MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

Kaa hivyo hivyo na dhana potofu utaishia kutoa story za wanaume tu. Watu wanapiga dili za unga, wengine majambazi akili ndogo wanadanganywa eti ni ndagu.
 
Story yako ni nzuri ila umeijaza vitu vingi ambavyo vingine ni unnecessary, mpaka story inakuwa ndefu na inaboa.

Unapoandika story humu usiandike kama unaandika kitabu, andika kama unaandika makala. Unahusisha vitu vya mhimu tu, mbwembwe za kujazia nyama piga chini.

Sijui nikala nyama, nikacheza disko nikapata vumbi, sijui akitembea haachi alama za unyayo ni unnecessary.
Hiyo ni kwa mawazo yako na uvivu wa kusoma vionjo kama ivyo ndio huwa vinanogesha ukizingatia hii ni true story
 
Kaka achana nao, shamba haliwezi kosa magugu.
Mzee usiwe nunaongea Kama huna uhakika.

Ukiwa unatoka mwanza au Bunda shuka Kijiji kimoja kinaitwa sabasaba nyuma ya kiabakari na Mazami Uliza kwa mzee Nyanda ni hapo barabarani tu kuu la lami.

Na ukifika tu pale Kijijini uliza stori hii yaani nikutungie kitabu mimi nimekuwa shingongo na huo mda wa ujinga huo napata wapi?

Kama uko dar nenda hapo udsm kamuone mdogo mtu kiringo muulize hili atakuambia.

Then usiwe unaongea vitu usivyovijua ili uonekane tu umeongea

Haya mambo sio ya miaka mingi ni ya juzi tu hapa.
 
Mi naona yupo sawa tu. Kwa unachosema inamaana story haitakuwa na contents.
Mkuu nilichogundua huyu story anaitoa mahali anaileta huku sasa huko anakoitoa kama msimuliaji amesimama inabidi na yeye atuzuge huku by the way hata kama ni chai ila tamu
 
Mkuu nilichogundua huyu story anaitoa mahali anaileta huku sasa huko anakoitoa kama msimuliaji amesimama inabidi na yeye atuzuge huku by the way hata kama ni chai ila tamu
Watu wa humu ni zaidi ya wajuaji aiseee.
Haya naitoa wapi?

Unajua story za kusimuliwa wewe?...A u unataka nikupe majina ya wahusika kabisa

Mkuu muwe mnapunguza ujuaji basi....na mbona nimeshamaliza yote
 
Watu wa humu ni zaidi ya wajuaji aiseee.
Haya naitoa wapi?

Unajua story za kusimuliwa wewe?...A u unataka nikupe majina ya wahusika kabisa

Mkuu muwe mnapunguza ujuaji basi....na mbona nimeshamaliza yote
Kuwajibu wajuaji wa humu utajipa kazi
 
Naomba nikuulize swali...nimekuwa na marafiki wengi sana wakurya..na nimefika had huko kwenu...swali ni hili..kwanini kila familia moja unakuta baba ana wake wawili?..watoto pia wameoa wake kuanzia wawili...mna shida gan mkuu? Yaani sijji kama nna rafiki hana wake wawili...kha!y?
Kwani kuoa wake wawil ni tatizo??
Nani aliyekuambia ni tatizo??
Ni mzungu?
Huyo huyo mzungu ndiye aliyekuambia kuwa mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzake ni sawa ila kosa mwanaume kuoa wake wawil??
 
Kwani kuoa wake wawil ni tatizo??
Nani aliyekuambia ni tatizo??
Ni mzungu?
Huyo huyo mzungu ndiye aliyekuambia kuwa mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzake ni sawa ila kosa mwanaume kuoa wake wawil??

Wapi nimesema ni tatizo? Nimeuliza nipate kufahamu..hayomengine ni wewe umeandika sio mimi
 
Watu wa humu ni zaidi ya wajuaji aiseee.
Haya naitoa wapi?

Unajua story za kusimuliwa wewe?...A u unataka nikupe majina ya wahusika kabisa

Mkuu muwe mnapunguza ujuaji basi....na mbona nimeshamaliza yote
[emoji23][emoji23][emoji23] Minakushangaa sana unavyohangaika nao kwani we ni mgeni JF ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Minakushangaa sana unavyohangaika nao kwani we ni mgeni JF ?
Nimegundua Hawa yawezekana wanataka kujaribu hivyo wanahisi hii ni hadithi ya kusadikika inabidi niwajibu ili wapate uhakika ili Kama wakijaribu iwe juu yao Sasa kuliko kunyamaza unaonekana huna uhakika na unachokisema
 
Jana kuna muda nilikwambia kwenye huu uzi, uko kama hujiamini na hii story yako, unajibu sana critiques.

Kuna watu hata tukiona kwa macho tutakwambia siyo kweli, ni kiini macho, sasa vipi tukisimuliwa!

Utahangaika sana kuwaaminisha watu humu.
 
Kwani kuoa wake wawil ni tatizo??
Nani aliyekuambia ni tatizo??
Ni mzungu?
Huyo huyo mzungu ndiye aliyekuambia kuwa mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzake ni sawa ila kosa mwanaume kuoa wake wawil??
Yaani kati ya vitu ninavyowashangaa wazungu ni hapo. Kwao ndoa ya wake wengi ni kosa la kisheria kabisa, lakini ndoa ya jinsia moja ni halali tena kwa sheria za nchi kabisa.
 
Back
Top Bottom