Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #2,161
UPDATE: FRIDAY 16th AUGUST 2024
KUHUSIANA NA MTOTO MWENYE JINA LINALOISHIA NA MANENO “….MWIZA” ALIYETAJWA KWENYE POST HII HAPA #2,139
UTAFITI ULIOKAMILIKA KUHUSIANA NA MMILIKI WA SOURCE CODE HIYO ALIYEPO KANISANI: YESU ALIKUWA NI “RABI” AU MWALIMU
MAELEZO YA UTANGULIZI
Siku ambayo mtoto alihusishwa kwenye tukio hilo lililotajwa kwenye post #2,139 , mtoto huyo alihusishwa akiwa kama ni mbadala utakaokuwa unatumika kwa lengo la kumficha mmiliki wa source code hiyo ili asijulikane kirahisi
Wakati mtoto anashirikishwa siku hiyo, mmiliki wa source code hii alikuwa ametulia ila baada ya kuwa tayari amemshirikisha mhusika kwenye tukio ambalo waumini walio wengi hawakuweza kuliona; taarifa za kina za namna mtu huyu alivyowahi kumshirikisha mhusika zitafuata baadaye
TAARIFA FUPI KUHUSIANA NA MTU HUYU (tumwite MS-WIZA)
MS-WIZA naye pia ana jina la pili linalomalizia na maneno “…..WIZA” na wasifu wake ni kama ulivyoelezwa hapa chini
Tangu waumini waanze kuabudu kwenye Kanisa jipya, mtumishi huyu alikuwa hajawahi kusimama kuhudumu kwenye Ibada kuu
Hadi kufikia kipindi cha ndani ya mwaka huu, viongozi wenye sifa za aina hii hapo Kanisa A, walikuwa wapo wawili isipokuwa yule mwingine wa pili, yeye alianza kuhudumu miezi michache iliyopita, na bada ya hapo, alifuatiwa na J2 moja mbele ambayo mhudumu wake alikuwa ni “mwalimu” wa kike
Kwenye J2 hiyo ambayo “ mwalimu” wa kike aliuhudumu, ndiyo J2 ambayo kiongozi huyu alisiamama na kuwalaani wakristo kwa kutumia fungu linalsoesma “amelaaniwa aifanyaye kazi ya Mungu kwa ulegevu” na kwa kisingizio kuwa mtumishi “mwalimu” wa siku hiyo alilitumia fungu hilo ilhali hakuwa amelitumia
Huyu naye ndiye kiongozi mwingineambaye kwa mara ya kwanza, amesimama madhabahuni mwaka huu wa 2024
MTUMISHI ALIYEHUDUMU KWA MARA YA KWANZA J2 ILIYOPITA YA TAREHE 11/08/2024
Mtumishi huyu aliyehudumu kwenye Ibada hiyo, naye pia ni mwalimu wa mhusika
Huyu pamoja na MS-WIZA ni wawili tu kati ya walimu kadhaa waliowahi kumfundisha mhusika alipokuwa bado ni muongofu mpya, KM-A naye pia akiwa mmojawao
Kwa hiyo hata KM-A naye pia ni mwalimu wa mhusika; ni mmojawapo kati ya walimu kadhaa waliowahi kumfundisha mhusika alipokuwa bado yupo kwenye kundi la waongofu wapya, mwaka 2011
YALE YA MUHIMU YALIYOJIRI J2 ILIYOPITA YA TAREHE 11/07/2024 TANGU MHUSIKA ALIPOINGIA KANISANI HADI WAKATI WA KUONDOKA BAADA YA IBADA YA PILI KUMALIZIKA
………inaendelea

- Ni mtu wa karibu sana na KM-A na wanaongea lugha moja ya kuzaliwa
- Ni mwalimu wa mhusika
- Ni mmojawapo wa viongozi maarufu wa Kanisani A