Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali naomba location ya huyo mganga was ndagu,.... Mkoa,wilaya,kata,Kijiji na namba za simu ikiwezekana.....Samahani mkuu wengine sio waandishi wazuri.. sorry kwa hilo
Mimi simjui mkuu...na Wala sijawahi kufatilia hayo masuala ya kupata ndaguTafadhali naomba location ya huyo mganga was ndagu,.... Mkoa,wilaya,kata,Kijiji na namba za simu ikiwezekana.....
Nataka nifanye research Kama Hili suala la ndagu lipo kweli....na how it works..
Hahahaha hii ni kinga ya kiganga mkuuKwa hiyo KIONGOZI umefunga S-400?í ½í¹í ¼í¿¼í ½í¸
Ulinzi muhimu boss
Sawa tajiri...ongeza sauti🙌🏼Story za uongo zisizo na evidence yoyote,
Ukiona mtu anapesa jua kaziiitafuta kwa njia flani halali au sio halali ila hakuna kitu kama majini wala ndagu, huo upuuzi ni uongo mtupu na wanaoamini huo ushenzi wote maskini
Hadithi yako nzuri nlitamani iendelee! Hadi nimechelewa kula nlikua naisomaHili goma linaisha leo sema na pombe ishapanda kichwani...wewe wait yote itakuwa hapa soon
Kwahiyo vijana wanataka kuheshimiwa na kuishi mazuri lakini ya mkato!Ukuryani,kule ukiwa na pesa plus mali kama ng'ombe,majumba wazee wanakuheshimu sana na pia ukawapa hela za pombe...wewe ni mfalme
Hizo aibu si bora angeomba akifirisika avute kamba afe kishujaa!Utajiri wa PUNJE ni mbaya sana,kuna jamaa sasa ni apeche alolo mwanzoni alikuwa na MTONYO hatari MANSION la hatari Mkewe alikuwa anatembelea BIMA ila sasa jamaa analala Chumba Kimoja.