISA HUYU ANAINGIA MADARAKANI, MAZINGIRA NDANI YA TAASISI YALIKUWA NA BAADHI YA VITU MUHIMU SANA VIFUATAVYO ALIVYOVIKUTA NA AMBAVYO VIMEKUWEPO MUDA WOTE MIAKA YOTE KABLA YA UTAWALA WAKE

KWA SASA VITU HIVI HAVIPO TENA, AMESHAVIONDOA NA MHUSIKA HAJAWAHI KUFAHAMU SABABU ZILIZOPELEKEWA VIONDOLEWE MUDA HUU KWENYE UTAWALA WAKE, ILHALI VILIKUWEPO MIAKA MINGINE YOTE NYUMA KABLA YA YEYE

MOSI :KULIKUWA NA MINI SUPERMARKET MOJA MUHIMU SANA MAENEO KARIBU NA BAR YA WAFANYAKAZI, AMBAYO ILIKUWA INATOA HUDUMA KWA WAFANYAKAZI, WANAFUNZI NA HATA WATU WENGINE WA NJE YA TAASISI WANAOISHI MAENEO JIRANI KWA SABABU IKO LOCATED PEMBEZONI MWA BARABARA AMBAYO NI NJIA KUU YA WATU KUINGIA NDANI NA KUTOKA NJE YA MAZINGIRA YA TAASISI

DUKA HILI LIMEKUWEPO MIAKA MINGI, SEVERAL DECADES NA MHUSIKA ALILIKUTA MWANZONI MWA MIAKA YA 90 ALIPOKUWA ANAKUJA MARA YA KWANZA KAMA MWANAFUNZI.

KWA MIONGO YOTE HIYO, DUKA HILI LIMEKIUWA LIKI-OPERATE NA HALIKUWAHI KUFUNGWA HIATA MARA MOJA ISIPOKUWA KWA KIPINDI KIMOJA KIFUPI MWAKA 2000 KWA CASE AMBAYO ILLIKUWA NI YA KUPISHA UKARABATI, NA BAADA YA UKARABATI DUKA HILO LILIFUNGUA TENA NA HALIKUWAHI KUFUNGA TENA

PILI: KULIKUWA NA DUKA JINGINE TENA MUHIMU SANA KWA AJILI YA WANAFUNZI, SEHEMU KARIBU NA OFISI ZA SERIKALI YA WANAFUNZI AMBALO LILIKUWA NI KWA AJILI YA WANAFUNZI NA WATU WENGINE PIA

TATU KULIKUWA NA DUKA LA STATIONERY PEMBEZONI MWA BARABARA MAENEO JIRANI TU NA PALE ZILIPO OFISI ZA CHAMA CHA WAFANYAKAZI NA PIA OFISI ZA WAFANYAKAZI WENGINE

KWA SASA STATIONARY HII HAIPO, JENGO LAKE LILILOKUWA NI LA CONTAINER ZIPATAZO MBILI AU TATU HIVI, LILIONDOLEWA KABISA NA PALE PAKAJENGWA STRUCTURE KUBWA YA MVIRINGO ILIYOZUNGUSHIWA MAWE NA YENYE ARCHITECTURE INAYOFANANA NA KABURI KUBWA

VILE VILE MADUKA YALIYOTAJWA HAPO LIKIWEMO LILE AMBALO LINA UMRI WA MTU MZEE, NAYO PIA YALISHAFUNGWA SIKU NYINGI NA HAYA YOTE YAMEFANYIKA MARA TU BAADA YA OFISA HUYU KUWA AMEINGIA MADARAKANI

KABLA YA HAPO, MADUKA HAYA HAYAKUWA YAMEWAHI KUFUNGWA HATA MARA MOJA, MIAKA YOTE ISIPOKUWA KWA KIPINDI HIKI TU BAADA YA OFISA HUYU KUWA AMEINGIA MADARAKANI

KWA HIYO WANAFUNZI WAKITAKA KUNUNUA MAHITAJI HATA KAMA NI KALAMU AU TAULO ZA KIKE, INABIDI WAPANDE DALADALA WATOKE NJE YA MAENEO YA TAASISI, NANAULI WANAYOTUMIA INABIDI WAIBE KWENYE HELA YA POSHO WANAYOPEWA NA SERIKALI

KUTOKANA NA UTAFITI WAKE WA MUDA MREFU SASA, SABABU AMBAZO ZIMEPELEKEA SEHEMU HIZI KUFUNGWA

MOJAWAPO YA SABABU KUBWA NI KWAMBA SEHEMU HIZI ZILIKUWA ZINA ATTRACT WATU WASIO WANAFUNZI KUTOKA NJE YA MAZINGIRA YA TAASISI, WAKIWEMO WATU WA USALAMA

KWA HIYO SEHEMU HIZI ILIBIDI ZIFUNGWE ILI PALE WANAFUNZI WANAPOKUWA WAMEONDOKA KWENYE MAZINGIRA YA TAASISI, PASIWEPO TENA WATU WENGINE WA KUTOKA NJE YA TAASISI, NDANI YA MAZINGIRA YA TAASISI

NI KWA SABABU MAOFISA TAWALA HAWA WAMEKUWA WAKIPITISHA BAADHI YA MAMBO YAO KWENYE VIPINDI AMBAVYO WANAFUNZI WANAKUWA WAPO LIKIZO

UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA OFISA TAWALA HUYU WA SASA ALIPEWA MBINU HII NA AFISA TAWALA ALIYEPITA; KWA SABABU MTINDO HUU WA KU-OPERATE KWENYE MUDA AMBAO WANAFUNZI WAPO LIKIZO, HAUJAANZA LEO. UMEKUWEPO TANGU KIPINDI CHA HAYAT JPM, NA POSSIBLY ULIASISIWA KWENYE KIPINDI HICHO

MBALI NA HAYA YOTE OFISA TAWALA ALIYEPITA ALIKUWA TAYATI AMESHA-DISABLE TELEPHONE EXTENSION LINES ZOTE NA HUYU WA SASA ALIVYOINGIA, KULITOKEA KITU OFISINI KWAO MHUSIKA

OM-2 AMBAYE NI MWAJIRIWA MPYA ALIAMUA KUINYOFOA KABISA RECEIVER YA EXTENSION ILIYOKUWAPO OFISINI KWAO BAADA YA KUIONA KUWA ILIKUWA HAIFANYI KAZI. UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA ALIKUWA AMEELEKEZWA AFANYE HIVYO

KWA HIYO KWA SASA MFANYAKAZI AKIWA UNAHITAJI MAWASILUANO YA NGAZI ZA JUU KUTOKEA OFISINI KWAKE, INABIFI AACHE KAZI ZAKE ATEMBEE KWA MIGUU KUTOKA OFIDINI KWAKE NA PALE INAPOTOKEA AKATAKA NAMBA YA SIMU YA MKONONI YA YULE ANAYEMHITAJI, AIDHA ATANYIMWA AU ATAPEWA NAMBA YA MTU MWINGINE AMBAYE SO YULE ANAYEMHITAJI NA KITAKACHOENDELEA KWENYE MAONGEZI YENU NI BLA BLA TU

HIKI KITENDO NI MATUMIZI MABAYA YA FEFHA ZA SERIKALI, NA WAKATI MWINGINENI HUJUMA KWA SERKALI KWA SABABU KU-DISABLE TEL EXT LINES KUNAZILAZIMISHA OFISI KUWA NA BUDGET YA VOCHA ZA KWENYE SIMU ZA MKONONI KWA AJILI YA KUWASLIANA NDANI YA TAASISI, NA KWA MWASILIANO AMBAYO YALIKUWA YANAEEZEKANA KUFANYIKA BURE PASIPO KUTIMIA GHARAMA YOYOTE

TELEPHONE EXTENSION LINES ZILIONDOLEWA KWA SABABU ZILIKUWA ZINA-EXPOSE SIRI ZA WAFANYAKAZI, ESPECIALLY WALE WANAOONEWA. KWA HIYO UWEZEKANO MKUBWA NI WATU WA USALAMA WALIOSABABISHA ZIKAONDOLEWA NA KAMA NI LAWAMA, BASI ZINAWEZA KUELEKEZWA KWA HAO NA SI KWA AFISA TAWALA ALIYEWAHI KUZIONDOA

ZINGEKUWEPO HADI LEO, HATA SWALA HILI LA SASA LA MHUSIKA LISINGEKUWEPO TENA, ILIKUWA NI CHAI TU YA ASUBUHI KAMA EXT LINES ZINGEKUWEPO. ANAZIJUA KWA SABABU AMEZIFANYIA KAZI MUDA MREFU

KWA SASA TEL EXT LINES HAZIPO TENA ILA MHUSIKA HANA UHAKIKA SANA KAMA HAZIPO PIA KWENYE MAJENGO MENGINE, PENGINE LABDA NI KWENYE JENGO LA IDARA YAKE TU

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KILE AMBACHO MHUSIKA ANAWEZA KUSEMA KWA HAWA MA-OFFICE MATES WAKE WAILI WALIOAJIRIWA MWAKA JANA

KAMA KUNA ANGALAU CHOCHOTE AMBACHO SI CHA KAWAIDA NA AMBACHO TAYARI WAWILI HAWA WAMESHATHIBITIKA PASIPO SHAKA KUWA WAMEFANYA, BASI UHAKIKA NI KWAMBA WATU HAWA WAKO TRAINED NA HAYA WANAYOFANYA, HAWAFANYI KWA MARA YA KWANZA, WANA UZOEFU NAYO NI EXPERIENCE YAO NYINGINE TU AMBAYO SI MPYA AU SI YA KWANZA KATIKA MAISHA YAO

ZAIDI NI KUWA OM-2 YUKO PAMOJA NA MWI MSTAAFU WA 2025-2016, NA PIA AFISA TAWALA WA SASA

HUYU MWINGINE OM-1 NI MTANDAO WA MKUU WA KITENGO CHA MATETEMEKO YA ARDHI ALIYEPITA, YAANI YULE AMBAYE AMESHASTAAFU

MSTAAFU HUYU WA KITENGO CHA MATETEMEKO PAMOJA NA SENIOR MSTAAFU WA KIUME, WAO WANAONEKANA KUWA NI PROFESIONALS, YAANI NI WATU AMBAO WALIBAHATIKA KUPATA MUDA NA.KUYASOMEA KABISA HAYA MAMBO NA POSSIBLY KWA KIPINDI KIREFU NA CHA KUTOSHA KABISA

WALE AMBAO WANAONEKANA DHAHIRI KABISA KUWA SIO PROFESSIONALS ISIPOKUWA NI KATIKA NAMNA TU YA KUJIHAMI, NI KAMA HUYU MWI MSTAAFU WA 2006-2012. HUYU ANA QUALITY MOJA KUBWA KWAMBA HUWA ANA TAMAA KUBWA SANA YA FEDHA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
MATUTA MAPYA YA BARABANI YALIYOWEKWA MWANZONI MWA MWEZI WA NNE

MHUSIKA ANA IMANI KUWA BAADA YA KUWA AMETOA MAELEZO YALIYOPO HAPO JUU, HATA SWALA HILI LA MATUTA MAPYA YA BARABARANI LITAKUWA LIMEELEWEKA ZAIDI KWA SASA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: SUNDAY 21st JULY 2024
KINGINE CHA ZIADA KILICHOPELEKE OM-2 AKALETA PRINTER LA ZAMANI OFISINI


PRINTER HIYO INASHUGHULIKA PIA NA MASWALA YA PRINTED DOCUMENTS ZOTE ZIKIWEMO BARUA

KWA HIYO KUNA MAANDALIZI YAMESHAANZA YAKIWA YANASUBIRIA TU WANAFUNZI WAONDOKE KWANZA KWENYE MAZINGIRA YA TAASISI


OM -2 NA TIMU YAKE HAWAKUWEZA KUWA SMART SANA KWA SABABU KAMA WANGELETA PRINTER HIYO KABLA YA MITIHANI KUWA PRJNTED HALAFU BAADA YA HAPO WAKAITUMIA KU-PRINT MITHIHANI, UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA PLAN YAO INGEWEZA KWENDA FOOL PROOF

SWALA HILI LA BARUA NI LA ZIADA TU KWA SABABU PRINTER HIYO INATUMIA CATRIDGES, NA HIVYOLAZIMA ITSFIKIA MAGALI GULANI IKAWA INAHITAJI CATRIDGE MPYA.

MHUSIKA ANA WASIWASI KAMA CATRIDGES ZA PRINTER HIYO BADO ZINAPATIKANA MADUKANI, ILA UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA KWA PRINTER HII, CATRIDGE YAKE ITAWEZA KUPATIKANA

KWA HIYO KIKUBWA ZAIDI KILICHOPELEKEA PRINTER HIYO KULETWA OFISINI NI ILI SIKU MOJA IJE IHITAJI KUWEKEWA CATRIDGE MPYA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KULE KANISANI KWAKE MHUSIKA

MUDA SI MREFU, HUKO NAKO KM-A ATAGAWA BAHASHA, YEYE HUWA YKUO KWENYE KITENGO HICHO

KAMA SIYO KUGAWA BAHASHA, BASI ATAANZA KUZIDAI BAHASHA ALIZOGAWA J2 YA TAREHE 07/07/2024

KABLA YA J2 TAJWA, BAHASHA ZILIGAWIWA MARA YA MWISHO DECEMBER 2024 NDANI YA WIKI MOJA ILIYOKUWA YA SEMINA YENYE KICHWA "VISION", NA MWALIMU WA SEMINA HIYO ALIKUWA NI MGENI KUTOKA "USA" , YAANI USA RIVER
KAMA KM-A HATAFANYA MOJAWAPO KATI YA HAYA, ITAKUWA NI KWA SABABU TU PLAN IMESHAJULIKANA

MHUSIKA ANAMSHAURI NI BORA AKAFANYA, ILI ANGALAU KUVUNGA IKIWA NI PAMOJA NA KUVURUGA PATTERN AMBAYO TAYARI IMESHAJIDHIHIRISHA

MBINU NYINGINE AMBAYO KM-A AMEKUWA AKIITUMIA NI VIAPO, KUAPISHA WATU KANISANI NA HILO TAYARI ALILIFANYA J2 TAJWA, NA KWA DHARURA KWA SABABU HAPAKUWA NA TANGAZO LA AWALI LILILOKUWALINAHUSIANA NA UAPISHO HUO, UILKUWA NI WA KUSHTUKIZA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KILICHOFUATA BAADA YA KM-A KUWA AMEGAWA BAHASHA KWENYE WIKI YA SEMINA ILIYOKUWA IKIHUDUMIWA KUTOKA USA RIVER, MIEZI KADHAA ILIYOPITA

KM-A ALIPANGA RATIBA YA MAOMBI YA WIKI SABA MFULULIZO, MAOMBI AMBAYO MHUSIKA ALIWAHI KULETA TAARIFA ZAKE KUPITIA POST HII HAPA


VINGINEVYO KUHUSIANA CODE YA BUTCHERED AU VODE YA NYAMA MBICHI YA NGURUWE

GARI ZINAZOTUMIWA KWENYE CODE HII, IKIWEMO ILE INAYOTUMIWA NA MR X, ZINA MISALABA KADHAA KWENYE NEMBO AU LOHO ZAKE NA KAZI YA NEMBO HIYO NI KURUSHIA PEPO KWENYE KAZI YA MSALABA WA YESU

STILL, KWENYE J2 ILE AMBAYO MR X ALIPANDISHA JUU MAFHABAHUNI, BAADA YA KUPEWA PUZZLE YA KUJIBU, ALIKOSEA JIBU LAKE NA KILICHOTOKEA BAADA YA HAPO TARGET SCREEN YA DIGITAL PROHECTOR ILITOA DISPLAY YAI CROSS NYEKUNDU, AU MSALABA MWEKUNDU, AU ALAMA YA KOSA NYEKUNDU, IKIWA NI ISHARA YA KUONYESHA KUWA MR X ALIKUWA AMEKOSEA KUYOA JIBU LA SWALI ALILOKUWA AMEULIZWA

KATI YA WAZAZI WOTE WALIOKUWA WAMEPANFISHA MADHABAHUNI J2 HIYO WASIOPUNGUA KUMI, NI MR X TU ALIYEKOSEA JIBU NA HIVYO KUPEWA KOSA KWA KUTUMIA ALAMA YA CROSS NYEKUNDU

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
MODEL YA GARI YA MMILIKI WA SOURCE CODE YA BUTCHERED

Model ya gari hii (na siyo brand), imefanana na model ya gari nyingine iliyokuwa inamilikiwa na MWI mstaafu wa miaka ya 2015-2016

Kwa muda mrefu sasa, mhusika hajawahi kumuona tena mkuu huyu akiitumia gari hiyo, na possibly alishaiuza; au bado anayo ila akiendelea kuiitumia kwa matumizi ya nyumbani tu

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: FRIDAY 26th JULY 2024
KINGINE CHA ZIADA AMBACHO AUYOMATICALLY ALIKIFANYA SENIOR MSTAAFU WA KIUME (SMME)ALIPOKUWA ANASIMAMIA VIKAO VYA IDARA VYA "CURRICULUM REVIEW" VILIYOPELEKEA KU- MERGE BAADHI YA IDARA KWENYE TAASISI NA KUUNDA MAJOR UNIT MOJA


WAKATI WA ZOEZI HILO MUHIMU, AUTOMATICALLY SMME ALIKUWA PIA ANATENGENEZA KEYS ZA DATABASES AMBAZO NI

PRIMARY KEYS
FOREIGN KEYS
ALTERNATE KEYS
CANDIDATE KEYS
COMPOSITE KEYS
SURROGATE KEYS
SUPER KEYS

BILA YA MERGING BAADHI YA IDARA KWA AJILI YA KUUNDA MAJOR UNIT MOJA, ILIKUWA HAIWEZEKANI KWA KEYS HIZI KUWEPO, ILA KWA SASA, ZOTE ZIPO

BAADA YA MERGING KUFANYIKA, WALIPATIKANA SASA BAADHI YA WATU WANAOKAA KWENYE JENGO LA IDARA YA SMME, HUKU WAKIWA WAMEHAMISHIWA KWENYEI IDARA ZILIZO KWENYE JENGO JINGINE NA HIVYO LOCATION TOFAUTI KABISA, NA WENGINE OFIS ZAO KUWEPO KWENYE JENGO LA IDARA YA SMME, HUKU WAKIWA WAMETOKEA KWENYE IDARA NYIGINE AMBAYO SI YA SMME

MFANO HAI KATIKA HILI NI BINTI AMBAYE ANATOKEA KWENYE IDARA NYINGNE HUKU AKIWA ANA OFISI MBILI KWENYE JENGO LA IDARA YA SMME

BINTI HUYU NI YULE AMBAYE NI OFFICE MATE WA MMILIKI WA SOURCE CODE YA BUTCHERED

BAADA YA SMME KUKAMILISHA ZOEZI HILI IDARANI KWAKE


MHUSIKA ALIMUONA KWENYE MEDIA AKIWA ANAONGELEA MASWALA YA CURRICULUM REVIEW YA NCHI NZIMA SASA, ILIYOFANYIKA HIVI KARIBUNI.

KWA HIYO UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA NA HUKO PIA ALIKUWEPO
MHUSIKA ANAAMINI KUWA SMME ATAKUWA ALIHAMIA HUKO KWA NIA ILIYO NJEMA KABISA, ISIPOKUWA TU ANA WASIWASI NA COST IMPLICATIONS ZA HALI YA JUU MNO, ZITAKAZOKUJA KUIBUKA GHAFLA, MARA TU BAADA YA WANAFUNZI KUANZA KUPITILIZA KUTOKA DARASA LA SITA HADI FORM FOUR, ZIKIHUSISHA HASA MIUNDO MBINU KAMA VILE VYUMBA VYA MADARASA PAMOJA NA RESOURCES MUHIMU WAKIWEMO KAMA VILE WALIMU.

KUNA UWEZEKANO MKUBWA GHARAMA HIZO ZIKAJA KU-DOUBLE AU HATA KU-TRIPLE UKILINGANISHA NA ZILE ZILIZOPO SASA

KWA HIYO KATIKA HILI INABIDI WAZAZI PAMOJA NA SERIKALI KUJIPANGA VIZURI SANA KABLA YA MUDA KUWADIA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
COMMENT MUHIMU KUHUSIANA NA POST ILIYOP HAPO JUU

SMME NI MSOMI, AMESOMEA HAYA MAMBO NA HIVYO HUWA HABAHATISHI
 
PATTERN YA MUDA MREFU AMBAYE IMESHAONEKANA INAYOHUSIANA NA KUHARIBIKA KWA GARI LA MHUSIKA

HILI GARI LINA AKILI SANA

KARIBIA MARA ZOTE HUWA LINAHARIBIKA WANAFUNZI WANAPOONDOKA KWENDA LIKIZO NA MARA ZOTE HUWA LINAHARIBIKA KWENYE TAREHE ZA MWANZO AU MWISHO WA MWEZI

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: SUNDAY 27th JULY 2024

YALE YA MUHIMU YALIYOJIRI UPANDE WA MHUSIKA KUANZIA IJUMAA YA TAREHE 19/07/2023 HADI IJUMAA NYINGINE YA TAREHE 26/07/2024

MOSI
: EVIDENCE ALIZONAZO MHUSIKA ZINAONYESHA KUWA KWA HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO NA "ALTERNATE KEY" KULE KANISANI

PILI: ALTERNATE KEY HIYO ILIYOPO KANSANI, NDIYO ILIYOPELEKEA " ALTERNATOR" YA GARI LA MHUSIKA KUHARIBIKA NA KUMGHARIMU HELA NYINGI KUNUNUA VIFAA NA PIA MATENGENEZO

TATU: MANENO HAYA MAWILI " ALTERNATE" NA "ALTERNATOR", YANA PHONATION INAYOFANANA, NA POSSIBLY WATAALAMU WA LINGUISTICS WANAWEZA KUYAELEZEA ZAIDI, NA KWENYE BAADHI YA SEHEMU ZA MAELEZO HAYA YA MHUSIKA, ZITAHUSISHA MANENO YANAYOANGUKIA KWENYE SIFA HIZI

USHAHIDI KUHUSIANA NA MAMBO HAYO YALIYOELEZWA HAPO JUU
CHRONOLOGY OF EVENTS KUANZIA SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 19/07/2024


KWENYE MUDA WA JIONI WA SIKU TAJWA, AKIWA YUPO OFISINI MHUSIKA ALITOKA KWA AJILI YA MAPUMZIKO MAFUPI NJE KWENYE VERANDA

MUDA ULIKUWA NI BAADA YA SAA TISA ALASIRI

HAPO NJE ALIWAKUTA WATU WATATU, MMOJAWAPO AKIWA NI MWANAFUNZI FOREIGNER KUTOKA NJE YA NCHI, ALIYEHITIMU MASOMO YAKE YA SHAHADA YA KWANZA HAPO IDARANI AIDHA MWAKA 2020 AU 2021 ILA SI BAADA YA HAPO

UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA MWANAFUNZI HUYU YUPO ANAENDELEA NA MASOMO MENGINE YA NGAZI ZA JUU, ISIPOKUWA TU MHUSIKA HANA UHAKIKA SANA NA HILI KWA SABABU TANGU AANZE PILIKA PILIKA ZAKE BAADA YA KUHITIMU SHAHADA YA KWANZA, HAJAWAHI KUONEKANA AKIFANYA PRESENTATION YOYOTE HATA MARA MOJA TU, NA WALA HAJAWAHI KUHUDHURIA KWENYE PRESENTATION YA MTU MWINGINE YOYOTE YULE PALE IDARANI HATA MARA MOJA TU

MTU HUYU ANA JINA LENYE PHONATION INAYOFANANA NA PHONATION YA NENO " MORPHOLOGY", NA WALE WENZAKE WAWILI ALIOKUWA NAO, ALIKUWA ANAONGEA NAO KWA LUGHA YA KIINGEREZA

KWENYE LINGUISTICS MORPHOLOGY PIA NI MOJAWAPO YA SIFA KUU TANO ZA LUGHA

ANGALAU MTU MMOJA KATI YA WALE WENZAKE WAWILI ALIOKUWA NAO, NAYE PIA ALIKUWA NI FOREGNER ILA AIDHA KUTOKA NJE YA IDARA AU NJE YA TAASISI

MHUSIKA ALIWAKUTA WAKO PALE NJE WANAONGEA, NA ALIWASALIMIA

HIYO SIKU YA IJUMAA IKAPITA

SIKU MBILI BAADAYE , SIKU YA J2 YA TAREHE21/07/2024

MHUSIKA ALIINGIA KANISANI NA KUKUTA IBADA YA PILI IMESHAMALIZIKA, ILA KULIKUWA NA UCHAGUZI WA VIONGOZI ULIOKUWA UKIENDELEA

KULIKUWA NA MABADILIKO KIDOGO KWA SABABU KAWAIDA UCHAGUZI HUO ULITAKIWA UFANYIKE BAADA YA IBADA YA PILI, AU UNGEFANYIKA KWA AWAMU ZA BAADA YA KUMALIXIKA IBADA, KWA IBADA ZOTE MBILI

KUTOKANA NA HALI HIYO, MHUSIKA ALILAZIMIKA KUPAKI KWA MUDA NJE KWANZA NA MUDA ULIPOTIMIA, MHUSIKA ALILIINGIZA GARI LAKE NDANI NA HUMO ALIELEKEZWA KUPAKI KWENYE SEHEMU NA KATIKA NAMNA AMBAYO ILIKUWA NI MARA YA KWANZA KWA MHUSIKA KUPAKI HIVYO, TANGU AANZE KUABUDU KANISA A

SEHEMU ALIYOELEKEZWA KUPAKI NI SEHEMU AMBAYO PALIKUWA PAMEWEKWA KOKOTO ZA UJENZI KWA MUDA MREFU, ILA KWA MARA YA KWANZA SIKU HIYO KOKOTO HIZO ALIKUTA HAZIPO KWENYE NAFASI HIYO

ILIVYO KAWAIDA SIKU ZOTE PEMBEZONI MWA UZIO WA KANISA, MAGARI HUWA YANAPAKI YAKIWA PEPERNDICULAR NA UBAVU WA UZIO WA KANISA ILA KWA MARA YA KWANZA SIKU HIYO, BAADHI YA MAGARI MENGI SANA YALIYOKUWA PEMBEZONI MWA UZIO HUO, YALIKUWAYAMEPAKI PARALLEL NA UBAVU WA UZIO HUKU YAKIWA YAMEELEKEA MACHWEO YA JUA

HIVYO MHUSIKA NAYE ALIPAKI GARI LAKE KWA MTINDO HUO, NA ALIPAKI KWENYE SEHEMU AMBAYO KWA WIKI NYINGI ZILIZOPITA ZITIMIAZO MIEZI MITATU AU MINNE, KULIKUWEPO NA KOKOTO SEHEMU HIYO

IKUMBUKWE PIA KUWA KOKOTO PIA NI MINERALS AU MADINI
.............inaendelea
 
.......... inaendelea YALIYOJIRI

BAADA YA IBADA YA PILI KUMALIZIKA

MHUSIKA ALIELEKEA KWENYE PARKING NA ALIPOFIKA PALE, PEMBENI ALIWAKUTA MABINTI WAWILI WAKIWA KARIBU NA GARI LAKE NA WALIKUWA WANAONGEA KIINGEREZA

MMOJA WA MABINTI HAO ALIKUWA NI MTOTO WA KM-A NA AMVAYE MHUSIKA ALIKUWA HAJAMUONA KWENYE MAZINGIRA YA KANISANI TAKRIBANI MIAKA MIWILI.

MARA YA MWISHO MHUSIKA ALIMUONA ILIKUWA MWAKA 2022 NA KWA MUDA WOTE WA MWAKA ULIOPITA WA 2023, MHUSIKA HAKUWAHI KUMUONA BINTI HUYU KANISANI HAPO

BAADA YA KUMUONA, MHUSIKA ALIMUULIZA BINTI KWA KUMTANIA KAMA ALIYEKUWA AKIMUONA NI YULE BINTI WA SIKU ZOTE ANAYEMFAHAMU AU NI MTU MWINGINE

BINTI NAYE ALIMJIBU MHUSIKA KWA SWALI AKIULIZA " NANI? "

MHUSIKA ALIMJIBU BINTI KWA KUTAJA JINA LA UBINI LA BABA YAKE AMBALO JINA HILO LINA SIFA KUU ZIFUATAZO KWENYE LINGUISTICS

LINA PHONATION INAYOSHAHIBIANAN NA PHONATION YA NENO JINGINE KWENYE LUGHA YA KUZALIWA YA MHUSIKA NA PIA KWENYE LUGHA YA KISWAHILI

LINA SPELLING ZINAZOSHAHIBIANA NA SPELLING ZA NENO JINGINE KWENYE LUGHA YA KISWAHILI, NA AMBALO LINA MAANA SAWA N.A. NENO HILO KWENYE LUGHA TA KUZALIWA YA KM-A

MBALI NA HAYO, JINA HILO LA KM-A LIKO DERIVED KUTOKA KWENYE NENO LA LUGHA YA KUZALIWA YA KM-A HUKU LIKIWA NA MAANA SAWA NA MANENO YENYE KUSHAHIBIANA NALO KWA PHONATION, KWENYE LUGHA ZINGINE MBILI ZA KISWAHILI NA ILE YA KUZALIWA YA MHUSIKA

KWA KIFUPI, NENO LINALOUNDA JINA LA KM-A LINAITWA " TRUE FRIEND" ULILIHUSISNISHA NA MANENO MENGINE KUTOKA KWENYE LUGHA ZINGINE TOFAUTI ZA KISWAHILI NA ILE YA KYZALIWA YA MHUSIKA

TRUE FRIENDS NI MANENO YENYE TABIA ZA KUSHAHIBIANA MATAMSHI AU PHONATION ( NA POSSIBLY SPELLING) NA MANENO MENGINE KUTOKA KWENYE LUGHA ZINGINE TOFAUTI, HUKU YAKIWA YANA MAANA ILE ILE KWENYE KILA LUGHA

MANENO HAYA YANAKUWA YAMEFANANA MATAMSHI KIASI HUKU YAKIWA YANA MAANA ILE ILE KWENYE KILA LUGHA NA KWENYE LUGHA TOFAUTI TOFAUTI

BINTI WA PILI ALIKUWA MGENI MACHONI PA MHUSIKA NA ALIONYESHA DALILI ZA KUWA KAMA NI FOREIGNER

KICHWANI BINTI MWENYEJI ALISUKA NYWELE BANDIA ZA RASTER

IKUMBUKWE PIA HAPA KUWA NYWELE NAZO ZINA MADINI

KWA HIYO KUANZIA IJUMAA HADI KUFIKIA MUDA HUO J2, PATTERN ILIYOJIDHIHIRISHA NI KWAMBA

MHUSIKA ALIPOKUWA YUPO OFISINI, ALIMALIZIA KWA KUSALIMIANA NA FOREIGNERS, NA POSSIBLY J2 PIA BAADA YA IBADA KUMALIZIKA, HUKU SWALA LA LUGHA HASA KWENYE UPANDE WA PHONATION, LIKIWA LINATAWALA

HIYO SIKU NAYO IKAPITA

J3 YA TAREHE 22/09/2024 ALIPOKUWA YUPO MAZINGIRA YA OFISNI

AKIWA NDANI YA JENGO ILA NJE YA OFISI YAKE MHUSIKA ALIONANA NA KUSALIMIANA NA YULE SUPERVISOR WA MAFUNDI AMBAO HIVI KARIBUNI WALIKUJA KUSHUGHULIKA NA MAFURIKO YALIPOKUWA YAMETOKEA NYUMBANI KWAKE

MTU HUYU ANA JINA LENYE PHONATION INAYOFANANA NA PHONOLOGY YA MINERALS ZA UDONGO ZINAZOITWA CLAY

BAADA YA MUDA MFUPI KUPITA MHUSIKA ALIPORUDI OFISINI, MWANAFUNZI MWENYE JINA LINALOFANANA NA PHONATION YA VILE VILE, , ALIKUJA OFISINI KUKUSANYA PROJECT REPOIRT YAKE KWA OM-2

VILE VILE JIONI WAKATI MHUSIKA ANATOKA OFISINI KURUDI NYJMBANI, PALE KWENYE JUNCTION YA KUELEKEA OFISI ZA SERIKALI YA WANAFUNZI, ALIKUTA KUNA MCHANGA UMEJAZWA KWENYE MASHIMO YALIYOCHIMBIMA HIVI KARIBUNI PALE

MASHIMO HAYO HAYAKUWEPO KABLA ILA KWA SIKU ZA HIVI KARIBUNI, MHUSIKA AMEKUWA AKIYAONA MASHIMO HAYO PALE NA. KWA MARA YA KWANZA J3 YA WIKI HII, ALIYAKUTA YAKIWA YAMEFUKIWA KWA KWA KUSHINDILIWA NA MCHANGA

KATIKA HALI YA KAWAIDA, NI MARA CHACHE SANA KUUKUTA MCHANGA AMBAO NI MCHANGA PEKEE PASIPO KUWEPO NA CLAY MINERALS

.............ITAENDELEA
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
.......... inaendelea YALIYOJIRI

MACHAHE KUHUSIANA NA BINTI WA KM-A


UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA BINTI HUYU HAKUWEPO KABISA KANISANI WAKATI WA IBADA ZOTE MBILI ZA J2 HIYO ISIPOKUWA ALIFIKA KANISANI HAPO KWA MUDA TU BAADA YA IBADA YA PILI KUMALIZIKA

KUHUSIANA NA MCHANGA ULIOSHINDILIWA KWENYE MASHIMO YALIYOJITOKEZA KWENYE NJIA AMBAYO MHUSIKA HUWA ANAPITA SIKU ZOTE

NDANI YA WIKI HII MCHANGA HUO AMEKUWA AKIUKANYAGA KWA SIKU 4 MFULULIZO NA ILIPOFIKA IJUMAA ASUBUHI, MHUSIKA ALIKUTA GARI LINA TATIZO NA MAFUNDI WALIPOKUJA KUKAGUA, WALIKUTA KUNA TATIZO KWENYE " ALTERNATOR"

IKUMBUKUKWE KUWA J2 YA WIKI ILIYOKUWA IMEPITA, MHUSIKA ALIPAKI GARI LAKE KWENYE SEHEMU AMBAYO HAPO KABLA, MCHANGA WAKE ULIKUWA MUDA WOTE UMEFUNIKWA NA KOKOTO KWA KIPINDI KIREFU KIASI

CHANCES NI KWAMBA KOKOTO HAZIKUWEPO TENA PALE BAADA YA KUISHA KWA SABABU ZILIKUWA ZINAHITAJIKA KWA AJILI YA KAZI NYINGINE AU ZILIKUWA ZINAFANYA KAZI NYINGINE YA ZIADA PALE NA KWA BAHATI MBAYA UKAFIKA MUDA ZIKAWA ZIMEISHIWA NGUVU NA HIVYO KUTOKUHITAJIKA TENA KUENDELEAKUWEPO PALE, AU VYOTE VIWILI KWA PAMOJA NDIYO VILIVYOTOKEA

KWA HIYO KILICHO-TRIGGER MATUKIO YOTE YALIYOFUATA BAADA YA MHUSIKA KUTOKA KANISANI J2 ILIYOPITA NI ULE MCHANGA ALIOUKANYAGA PALE KWENYE PARKING PAMOJA NA KOKOTO ZILIZOWAHI KUWA PALE

KABLA YA KUELEKEZWA KUPAKI PALE, GARI NYINGINE ILIYOKUWA IMEPAKI PALE NI YA YULE PROFESA AMBAYE MWENZA WAKE ALIKUWA MWENYEKITI WA KAMATI ILIYOKUWA IKISHUGHULIKA NA URATIBU WA MBARAKA ULIOKUWA UNAHUSIANA NA KM-A, KIPINDI MBARAKA HUO ULIPOKUWA BADO UPO KWENYE MCHAKATO

GARI YA PROFESA HUYU ALIYOKUWA AMEIPAKI PALE INA SIFA ZIFUATAZO

IMEFANANA SANA NA GARI LA ZAMANI LA KM-A, NA PIA IMEFANANA NA GARI LA SASA LA KM-A

MAGARI HAYA YOTE YNIALIYOTAJWA HAPO, NI SAME TYPE, SAME BRAND, NA PUA SAME MODEL ISIPOKUWA YANATOFAUTIANA KIGODO TUKWENYE BAADHI YA FEATURES NDOGO NDOGO KWENYE MODELS ZAKE

VILE VILE GARI HIZI PIA NI SAME TYPE NA SAME BRAND NA GARI LA MHUSIKA NA HIVYO MOJAWAPO YA MAGARI HAYA, LILE LENYE FEATURES NYINGI ZAIDI KUYAZIDI MENGINE, NDILO LENYE UWEZO WA KUTENGENEZA AU KUWA " ALTERNATE KEY " KWA MAGARI YALE MENGINE, NA HILO SI JINGINE BALI NI LILE LA SASA LA KM-A

VINGINEVYO KWENYE SEHEMU JIRANI MBELE YA PALE LILIPOKUWA LIMEPAKI GARI LA PROFESA, KWENYE MSTARI ULE WA KATIKATI, LILIPAKI PALE GARI LA PROFESA YULE STAFFMATE WA MHUSIKA, AMBALO NALO LINAFANANA EXACTLY NA GARI LA ZAMANI LA KM-A.

HILI LA PROFESA HUYU WA PILI PIA LIMEFANANA RANGI NA MAGARI YOTE MAWILI YA KM-A

KWA HIYO ALIANZA KWANZA PROFESA HUYU WA PILI AKATOKA MWENYE GARI JEUPE AKATOKA, HALAFU AKAFUATIA HUYU MWINGINE AMBAYE NAFASI YA PARKING YAKE ILIKUJA KUTUMIWA BAADAYE NA GARI LA MHUSIKA

NAMNA WALIVYOTOKA MAPROFESA HAWA NI SEQUENCE AMBAYO ILIKUWA PRE-ARRANGED; KAMA AMBAVYO MHUSIKA TAYARI AMESHADOKEZA HUMU JUKWAANI KWAMBA HAYA MATUKIO NI SEQUENTIAL, NA HIVYO NI MUHIMU KWAMBA LAZIMA YAFUATE SEQUENCE FULANI

KWA HIYO ILIKUWA NI MUHIMU KWAMBA MAPROFESA HAO WATOKE KWA KUFUATA SEQUENCE HIYO

MBALI NA HAYO, IKUMBUKWE PIA KUWA, JUMAA YA WIKI ILIYOPITA, MHUSIKA ALIHITIMISHA SIKU YA OFISINI KWA TUKIO LA WATU WALIOKUWA WAKINENA KWA LUGHA YA KIINGEREZA, NA J2 KANISANI VILE VILE ALIMALIZIA SIKU YAKE YA KANISANI KWA TUKIO LA WATU WALIOKUWA WAKINENA KWA LUGHA YA KIINGEREZA

ALIMALIZIA NA WANENAJI WA LUGHA KWA SIKU ZOTE MBILI ZA WIKI, IJUMAA NA J2
.................inaendelea
 
.......... inaendelea YALIYOJIRI

WATU WENGINE MHUMU WANAOMILIKI GARI ZINAZOFANANA SANA NA ZILE ZA KM-A

NI MZEE WA KANISA ALIYEWAHI KUWA ANARATIBU SHUGHULI ZILIZOKUWA ZIKIHUSIANA NA UJIO WA MBARAKA WA KM-A KWA KUTOA MATANGAZO MADHABAHUNI KABLA YA KUACHA NA HATIMAYE NAFASI YAKE KUCHUKULIWA NA MAMA MWENZA WA PROFESA ALIYETAJWA HAPO

VINGINEVYO KUNA PROFESA MWINGINE TENA AMBAYE NAYE ANAMILIKI GARI YENYE SIFA HIZI TAJWA, ILA HUYU KWA SASA SI WA MUHIMU SANA KWENYE MAELEZO HAYA KWA SABABU HAKUNA MAHALI AMBAPO MHUSIKA AMEM-DETECT KUHUSIKA N.A. CHOCHOTE KILE KINACHOHUSIANA NA MATUKUIO HAYA, NA KAMA KUNA MAHALI ALIHUSIKA NA PADIPO MHUDIKA KUGUNDUA, BASI MUNGU AMEAMUA KUMTJNZA KWANZA

HATA HIVYO, OBSERVATIONS ZOTE ZA MHUSIKA KUHUSIANA NA MATUKIO HAYA, ZINAMWELEKEA ZAIDI YULE PROFESA STAFF MATE WAKE, ILA TATIZO LAKE HUYU NI KWMBA YUKO SMART ZAIDI KULIKO WALE WENGINE, NA HIVYO KWA HUYU MHUSIKA HUWA ANAAMBULIA KUPATA STRONG EVIDENCE ZA KITOHO TU NA AMBAZO KAMA ANGETOKEA AKAARIBU KUZIELEZA KWA WATU WENGINE, WATU WOTE WENYE SKILI TIMAMU WASINGEMWELEWA, WANGEMUONA KUWA YEYE NI CHIZI NA ANAMSINGIZIA

HUYU PROFESA ALISHAFIKIA HADI HATUA YA KUTENGENEZA KEY INAYOTUMIA SAUTI NA KWA KUTUMIA SAUTI YA MTU MWINGINE AMBAYE HUWA ANASIKIKA SANA KWENYE REDIO STATION AMBAYO MHUSIKA HUWA ANAPENDA KUSIIKILIZA MARA KWA MARA KILA SIKU ASUBUHI NA.JIONI

MTU YEYOTE ALYE MAKINI AKIIDIKIA SAUTI YA MTU HUYO INAONFEA RSDIONI, ANAWEZA AKADHANI KUWA NI HUYO PROFESA AMEGEUKA KUWA MTANGAZAJI WA REDIO

MAMBO YOTE YAKO KWA HUYU PROFESA, HAWA WENGINE NI DAGAA TU, PAPA YUPO. KWA HUYU HATA MR X ANAWEZA ASIINNGIE; TATIZO TU YEYE YUKO SMART SANA KULIKO HAO WENGINE

HITIMISHO
BAADA YA MHUSIKA KUTOKA KANISANI J2 NA HATIMAYE KUKUTANA NA BINTI WA KM-A PALE NJE, HAPO HAPO BINTI ALIACHIA KITU KWENYE KIKATUA KWENYE LUGHA, HUKU TAYARI MHUSIKA AKIWA AMESHAKAMATA KITU KINGINE KABLA YA IBADA KUTOKA KWENYE ARDHI YA SEHEMU YA PALE ALIPOKUWA AMEPAKI GARI LAKE

HII NI SEQUENCE AMBAYO ILIKUWA INAMLAZIMU MHUSIKA KUSHUGHULIKA NA LUGHA KWANZA HALAFU BAADAYE NDIYO ASHUGHULIKE NA MAMBO MENGINE ARDHI IKIWAMOJAWAPIO

KWA MHUSIKA KUANZA KUSHUGHULIKA NA ARDHI KWANZA HALAFU HALAFU MENGINE NDIYO YAFUATE IKIWEMO LUGHA, ALIKUWA ANAKWAMA KWA SABABU ILI UWEZE KUSHUGHULIKA NA CHOCHOTE KILE, NI LAZIMA LUGHA ITUMIKE

NA KWA SABABU TAYARI BINTI ALIIHITIMISHA IBADA YA MHUSIKA KANISANI KWA KUWEKA BARRIER KWENYE LUGHA, ILIKUWA NI LAZIMA MHUSIKA KUSHUGHULIKA NA LUGHA KWANZA KABLA YA KITU KINGINE CHOCHOTE KILE

KESHO YAKE J3 MHUSIKA ALIPOKUWA YUPO MAXINGIRA YA OFIINI KWAKE

USAMBAZAJI WA PEPO KWENYE ARDHI ULIANZA KWA KUTUMIA WATU WENYE MAJINA YENYE PHONATION YA CLAYS

KAZI KUBWA ILIKUWA TAYARI IMEFASHANYWA NA BINTI WA KM-A KWA SABABU UKIRUSHA PEPO KWENYE LUGHA, UNAKUWA UNERUSHA PIA KWENYE MANENO NA HIVYO KWENYE PHONATION , MORPHOLOGY, SYNTAX, SEMANTICS, PRAGMATICS..... ZA MANENO YA LUGHA YOYOTE ILE

KWA HIYO KUANZIA J2 ILIYOPITA, CLAY JINA NA CLAY UDONGO VILIWEKWA KUWA SAWA

HII NDIYO KAZI ALIYOFANYA BINTI WA KM-A J2 HIYO

BAADA YA SIKU HIYO MHUSIKA ALIENDELEA KUIKANYAGA ARDHI IKIWA NI PAMOJA NA MCHANGA ULIOKUWA UMEFUKIWA KWENYE MASHIMO YA NJIA AMBAYO HUWA ANAPITA SIKU ZOTE, NA ILIPOFIKA SIKU YA JANA IJUMAA, ALTERNATOR YA GARI LAKE IKAHARIBIKA KWA SABABU MANENO " ALTENATE KEY" NA "ALTERNATOR" YALIBADILIKA N.A. KUWA SAWA TANGU J2 ILIYOPITA

KUBWA KULIKO YOTE, YOTE HAYA YAKIWA YAMECHANGIWA NA UWEPO WA " ALTERNATE KEY KULE KANISANI KWAKE MHUSIKA"

.............ITAENDELEA TENA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
.......... inaendelea YALIYOJIRI

WATU WENGINE MUHIMU ALIOKUTANA NAO MHUSIKA WIKI HII NA AMBAO HUWA HAWAPO KWENYE MAZINGIRA YAKE YA KILA SIKU


WENGI WAO WALIKUWA NI WALE AMBAO MENO YAO YAMEKUWA AFFECTED NA MAJI YENYE MINERALS ZA FLUORIDE

KWRNYE SIKU YA IJUMAA JIONI, KIJANA AMBAYE MHUSIKA ALIWAHI KUMWONGELEA KWENYE POST HIZI #807, #808, #809, ALIONEKANA TENA NDANI YA JENGO LA IDARA, MAZINGIRA YA JIRANI NA OFISINI KWA MHUSIKA, JIRANI KABISA NA ILIPO OFISI YA MHUSIKA ILA HAWAKUSALIMIANA


WAKATI KIJANA HUYU ANAONEKANA MA-OFFICE MATES WOTE WA MHUSIKA HAWAKUWEPO OFISINI, WALIKUWA WAMETOKA

BAADA YA HUYO, DEREVA MSTAAFU WA MWAKA 2021 NAYE PIA ALIFIKA OFISINI KWA MHUSIKA IJUMAA. HUYU NI YULE ALIYESTAAFU KABLA YA KUFIKISHA UMRI WAKE WA KUSTAAFU

VILE VILE BIBI PART TIMER NAYE PIA ALIONEKANA OFISINI KWENYE MOJAWAPO YA SIKU ZA WIKI HII

MBALI NA HAO JUMAMOSI BAADA YA MHUSIKA KUACHANA NA MAFUNDI MAENEO YA MLINANI CITY ALIKOKUWA AMEENDA NAO KWA AJILI YA KUWAKABIDHI HELA YA KUNUNUA VIFAA VYA GARI, ALIINGIA KWENYE MOJAWAPO YA SHOPPING MALLS KWA AJILI YA KUNUNUA BIDHAA

AKIWA HUMO NDANI ANAXUNGUKA KWENYE SHELVES ZA BIDHAA, ALIBAHATIKA KUKUTANA KWA MARA YA KWANZA NA BINTI AMBAYE WALIWAHI KUWA WANAABUDU WOTE KWENYE KANISA JINGINE, YAANI KANISA B KULE AMBAKO MHUSIKA ALIWAHI KUHAMIA MWAKA 2014

OFISI YA BINTI HUYU IPO KWENYE JENGO MOJA LILILO NDANI YA UZIO WA MLIMANI CITY

VINGINEVYO KWENYE J2 ILE YA TAREHE 07/07/2024 BAADA YA IBADA KUMALIZIKA, KUNA EMERGENCE ILITOKEA ILIUOPELEKEA GARI LA MHUSIKA LILUZIBWA KWA BAHATI MBAYA NA BINTI AMBAYE ALIKUWA AMEHITAJIKA KWENYE KIKAO CHA KM-A

MHUSIKA AKIWA ANAMSUBIRIA BINTI HUYO ALIYEKUWA AMEZIBA GARI LAKE, ALIPATA NAFASI YA DAKIKA KADHAA ZA KUONGEA NA TRIBAL MATE WAKE YULE MWENYE UMBILE LA HESHIMA KUBWA SANA, NA SIKU HIYO MATE WAKE HUYO ALIKUWA AMEAMBATANA NA KIJANA MWINGINE MGENI KANISANI HAPO NA AMBAYE NAYE PIA MENO YAKE YAMESHAKUWA AFFECTED NA MINERALS ZA FLUORIDE; NA HAWA WENGINE WOTE AMBAO TAYARI AMESHAWAORODHESHA HAPO JUU KUPITIA POST HII, NAO PIA MENO YAO YAKO KWENYE HALI HIYO

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: MONDAY 29th JULY 2024

NYONGEZA KUHUSIANA NA "DATABASE KEYS"

Source:

1. Primary key​

  • It is the first key used to identify one and only one instance of an entity uniquely. An entity can contain multiple keys, as we saw in the PERSON table. The key which is most suitable from those lists becomes a primary key.
  • In the EMPLOYEE table, ID can be the primary key since it is unique for each employee. In the EMPLOYEE table, we can even select License_Number and Passport_Number as primary keys since they are also unique.
  • For each entity, the primary key selection is based on requirements and developers.
DBMS Keys

2. Candidate key​

  • A candidate key is an attribute or set of attributes that can uniquely identify a tuple.
  • Except for the primary key, the remaining attributes are considered a candidate key. The candidate keys are as strong as the primary key.
For example: In the EMPLOYEE table, id is best suited for the primary key. The rest of the attributes, like SSN, Passport_Number, License_Number, etc., are considered a candidate key.

DBMS Keys

3. Super Key​

Super key is an attribute set that can uniquely identify a tuple. A super key is a superset of a candidate key.

DBMS Keys


For example: In the above EMPLOYEE table, for(EMPLOEE_ID, EMPLOYEE_NAME), the name of two employees can be the same, but their EMPLYEE_ID can't be the same. Hence, this combination can also be a key.

The super key would be EMPLOYEE-ID (EMPLOYEE_ID, EMPLOYEE-NAME), etc.


4. Foreign key
  • Foreign keys are the column of the table used to point to the primary key of another table.
  • Every employee works in a specific department in a company, and employee and department are two different entities. So we can't store the department's information in the employee table. That's why we link these two tables through the primary key of one table.
  • We add the primary key of the DEPARTMENT table, Department_Id, as a new attribute in the EMPLOYEE table.
  • In the EMPLOYEE table, Department_Id is the foreign key, and both the tables are related.
DBMS Keys

5. Alternate key​

There may be one or more attributes or a combination of attributes that uniquely identify each tuple in a relation. These attributes or combinations of the attributes are called the candidate keys. One key is chosen as the primary key from these candidate keys, and the remaining candidate key, if it exists, is termed the alternate key. In other words, the total number of the alternate keys is the total number of candidate keys minus the primary key. The alternate key may or may not exist. If there is only one candidate key in a relation, it does not have an alternate key.

For example, employee relation has two attributes, Employee_Id and PAN_No, that act as candidate keys. In this relation, Employee_Id is chosen as the primary key, so the other candidate key, PAN_No, acts as the Alternate key.

DBMS Keys

6. Composite key​

Whenever a primary key consists of more than one attribute, it is known as a composite key. This key is also known as Concatenated Key.

DBMS Keys

For example, in employee relations, we assume that an employee may be assigned multiple roles, and an employee may work on multiple projects simultaneously. So the primary key will be composed of all three attributes, namely Emp_ID, Emp_role, and Proj_ID in combination. So these attributes act as a composite key since the primary key comprises more than one attribute.

DBMS Keys

7. Artificial key​

The key created using arbitrarily assigned data are known as artificial keys. These keys are created when a primary key is large and complex and has no relationship with many other relations. The data values of the artificial keys are usually numbered in a serial order.

For example, the primary key, which is composed of Emp_ID, Emp_role, and Proj_ID, is large in employee relations. So it would be better to add a new virtual attribute to identify each tuple in the relation uniquely.
 
UPDATE: WEDNESDAY, 31st JULY 2024

BAADA YA PILIKA PILIKA ZA KUHARIBIKA KWA GARI KUPITA WEEKEND ILIYOPITA, LEO ASUBUHI MHUSIKA ALIAMSHWA NA UJUMBE WA SIMU KUTOKA NAMBA YA SIMU 0786-849-328 ULIOAMBATANISHWA HAPA CHINI

1722418328431.jpeg

Ukweli ni kwamba kama mhusika angekuwa na mamlaka, uwezekano mkubwa ni kwamba angeweza akakosea namna ya kushughulika na mtandao huu wa uhalifu

This time again, mtandao huu umeratibiwa kutokea ofisini isipokuwa asingependa awataje wahusika hawa wadogo wadogo kwa sababu mhusika mkuu ameshajulikana

Nia hasa ilikuwa ni kum-trigger mhusika aanze kufuatailia hiyo zawadi ya sh million 6 kule Aitel Makao Makuu Morocco


1722418328431.jpeg



Namba hii 0787 287 047 iliyotajwa kwenye message ilikuwa na response mwanzoni na mtu alijitambulisha kama mfanyakazi ambaye yuko Airtel Makao Makuu huduma kwa wateja

Ndani ya miaka miwili iliyopita, transactions za mhusika kwa kutumia Aitel Money zinazidi million 150 kwa sababu mnamo May 2022 kuna maturity ya FDR yake iliyokuwa na million 99, na zote hizi alizifanyia kazi kwa kupitia huduma ya artel money

Kwa hiyo kwa upande mwingine, ilikuwa ni rahisi tu kwake kuweza kuamini kuwa ni kweli kuwa ameshindanishwa na wateja wengine wa Airtel Money na kufanikiwa kushinda hiyo zawadi ya shilling million 6

Hela anazodai ofisini bado hajalipwa na hizo ndizo zinazo-trigger mambo yote haya

Kwa siku hii ya leo, office-mates wake wote hawapo ofisini kwa siku ya leo, mmoja akiwa hajulikani ameenda wapi. Ni kwa sababu walijua kuwa kuna kitu kama hiki kitaendelea kwa mhusika siku ya leo

Zaidi ni kuwa code zingine mbili zimeshafunguka na zote zikiwa zinawahusisha na waajiriwa wapya, safari hii wakiwa wote wa kike

Taarifa zaidi zitafuata baadaye, bado yapo mengi sana

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
CODE MBILI ZILIZOFUNGUKA HIVI KARIBUNI KUTOKEA OFISINI ZIKIHUSAIANA NA MABINTI WAWILI WAAJIRIWA WAPYA

Zote zimefunguka kutokea ofisini lakini zina uhusiano na sehemu zote mbili, yaani ofisinina pia Kanisani kwa mhusika

Mojawapo ya code hzi mbili, ina uhusianao na J2 ambayo KM-A alikabidhiwa zawadi yake

**** kitoto rafiki yake na mhusika hapo kanisani kina jina linalomalizia na maneno ……..MWIZA


J2 hiyo kitoto hiki kilichaguliwa kuwakilisha watoto wote wa rika lake na kilichukuliwa na kupelekwa juu Madhabahuni

Phonation ya jina la kitoto hiki, inafanana na phonation ya jina la binti mwajiriwa mpya ofisini kwa mhusika ambaye huwa anatunza ma-file au documents, kwenye ofisi ndogo iliyo jirani na ofisi ya mhusika

Hii ndiyo ofisi ile ambayo kuna siku liliwahi kuletwa na kuhifadhiwa humo generator la mafuta ya Petrol

Mbinu ambayo amekuwa akiitumia binti huyu mtunza mafile, ni kurusha pepo kwenye documents documents au files

Kwa kufanya hivyo binti amekuwa akifuta maombi yote ambayo mhusika huwa anafanya kabla ya kuja kazini kwa sababu maombi hayo huwa anayasoma kutoka kwenye files ambazo alishazitengeneza na hivyo huwa anaomoba kwa kusoma kutoka kwenye files au documents hizo

Vile vile mhusika huwa anasoma Maandiko Matakatifu Biblia kila asubuhi; ambapo Biblia nayo pia ni document

KILICHOFUATA MBELE BAADA YA KITOTO HICHO KUWA KIMEPANDISHWA JUU MADHABAHUNI KWENYE J2 YA ZAWADI YA KM-A

Baada ya J2 husika kupita, kwenye siku zingine zote za J2 zilizofuata baada ya hapo, karibia mara zote mama wa kitoto chenye jina hilo lililotajwa hapo juu, amekuwa akikaa Knisani kwenye sehemu katika namna ambayo ni lazima mama huyo na mhusika watatonana aidha wakati wa Ibada au baada ya Ibada au kwenye nyakati zote mbili

Na kila inapotokea mhusika kuonana na mama huyu hata bila ya kukiona kitoto, amekuwa akifuta maombi yake yote aliyofanya kwa sabau kitoto hiko kina uhusiano na mhusika p[ia na hivyo kinakuwa ni “KEY” kati ya mhusika na mama mzazi wa kitoto hicho

Mhusika hajamuona baba mzazi wa kitoto siku nyingi Kanisani na hivyo Baba wa kitorto hicho hahusiki

Kitoto hicho ni mojawapo ya marafiki watoto wa mhusika ambao wamekuwa wakionyesha dalili za kumpenda sana mhusika mithili ya watu wazima

CODE NYINGINE YA PILI ILIYOFUNGUKA

Code hi ni ya EMBRYOGENESIS, na maelezo yake ni marefu kidogo na yatafuata baada ya maelezo haya ya utangulizi

Kuna binti aliajiriwa akiwa ni mjamzito na mara tu baada ya kuajirwa, Mkuu wa Idara (MWI) alimchkua binti huyu na kwenda kutambulisha kwa ofisini kwa mhusika

OM-1 naye pia alikuwepo siku hiyo binti huyu alipokuwa akitambulishwa na MWI, na wawaili hawa wameajiriwa kwenye section moja

Mara tu baada ya kutambulishwa, binti aliondoka kwenda Maternity Leave the same day na alikuja kurudi tena ofisini miezi kadhaa mbele baadaye, baada ya kuwa amejifungua

Binti huyu ndiye yule sasa aliyewahi ku-trigger matukio yote yaliyotokea Kanisani yanayohusiana na watotowachanga, likiwemo lile la watoto waliohitajika kuwekwa wakfu kwa awamu ya pili ndani ya mwaka mmoja, waliowekwa wakfu J2 ya tarehe 30/07/2023 (mwaka jana)

Taarifa za awali kuhusiana na binti huyu ziliwahi kuwajieni kupitia posts hizi hapa chini na taarifa zingine zitafuata baadaye

#1,633

#1,643

Zaidi ni kuwa, hivi wiki iliyopita, mhusika alijulishwa kuwa binti huyu ni mtoto wa kuzaa wa yule bibi ambaye ni part timer

Kipindi kile baada ya binti kuwa ametambulishwa na kuondoka kwenda likizo ya uzazi, bibi part timer alianza kuleta mayai ya kuku ofisini. Mayai ya kuku ni EMBROs

……………………..inaendelea
 
MHUSIKA ANAOMBA AWAKATIZE KIDOGO WASOMAJI: KABLA HAJAENDELEA TENA NA CODE YA EMBRYOGENESIS

YALE YA MUHIMU YALIYOJRI SIKU MOJA KABLA YA GARI LA MHUSIKA KWENDA GARAGE IUUMAA YA WIKI ILIYOPITA HADI KUFIKIA SIKU YA LEO J5 YA TAREHE 31/07/2024


Siku moja kabla, yaani jioni ya Alhamis ya wiki iliyopita (tarehe 28/07/2024) wakati mhusika anaondoka kurudi nyumbani, pale kwenye gate kuu nje ya jengo, aliwakuta mabinti wawili wakiwa wamesimama pale, na walikuwa pamoja na mkuu wa kitengo cha matetemeko ya ardhi (tumwite MTTMK)

Binti mmoja ni mfanyakazi na mwingine ni intern, na ambao wote wawili walionyesha dalili za kama walikuwa wanahitaji lift kutoka kwa mhusika

Kwa bahati mbaya, kutokana na tahadhari aliyonayo, mhusika alishasitisha huduma hiyo siku nyingi na hivyo hakuonyesha dalilil zozote za kujali hitaji lao

Baada ya mhusika kuelekea kwenye gari lake, huku MTTM akiwa aeona dalili zote kuwa mhusika hakuwa na mpango wa kuwapa mabinti wale lift, MTTM aliamua kutembea kwenda upande wa pili wa jengo ila kwenye uelekeo ule lilipokuwa limepark gari la mhusika; na baada ya kupakaribia, alichepuka na kuingia upande huo wa pili na ubavuni mwa jengo la Idara, uelekeao kama ule wa kuelekea Ubungo

Baada ya kuchepuka MTTM alienda akasimama karibu na ukuta wa mapana ya jengo la Idara kiasi kwamba akawa haonekani tena na mtu mwingine yeyote yule aliyekuwa usawa wa mbele wa jengo la Idara, ila alikuwa anaweza kuonekana kutokea kwenye parking kuanzia pale alipokuwa amepaki mhusika na pia parking zingine zilizokuwa upande wa kulia wa pale alipokuwa amepaki mhusika

Kwa hali hiyo, kama mhusika angemkaribisha kwa ajili ya lift kwa sababu siku hiyo hakuwa amekuja na gari, kutokana na configuration za mahali pale alipokuwa amepaki mhusika, hayupo mtu yeyote ambaye angeweza kumuona MTTM akiwa anapanda kwenye gari la mhusika

Hiyo siku ya Alhamis ikapita

Siku ya Ijumaa asubuhi ndiyo pakatokea dharula ya kuharibika kwa ALTERNATOR ya gari la mhusika na muda wote wa siku hiyo aliiutumia garage pamoja na Benki

Siku hiyo akiwa ameenda kuchukua fedha kule Benki kwa ajili ya kuwakabdihi mafundi ili wakanunue vifaa vya matengenezo ya gari, kule benki alikuta holaaaa kuhusiana na swala la madai yake, ila mshahara aliukuta huku ukiwa umekatwa tena laki mbili taslimu, ambazo zimekuwa zikikatwa tangu Februari 2024

Kesho yake siku ya Jumamosi ikapita

J2 nayo ikapita pia, ila haikupita hivi kwa kule Kanisani; kuna mengi yaliendellea huko ila kwa sasa siyo wakati wake

ILIPOFIKA JUZI J3 YA TAREHE 29/07/2024

Asubuhi akiwa yupo ofisini pamoja na OM-2 huku OM-1 akiwa ametoka, mtu mwenye sura ngeni kabisa kwa mhusika na aliyesemekana kuwa alikuwa ni mwanafunzi aliingia ofisini akiwa ana shida na OM-2

Baada ya majadiliano mafupi kati ya OM-2 na mwanafunzi huyo walikubaliana kukutana tena muda mfupi baadaye kwa sababu OM-2 alikuwa analazimika kutoka kidogo ofisini na kwenda mahali pengine

Kutokana na hali hiyo, OM-2 alimshauri mwanafunzi akae kidogo nje ya ofisi kwenye korido akiwa anamsubiria kwa muda mfupi

Baada ya hapo, wote OM-2 na mwanafunzi walitoka; mwanafunzi akaenda akasimama kwenye korido na OM-2 akatoweka kwenye floor akaenda sehemu nyingine

BAADA YA MUDA MFUPI KUPITA OM-2 AKIWA HAYUPO, MWANAFUNZI AKIWA YUPO KWENYE KORIDO

Mwanafunzi huy alirudi tena ofisini safari hii akiwa ameambatana na mwanafunzi mwingine wa mwaka wa nne (ambaye huyu kwa sasa ameshahitimu masomo yake na possibly hatakiwi tena kuwepo kwenye mazingira ya taasisi), na ambaye mhusika anamfahamu sana kwa sura

Baada ya kumsalimia mhusika, mwanafunzi huyu wa mwaka wa nne alimweleza mhusika kuwa alikuwa ameagizwa na OM-2 kuja kumsubiria hapo ndani ofisini; huku wakati huo huo akiwa ameambatana pamja na yuke mwingine wa kwanza ambaye OM-2 alikuwa amemuagiza amsubirie kwenye korido

Mhusika hakuwaruhusu wanafunzi hao kukaa pale ofisini, alifuata instructions za awali za mwenyeji wao

Baadaye tena,wakati wa jioni wakati mhusika anatoka ofisini J3 hiyo kurudi nyumbani, pale kwenye parking alimkuta kijana wa usafi akiwa anaosha baadhi ya magari yaliyokuwa yamepaki pale

Baada ya kuwasha gari, engine ikiwa inaunguruma, kijana wa usafi alimfuata mhusika na kumweleza kuwa aliagizwa na MR X kumweleza mhusika kuwa MR X angehitaji lift kwenye gari la mhusika siku hiyo

Ilionekana MR X hakuwa amekuja na gari siku hiyo kwa sababu halikuwepo kwenye parking

Mhusika aliupokea ujumbe ila hakuufanyika kazi, na iwapo angeufanyika kazi, ingeonekana kuwa ni yeye aliyemhitaji MR X kuja kupanda kwenye gari lake kwa sababu waktai huo MR X hata hakuwa anajulikana alikuwa wapi; possibly alikuwepo ndani ofisini kwake

Mbali na hilo, ingekuwa sikuya kwanza kwa MR X kupanda gari hilo la mhusika

Hiyo siku ya J3 nayo ikapita pia na jana J4 yalikuwepo pia matukio ila ambayo kwa sasa yanaweza kuonekana kuwa si ya muhimu sana, ila kadri muda unavyopita, pengine labda hapo baadaye yatakuja kuonekana tofauti na yanavyoonekana sasa. Ikitokea hivyo mhusika ataleta taarifa zake humu

BAADA YA HAYA YOTE KUWA YAMETIOKEA KUANZIA IJUMAA YA WIKI ILIYOPITA HADI KUFIKIA JANA J4 YA TAREHE 30/07/2024

Leo siku ya J5 ndiyo mhusika akapokea sasa ujumbe kutoka kwa mtu ambaye si mwajiriwa wa kampuni husika ya mtandao wa simu, uliomzawadia jumla ya ushindi wa TZS million 6 na ambao taarifa zake ziko kwenye post hii #2,138

UPNEXT: CODE YA EMBRYOGENESIS

Embrogenesis i
s the formation and development of an embryo.

Embryogenesis is the key process to establish complex multicellular life by transitioning from a single-celled fertilized egg (= zygote) to a mature multicellular organism (= embryo). As the last common ancestor was most likely unicellular, embryogenesis evolved independently in animal and plant kingdoms.

……..itaendelea

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Back
Top Bottom