DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
- Thread starter
- #421
Kweli kabisaTutafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaTutafika
hahaNimeipenda sehemu kichwani Nina mawazo ya kifisi, na mlokole mlevi
Udalali una mambo mengi sana. afu ukishatoka sehemu ukirudi unaanza tena upya unarudi kama mgeni.Me nna swali moja.. sasa maisha yalivyokupiga, why hukuwaza kuurudia udalali? Maana niliona ni simple zaidi kurudi kule huku ukijipanga kwa mengine
DALALI MKUU
Sio kila mtu anaweza kuweka akiba Mku.Sasa mwanangu kwa dili zako miaka yote hiyo nikajua labda akiba inaweza kua hata zaidi ya 100M, unaonekana ni unafuja pesa si mchezo.
sawa Mkuuhapo kwenye kuandika na kupangilia visa ni wewe tu umeshindwa ila siyo wana IT wote hawa wezi ila hongera umejitahidi na imeeleweka
Nitakuja kushare baada ya kwenda mkuu. mwezi huu wa nane nitaendaMkuu,
Ndugu zako walikutenda nini kikubwa Iko kama hutojali waweza share nasi tupate pia chakujifunza ?..
Wala hujakosea mkuuHii ndio ile tunaita first class chai!... Verified Chai Kiwango cha nyota 5 pale@Serena
Maombi ni Imani yako binafsi mkuu.Hivi kumbe Mtu pasipo kujali Hali Yako ya kiroho Unaweza kuandaa programu ya maombi katika jambo lako na majibu yakapatikana pasipo msaada wa watumishi wa Kisasa!? Kama Jeni alipata watoto Kwa njia ya Imani(maombi binafsi)...
kuna wakati hata sisi wanaume huwa tunakwama na tunapeda watu wa karibu watusaidie hata kwa kidogo,ila utashangaa mwanamke unayemhudumia kila siku hawezi hata jiongeza,kuna wanawake wanafikiri walivoambiwa wawe wasaidizi wanafikiri wnatakiwa kufua soksi kama vile sisi hatuji kufuaHii roho mmepewa wanaume siwezi kushangaa ila sio sie wanawake, hamjufunzi kwa Adam aliletewa sijui tunda akapokea na akala kilichomkuta ni laana ya kifo na nyinginezo tunazoishi nazo mpaka kiama
Nyumba za kupanga ni ngumu sanaEPS 1
Heshima Kwenu Wakuu,
Niliwaahidi Kwamba Nitawaletea Mkasa Kuhusu safari au Hekaheka zangu nilizozipata wakati nafanya Shughuli zangu za Udalali Jiji la Dar es salaam na maeneo ya jirani.
Mwaka 2017 Nilitoka kwenye wilaya Niliyokuwa Ninaishi nikaamua Kuhami Jiji La Dar es salaam kwenda Kufanya Kazi zangu binafsi nikiamini Kwamba nitatoboa Kimaisha, Nilikuja Dar es salaam baada ya kufanya akzi maeneno tofauti tofauti Mkoa wa Kilimanjaro.
Nilipofika Dar maisha Yalikuwa magumu sana kwakweli, kuna sehemu nilipata Kazi nilikuwa nalipwa 40k kwa wiki haikuwa inatosha Chochote, Lakini kazi Pia ilikuwa na mateso sana. Nilikuwa nafanya kazi kwenye Kampuni Fulani Binafsi inajihusisha na Masuala ya Matangazo ilikuwa ni kazi ya mteso sana, nilikuwa naingia kazini Asubuhi saa moja natoka saa 12 Jioni.
Nikitoka nakuwa nimechoka sana kiasi kwamba siwezi hata Kufanya shughuli nyingine na mshahara ndio huo kwa wiki unalipwa elfu arobaini tu ukitoa hapo nauli na hela ya kula kwa wiki unabaki na deni au ukijibana sana useme ule mlo mmoja tu unabaki na elfu Kumi.
Kodi nilikuwa nalipa eldu thelathini kwa mwezi maji elfu kumi umeme elfu Kumi jumla Kodi kwa mwezi ni elfu hamsini na kila wiki nikijibana sana kwa mwezi nakuwa na Akiba ya Elfu arobaini yaani kila iki elfu Kumi.
Hapo nilipokuwa nakaa ilifika wakati kodi ikaisha nikawa sina hata Mia mbovu akiba yote nilikuwa nimeitumia kutokana matatizo yaliyojitokeza, Mwenye nyumbaalikuwa haelewi Kitu zaidi ya kutaka hela yake.Yule mzee alinisumbua sana nikaongea nae Anivumilie akanipa Muda wa wiki nikaanza kupiga Bei vitu vyangu vya ndani ila kupata wateja ndio ikawa shida sana, kila nikinidai Mitandaoni hakuna mteja zaidi watacoment watu wanaulizia Uko wapi na bei gani tu.
Aisee nilichanagnyikiwa sana Wakuu Wiki ikakata nikapata ile hela ya wiki Elfu arobain nikakusanya kusanya kwa wadau nilikuwa naapiga Vizinga nikapata elfu sabini nikampa mwenye nyumba ili inayobaki nitamlipa.
Kuna watu ana Roho mbaya sana Yule Mzee akaniambia hapokei Kodi hata kama Imebaki Buku Hapokei na kama siwezi kumpa hela yake nijiandae kuhama nikatafute Chumba sehemu Nyingine.
Pale pale akaanza Kupiga simu anamtafuta Dalali ili amtafutie mpangaji mwingine, Hela yangu ameikataa nilirudi ndani nikawaza sana mambo mengi mno nilipiga simu kwa wadau lakini kila ninayemkopa ananielezea matatizo yake makubwa zaidi nikaamua kuachana nao.
Nikiwa ndani Yule Mzee nikamsikia anaongea na watu anamuonyesha Chumba Changu na wanakubaliana bei afu anamwambia Kuna mtu ndnai ila nitamwmabia afungue uingie ndani ukiangalie.
Hatari sanaDalali mkuu mbona umejianika huko insta na miso misondo ndugu zako si watajua ulipo!
Wanawake wana ufala sana.kuna wakati hata sisi wanaume huwa tunakwama na tunapeda watu wa karibu watusaidie hata kwa kidogo,ila utashangaa mwanamke unayemhudumia kila siku hawezi hata jiongeza,kuna wanawake wanafikiri walivoambiwa wawe wasaidizi wanafikiri wnatakiwa kufua soksi kama vile sisi hatuji kufua
kuna baadhi hawajitambui,wabinafsi mnoo.Wanawake wana ufala sana.
Mtumishi ana nafasi yake,na muombaji ana nafasi yake.Kwani yule mama aliyekuwa anatokwa na damu kwa miaka 12 aliombewa na nani?,si alichukua hatua za imani mwenyewe na akapona?Hivi kumbe Mtu pasipo kujali Hali Yako ya kiroho Unaweza kuandaa programu ya maombi katika jambo lako na majibu yakapatikana pasipo msaada wa watumishi wa Kisasa!? Kama Jeni alipata watoto Kwa njia ya Imani(maombi binafsi)...
Na ndo usaidizi wenyewe huo ukitaka unaozidi hapo sasa ndo tatizo linapoanziakuna wakati hata sisi wanaume huwa tunakwama na tunapeda watu wa karibu watusaidie hata kwa kidogo,ila utashangaa mwanamke unayemhudumia kila siku hawezi hata jiongeza,kuna wanawake wanafikiri walivoambiwa wawe wasaidizi wanafikiri wnatakiwa kufua soksi kama vile sisi hatuji kufua
Mtumishi ni Kiongozi anayekuongoza tu. Ila unaweza kuwa na Program zako mwenyewe Roho mtakatifu akakuongoza, ukaomba na ukajibiwa vizuri tu.Mtumishi ana nafasi yake,na muombaji ana nafasi yake.Kwani yule mama aliyekuwa anatokwa na damu kwa miaka 12 aliombewa na nani?,si alichukua hatua za imani mwenyewe na akapona?
Kweli kabisaNa ndo usaidizi wenyewe huo ukitaka unaozidi hapo sasa ndo tatizo linapoanzia